RAIS MWINYI ACHUKIZWA NA KAULI HII AVUNJA UKIMYA "RAIS GANI KASEMA ? KINANIKERA KULIKO VYOTE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 25 ก.พ. 2024
- Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 717 619 834
Ktv Tz Online Journalists
cc: Sadia Rashid
cc: Sauti Byego
Camera Department"
Dadi Ali
Omar (OJ)
Nassor Shaibu
Abdallah Juma
Editors:
Juma Maulid
Dadi Ali
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
- Ali Kiba akiwa Oman
• ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
• NI KWELI ALI KIBA AMNU...
Yaani viongozi wa Tanzania kwa maneno matam hatari ila wakiondoka tu chawa wao wanaanza kuwatesa wananchi ila acha tuone
Unajitahidi sana baba hongera
Apo mwinyi umeongea maneno mazima,mm sikupendi Kwa sababu ww ni ccm tu bc. maana mm na ccm hatupatani.
Basi Mpaka Mh. RAIS asimame mwenyewe Hao wenye wizara wapo wapi! Dahh anachoka sana Rais wetu
Mwinyi kajitahidi lakin tunahitaji aongeze jitihada
UWONGO TU NA KUJIKOSHA HUNA ZAIDI DHALIM MKUBWA MWINYI
Yule mwanamke wa mji mkongwe hafi yule ni masikini wa madaraka
Nahuko pemba wanafanya hivyohiyo na wanapiga faini sh laki mbili jmani hali ngumu kwli
SASA WW MWINYI ZUZU WALIPO DHULUMIWA RAIA WAKA POKONYWA MALI ZAO ULIKUWA WAPI ...?
NIKIONGOZI GANI WEWE RAIA WAME DHULUMIWA NAWE HUKUWA NA HABARI BASI HUFAI JIUZULU
pia wt wajing wamesha muamin hapo dah
Anachokihutubia na uhalisia ulivyo ni tofauti kabbisa. I NEVER TRUST THIS GAY 😎
Mwinyi hapendezi zbar hata jiandae