#YALIYOMO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • #isleblogTV Kishindo cha Dkt Mwinyi Soko la Kwanza la kihistoria Zanzibar, kwa Tanzania ndio soko la Kwanza pamoja na Afrika Mashariki yake.

ความคิดเห็น • 105

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 2 หลายเดือนก่อน +12

    Mashallah mashallah mashallah hongera sana muheshmiwa Rais kwa kutumia uzalendo wakuwaajiri wazawa kwenye ukandarasi kumbe tunaweza

    • @mahammadanhag4445
      @mahammadanhag4445 หลายเดือนก่อน

      Mashaallahu kwa kip kua muaz kujengewa soko au njaa

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi nzuri mashallah wasiwasi wangu kwenye usafi mpaka vyooni usafi security ikuepo. Usafi nasisitiza zaidi soko zuri sana mashallah mwinyi mitano tena baba.

  • @DoctorBondia
    @DoctorBondia 2 หลายเดือนก่อน +2

    🎉 Maashallah Inapendeza Sana, Allah ambariki Mr Rais na nawatakia utunzaji wa soko hilo.

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 2 หลายเดือนก่อน +11

    Kazi nzuri tatizo utunzaji....ndio watz tunapofeli

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kabisa ndugu hatuna utunzaji katika majengo husussan ya Serikali。
      Maoni
      Serikali iajiri au wafunge mkataba na Kampuni tatu Kampuni ya Usafi
      Kampuni ya Security
      Na Kampuni ya Maintanace,
      NB:Vituo vya Afya,Skuli na Masoko

    • @mussakiziyzi408
      @mussakiziyzi408 2 หลายเดือนก่อน

      Utunzaji kweli ni tatizo la uswahilin,lkn pia Tatizo jenqine ni ujenz wa viwango va chini.
      Yote ni walafi wachache waliomo kwenye sirikali

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 2 หลายเดือนก่อน +3

    Rais mwinyi fanya kazi ndugu yangu mungu atakubariki.
    Ishaallah ❤❤❤

    • @mahammadanhag4445
      @mahammadanhag4445 หลายเดือนก่อน

      Uyu mungu atamueka pepon aswa kwa kuleta njaa znz

  • @samirasalim4203
    @samirasalim4203 2 หลายเดือนก่อน +4

    MashaaAllah Tabaraka Rahman, mwege toa na chumba cha kuswalia.

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 2 หลายเดือนก่อน +8

    Wasiwasi wangu kwenye Usafi na maintenance 😢😢.... Soko zuri saaana... Viwepo vitengo maalum kwa usafi na maintenance... Pesa hizi Kodi hizi😔

    • @mohddelo
      @mohddelo 2 หลายเดือนก่อน

      Wnapewa sekta binafsi kuendesha

  • @alihabib2270
    @alihabib2270 2 หลายเดือนก่อน +4

    Na kama hili halikuonekana sasaivi litakuja kuonekana baadae inshaallah. Hongera sana raisi Mwinyi.

  • @AnkallyPandu
    @AnkallyPandu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah soko zuri sana usafi muhimu sana maana soko kama hilo likiwa chafu aibu iwe kila mara liwe linasafishwa hongera kwa soko letu kuwa la kwanza Tanzaniaa nzima kwa ukubwa

  • @bas2823
    @bas2823 23 วันที่ผ่านมา

    GOOD BLESS RAIS DOCTOR HUSSAIN ALI MWINYI NA RAIS SAMIYA SULUHU HASSAN NA VIONGOZI WEMA WOTE WANAONGOZA MEMA KATIKA NCHI ZAO" AMEEN🤲👍🤩😍😆👌"

  • @DaniDani-v3w
    @DaniDani-v3w 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shukrani mweshimiwa raisi ila walokuwepo kibanda maiti na wanamizigo ya kutundika kwamfano ndizi pia na mozigo mengi

  • @salumkarim69
    @salumkarim69 2 หลายเดือนก่อน +4

    mashaallah ukhtiy umejitahid kuelezea

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallaah kazi nzuri sana.
    Haya ndio maendeleo tunayo yataka tanzania 🇹🇿 yetuu.

  • @masoudkhamismasoud9945
    @masoudkhamismasoud9945 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mnahitaji pongezi kwa kazi kubwa

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mskiti umeuvunja ujengwe soko sio muhimu zaidi kuliko ibada zetu

    • @DoctorBondia
      @DoctorBondia 2 หลายเดือนก่อน

      Akhy kuwa na shukrani kwani ineo Hilo msikiti ulikuwa Ni huo mmoja tu?

    • @DoctorBondia
      @DoctorBondia 2 หลายเดือนก่อน

      Ni Mara ngapi amejengesha miskiti unguja na Pemba

    • @bakarhamad6810
      @bakarhamad6810 2 หลายเดือนก่อน

      Misikiti ni mingi Sana znz na km tutagawanyiwa wazanzibar wote utagundua kila wtu 20 wanapata msikiti wao so tatzo lkn je tupo ktk Hali gani kiimani na kiitikad.
      Sasa kuna misikiti mingine sio tatzo kuvunjwa km patatengenezwa Jambo kubwa lenye manufaa makubwa ktk maendeleo y jamii. Il'imrad tu iwe walengwa na wanufaika ni jamii ya Sasa na baadae.

    • @bakarhamad6810
      @bakarhamad6810 2 หลายเดือนก่อน

      Ninalolitamani ni siku moja na sisi wapemba aje atujengee kitu km hicho ili tuanze kuifungua pmba kiuchumi.

    • @RioIpo
      @RioIpo 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@bakarhamad6810 In Sha Allah

  • @masoudjuma8169
    @masoudjuma8169 2 หลายเดือนก่อน +1

    Congratulation #Badrani # Hamis hollela🎉 good interview

  • @DoctorBondia
    @DoctorBondia 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤ Hakika yajayo yanafurahisha😅.
    Naomba na parking ijengwe ili Mambo yawe mazuri zaidi.

  • @jumamohamed3168
    @jumamohamed3168 2 หลายเดือนก่อน +2

    Soko ni zuri ,lakini ninavyo ijua Zanzabar shida yetu kubwa ni usimamizi mbaya juu ya mambo mengi sana ,soko hilo litakuwa chafu muda mfupi tu ,takataka zitazagaa kila mahala .

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 2 หลายเดือนก่อน

      Hao wafanya biashara ndio wachafu zarau kuta zote zitawekwa misumari waweke mapolo pakacha

  • @firdaus7428
    @firdaus7428 2 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah znz Dr. Hussein Mwinyi pongezi nyingi kwako Baba 👏👏

  • @rasheedabby2871
    @rasheedabby2871 2 หลายเดือนก่อน +1

    mwinyi sasa anafanya vitu vya standard sana

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Potential area,,,,Masha Allah

  • @bas2823
    @bas2823 23 วันที่ผ่านมา

    I HOPE IT WILL STAY CLEAN N NIT AS IT IS" FROM NOW TO GO ON"👌"

  • @hadijamgambo-jn7kg
    @hadijamgambo-jn7kg 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe wamejenga wazawa wa Zanzibar...Ma Shaa Allah

  • @bas2823
    @bas2823 23 วันที่ผ่านมา

    NEAT "

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy หลายเดือนก่อน

    Baada yakufunguliwa rudi baada yamwaka mmoja ujionee mizoga

  • @w4058
    @w4058 2 หลายเดือนก่อน +1

    Machinjio ulimwengu mzima takriban hayawi sokoni sehemu nyingi sana sana

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 หลายเดือนก่อน

      Inategemea na aina ya machinjio na pia aina ya utamaduni wa jamii, kwa mfano kuweka machinjio ya kuku ktk soko kama hilo ni jambo la kawaida na ndiyo masoko yote ya asili ya kitanzania yapo hivyo, wateja huwa wananunua kuku na kuchinjiwa papo hapo ila kwa kesi ya wanyama kama ng'ombe hilo ni swala jengine kwani wanyama wakubwa kama hao huwa na machinjio yao.

  • @KhatibSalehKhatib
    @KhatibSalehKhatib 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah hakika 25 huna mpizani kiongozi

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 หลายเดือนก่อน

    Ipambe nchi mwinyi tutoe tongo asoona hana macho tutakuombea dua nchi umeijenga wapigaji lazima wakuchukie

  • @moodjeco5844
    @moodjeco5844 2 หลายเดือนก่อน

    usiseme ndio soko kubwa tanzania nzima bali sema zanzibar

    • @alhudhaify7810
      @alhudhaify7810 2 หลายเดือนก่อน

      Anajua kusema znz ila kasema tz sasa unalifananisha na soko lipi jengine?

  • @saidkhatib9146
    @saidkhatib9146 2 หลายเดือนก่อน +1

    Looking good

  • @mohdkhamis3857
    @mohdkhamis3857 หลายเดือนก่อน

    Sema lile soko la chuini au mnaitaga kwa nyanya jamaa wameboronga xn

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 2 หลายเดือนก่อน +1

    HONGERA MAMA SAMIA ♥

  • @alihabib2270
    @alihabib2270 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nina 9:00 shauri machinjio yawe mbali na soko na hata kuwa mbali na mji na hiyo ndio utaratibu wa masoko mengi ya mji ili kudumisha usafi wa masoko

  • @mohddelo
    @mohddelo 2 หลายเดือนก่อน

    Safi Rais mwinyi

  • @jombadulla
    @jombadulla 2 หลายเดือนก่อน +2

    nakuomba mheshimiwa ukienda kukagua angalia kuna raba nyeupe kweny ukuta umezibwa hiyo ni nyufa imeanza kukatik ,wameziba ili kuficha,

    • @masoudjuma8169
      @masoudjuma8169 2 หลายเดือนก่อน +1

      Maeneo unayoona rubber nyeupe ni expansion joints, kitaalamu jengo kama ilo kubwa huwa linagawanywa .

  • @nasrasheikh1020
    @nasrasheikh1020 2 หลายเดือนก่อน

    Soko linahitaji usafi, soko ni zuri masha a Allah ila tutaweza kulitunza?

  • @alihabib2270
    @alihabib2270 2 หลายเดือนก่อน

    Nadhani pamoja na dhamira nzuri ya serikali katika kufanikisha biashara kwa soko la kwerekwe lakini kuweka Shemu ya machinjio sokoni naona kwa kuanzia inaweza ikaonekana ni sawa ila kadiri machinjio yanaendelea nahisi itakuwa mzigo kwa wananchi na wafanyabaishara sokoni

  • @salimsalim-ut4jk
    @salimsalim-ut4jk 2 หลายเดือนก่อน

    Mm mungekuja na uchambuzi ni namna gani na kwa kipindi gani fedha zilizojengewa soko zitarudi hp ningewasifu lkn pia siwalaumu kwa kua sisi pengine hatujawahi kuona vitu km hivi lkn pia nikumbushe tu kuwa vitu km hivi maranyingi hufanywa na makampuni na sio serikali, nakuombeni mutuletee na uchambuz wa hela iliyotumika na vp itarud

  • @AbdallaAli-x8t
    @AbdallaAli-x8t 2 หลายเดือนก่อน

    Mh mwinyi wewe ni mtu na nusu big up Mr president.

  • @abubakarkhamis3884
    @abubakarkhamis3884 2 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah

  • @DoctorBondia
    @DoctorBondia 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa hali hii hakika Mwinyi anastahiki kupewa tena mitano ❤

    • @ibrahimame9805
      @ibrahimame9805 2 หลายเดือนก่อน

      Mitano kidogo akae mpaka kiama.

    • @DoctorBondia
      @DoctorBondia 2 หลายเดือนก่อน

      @@ibrahimame9805 Duh! Sasa hiyo itakuwa chuki

    • @DoctorBondia
      @DoctorBondia 2 หลายเดือนก่อน

      @@ibrahimame9805 Allah amhifadhi dhidi ya maadui wa Aina zote, na ampe afya njema zaidi azidi kuijenga Zanzibar. Aaamin 🤲

  • @yahyahamisi2038
    @yahyahamisi2038 2 หลายเดือนก่อน

    Tanganika ziiiiiii 😂😂😂😂 Kadiba mmmaa 👍👍👍👍

  • @IdiKondo
    @IdiKondo 2 หลายเดือนก่อน

    Daa ingekuwa msikiti Ingependeza zaidi

    • @salimkhamis3638
      @salimkhamis3638 2 หลายเดือนก่อน

      Kuna msikiti mkubwa unajengwa hapo karibu na soko

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 หลายเดือนก่อน

    Walisema mabati leo sijui watesemaje

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 2 หลายเดือนก่อน

    Viazi mbatata vinakawaida ya kubeba tope,kwaivo vibaraza vyake viwe uko second floor,sio mbele ya mapokezi apo mwanzo

  • @IbrahimSallim-xd4lx
    @IbrahimSallim-xd4lx 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah 😍❤

  • @hamicpina1151
    @hamicpina1151 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tengeza viwanda vpi kuusu bandar hivi ND tunataka maana watu watapata ajira pasipo mfano na nd maana watanganyika wanajuwa ukijenga bandar na viwanda Zanzibar itakuwa kimaendeleo na sera ya ccm kuizamishaza Zanzibar kimaendeleo kwa iyo mtatubabaisha kwa vitu kama ivo xjuli masoko na Barbara ila mujuwe tuu viwanda vy samaki vy mwani vy matumbawe vya karafuu vya makonyo na pamoja na bandar ndio tunahitaji

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 2 หลายเดือนก่อน +2

    ule msikiti mliouvunja ujengeni jamaaniii apo kwerekwe

    • @ramadhanngwilili6261
      @ramadhanngwilili6261 2 หลายเดือนก่อน

      Jengo kuwa kama hili haliwezi kosa Sehem ya Kuswalia kaka

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jusa yuleeeee,kama namuona hivi

    • @RioIpo
      @RioIpo 2 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣 kazi yake kukosoa tu

  • @user-ho1ze2jb5c
    @user-ho1ze2jb5c 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba mtangazaj tumia kiswahili sababu wazaa wite hatuelewi lugha ya kiengerez na tuna hski ya kupata habar

    • @hassanmakame4382
      @hassanmakame4382 2 หลายเดือนก่อน

      Kwan anaongea English hapo😅

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 2 หลายเดือนก่อน +1

    Msikitini vp jama kumbukeni hiyo ninyumba ya Allah na nyinyi mumeibomoa na mpaka sasa hamjafanya chochote

  • @bongo39
    @bongo39 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah kama oman mwinyi anafanya mabadiliko makubwa sana

  • @alhajjkassim2648
    @alhajjkassim2648 2 หลายเดือนก่อน

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 2 หลายเดือนก่อน +1

    Zuri

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 2 หลายเดือนก่อน

    Tuko hapa hapa

  • @mahammadanhag4445
    @mahammadanhag4445 หลายเดือนก่อน

    Viongoz wanajtaid tuwape ongera za bure

  • @user-un3hr5kh6z
    @user-un3hr5kh6z 2 หลายเดือนก่อน

    Tunahitaji viwanda zaidi mwinyi usitumbaze sisi mitaji hatuna ila nguvu na akilin tunayo

  • @MzeeMwadini
    @MzeeMwadini 2 หลายเดือนก่อน

    Doky MWINYI vunja HOROFA hapo mbele ya SOKO

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 2 หลายเดือนก่อน

    Kodi je itakuaje maana tulisikia ya dara jani?

  • @sule17942
    @sule17942 2 หลายเดือนก่อน

    Mwinyi mtu sana

  • @moodyman7588
    @moodyman7588 2 หลายเดือนก่อน

    Vp wanyonyoa kuku watapata maji yamoto. Au waje na majiko yao ?

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hio hela bilioni 35 hebu inane tena wasema tu hio mpesa soko hii no kwa pesa hio no

    • @Khamis_Waya
      @Khamis_Waya 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 so mchezo ila wao ndo walojemga kwaio cc wacha tukafanye kaz lakin cio pow ata kidogo.

    • @KhatibSalehKhatib
      @KhatibSalehKhatib 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe nimpizani hata ukipauka Domo lako sisi kazii tunsiyoons

    • @RioIpo
      @RioIpo 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@KhatibSalehKhatib Kazi yao kubwa ni kukosoaa

  • @abuuzahra-fc2jg
    @abuuzahra-fc2jg 2 หลายเดือนก่อน

    Jamn Pemba mbona Iko Hoi

    • @RioIpo
      @RioIpo 2 หลายเดือนก่อน

      Unguja ndio kitovu cha uchumi so wacha kuekezwe..

  • @moodyman7588
    @moodyman7588 2 หลายเดือนก่อน

    Lift hamna

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 2 หลายเดือนก่อน

    Ila zuri lkn pesa hio no

  • @AnkallyPandu
    @AnkallyPandu 2 หลายเดือนก่อน

    Vipi kuhusu usafi maana hilo soko la kitaifa

  • @saidaly8201
    @saidaly8201 2 หลายเดือนก่อน

    Limghrimu Milion 30 au nimeskia vbya tu hebu rejea ndg sjaelwa hapo

  • @jombadulla
    @jombadulla 2 หลายเดือนก่อน +1

    limepasuka wameziba raba nyeupe,mkifik jamani angalieni

    • @RioIpo
      @RioIpo 2 หลายเดือนก่อน

      Muongo 😊

  • @AhmedAhmed-z6m7t
    @AhmedAhmed-z6m7t 2 หลายเดือนก่อน

    Muwaweke watu watakaosafisha

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa vikuta hivyo ninavyoviona hahahahaha kazi ipo vitawashinda tu hao wafanya biashara

  • @SleimanMsellem
    @SleimanMsellem 2 หลายเดือนก่อน

    Uchawa tuu ubunifu aaah