MOTO RAIS ASEMA HABAR NJEMA PEMBA MKATABA UMESAINIWA KUJENGA KIWANJA CHA NDEGE WATALI WAANZE KUEKEZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
    #Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

ความคิดเห็น • 57

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 2 หลายเดือนก่อน +8

    Nini tena mnataka? Mpeni haki yake Dr Mwinyi, mimi naweza ifananisha na Serikali ya awamu ya kwanza katika speed yake ya maendeleo

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 2 หลายเดือนก่อน +1

      Shida mamlaka kamili ya Zanzibar ndio kila kitu kwetu sisi Wazanzibari hayo yote yatakuja baada ya mamlaka kamili lakini pia Upinzani wamesema Mwinyi anajenga ila pesa ni nying kuliko thamani ya kitu mfano uwanja wa amani wataalamu wamesema ni billion 17 ila cha ajabu uwanja umetumia billion 100 na upumbavu 😢

    • @Bridge2024
      @Bridge2024 2 หลายเดือนก่อน +1

      Sahihi kaka tumuombe Dua mungu azidi kukubariki Zanzibar na WA Tanzania kwa ujumla.

    • @MrKhatibu
      @MrKhatibu 2 หลายเดือนก่อน

      @@OmerSuley-gl7go mimi huwa siyatii manani maneno ya wanasiasa.

  • @LUBAINAMOHDRAJAB
    @LUBAINAMOHDRAJAB 2 หลายเดือนก่อน +5

    Wasitazamwe watalii tu bei zipunguzwe za ndege nasie tupande tutumie ivo viwanja. Ukienda marekani ndege ni usafiri wa kawaida.

  • @Dadydadonmiki-dg3nl
    @Dadydadonmiki-dg3nl 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera Sana Dr Hussen mwinyi.

  • @sharifamuhd4554
    @sharifamuhd4554 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ww ni mtu mzuri sana.Tuko pamoja nawe.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 หลายเดือนก่อน +6

    Jamani lakini Wananchi bado Maskini sana hapo Zanzibar Vitu ghali mishahara midogo. Pia Wananchi wanataka washughulikiwe pia kabla ya Watalii.

    • @afropanorama4730
      @afropanorama4730 2 หลายเดือนก่อน

      sasa bila ya vyanzo vya mapato uwo mshahara na ayo mambo mengine yataboreka vipi,au atoe pesa mfukoni mwake

  • @user-bi1tz8jp9f
    @user-bi1tz8jp9f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mtu wa maana kabisa Dr.mwinyi ❤❤❤

  • @HudnaRashid
    @HudnaRashid 2 หลายเดือนก่อน

    Waajirin vijana waloenda gso uwanja wanzibar abeid amani karume

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 2 หลายเดือนก่อน +2

    Shida mamlaka kamili ya Zanzibar ndio kila kitu kwetu sisi Wazanzibari hayo yote yatakuja baada ya mamlaka kamili lakini pia Upinzani wamesema Mwinyi anajenga ila pesa ni nying kuliko thamani ya kitu mfano uwanja wa amani wataalamu wamesema ni billion 17 ila cha ajabu uwanja umetumia billion 100 na upumbavu

    • @mohammedhamad9392
      @mohammedhamad9392 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe humu haumo tulia waachie wenyewe yako macho tu.shuqran

  • @salwasuleiman3525
    @salwasuleiman3525 2 หลายเดือนก่อน

    Allah Alete wepesi kila hatua nasisi tupate airport tufaidike hongera mh Rais

  • @Shdy2569
    @Shdy2569 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tunakuamin raisi wetu mwenye macho haambiwi tuzama

  • @user-lp1gh7im3f
    @user-lp1gh7im3f 22 วันที่ผ่านมา

    Nchi gani?

  • @HudnaRashid
    @HudnaRashid 2 หลายเดือนก่อน

    Waajirin vijana waloenda gso uwanja wanzibar abeid amani karume 7:32

  • @saidal-hind5338
    @saidal-hind5338 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wafanya kazi 600 wazanzibar ni 0

  • @utaani1
    @utaani1 2 หลายเดือนก่อน

    Tunataka barabara, maji, umeme, uwanja wa ndege na bandari, na kazi za Zanzibar wapewe wazanzibar tu

  • @AbdallahSalim-is3db
    @AbdallahSalim-is3db 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona waongeaji wengi hawana lafughi za kizanzibar hivi wazenjibar washamaliza kuhama kuna watu wapya wanaishi huko sasa ?

  • @HudnaRashid
    @HudnaRashid 2 หลายเดือนก่อน

    Uo uwanja ata ukijengwa wazanzibar hawapat ajira.tuna mfano wa uwanja wa ndege wa abeid amani karume kabla hajawa rais mwinyi kuwa rais vijana zaid ya sabiini wazanzibar walifanya usaili na wakafika Hadi gso kipnd Cha SheIn alipoingia tu urais vijana wale hawakuitwa Tena maskin Hadi Leo wapo mtaaani na haya yaseme

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 2 หลายเดือนก่อน

    Mtawadanganya haohao majunju wenzenu wasio jielewa.. pumbaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @JidawiHaji
    @JidawiHaji 20 วันที่ผ่านมา

    Ww ni murongo sana

  • @IsmailJuma-zb5ni
    @IsmailJuma-zb5ni 2 หลายเดือนก่อน +1

    Maneno matam vitendo sasa ndio mtihani

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 2 หลายเดือนก่อน

    Ni kwa ajili ya watalii sio kwa ajili yetu

  • @ahangfaith1180
    @ahangfaith1180 2 หลายเดือนก่อน

    Asnt kiongoz wng mng akupe umr mrefu ufanikishe yakher jmn nasi wapemba tuonekane

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 2 หลายเดือนก่อน

    Hayo ni kwamaslahi yenu sio Kwa wazanzibar..

  • @khamisjuma2947
    @khamisjuma2947 2 หลายเดือนก่อน

    Utachukua miaka mingapi ujenzi huo 20

  • @salumabdallah2990
    @salumabdallah2990 2 หลายเดือนก่อน

    Pesa hatujalipwa mpaka leo😂

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 2 หลายเดือนก่อน

    Mkataba mara hii sh ngapi apoo tunaingiza😊

  • @khamisjuma2947
    @khamisjuma2947 2 หลายเดือนก่อน

    Tatizo utekelezaji

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 2 หลายเดือนก่อน

    tupeni mikopo vijana hatuna mitajiiiiiii

  • @user-lp1gh7im3f
    @user-lp1gh7im3f 2 หลายเดือนก่อน

    Tushazowea uwongo na kuuliwa

  • @jumamuhd620
    @jumamuhd620 2 หลายเดือนก่อน

    Au kulani pesa kisha mujenge uwanja wa ndege km uwanja wa mpira

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe sharif umezichukua ardhi zetu

  • @shaabanmakame2690
    @shaabanmakame2690 2 หลายเดือนก่อน

    RAISI WETU TUNAHITAJI MAMLAKA KAMILI KWAZA AYO MAMBO MENGINE TUTAKUUNGA MKONO BAADA YA ILO AMBALO MUHIMU KULIKO AYO UYASEMAYO

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 2 หลายเดือนก่อน

    MAJENGOAJENGO MAJENGO TU, NDIO KIPAUMBELE. WANANCHI HOI NA WAWEKEZAJI NDIO KIPAUMBELE👁️👁️

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 2 หลายเดือนก่อน

    Narudi nyumbani

  • @Abdul-WahidMohamed
    @Abdul-WahidMohamed 2 หลายเดือนก่อน

    Mradi wa Pemba umekwama kwanini?

  • @Pemba680
    @Pemba680 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ayo maneno tumeyazoweya

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 2 หลายเดือนก่อน +2

      Sio kwa Hussein Mwinyi umeyazowea kwa kina Babu shein na genge lake ,kamata moja muhimu kuwa Barabara ya wete chake inakamilika mwisho wa mwaka huu na Ile ya chake mkoani itakuwa tayari Mkandarasi yupo kazini

    • @SeifAllah-ij7uw
      @SeifAllah-ij7uw 2 หลายเดือนก่อน

      Karithi kutoka kwa walopita manen

    • @Pemba680
      @Pemba680 2 หลายเดือนก่อน

      @@R10_Rajab Mzee izi stori za Barabara ya mkoani na Airport zipo kitambo sanaaa,huu ni uongo ambao wapemba wamechoka nao

    • @user-wh3jz2ji2i
      @user-wh3jz2ji2i 2 หลายเดือนก่อน +1

      M naomba Kila ck Pemba ijengwe ili tusidhalilike kwenye miji y watu mana Kila ck wapemba tunawaza kuihama Pemba yetu japo tunaipenda ila hakukaliki kwa uhaba w ajira n kazi z kujishuhilidha hakuna inatulazimu tuihame ili maisha ytu tuyanusuru

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@Pemba680 Nakwambia tena huo uongo mlizoea kuambiea na Shein na genge lake sio Hussein Mwinyi .Huyu Raisi wa sasa ni wa kipekee kwa Zanzibar hajawahipo kutokea kabla ,ukiachana na Karume Baba

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sitaki hata kuskiliza naona pumba tu

  • @dulapele7868
    @dulapele7868 2 หลายเดือนก่อน +1

    cc wapemba tunanjaa hatutak majengo

  • @islambinomar8716
    @islambinomar8716 2 หลายเดือนก่อน

    Maneno mengi kama bondia

  • @NassorOmarDadi
    @NassorOmarDadi 2 หลายเดือนก่อน

    Wizi mtupu

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 2 หลายเดือนก่อน

    Hatutaki utalii badilisha sera kilimo vipi mbona hujasema

  • @hamicpina1151
    @hamicpina1151 2 หลายเดือนก่อน

    Viwanda hujengi unatubabaisha karibu na uchaguzi ile bandari hadi leo maraix wote hamfanyi la màana mnatubabaisha tuu tumechoka vijana hatuna kazi xjuw mnawaza kuwa sisi. mazuzu ccm hamna sera ixpokuwa madaraka tuu ndo mnayoyapenda

  • @HudnaRashid
    @HudnaRashid 2 หลายเดือนก่อน

    Waajirin vijana waloenda gso uwanja wanzibar abeid amani karume

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 2 หลายเดือนก่อน +1

    Airport inajengwa bila ya kutangazwa tenda wala baraza la wawakilishi haijatajwa kwenye bajeti ya wizara ya mawasiliano kuna wizi wa mamilioni hapo wananchi wanabebeshwa mizigo ya madeni watakufa hawajamaliza kulipa mwanamkubwa na jamaa zake ndio wanafaidika Zanzibar limekua shamba la bibi