HALI YA HEWA YAZUA TAHARUKI BANDARI YA ZANZIBAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 มี.ค. 2018
  • HALI YA HEWA MBAYA ILIOAMBATANA NA MVUA KUBWA JIONI YA LEO 15. MARCH YAZUA TAHARIKI KWA ABIRA WA KILIMANARO V AMBAYO IMESHINDWA KUTIA NANGA BANDARI YA MALINDI NA KULAZIMIKA KWENDA KUTIA NANGA KATIKA ENEO LILILO JENGWA KISASA LA HOTEL YA VERDE HUKO MARUHUBI
    ~-~~-~~~-~~-~
    Please watch: "LIVE:SHUHUDIA WAZIRI MKUU AKIWASILI UKEREWE"
    • LIVE:SHUHUDIA WAZIRI M...
    ~-~~-~~~-~~-~ #hakikahiinifahariyetu #hakikahiinifahariyetu

ความคิดเห็น • 13

  • @saidaliy1567
    @saidaliy1567 4 ปีที่แล้ว +1

    Subhana llah polen sanaaaa wana zanzibar

  • @binkhamisel-sherazy4165
    @binkhamisel-sherazy4165 6 ปีที่แล้ว +6

    Sababu ya kushindwa kufunga gati ni kuwa pale gatini kuna vyombo vimekaa pale baada kukata nanga na kusukumwa na upepo hadi gatini boti ikashindwa kwenda kufunga pale. Boti ilielea kwa muda wa saa nzima nahodha na timu yake wakiwasiliana na uongozi wa bandari huku wakiwatuliza abiria kuwaambya wako Salama. Na sababu za kufunga huko ni kupata Usalama wa boti Na abiria wake. Hakukuwa na taharuki kubwa kwani Mabaharia walijitahidi kutekeleza majukumu yao. Wanahitaji pongezi kubwa na Khasa Kijana anaetangaza kwa Ustadi mkubwa Wa lugha na Ufasaha wa hali ya Juu. Mungu ambariki mmiliki wa Azam pamoja Na Mabaharia wote waliofanya kazi Kubwa ya Kutuliza na kusaidia abiria . Kama yule wa VIP AKISEMA "USALAMA WENU KWANZA Pamoja na Chombo chetu kheri mchelewe kufika nyumbani ila mufike Salama"

  • @saumukijazi457
    @saumukijazi457 5 ปีที่แล้ว +1

    Poleni wapendwa,

  • @rahimarajab4306
    @rahimarajab4306 6 ปีที่แล้ว +2

    Poleni

  • @gsamugood3608
    @gsamugood3608 4 ปีที่แล้ว

    Uyu mwandishi kipaji mungu amueke

  • @merryn4891
    @merryn4891 5 ปีที่แล้ว

    poleni sana

  • @harunamohamed3870
    @harunamohamed3870 6 ปีที่แล้ว

    subhana Allah

  • @faizhamad2006
    @faizhamad2006 6 ปีที่แล้ว +2

    Basi bora huyo kuliko wale wa zbc utacheka wallahy wapumbavu gani sijui

  • @abdulganja1427
    @abdulganja1427 6 ปีที่แล้ว

    Rama uko wapi siku hizi mbona hatukuaikii Radio Swahiba

  • @nassirforlan2400
    @nassirforlan2400 4 ปีที่แล้ว

    tuombeni dua jamn

  • @MBAGOTV
    @MBAGOTV 6 ปีที่แล้ว

    vipi abiria wako salama?

  • @w4058
    @w4058 2 ปีที่แล้ว

    Mahanika sio hamanika

    • @rastafare878
      @rastafare878 2 ปีที่แล้ว

      Mi nahisi hamanika ndio sahihi Ila sina uhakika sana