TIZAMA MASHINDANO YA BOAT KILIMANJARO( 8) VS ZANZIBA(3) IPI INA SPEED

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2023
  • #tundurutvonline #azammedia #azammerine#zanzibar #zanfastfery#zanin#dareskam#dartozanzibar#clouds #habarika #wasafi #wcb #itvlive #matukio #

ความคิดเห็น • 63

  • @AnkallyPandu

    Nataka ziondoke sawa sawa ndo hapo utajua boti ipi ina speed sio moja itangulie kwa madakika,

  • @Lalaznation_609

    Zan first ferry ✌🏻💯

  • @user-vh6hh6ul2h

    Falcon anatembea na speed 35

  • @user-zf8gn9xv8l

    Mh mashindano kwenye atar mnazo kweli

  • @mrfauzy8226

    Umeshindanisha boat au mawimbi

  • @kassimomar7589

    Zanzibar 3 Haina mpinzani

  • @adamseif535

    Nyinyi mnasema tu znz 3 yaonesha hamuijui mwaisikiaa

  • @omarzubeir3907

    Hapa inaonyesha wazi kuwa k8ndie mshindi kwakimya alichokionyesha mpiga camera

  • @IBRAYOGamesTZ

    Kiuhalisia upo hivi Boat ya Zanzibar 3 haiyendi Dar bali Route yake Zanzibar to Pemba kisha inaenda Tanga afu inarudi Tena pemba ndipo inakuja Zake Zanzibar na Kilimanjaro 8 Route yake Zanzibar to Dar Dar to Zanzibar kama vile Zanzibar 1&2 pia Route Zake Zanzibar to Dar Dar to Zanzibar sas sijui wew Umepanda Zanzibar ipi apo

  • @utaani1

    Hii inaweza kilimanjaro inaweza mkondo wa Pemba

  • @user-zh8ho8yj6b

    Hakuna boti inayompiya k8 kwasasa imeletwa kwa ushindani tu iyo

  • @mosaidi2633

    Tu nahitaji Pemba safari ya saa saa moja 1 tu

  • @IdirisaAli-wm1sv

    8 dume speed boat

  • @user-qh4wx6pd6t

    Ipi sio hipi

  • @smilevideocreatorsznz

    Wacha ujinga wewe, ZANZIBAR hakuna mashindano ya boti

  • @awadhsalim2680

    Ushamba tu! Unataja ushindani alafu ata hauonyeshi vipi mumeshindana

  • @kitosio

    Kwa zinazoenda Dar. Tatizo hawa Zanzibar 1 hawataki kuzipita boti za Bakhresa zama hizi sio kwasababu zinapitwa. Watamtia Aibu Bakhtesa. Uhalisia hizi Boti Kijani ni hatari sana

  • @dudemussa6715

    Haya, tumeona, nani ndiye mshindi? Amepewa kikombe chake?

  • @saidseif7325

    Wanashindanisha vifo

  • @hajikhatibhaji7162

    Namaanisha pantoni