UPEPO MKALI WASITISHA SAFARI ZA BOTI KWA MUDA ZANZIBAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ม.ค. 2022
  • UPEPO MKALI WASITISHA SAFARI ZA BOTI ZANZIBAR
    Vyombo vya usafiri baharini asubuhi ya leo (Jumamosi Januari 22, 2022) vimelazimika kusitisha safari zake kwa muda baada ya kuwepo kwa upepo mkali na kusababisha bahari kuwa na mawimbi makubwa
    Majira ya saa 1:30 harakati za usafirishaji Abiria kutoka Zanzibar kuelekea Dar-es-salaam zilisita baada ya kuwepo kwa upepo mkali ulianzia mapema ya Alfajiri ya leo na hivyo kulazimika boti zilizokuwa ziondoke saa 1:15 Asubuhi kusitisha safari hizo hadi saa 2:45 Asubuhi
    Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri Baharini Zanzibar Shekha Mohammed amesema Mamlaka hiyo imeamua kuzuia Safari hizo kwa muda ili kuzingatia usalama wa abiria na vyombo hivyo
    #Wnews Powered by @wasafibetofficial

ความคิดเห็น • 14

  • @SalumMzee-cw8do

    madhambi yamekuwa mengi Allah anatukumbusha uchafu umekithiri turudie kwake tumuombeni allah atuepushe na hili jana

  • @lastborn7810
    @lastborn7810 2 ปีที่แล้ว +8

    Huo upepo jana tuliupata sie oman kuanzia Saa 11 alfajiri umeisha leo asubuhi siku nzima upepo na saivi jioni huku ushaanza tena na baridi hatari

  • @emmanuelopiyo6408
    @emmanuelopiyo6408 2 ปีที่แล้ว +3

    Mother Nature

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuu upepo kila pahala

  • @nassorrashid5288
    @nassorrashid5288 2 ปีที่แล้ว +1

    Silink naona ndio ilikuwa inaingia Allah amewanusur na bahar ya Nungwi

  • @catherinechifebe5800
    @catherinechifebe5800 2 ปีที่แล้ว +2

    mlipuko wa volcano huko Tonga PASSIFIC UMELETA HAYA....FUATILIENI..KULE WALIPATA SUNAMI

  • @husseinabdul7948
    @husseinabdul7948 2 ปีที่แล้ว

    Watu wengi yanapo tokea haya shetani uleta hila z kuwaonyesha watu nimajanga ya asiri n.k nakuanza kutafuta njia za kuyamaliza lkn atufanyi mazingatio na kurejea kwa Allah s.w.t machafu mangapi yanafanyika mabaharini ktk fukwe za bahari ndugu zangu tureje tuswali saana istiqifaru za kutosha n.k

  • @stn4873
    @stn4873 2 ปีที่แล้ว +1

    Aaaah mambo ya maji sinaga shobo nayo.

  • @idealxtreme_9997
    @idealxtreme_9997 2 ปีที่แล้ว

    Mang'anyu😱

  • @udiabdullah5261
    @udiabdullah5261 ปีที่แล้ว

    I have heard that this boat for Zanzibar 1 and Zanzibar 2 does not work because it is faulty, now I do not understand this issue if it is true or it is just people's propaganda

  • @herotz7935
    @herotz7935 2 ปีที่แล้ว

    KARIBU PITA NA HAPA TOA STRESS GUSA HAPA

  • @najashrk3738
    @najashrk3738 2 ปีที่แล้ว

    Sasaiyo ishuijekukutokeya pale maeneoyetu ya Nungwi 😂😂 lazima ukojowedagaa kudadadeki

  • @herotz7935
    @herotz7935 2 ปีที่แล้ว

    KARIBU PITA NA HAPA TOA STRESS GUSA HAPA

  • @herotz7935
    @herotz7935 2 ปีที่แล้ว

    KARIBU PITA NA HAPA TOA STRESS GUSA HAPA