ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Alhamdulillah angalau na sisi tumeekewa boti. Mana kwa miaka mingi haipo. Sijui sisi tunaonekana hatuna pesa?? Ila Allah kafanya wepesi.
Myama aina ya chita anapita sogea😂😂
Jmn mnatuchokoza wa pemba eee 😂 ndizi na kuku tunapakia kwa silink😂😂😂
Hii py ni Dar es Salaam ama au?
vip na tanga jamani
Wapemba wnacheka tu apo ila humo hupandi na ndizi wala kuku
Ya abiria au ya uvuvi?
Zingadumbukia hizo simu hashuo likaisha😂
Ningeshauri Waruhusu kuchukua kuku mwisho 2 tu ila wavalishwe Pampas tu
Hako kaboti hakayumbi?
mafia au
Inaenda Pemba pia?
Natamani sana hii boat iwe inatoka asubuhi toka Zanzibar kuja dar ili zchuane na kilimanjaro 8
Madame maelezo zaidi tafadhali, imeanza kuja huko mafia ama?
Bei bei gani kutoka unguja mapaka tanga