Boti Yenye kasi zaidi Tanzania Yawasili Dar es salaam itatumia dakika 70 safari ya Zanzibar na Dar

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2020

ความคิดเห็น • 113

  • @zainabujuma1231
    @zainabujuma1231 ปีที่แล้ว

    Huduma zenu nzuri ira punguzeni mwendo Mana Maji hayana ufundi tafadhari

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 3 ปีที่แล้ว

    Daaah maashaallah Allah awaazidishie mafanikio mtuletee boti zaidi ya 4 ili kuwepo na punguzo la nauli huyu ndugu yetu Bakhresa anatukwamisha Wazanzibari wenzake

  • @hassanalawy4325
    @hassanalawy4325 4 ปีที่แล้ว +8

    Alhamdulilah Mkombozi kaja,,,,Bakhresa anazingua au wafanyakazi wanamuangusha

  • @kebo2155
    @kebo2155 4 ปีที่แล้ว +4

    Duh hizi neema si kawaida.. Mashaallah.. 🇹🇿💯💯

  • @babawawili3139
    @babawawili3139 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah

  • @takdirmahmoud
    @takdirmahmoud 4 ปีที่แล้ว

    Duh,, Zanzibar raha

  • @newslive9253
    @newslive9253 4 ปีที่แล้ว +3

    Du hii nomaa

  • @felistamaembe4895
    @felistamaembe4895 3 ปีที่แล้ว +1

    Haya ndio maendeleo ya karne ya 21. Sio kutuletea treni zilizotumika India 1960.

  • @peterjeremiah2220
    @peterjeremiah2220 ปีที่แล้ว

    Haha ikowazi braza

  • @peterjeremiah2220
    @peterjeremiah2220 ปีที่แล้ว

    Hataree

  • @abuunihla9229
    @abuunihla9229 4 ปีที่แล้ว +1

    Maashallah

  • @khamisrashid9020
    @khamisrashid9020 4 ปีที่แล้ว

    Iko pw sana

  • @kherzanini8404
    @kherzanini8404 4 ปีที่แล้ว +1

    Ipo saw

  • @udiauto2819
    @udiauto2819 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah Zanzibar 1

  • @jesusnetworkministry
    @jesusnetworkministry 4 ปีที่แล้ว +1

    Aaaah hapo usipime mzee

  • @vincentmokenye4465
    @vincentmokenye4465 4 ปีที่แล้ว

    Ni shidaaaaaaa

  • @raskatili5431
    @raskatili5431 3 ปีที่แล้ว +1

    Bei yake shilingi ngapi?

  • @mamgasper1954
    @mamgasper1954 4 ปีที่แล้ว

    Hyo htr

  • @stevoovlogs8645
    @stevoovlogs8645 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwahyo wanaleta battle na kilimanjaro

  • @Didah-hf4pw
    @Didah-hf4pw 4 ปีที่แล้ว +2

    Mwendo kasi si mzuri wazee watashindwa huwo mwendo