ANGALIA JINSI WANAVYOOKOLEWA WATU WANAOZAMA MAJI NUNGWI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2019
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    #Habari #KtvTzOnline
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Masoud Maganga
    cc: Hairath Haroub
    cc:Juma Maulid
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    - Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

ความคิดเห็น • 102

  • @mirrydauddaud4772
    @mirrydauddaud4772 ปีที่แล้ว +2

    Eeeeh, mwenyezi mungu walinde wasafiri woteee🙏🙏🙏

  • @kibabemuhidine8527
    @kibabemuhidine8527 4 ปีที่แล้ว +3

    Mafuta Fisherman. Nonge moja la demonstration. Great!

  • @user-dz4ob1xj8g
    @user-dz4ob1xj8g 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana ... Tutafika INSHAALLAH

  • @tinagorges3741
    @tinagorges3741 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah msife moyo vizuri mmefanya

  • @brownjumbe9
    @brownjumbe9 4 ปีที่แล้ว

    Maashaallah mafunzo mazuri . ila kwenye kujua tukio limetokea wp ni changamoto kunatakiwa vifaa maalum . tutafika mbali tusikate tamaa .

  • @issamkubwa9349
    @issamkubwa9349 4 ปีที่แล้ว

    Safi Sana

  • @limajblessed7132
    @limajblessed7132 2 ปีที่แล้ว +1

    Mm kama lifeguard nchi ya Dubai najuwa tuko nyuma saana kwa kueke life saver jwa bahari africa kama kutoa kzi na pia kueka usalama kwenye bahari hongereni saana kwa hili

  • @mohamedbinfadhil1396
    @mohamedbinfadhil1396 4 ปีที่แล้ว

    Mwanzo mgumu hongereni sana

  • @abuumo9637
    @abuumo9637 4 ปีที่แล้ว

    Vzr sana

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 ปีที่แล้ว

    Eee mungu walinde wanao safir katka usafir wa main🙏

  • @hamadsaidi9376
    @hamadsaidi9376 4 ปีที่แล้ว

    Yes I like it

  • @aminasalum1954
    @aminasalum1954 4 ปีที่แล้ว

    Mungu nimwema

  • @fatmamohamed1099
    @fatmamohamed1099 4 ปีที่แล้ว +1

    vzur

  • @aminasalum1954
    @aminasalum1954 4 ปีที่แล้ว

    Daaa asee mambo Geographi

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 4 ปีที่แล้ว

    Nzuri

  • @ismailabdallah6429
    @ismailabdallah6429 4 ปีที่แล้ว

    Mdobwedo uhkk mzee baba

  • @abdulhakim4650
    @abdulhakim4650 5 หลายเดือนก่อน

    Wana vurunga hawaja juwa uwokozi watawapeleka wasiwo juwa bahari
    Tafuteni wajuwawo muwape ofisi wazi simamiye vizuri musiwazonge wanachi

  • @omarbavicha1674
    @omarbavicha1674 3 ปีที่แล้ว

    Good

  • @jumailyass9308
    @jumailyass9308 4 ปีที่แล้ว

    Mbona Kama bongo move

  • @zanzibarsmzenji
    @zanzibarsmzenji 4 ปีที่แล้ว

    Bonge la movie flani hivi.
    Great job

    • @safiyajussa9420
      @safiyajussa9420 4 ปีที่แล้ว

      😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣

  • @nassorkhatib8645
    @nassorkhatib8645 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii itasaidia sana.. sharo to kwenu mabaharia

  • @aminasalum1954
    @aminasalum1954 4 ปีที่แล้ว

    Mfyuuuu kumbe mpo kazin

  • @yahasalel-sheibany5403
    @yahasalel-sheibany5403 4 ปีที่แล้ว +2

    Mabaharia ss wak free hat kweny maji, ardhin washashinda 😂

  • @alkhanmakame332
    @alkhanmakame332 3 ปีที่แล้ว

    Serious hamfanyi kwa wakati ikisha mnajisifu mafunzo mafunzo mafunza acheni unafiki uwo,,, ikitokea serios mfike kwa wakati sio mnakuwa mnacheza na wake zenu ata mukienda kweny tukio wote washakufa

  • @qwervcvh202
    @qwervcvh202 4 ปีที่แล้ว

    Me hta sjaelewa hapo man km chombo kizame sasa iv bas kuokolewa kesho 😃😃 tz yetu ban

  • @yashjuma9168
    @yashjuma9168 4 ปีที่แล้ว +7

    Walio kimbia geography . mutajiju kutoa taarifa za kisomi 😂😂😂

  • @mwalimumaandiko5565
    @mwalimumaandiko5565 4 ปีที่แล้ว +7

    Mnajua mnazingua wakati boti ikizama taarifa izo za kisomi atatoa nani wakat kila MTU anaokoa roho yake

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 ปีที่แล้ว

    Niheri muwe na mafunzo zaidi kuokoa maisha kifo cha baharini kibaya sana, heri ulale na ndio iwe kifo chako.

    • @khadijamasoud4825
      @khadijamasoud4825 4 ปีที่แล้ว

      hahahaaa jamani wanao zama waliwahi kupiga cm kisha waokowaji wamefika fasta kama kimbunga au walizani mzungu ndie anaezama

    • @khadijamasoud4825
      @khadijamasoud4825 4 ปีที่แล้ว

      uyo jama alieokolewa kama boya ndio maana hakuzama

  • @RashidRashid-se9dr
    @RashidRashid-se9dr 3 ปีที่แล้ว

    Ajali ya space ilenda

  • @alihaji7201
    @alihaji7201 4 ปีที่แล้ว +2

    Vp boat inauzwah hiyo

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 ปีที่แล้ว

    Nolwero

  • @omarmhmammed216
    @omarmhmammed216 4 ปีที่แล้ว

    Iyo mipango yenu bado ya Allah

  • @ummuhassan2268
    @ummuhassan2268 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah awlipe kheri

  • @tenten921
    @tenten921 4 ปีที่แล้ว +3

    Hizi video ni ya kutengeneza mavi nyie acheni uongo

  • @alkhanmakame332
    @alkhanmakame332 3 ปีที่แล้ว

    Uwongo mnafanya kweli kweli hamufanyi

  • @abdallahkarabai5310
    @abdallahkarabai5310 4 ปีที่แล้ว

    Ndomana siangalii bongo movi

  • @Zanzibar_quiztv
    @Zanzibar_quiztv 4 ปีที่แล้ว

    Kamani kwani tatizo nn

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 4 ปีที่แล้ว

    Mshakuwa makhanisi sasa na habari zenu za kitoto izo

  • @binsamafa6629
    @binsamafa6629 4 ปีที่แล้ว

    si wote wanaojua iyo 00 south

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe wanafundisha jinsi ya kuokoa

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 4 ปีที่แล้ว +1

    Mafunzo kwel ila hapo pamoja nakosoa sasa vip mtu yuko kwenye maji aweze kupiga sim???

  • @adilhbzanzbaryetu4307
    @adilhbzanzbaryetu4307 3 ปีที่แล้ว

    kw vle ni mafunzo cna shka nayo ila nahic kwa Tanzania bdo kdg ningeshauri mgewafanyia mafunzo km vle mtu hajui masuala ya jographia km ni mti katoa taarifa tu ndio kdg ingesaidia

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 2 ปีที่แล้ว

    Makubwa mbona inezama jozi tu Hamnaga

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 4 ปีที่แล้ว

    Mchezo wa kuingiza

  • @Muba3304
    @Muba3304 4 ปีที่แล้ว

    Hahahaha huyu mafuta chiz kweli kumbe

  • @hongeramgaya714
    @hongeramgaya714 4 ปีที่แล้ว

    By then watakua wameshazama

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 4 ปีที่แล้ว

    Hii ni true event au igizo jameni tujue

    • @ashasindi1012
      @ashasindi1012 4 ปีที่แล้ว

      Hii sio true event wapo kwenye mafunzo

  • @is-hakayussuf9981
    @is-hakayussuf9981 4 ปีที่แล้ว

    Nyiwe watu nwazima kweli nyiwe mshaoanza kuchezan akili zetu nyiwe?? Mnayatenda maji ya bahari nnyumba ndogo zenu kwamba zisituzamishe mpkaka mutakapojua 002 sauzi kwanz uko sauzi kwenyewe hakuingiliki

    • @ashasindi1012
      @ashasindi1012 4 ปีที่แล้ว

      Hii inatokea baada ya baharia wa chombo kuanza kuona ishara za ajali ,mara nyingi ndio huanza kutoa taarifa

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 4 ปีที่แล้ว +1

    Inaonekana kama wanaekti hivi

  • @suleymankham3925
    @suleymankham3925 2 ปีที่แล้ว

    Makame alpoznduka tu anaulizia boti 🤣🤣🤣

  • @upendohalisi80
    @upendohalisi80 4 ปีที่แล้ว

    Can you reapet again, kazi ya kilugha hichoo!!! Miye sitaki kbs.

  • @welcomenungwizanzibar3549
    @welcomenungwizanzibar3549 4 ปีที่แล้ว

    Sidhani kama anaweza kuzama mtu halafu akakupa maelekezo ya ramani kama ivo

    • @ashasindi1012
      @ashasindi1012 4 ปีที่แล้ว

      Inawezekana cos katika ajali kuna ambae anaweza kuogelea na hata pia unaweza kutoa taarifa mara tu baada ya kuona ishara za ajali hiyo

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 ปีที่แล้ว

    Sasa muda wote huo mazumjgumzo na vipimo hayo maji ya bahari munafikiri bwamkwe wenu atakusubirini nyie tu mufike

  • @abdulimaliksalim7251
    @abdulimaliksalim7251 4 ปีที่แล้ว

    Achani kutumalizia bando zetu mbwa nyinyi kwa video za uongo

  • @rashidbusanya7166
    @rashidbusanya7166 4 ปีที่แล้ว

    kumbe mnaturusha roho tu

  • @salmaelhinai833
    @salmaelhinai833 4 ปีที่แล้ว

    Na huyo aliozama kipisi mkifanya mashara na nyie mnazama nyote

  • @khamisjuma4691
    @khamisjuma4691 4 ปีที่แล้ว

    Himuvi.asho

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 4 ปีที่แล้ว

    Mimi nilikuwa nishaanza kulia

    • @tinagorges3741
      @tinagorges3741 4 ปีที่แล้ว

      Wewe mwepesi wakulia kumbe salma kama.miye

  • @habibuhabibuzahoromakamezahoro
    @habibuhabibuzahoromakamezahoro 3 ปีที่แล้ว

    Bwamshemeji makame simba Tano

  • @hajimakame3407
    @hajimakame3407 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni mafunzo au

  • @zenj1986
    @zenj1986 4 ปีที่แล้ว

    Yaani mbuna munatuzuga sana. Amepiga simu? Ametoa location alipo? Wakati mtu huyo alikuwa kwenye maji. Bora mungelitengeneza mnara mrefu ambayo waokozi wataweza kuangalia kwa umbali na kutumia darubini na kuwahi kuokoa. Lakini anaezama mpaka atoe location. Yaani tusidanganyike ati mtu atakwambia alipo zama.

    • @shamimkingazi8925
      @shamimkingazi8925 4 ปีที่แล้ว

      😆😆😆😆😆

    • @zenj1986
      @zenj1986 4 ปีที่แล้ว

      @@shamimkingazi8925 kweli au sio kweli

    • @shamimkingazi8925
      @shamimkingazi8925 4 ปีที่แล้ว

      @@zenj1986 huo ni mchezo tu

  • @umiy1971
    @umiy1971 4 ปีที่แล้ว

    nyie kiswahili kinawazuru hata hizo ripoti za ajali zitolewe kwa kiengereza ? mie huna nashangaa kuwa waswahili hatujioni kuwa tumesoma na tumeelewa mpaka kipite na kiengereza ,

  • @zahorrashid5459
    @zahorrashid5459 4 ปีที่แล้ว

    sasa km mnafundishana si musogee hapo karibu nanungwi.mnacheza fukweni eti mnaokoa hahahahaha hampajui nungwi nyy eee.

  • @celebratingunited4064
    @celebratingunited4064 4 ปีที่แล้ว +1

    jaman sijawai panda meli na ninaongopa hatar

    • @mohammedabdallah6390
      @mohammedabdallah6390 4 ปีที่แล้ว

      Nakupa mualiko uje zanzibar utaenjoy

    • @celebratingunited4064
      @celebratingunited4064 4 ปีที่แล้ว

      @@mohammedabdallah6390 mh mimi nahis nikipanda meli wanieke ndan nisione maji mpak ninapofika

    • @mohammedabdallah6390
      @mohammedabdallah6390 4 ปีที่แล้ว

      @@celebratingunited4064 hahahahaha usijali bhanaa maji hayasumbui unajua vile utakuwa na abiria wengine mnapiga story na wengine watoto wadogo basi hofu na woga utakutoka utahisi kawaida tu tena hutotamani tufike yaani ukae mule mule uangalie fukwe na maajabu ya Mungu

  • @algulandaalsibani265
    @algulandaalsibani265 4 ปีที่แล้ว

    Mimi nadhani itasaidia sana vizuri kwa mafunzo

  • @saheedaliali8676
    @saheedaliali8676 4 ปีที่แล้ว

    Wimbi likija huo usomi wote utafikiria roho yako tu.
    msituchanganye bnaa

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 ปีที่แล้ว

    Wajanja to wanataka kupiga hela kupitia wazungu .mana sijaskia mswahili akadumisha jambo liendelee . Na si mara wakiaanza kupewa misaada ya pesa to