ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

ZANZIBAR CITY 2024 (DRONE)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 เม.ย. 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 16

  • @salmafaraj6544
    @salmafaraj6544 3 หลายเดือนก่อน

    Mashalllah zanzibar nzuri kumbe tutakuja kutembea inshallaah

  • @hakarihamadi2466
    @hakarihamadi2466 3 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah iko vizur zenj

  • @bahatinassorali5222
    @bahatinassorali5222 3 หลายเดือนก่อน

    Nimeliona basi la uwanja wa ndege ❤

  • @alitwaqwa739
    @alitwaqwa739 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mjin umechoka na watu wake wamechoka

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah unguja imekua zahma nyingi ule utuluvu wa zamani haupo tena

  • @jumabakary2796
    @jumabakary2796 4 หลายเดือนก่อน

    Ni mji mzuri sana but still hard job need to be done,hizi barabara bado nyembamba,nafikiri wakiondoa hizo garden nakuzitanua hizi barabara Zanzibar itakuwa safi sana,,may Allah bless Tanzania to the best

  • @AnwarAli-vs9mp
    @AnwarAli-vs9mp 4 หลายเดือนก่อน

    ASALAM ALIEKUM 1 WISH WAS IN ZANZIBAR🎉🎉🎉❤❤❤

  • @AIFOSMUGOTV
    @AIFOSMUGOTV 4 หลายเดือนก่อน

    Zanzibar kunavutia ,,,,Masha Allah

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 4 หลายเดือนก่อน

    Nice county

  • @munaomar9532
    @munaomar9532 4 หลายเดือนก่อน

    Mie natamani nione sehemu za ndani migomban mpka jangombe😅

  • @akidamakida6092
    @akidamakida6092 4 หลายเดือนก่อน

    Hichi kisiwa selikari isipo jiandaa na ongezeko holela la magari itafikia wakati kisiwa kitazidiwa.. Waeke kipaimbele kwenye kuboresha public transportation... Bila ya hivyo kitawakuta kinachowakuta Dubai now
    days.

  • @Pemba680
    @Pemba680 4 หลายเดือนก่อน +1

    Fujo tupu

  • @haroubhamoud8701
    @haroubhamoud8701 4 หลายเดือนก่อน

    Video hii ukiwa nje ya Zanzibar inakutamanisha kwenu

  • @isarichard
    @isarichard 4 หลายเดือนก่อน

    Nitakuja kuoa mwarabu wa Pemba in Sha Allah. 🇿🇲🇿🇲🇿🇲

    • @ramadhanrashid1011
      @ramadhanrashid1011 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani pemba kuna waarabu

    • @Aiisha901
      @Aiisha901 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@ramadhanrashid1011😅😅😅😅swali zuri