Hotuba ya Askofu Gwajima 'iliyomvunja mbavu' Rais Magufuli bungeni
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ย. 2020
- #Bungeni #Gwajima #JPM #SpikaNdugai #Dodoma
Baada ya Rais Magufuli kutoa hotuba ya kufungua rasmi Bunge la 12, Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima alitoa hotuba ya kumpongeza Mkuu huyo wa nchi kwa maneno haya @DailyNewsDigital
Dar alieludi kupekenyu hii hotuba tujuane kwa like
Tupo wengi
Tupo wengi🎉
Nileteeni gwajima hii kaili staisahau kamwe ❤❤❤❤❤❤❤
Nimeiangalia leo tar 30/08/2021...yalikuwa maneno ya MAONO...R.I.P..JPM🇹🇿🙏🏿...Thanks God for our Late President🙏🏿🇹🇿
Hakika Dr Jpm ulikuwa jabali wa Africa kazi zako Zina kuenzi Baba
Duuu dady miss you Sana endelea kupumzika dady❣️💔😭
NILETEENI GWAJIMA NILETEEN GWAJIMA NILETEEN GWAJIMA NILETEEN GWAJIMA .BY JPM
Kifupi uongozi wa Dr. Magufuli ulikuwa na ladha isiyokinai. Alitimiza majukumu yake vilivyo Hakutuonesha uzembe hata wazembe walifanyakazi alihimiza kwa kauli ya mapambano ya kushinda kufanyakazi na kumtegemea mungu. Alikuwa faraja kubwa sana kwa nchi na kwa maendeleo ya taifa kiutamaduni. mwenyezi mungu asante kwa maisha ya Dr. Magufuli hakuja duniani kuzurura!
Haswaaa
Kabisa ndugu yangu
Kimerudi Tena kutazama .magu lala baba😭😭😭leo gwajima kasimama kwa niaba yako
Nakupenda sana Baba yangu Bishop president Gwajima. Wewe ndiye PJMaghufuli ujaye. Mungu wetu akutunze!!!!!🔥🔥🔥🔥🔥👏🏼👏🏼👏🏼
Nice one congratulations to gwajima as one of good speaker in the parliament
I love you bishop gwajima unaongea kwa roho ya mungu thanks mungu akubariki❤️🩹❤️🩹🥰 we love you bishop
hakika ww gwajima sio mnafiki ata leo magufuli hayupo lkn bado unamuenzi kwa kukataa chanjo hongera mzalendo wa kwel
Kweli udhairi
Jembe letu baada ya jp
Dah walio mkumbuka Magufuli siku ya leo gonga like.... 25/12/2021
ira nipengo tunaumia rakini nimaisha nasis tutaiacha Dunia vizuri havidum
Kabisaaa sababu ya CCM kupata wabunge wengi mno ni kwasababu wananchi wanaimani na MAGUFULI MUNGU ATUBARIKI SANA
Job ndugai kumbuka ulivyo nafsi kuongea gwajima wakati JPM Leo mmemgeuka kweliii unafiki umetawala tz
Honera kwa speech nzur mhshimiwa gwajima
Daa mungu Amuweke magufuli pepon Amin
Jpm utakumbukwa
Hotuba iliyokuwa imejaa hekma na busara za kutosha Asante sanaaa Ni bishop gwajima
mh.samia angalia hii clips ,na Mungu wa mbinguni atakubariki
Imekaa vizuri Sana 🙏🙏
I real like this speech I use to watch all the time.
aliyerudi kusikiliza tena 16/04/2022 tujuane kwa like hapa
Bora tu uwe raisi
Hakika ulinena vema Gwaji boy R.I.P Our late Hero
Kama Viongozi wote walioketi humo mjengoni watakumbuka hotuba hiyo na Kuchukua Maamuzi Tz Tutafika mbali Sana.
Acha tuu nakukumbuka sana mh Magufuli your my hero all off my life
Rest in peace dady
Mungu mbariki jpm na wasaidizi wake wote ili TAIFA LETU LISONGE MBELE I HOPE BUNGE HILI LITAWEKA HISTORY NZURI ZAIDI YA YA LIYO PITA EE MWENYEZI MUNGU TUJALIE
Anko Magufuli haupo tena
Namkumbuka JPM
The late hero JPM opened the Way to all members of Parliament in the general election of 2020 and they were together with him as the one who made them to win the general election, unfortunately they protested him with his development projects,but it is difficult to make tanzanians to forget the kindness of President JPM, apart from his bad things or weaknesses he has a lot of good things by which tanzanians can't forget,RIP our hero JPM
Nchi ilikuwa na Raha sana tuliangalia bunge Kila mda RIP
Jembe letu ambalo Jp alituachai kama all jua vile
RIP baba yetu"tutakukumbuka sana daima milele"hatutasahau nyayo zako za mwalim nyerere.
We missed you JPM JUST CONTINUER TO REST IN PEACE
❤
RIP MH JPM naamini huko uliko unaona wanafiki wako live
😂😂😂😂ety wakapanua masikio badala ya mashamba
ndugu yangu gwajima wacha jeuri na kibri allah alitumba sisi wanadamu katika umbile lililo bora wewe unakuja kuwaita mbwa kisa wazfa hakika lana ya ALLAH ikushikie
Speech za magufuli zilikua namaono makubwa sanaa
Hivi mlioko madarakani mnajifunza Nini kupitia hotuba hii na hata mnayoyafanya sasa au mlipiga makofi tu kwa unafki Kama mlipiga makofi ya haki hakika magufuri aliwafungulia njia na hakuna sababu ya kufikia hapa tulipo.
Safi kabxa mh gwajima
Nikweli mwinyi amewageuza zanzibar kichwa chini miguuu juuu na mpaka sasa wanalia asante gwajima .
Mhhhhh m
da inauma sana jamani
Siku zote wenye akili wanajuana yaani jpm Na Askofu, kwa hiyo hongeren
Iko njema sana hii
Tutaendelea kumkumbuka kwa kutuamsha watanzania wanyonge sasa hivi watanzania wameamka na mungu
Tutakuenzi daima
Nimepita hapa tarehe 17/3/2023.
Tutakukumbuka daima
Saf sana
Gwajimaaaaaa, oyeeee. like your speeches.
Nchi hii ilinoga kwel kwel tuliifurahia tanzania na sasa tunalia ,kikwete hutosahaulika kwa unyama wako@!
Hotuba hii sitaweza kuisahau kwenye maisha yangu
Uncle Magu Unatulza Bado Na Ningum Sana kusahau Asa Tukkumbuka Misamiati Yako Baba
Baba Askofu Umenena..
Hongera gwijima
Our country is the grory land where the sun light is shine all over the land
Missing you rais john pombe ,raha za milele impe eh bwana na apumzike kwa amani
Ila sasa Wabunge sio wametugeuka
Rest in perfect peace JPM 😢
Safi sana
Ilikuwa lazima uangalie taalifa ya habari
No one like JPM 🤔 at all,we missed you our strongest President
Ss,serikali haina hela.Tozo juu .Tazama rais wetu alivyokaa kwa unyenyekevu.Gwajima hajabadilika
Wanaongalia na leo kwa gazabu like hpa 22/11/2021
Marvelous speech
Safi mkuu
HOTUBA BORA KABISA KUWAHITOKEA
Ukiona mtoto analinga jua anamzazi wake, mungu ametuumba kusahau kwa JPM napata shida na kuumia moyoni juu ya alama alizotuachia tena kwa muda mfupi, pumzika JPM kazi ya mungu haina makosa
Nikimkumbuka Rais wangu mwendazake hurudia kusikiza spichi hizi pumzika salama BABAETU mpendwa
Gwajima wetu
Sala na Kazi
R.I.P MAGUFULI WANGU
Unamacho ya kuona mbaliiiii
Hichi ndio kipindi cha ukabila kipindi hicho.. Nyerere na kina bibititi walikataa hayo mambo mpaka tukapata ukombozi.
Kweli
Rais wetu.pumzik kwa Aman tunatesek baba mwenyez mungu akupunguzie adhabu
Hotuba Yako gwajima ilijaa maneno ya busara sana
Nimelia sana
Leo ndio naludua tena uangalia na kukiliwaza
Katika utuba hii ya askofu jwajima kweli hahita tokaka mwakili yangu kabisa
nimepandaaa hata mm nawachukiaa xanaaa😊😊😊😊
Wao
Gwaji boy😂😂😂
What is very good
Dah Tanzania 🇹🇿 ya jpm
Duuh Mungu umetukosea watanzania ungetuachia huyu magu walau mpaka 2040
Naendelea kugundua gwajim ulikua na wanafik tuuu hata hawakumbuki llt magu pumzik kwa aman
Hotuba ya magufuli
Aaah eewe mungu mabebelu wabaya
Jembe hilooooo! Shujaaa mwingine huyo.
Huyu wa pembeni kwa gwajima anatazama
Hotuba hii ya Profesa Bishop Gwajima imejaa hekima busara na Taaluma katika Chuo na vyuo. Wasiwasi wangu hawa wanaomshangili Rais Magufuri leo asije akawemo na Yuda Isakariot.
Hii ninoma sana kwahali ya Sasa kuipata hii sizani
💪💪🔥🔥
Rest in eternal peace Pombe
Gwajims upon upande wangu had him leo
❤
Gwaji oyeeeee
wagogo, et baada ya kupanua mashamba wakapanua masikio 😂😂😂gwajima mungu anakuona❤😂😂
👌👌👌👌👌👌
2024
Watu wengi tunashindw kuamua Co kuwa hatuoni madudu ujasili wa kuamua ndilo tatz Co elimu ni kunitoa mhanga tuu