MSUKUMA AONGEA KWA HASIRA BUNGENI "Unanisikiliza au unachart, Huu ni utapeli mnataka mtuchonganishe"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ค. 2023
- Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
Huyu ndiye kiongozi tunae hitanji Afrika,umepanda bei,,hoja zako ni za kipekee.twakupenda sana
Hongera Sana umeongea vizur mh msukuma
Msukuma is no longer a PHD holder. Now is a professor. Kajamaa kanaakili ya kuzaliwa everything is point anaongea na asomi. He is IQ is very higher.
Big up mheshimiwa Msukuma
Hongera sana Mungu asimame na maisha yako yote mh Msukuma
Huyu jamaa yuko vizuri katika kutetea wapiga kura wake kwa wengine wasimfanye kuwa mwalimu wao.
Safi sana msukuma,uko vizuri Sanaa unatetea kila sekta
Wasukuma kweli niwashamba ila Wana Akili Ile Mbaya alafu ndani yake Kuna Malengo,
'You can buy education but wisdom is earned'
Ahsante msukuma
You can buy education but wisdom is earned ahsante msukuma
@@saitotimollel-8995 p
@@saitotimollel-8995 Xmas
Kweli msukuma umechaguliwa kutete sisi wananchi mungu ukubarki sana
Kazi ipo kweli kweli . Hii serikari imezidi kunyanyasa wananchi.
Dr.Musukuma piga kazi Ndugu Mweheshimiwa Mbunge mchongo wako ni makini sana. Huja zenye mshiko na ushauri yenye hoja safi ya kizalendo
Msukuma ubarikiwe sana umesema vzr kuwa nyasiii zinapoota ndooo unakwenda kwer kabsa hujakosea
Huyu miaka ijayo anaweza kutuongoza mungu akuweke🎉
wasukuma mungu awakirimie neema na baraka tele katika kazi yako ameeen
Msukuma Akili nyingi sana 👏👏👏👏👏
Upo vizuri sana msukuma wa ambie ukweri
😢😢😢😢😢sijui kina nani Tena watatutetea kama sio watu walio Toka maisha magumu ya Kijijini 😢
Me mwenyewe nilishangaa hiri swala la hereni/kupiga ng'ombe mihuri ni upigaji tu Asante saana Musukuma👏👏
Safi sana jembe letu msukuma unaongea point tupu, unatetea wafugaji kwa point kuliko wabunge wasomi wapiga dili. VIVA MSUKUMA
Unakila sababu kuchukua fomu ya uraisi ❤❤
Upo vzur sana msukuma wa geita nimeipenda🔥🔥🔥
Nakukubali mbunge wangu sera zako kama Magufuli waambie ukweli hao matumbo kushiba na ukisema ukweli wanakutafutia kifo
Huyu jamaa nampenda sana mungu amlinde
Wangekuwa kama msukuma nchi basi ingekuwa imara👏👏
Mwenyezi Mungu hampi mtu kila kitu. Wasukuma ni washamba lakini wana IQ ya hatari sana. They're natural gifted na mifano ni mingi, eg. President JPM, MP msukuma, Jenerali Silas Mayunga, Rev. Josephat Gwajima, this is just a few to mention. Much respect to them, I real appreciate this tribe they always think in extra mile.
Thanks 🙏 Mr. Msukuma you're responsible leader
Xam
Ubarikiweee sana mheshimiwa msukuma
Mambo yote amesema ni yamsingi, tatizo wizara husika tayari inamamboyake , ukichanganya na Dili Dili, kazi itakua ngumu sana.
Namkubali sana msukuma
Hogera Sana mh msukuma kwaushauri yako mungu akuongeze ushujaa
Umeongea point Sana msukuma
Msukuma uko sawa,kweli vijana wapo wengi wafanye kz hiyo
Minamkubali sana msukuma oyee!!
Mbunge wangu msukuma upo vizuri Mungu akutetee sana tunaimani kubwa na wewe
Msukuma nakubari mzee kwa hoja yako ya msingi
HUWA SICOMMENT NIKIANGALIA VIDEO..ILA MSUKUMA KANIFANYA NICOMMENT, ANA AKILI SANA MPENI MAUA YAKE
Asante Sana mh msukuma ukweli serikali haimthamin huyu mfugaji masikini swala la kuwafunga ng'ombe heleni ni hasara kwa serikali bajeti hiyo bora ipelekwe zahanati au waongeze majosho na dawa
Waoo mashallah mungu akulinde
Msukuma kauli yako imenyooka baba good blessing you
Mungu akulinde uishi miaka kama yote tuu endelea Kaza mwendo babaa
Kusema kwel wabunge na wapenda sana asa msema ukwel
Kweli kabisa huo nimtego ila kutambua baathi wanaona kama jambo la kwaida sana kumbe jamani mungu atusaidia .
Hongera mueshimiwa
Usikubali huu ni mtego😅😅😅😅
Uko sawa msukuma ❤❤
Hakika mungu akubariki
Good leader thanks l very happy for your speech
Umeongea poind nzuriiiii
Asanteee msukumaa
Pambna msukuma mngu akupe maisha marefu
safi Sana,msukumu
Asantee baba wasaidie wanyonge wenzio
Mungu akuzidishie msukuma uzidi kuwaelimisha
sichoki kukusikiliza mkuu mungu akuobgoze kwa hekima
I appreciate you Msukuma coz things which you say is true
Mungu akubarik msukuma
Abalikiwe mheshimiwa msukuma hakika wange kuwa watano kama msukuma bunge letu lingepata weredi wakutufikisha mbali balikiwa sana msukuma iko siku
Nice I angre your point
Yanga mbele nyuma mwiko 🎉
😀😀😀 Msukuma kweli ni noma
Congraturation king msukuma
Jamani msukuma hongera
Unanisikilizaa au unachati🤣🤣🤣 kijamaa kibabe hiki kha!🤣🤣🤣
Bravo msukuma
Safi sana Mh.msukuma
Namkubali sana
Dr Msukuma safiiiii
Uko vizuri msukuma
I appreciate you msukuma
umetisha msukuma endelea ivyoivyo
Nakukubali
Sana
Duh sema baba
Ni kweli
Muheshimiwa nakubali xan Kauli zako na unatuwakilixha xan xx wasukumu
Respect msukuma 🫡🫡🫡🫡
Bravo bravo
Hongera sn msukuma 🙏🙏
Hongera
25©✓
"uko vizuli katika maongez yako
Hongera sana kusukuma
Pamban mungu aku saidie
Nikweli
Safi sana msukuma
Kuna aina ya watu ambao huongea kwa uchungu sana kwakua tu hapati maslahi pale anapopaongelea.
Nyie mungu anawaona mmeacha kufanya vya maana herein za nini acha kutuchezea
Aaaah
Habari
saaf saana tunaitaji elimu ya juu
Kweli
AISEE HAWA JAMAA BUNGENI WANAFANYAGA NINI MBONA WASHENZI
Upo vzr mskm
Hapo sawa
Msukuma sema kweli acha kuogopa maana viongozi wengi wamekua wanawaza maslai yao wenyewe wakizani wataishi milele hy ni laana
Hongera msukuma
Kwa mbali naisikia sauti ya hayati magufuli
Nakubali sanaaaaaaa
Umetisha mwamba msukuma
Sema
Sana mkuu