Eh MUNGU Baba asante ulitupa Raisi huyu🙏🏾🙏🏾🙏🏾 tumejifunza mengi..narudia tena ASANTE SANA MUNGU MUUMBAJI. Tusije tukasahau kukushukuru,hatukutegemea kama kuna mtu kama huyu.
Kweli Mungu Asante kwa kutupa JPM. Ni maombi yangu umuweke katika ufalme wako. Maana aliyoyatenda yaliwapa tumaini masikini wa roho na mwili na wenye njaa. Amen.
Hujui unachoomba Marry Tuombe Mungu Kwa bidii yeye ndiye anayejua nchi hii na anayetujua. Kumbuka yeye ndo alituambia Jpm yupo ikulu anaendelea kuchapa kazi
Mtu aliwatukana hadi hao mabeberu na kugomea masharti yao mengi lakini leo mtu anasema alikopa sanaaa, najiuliza sana Inawezekanaje mtu umtukane na ugomee masharti yake hadharani halafu akukopeshe sanaaa?daaaah haya bhana ndo keshaondoka hawezi kujibu karma itamjibia....R.I.P Mzee baba🥺
Maaduwi zake wa ndani ndio wanajitahidi kuchafua jina lake hasa kwa mbinu mbalimbali , et alikopa saana. hasa baadhi ya waadishi wa habari.walibanwa na jpm .sasa wanalipiza kwa kuchafua jina lake. Ukweli utabaki kuwa JPM was an excellent leader .
Hakika mzee uniombee ipo siku nitagombea urais kwenye Taifa letu na watanzania wakiniamini basi baba nakuahidi sintakuangusha katika falsafa zako. Sintaleta urafiki kwenye kazi za wananchi. Kwa msimamo nitakaowaonyesha sio litakia Taifa hili mema. Badala kujali maslahi ya watanzania wao wanaangalia matumbo yao.
Baba wawanyonge alinuwa watu walio finyiliwa Africa Africa line sisi tutakuwa na umoja tuwache kudhumiwa na watu weupe lini masomo tunayo ila tunaishi kaa sokwe hadi lini tutatumia elimu yetu kujiendeleza sisi wenyewe jamani nauzuka sana kuona walio soma badala yakutetea inchi zawo ndio wananyanyasa inchi na wanainchi kuwafaidisha watu weupe na family zao hadi huko wafrica ndio tunawalisha tuwaeka maisha mazuri sisi kwetu tunakufa maskini wafrica tusimame na inchi zetu
One day i wish the blessings us aTanzania again i wish must get a leader like magufuli i u understand like here if u not understand u understand the last war
Nawapenda wote mnaempenda maguful
Kabisa
Nami nakupenda pia
Nami nakupenda pia ❤
@@halimamasai2234 Asante kwa kunipenda
Amina
Anayeangalia hizi clip za JPM mpaka leo tujuane kwa like.
MAGU Wee 🙏🙏
𝑵𝒌𝒐 𝒂𝒑𝒂 𝒇𝒓𝒐𝒎 𝒌𝒆𝒏𝒚𝒂
Binafsi huwa hazinichoshi kabisa yaani naweza kuangalia na kuangalia tena
Mimi kutoka 🇷🇼 nanglia naludiatena @@amirlehao8945
Nampendaga sana babaangu huu🙏🙏🙏🙏
Ulale salamaa mzee wetuuu
Man of the people
A true leader of Africa, Rest in peace
GOOD
Mungu tupe rais Tena kama huyu,
Hawez tokea
Baada ya miaka mia 7
Inshaallah
@@saimonjoseph4663kwa nini
Labda makonda
He was a man a man with mercy wisdom
Nenda kwa Aman Mwamba wetu
Nakukumbuka sana RAIS wangu wa Kila siku 🕊️🕊️ 2024
Kiongozi wa Afrika tofauti kabisa, ulikuwa mutu wa maana sana, hatutakusahau kamwe, kutoka Bukavu Congo ,drc 🇨🇩😭😭😭😭.
Amina
Kama kuna chuo cha Uongozi na utumishi bora basi Magufuli ni best institute of leadership
Kabisa lakin so huyu wa sasa
Kabisa lakin so huyu wa sasa
wa muda wote
@@MerlinaKubadeshamwamba kwer kwer huyo
Moja ya watu muhimu kuwahi kutokea 😢😢😢😢😢
Hakika,
Nyerere na Magufuli ni mtu mmojaa watanzania❤❤❤
Sitivi ngollo
Kizur hakidumu 1 of the fdssertrsg people...
It's only Magufuli spirits that can liberate Africa. Continue Rip a True liberator🇰🇪🇰🇪
Baba yetu jaman 😭😭😭nchi ishakua yakisenge sana hii jaman
Kabisa
Mnoooo
Tena imekua nchi ya kiuni sana
Alikua kiongozi asiye yumbishwa, hapendi mzaa kwenye issue serious, utadumu daima Shujaa wetu, umeacha alama 😭😭
Daa kaka nakukumbuka kwa ujasiri wako kaka
Kasimu majaliwa ange chukua mikoba yake hiv sasa tungekuwa mbali sana
Pumzika kwa amani baba utakumbukwa daima 😭
Eh MUNGU Baba asante ulitupa Raisi huyu🙏🏾🙏🏾🙏🏾 tumejifunza mengi..narudia tena ASANTE SANA MUNGU MUUMBAJI. Tusije tukasahau kukushukuru,hatukutegemea kama kuna mtu kama huyu.
Kweli Mungu Asante kwa kutupa JPM. Ni maombi yangu umuweke katika ufalme wako. Maana aliyoyatenda yaliwapa tumaini masikini wa roho na mwili na wenye njaa. Amen.
You still alive my president kutoka South Africa 🙏🏿
Sifa heshma na utukufu tunakurejeshea MUNGU BABA kwa kutupa kiumbe wko aliye na roho kma yako....asante MUNGU uliyemkuu....emeeeeeeen
From Kenya 🇰🇪🇰🇪 more love
Chadema na ccm wote wale wale wanasiasa lkn huyu alikuwa kiongozi mwenye maono ya mbali jpm tutakumumbuka baba
Mungu akupe uzima wa milele.
Hatuwezi kupata tena kama mjomba magu ,R.I.P 😭
Itakuwa ngumu sana
Tumempata mwabukusi
Rest in power Ngosha
Uchaguzi ujao naomba mungu apokee dua yangu tuongozwe na majaaliwa
Hujui unachoomba Marry Tuombe Mungu Kwa bidii yeye ndiye anayejua nchi hii na anayetujua. Kumbuka yeye ndo alituambia Jpm yupo ikulu anaendelea kuchapa kazi
Hujui kitu
Kabisaaa dua yangu pia nikuona tunabahatika tunampata majaliwa
Amina tuko pamoja ajiuzuru uwaziri mkuu sasa ili achukue fomu ya kugombea urais
@@Mobmob2013Ibrahim T hatufai!!
Baba mungu akuweke maharishi pema peponi mzee pumzika kwa amani Amina
m.mungu akuekee mahar pema peponi
Jaman siyo siri nimekumbuka hotuba za mwisho wa mwezi hasa za magufuli mungu azid kumpa pumziko la milele
Mzee ulikuwa vizuri mungu akunguzie azabu
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi,🙏.
Yoooooo inuma inaumaaaa, r.I.p magu
Magufuli baba tunakukumbuka ,😢mungu akuremu kabisa tuliishi kwakujiamini sana aaa😭we gonna miss you magu
Its now time for Africana as continent to be magulified for the better tomorrow of its people
We love you for ever 😥😥
chuma kama chuma mtu bad uyooo kuna kama ww mzeee
R.i.p baba
Chuma Hiki
R.I.P JPM
Watching July 2024
Scorastica nakupenda kama unavyompenda JPM ❤❤❤😊
❤❤❤❤❤❤pongenzi mwambA mangufuri
Tutakukumbu sanaa😭
Dah nashindwa kuyazuia machozi yangu😢😢😢😢
Raha ya milele umpe Ee Bwana na Mwanga wa milele umwangazie .... apumzike kwa amani Amina
Hatatokea raise kama wewe baba lala salama raise wa wanyonge nilkupenda sana
Mtu aliwatukana hadi hao mabeberu na kugomea masharti yao mengi lakini leo mtu anasema alikopa sanaaa, najiuliza sana Inawezekanaje mtu umtukane na ugomee masharti yake hadharani halafu akukopeshe sanaaa?daaaah haya bhana ndo keshaondoka hawezi kujibu karma itamjibia....R.I.P Mzee baba🥺
Maaduwi zake wa ndani ndio wanajitahidi kuchafua jina lake hasa kwa mbinu mbalimbali , et alikopa saana. hasa baadhi ya waadishi wa habari.walibanwa na jpm .sasa wanalipiza kwa kuchafua jina lake. Ukweli utabaki kuwa JPM was an excellent leader .
Usiwaze..hawawezi kumchafua, chuma
Hawatoweza maana mungu ni moto ni moto ulao hata wawe wawe wengi vp ukweli utazidi kua na nguvu
Ni huzuni kwakweli
umeongea hoja kubwa sana na mm nilijiuliza kama ww hivo hivo
Tutakukumbuka JPM.. Mungu ailaze roho ya marehemu JPM mahala pema peponi Amina 🙏
Tanzania wajanja wengi Rais kama uyu hawezi pendwa hataaaaaaa🙌
Pumuzika kwa amani
King wa tabata kwako wahalifu na wezi ndo wajanja...haya bhanaaa!!
Kweli KABISA
Eee mwenyez mungu mlaze mahali pema peponi bb yetu huyu
Dah hatutapata rais mwenyemachungu na tanzania kama magufuli haitaweza tokea
Una uhakika gani?
We miss you daddy of nation 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Magufuli hakufa na ugonjwa wa moyo.!!! Acha uongo.!!!!! Kikwete na Samia na daktari wao wanahusika.
Really
KABISA .😭
Hakika
😳
A true legend
Taarifa za habari siku hizi hazina mvuto 😎. Enzi hizi taarifa za habari watu walikuwa wanalipia kama mpira...
😂😂😂😂😂 umetisha
Hakuna tena Hutuba zenye hamu ya kuzisikiliza ,hutuba zilizojaa Hisia za Ukweli kutoka moyoni,,,,ALLAH AKUWEKE SEHEMU UNAYOSTAHILI MAGU
Daah mzee anatuliza wengii sanaa
2024 nafatilia❤
Exactly
Mzee pumzika kwa amani ulikuwa unatenda bila kubahatisha uongoze na huko uliko bajba
Irikuwa kazi kazi hakuna ujinga jinga wa kipumbavu moto wa gesi mungu akuraze pema peponi bado tunakipenda sana
Da mungu akutangulie
nakupenda sana raisi wangu nitazaa mtoto na nitamuita magufuli pia nitamtengeneza kuwa magufuli
Magufuli chuma chetu,,,dah
Naipenda sana hiyo!
Hakika mzee uniombee ipo siku nitagombea urais kwenye Taifa letu na watanzania wakiniamini basi baba nakuahidi sintakuangusha katika falsafa zako. Sintaleta urafiki kwenye kazi za wananchi. Kwa msimamo nitakaowaonyesha sio litakia Taifa hili mema. Badala kujali maslahi ya watanzania wao wanaangalia matumbo yao.
Ufanikiwe ufanikiwe sanaa kuibeba nchi yetu
Baba wawanyonge alinuwa watu walio finyiliwa Africa Africa line sisi tutakuwa na umoja tuwache kudhumiwa na watu weupe lini masomo tunayo ila tunaishi kaa sokwe hadi lini tutatumia elimu yetu kujiendeleza sisi wenyewe jamani nauzuka sana kuona walio soma badala yakutetea inchi zawo ndio wananyanyasa inchi na wanainchi kuwafaidisha watu weupe na family zao hadi huko wafrica ndio tunawalisha tuwaeka maisha mazuri sisi kwetu tunakufa maskini wafrica tusimame na inchi zetu
Sijui kuhusu wengn lkn mm i will always cherish what u have done and i will always try to do my best be like u
One day i wish the blessings us aTanzania again i wish must get a leader like magufuli i u understand like here if u not understand u understand the last war
Huyu ndio raisi ww cc masikini na watu wa hali ya chini,tangulia mzee ila ipo siku utarudi tanzani
Raisi wangu daima
WALIOMCHUKIA MAGUFULI WOOOTE MAFISADI , LEO HII WANASHANGILIA MUNGU ANAWAONA
l'Afrique à perdu un homme en tout cas 😢😢😢
He was good leader, tutakukumbuka daima ,, r.i.p JPM
Mungu amlinde Kiongozi wetu huyo.
Hayati Rais JPM Mungu mlinde ka uzima wa milele na umpe Ufalme milele.
Huyu Raisi alikuwa kweli Raisi ndio alifanya nikapenda kufatilia siasa maana kulikuwa na hari. Yakusikiliza hotuba zake,Mungu akupokea kwakweli
Mzee mzee jpm kwakweli ulisema tutakukumbuka na kweli tunakukumbuka sana
He was a brilliant President. May his soul rest in peace
Mungu akulaze mahala pema
Amina
Chuma mungu akupumzishe kwa amani..wengine vibaraka tu na mafisadi
GOD Bless u
Mungu yupo pamoja nawew
Roho Inaniuma kila nikisikia Sauti Yake😢😢😢
AISEE - R.I.P KIONGOZI- aliyafinya Majizi. Watanzania wajanja janja sana ! Huyu mwamba ulikua hutoboi kwa ujinga ujinga
Mzee wetu Bado upo mioyoni mwetu! Pumzika kwa amani legendary
Rest in peace legend
Sema kwel baba yetu na upumzike Kwa aman😢😢😢😢😢
the best president ever
Jembe
Jembe, MAGUFULI alikua jembe mnoo
Speechless I AM.....LIFE of Tz within their Hands where is New Constitution,Court and Parliament
Tumchague Majaliwa ni Magufuli mwengine
Never
RIP BABA!
😭😭💚💛🖤💙🇹🇿
Kweli ilikuwa na maamuzi makali mungu akuweke mahalo pema peponi
Tutakukumbuka sana kamanda
Marazi ya moyo waaaapiiiii weweeeeeeee
kam siyo Marazi y moyo ni nini ss kak ?
@@swaggzhighlights527mauwaji
Mutukufu rais mangofuli was the best ever🫡🫡
Mungu akulaze mahal pema baba wengi tunakukumbuka umetuachia ukiwa
Maraa paap mwamba akufa alikua anawatega😎😎😎
😂😂😂😂😂😂😂
2024 RIP raisi wetu
Still my beloved president until now
Pumzka kwa Amani Jembe la Tanzania na Africa
Jembe utabaki kuwa jembe JPM
My president