USIPIME! A - Z AMBUSHI la WAZIRI AWESO Baada ya KUSHTUKI UPIGAJI - ''HUU ni UHUNI TU'..'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 มี.ค. 2021
  • USIPIME! A - Z AMBUSHI la WAZIRI AWESO Baada ya KUSHTUKI UPIGAJI - ''HUU ni UHUNI TU'..'
    WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, ameendelea na ziara yake ambapo amekutana na Madudu baada ya kiongozi kumdanganya..
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 105

  • @teacherchundu4062
    @teacherchundu4062 3 ปีที่แล้ว +7

    Kauli mbiu ya waziri Awesu " UKIZUNGUA, UNAZINGULIWA. "

  • @alexfestoni5152
    @alexfestoni5152 3 ปีที่แล้ว +8

    Omba yasikukute ndugu hii ndo serikali bwana no janjajanja

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 3 ปีที่แล้ว +4

    Uongo una mwisho wake jamani 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🇹🇿

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 3 ปีที่แล้ว +4

    The moment of truth , ila wafanyakazi wengine bana, ASA mpaka waziri anakuja si kwamba ako na data zote,?? Lakini bado akili za watendaji wanaona kama hajui chochote. ASA wakifukuzishwa kazi wanaona wameonewa kumbe siyo

  • @mariamwakabuta1034
    @mariamwakabuta1034 3 ปีที่แล้ว +7

    Dah kweli MAGUFULI ni mkombozi wa watanzania si mnaona raisi anavyo tupenda vionekana kabisa kuna viongozi wana dhurumu haki za wananchi, utakuta pesa walizo pewa kutengeneza wamezitumia kwa uhuni wao hawo watumbuliwe.

    • @alisalimo2861
      @alisalimo2861 6 หลายเดือนก่อน

      Huyu sio makufuli ni samia hatutaki inazi

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 3 ปีที่แล้ว +4

    Nchi ngumu hii dah
    Watu wanaishi kuipigaji tu

  • @neemakaluwa1841
    @neemakaluwa1841 3 ปีที่แล้ว +4

    Sasa hivi hakuna janjajanja🤣🤣🤣
    Twendeni store.

  • @salehali4saleh19
    @salehali4saleh19 3 ปีที่แล้ว +3

    😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀hapo mtunza stoo ukimuuliza anaitwa nani atakujibu mh,aweso

  • @amiryhamza1984
    @amiryhamza1984 3 ปีที่แล้ว +2

    asante rais wetu magufuri wewenimzarendo

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga 15 วันที่ผ่านมา

    Mh Waziri hongera sanaaaaa store haipo hapo duuuuuuh

  • @aishamsofe3274
    @aishamsofe3274 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ndiye Aweso ninae mjua ukimuudhii.... Akizingua unamzingua

  • @moshiomarymnyeda8907
    @moshiomarymnyeda8907 3 ปีที่แล้ว +2

    Aweso hoyeee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿✅✅✅

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว

    Maashallah kiongozi hivyo hivyo baazi WA TZ washazoea ubabaishaji hawamuhi ya Baba Magufuri Allhamdulillah

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 3 ปีที่แล้ว +3

    Hiki kipindi cha magufuli sio kikwete 😃😃

  • @wendaenterprises5133
    @wendaenterprises5133 ปีที่แล้ว

    Hongera sana waziri kwakujitoa. Mawazili wengine wanaogopa kurogwa wakati uchawi sikuhizi wameishiwa nguvu

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 ปีที่แล้ว +1

    ila hii dunia ngumu nyie kuna siku tutaamka asubuhi tusiikute walahi

  • @mosesjacksonkarashani2642
    @mosesjacksonkarashani2642 3 ปีที่แล้ว +2

    Hii nchi ina watu wa ajabu sana!

  • @salumukatumbi9460
    @salumukatumbi9460 ปีที่แล้ว

    ongera sana waziri aweso nahamini umepikwa na umepikika mungu hakubali sana una mfanoe katika utendaji wako wa kutukuka upotayali kuwapigania watanzania haki zao za kimsingi

  • @kiatu
    @kiatu 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana Aweso. Watakuuwa kwa presha. Endelea na MBWA style ya usimamizi, huko chini ni uozo tu. ( MBWA = management by wondering around).

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 ปีที่แล้ว

      Ni Management By Working Around. Hii nchi bila Mafisadi kunyongwa HADHARANI haiwezi kwenda, kwamba RCs, DCs nk wapo lakini mpaka Rais au Waziri aje hii ni balaa!

    • @kiatu
      @kiatu ปีที่แล้ว

      @@hajihassan5433 I would agree with you if you corrected the misspelt “wandering”.

  • @solemba595
    @solemba595 3 ปีที่แล้ว +2

    Hawa Watu wazinguaji sana

  • @pyelesyamwakatika540
    @pyelesyamwakatika540 5 หลายเดือนก่อน

    Sijawahi mfatilia kumbe upo good hongera naskia tu aweso aweso

  • @Jmwanse
    @Jmwanse 3 หลายเดือนก่อน

    Kama mawaziri wote wangekuwa wanafanya kazi hivi. Nchi hii tungekuwa mbali!

  • @gideonibatangaki1317
    @gideonibatangaki1317 3 ปีที่แล้ว +2

    Eti ziko kwafundi,mh kwani kwafundi nimbali nako mwende ukazione maana siku zauhongo nifupi.

  • @abdulswamaduathumani2791
    @abdulswamaduathumani2791 3 ปีที่แล้ว +2

    Hahahahaha hahahahaha Tanzania hii raha sana wafanyakazi mbadilike huu sio muda wa upigaji jamani

  • @alfredibrahim756
    @alfredibrahim756 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna nyoka huko ndani lkn mwambieni waziri awe makini

  • @CosmasSengenge
    @CosmasSengenge 18 วันที่ผ่านมา

    Jamanii mbna aibuu, stoo kama chumba cha kuhifadhi mkaa

  • @solemba595
    @solemba595 3 ปีที่แล้ว +1

    Watu wanapokea bonus kwa Kazi ya magumashi

  • @actcovid1518
    @actcovid1518 3 ปีที่แล้ว +2

    🔥 🔥 waziri awesu

  • @jumaomari3842
    @jumaomari3842 5 หลายเดือนก่อน

    Sisi wenyewe atuko tayari kuajibika sio maguli wala nani ukipewa ajira ajibika hii mifumo mibovu

  • @user-dj7mw5rx5h
    @user-dj7mw5rx5h 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani waacheni wafanye kazi maaana wanamtukana mama yetu

  • @nurububa6691
    @nurububa6691 ปีที่แล้ว

    Piga kazi uko vizuri nakukubali sana

  • @samkaranja4569
    @samkaranja4569 5 หลายเดือนก่อน

    Hapa ufisadi ni wahali ya juu sana Hadi kuchoma ushahidi😂

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 ปีที่แล้ว

    Watendaji wa Wizara ya maji Mungu anaeaona.Owesoo nyooka nao hao

  • @emmanuelmunuo7529
    @emmanuelmunuo7529 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi nadhani njia nzuri ni kama anayofanya Makonda. Mhusika anawajibika mwenyewe kwa wananchi

  • @alfredibrahim756
    @alfredibrahim756 3 ปีที่แล้ว +1

    Hao watu wanaoharibu ili vyao vifanye kazi si hapo tu ni Tanzania nzima mpaka mabenk utasikia hela zimeisha bank kwa mawakala haziishi

    • @rehemadaffi7773
      @rehemadaffi7773 3 ปีที่แล้ว

      Waziri aweso afanya vizuri mungu ambariki

  • @rehemashabhay2205
    @rehemashabhay2205 3 ปีที่แล้ว +1

    Hao ni wengi . Ktk nchi hii

  • @hussmuya5246
    @hussmuya5246 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah waminyewaminye watapike

  • @alisalimo2861
    @alisalimo2861 6 หลายเดือนก่อน

    Uwessu baba hatuna cha kukupa zaidi ya hogera

  • @user-cc4jk1ll5v
    @user-cc4jk1ll5v 7 หลายเดือนก่อน

    Hawanahata aibuwanamdanganya waziri nchihiiii nishidaaaaaaaaa nchihiii shida umenikumbusha enziza sukumandani huko Tabora mmojaalianguka kwapresha nchihii wafanyakazi kwenyemiradi wanakwibasana

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 9 หลายเดือนก่อน

    Weka ndani 😮

  • @gideonibatangaki1317
    @gideonibatangaki1317 3 ปีที่แล้ว +1

    Si ulisema vikostoo,mbona unakataa kwenda.

  • @kadigatanzaniya4792
    @kadigatanzaniya4792 3 ปีที่แล้ว

    Washenzi hao waongoo wanajazaa matumbo kwa pesa zetu acha wakauze matembele

  • @idrissatuppa3997
    @idrissatuppa3997 3 ปีที่แล้ว

    Maongo, Majizi ,Shubaamit Kazi upigaji tu.

  • @amourflamini7963
    @amourflamini7963 3 ปีที่แล้ว

    Haya mambo hayato acha kuwepo yataendeleatu coz miziziyake nimikubwa

  • @user-ug7bd9yh5z
    @user-ug7bd9yh5z 9 หลายเดือนก่อน

    Mtie makofii tuwee kama kenya wafanyakazi huwa na mnyapara hora waziri

  • @davidchihimba9489
    @davidchihimba9489 18 วันที่ผ่านมา

    Mazee ndo mapigaji kweli hayana huruma

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 5 หลายเดือนก่อน

    Kazikazi🎉🎉

  • @nivicaspect3597
    @nivicaspect3597 3 ปีที่แล้ว

    Had I huruma . Duh uwongo una kazi

  • @emmanueljsemwaiko1442
    @emmanueljsemwaiko1442 3 ปีที่แล้ว

    Hii nchi ni shida kubwa kuwa kiongozi mbona viongozi kila mahala ni utopolo tu

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga 15 วันที่ผ่านมา

    Nchi ngumu hii

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 3 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha Mavi debe

  • @AbdulMajid-kj5bi
    @AbdulMajid-kj5bi ปีที่แล้ว

    Ndo Tanzania yetu aweso

  • @amourflamini7963
    @amourflamini7963 3 ปีที่แล้ว

    Jamani tz tuna mambo umaskini unasababishwa nawatu wachache kwakweli dah

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 3 ปีที่แล้ว +1

    😀😀😀

  • @jumaigoti8638
    @jumaigoti8638 3 ปีที่แล้ว

    Fukuza kazi

  • @jumannejmzungu5776
    @jumannejmzungu5776 3 ปีที่แล้ว

    Duhhhhhh

  • @williamuphilipo7447
    @williamuphilipo7447 3 ปีที่แล้ว

    Bado Tanesco, Waziri wa Nishati unamuona Waziri mwenzako? Shirika lako la umeme linatutesa mno umeme unakata kila mara na mara nyingi tunalala giza na ukizingatia huku Horohoro ni mpakani na nchi jirani.

  • @silverman6930
    @silverman6930 3 ปีที่แล้ว

    When will these guys learn ... I swear this is Magu Regime .. 🤣🇬🇧🇬🇧🇬🇧

  • @robertmolila7545
    @robertmolila7545 3 ปีที่แล้ว +1

    Vip walienda kwa fundi

  • @bonifacesanagu9793
    @bonifacesanagu9793 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂saf sana Aweso

  • @rajabumalupu4184
    @rajabumalupu4184 3 ปีที่แล้ว

    Sukuma ndan

  • @musakogan6016
    @musakogan6016 3 ปีที่แล้ว +2

    Hapo ni mkoa gan

  • @salimliemba3458
    @salimliemba3458 3 ปีที่แล้ว

    Weka ndani wote mkuu

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 3 ปีที่แล้ว +1

    Hatari sana wallah!

  • @sebastianzongoro8915
    @sebastianzongoro8915 ปีที่แล้ว

    Hii ni balaa kila mahali pameoza tutafika kweli

  • @alisalimo2861
    @alisalimo2861 6 หลายเดือนก่อน

    Mijizi mijizi mijizi hio inikamatwa

  • @revocatusedward5739
    @revocatusedward5739 3 ปีที่แล้ว

    HII NCHI SASA HIVI WASOMI NDO WAMEKUWA WAJINGA KABISA, UNAPEWA MAMLAKA BADALA UFANYE KAZI MNAANZA WIZI JAMANI RIZIKENI NA MISHAHARA JAMANI

  • @husseinally5550
    @husseinally5550 3 ปีที่แล้ว

    Mamiziki ya nn sasa chinchini.tunataka kusikia KAZI zinaendaje.hiyo miziki kasikilize nyumban kwako

  • @kassimmuktarymurji4242
    @kassimmuktarymurji4242 5 หลายเดือนก่อน

    Hiyo timu ya mama samia sio nyoka wa vibisa,kabla yakudanganya pigalamri kwa mganga,tunao wazendo vijana wakweli wanauchungu na nnchi yao,na wanaspeed ya 5G

  • @godfreymitoko2497
    @godfreymitoko2497 ปีที่แล้ว

    pm

  • @seifmtambo3210
    @seifmtambo3210 ปีที่แล้ว

    Mawazili wote wangekuwa Kama uyu tazaniya tugekuwa mbali sana kimendeleo rakini wapi tumebaki kumchukiya mkuu wa ichiii Kama vile raisi kumbe uzembe was watu wake

  • @tumainsawe6960
    @tumainsawe6960 3 ปีที่แล้ว

    Yani nimempenda bure huyu waziri wakomeshe hao

  • @pakobrand5321
    @pakobrand5321 3 ปีที่แล้ว

    Hahahaha Aweso kawa mbogo. Kudadeki

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 3 ปีที่แล้ว

    AFRIKA BARA LA GIZA NA USHETANI MTUPU,,,HAYO YNGEKUWA YANAFANYIKA TOKA MIAKA YA ZAMNI LEO HII TUNGEKUWA NDIO BARA TAJIRI KULIKO YOTE DUNIANI,,ILA UKIWA MTU WA HAKI NA LAZIMA WAKUROGE NA KUKUUA,,,,,TUPUNGUZE SHIRKI TUTAFIKA MBALI NA VIZAZI VYETU,,,HONGERA WAZIRI AWESO

    • @atengitimkarichard6776
      @atengitimkarichard6776 3 ปีที่แล้ว

      Bravo Jumaa Aweso fahari ya wazalendo kijana makini sana.Magu hukukosea mahindi huzaa mahindi !!Hongera chuma

  • @ahmadishaibufataha1481
    @ahmadishaibufataha1481 3 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo lenu kazi mnapeana kwa kujuana ndio haya yote yanatokea munalindana sana ingekuwa nchi zingine raia washaingia barabarani na mawe juu kwa wezi kama hao munao walea

    • @alisalimo2861
      @alisalimo2861 6 หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja hillo hakika

    • @alisalimo2861
      @alisalimo2861 6 หลายเดือนก่อน

      Husema wao wewe asilimia 70 wezao wawe asilimia 30 kwawote lengo lao

  • @ainesndubula8361
    @ainesndubula8361 ปีที่แล้ว

    Tunaimani na wewe magufuli alituachia kichwa. Utakuja kuichukua hii nchi

  • @matukiosafaris6508
    @matukiosafaris6508 3 ปีที่แล้ว +1

    Sijui kwa nini watu hawapendi kuwa wa kweli nafikiri mfumo wa malezi wa watoto ubadilishwe wazazi wapewe semina jinsi ya kulea watoto ili wasiwe waongo hili ni tatizo kwa watanzania wengi kutokuwa wakweli

    • @MrCosmas15
      @MrCosmas15 3 ปีที่แล้ว +1

      Aisee we umesema ukweli, tuanze kunyoosha mfumo wa malezi. Tunataka tuwe na nchi ambayo watu watafanya kazi kwa kujituma na bila kusimamiwa. 90% ya wafanyakazi wa serikali ni wababaishaji ndio maana viongozi wanapata tabu kuongoza. Usipowasimamia kazi hawafanyi na wanahujumu vilivyopo. Na hii tabia inatoka kwa wazazi inahamia kwa watoto.

  • @charlesmwisera7175
    @charlesmwisera7175 3 ปีที่แล้ว +1

    Haya mambo ni kudhalilishana tuuu

  • @lirastanley390
    @lirastanley390 3 ปีที่แล้ว +1

    Sasa ndio nn?umeshajua kuwa wameshajua ni waongo bado unawalazimisha watu waende store wakaonyeshe 😀😀😀sasa watonyesha nn matope au unataka wakupeleke mahenge au ...ila kazi nzur sana wazir nakuunga mkono sana tu japo nmeanza na utani kidogo hawa jamaa wanatuchezea na wanatuibia sana yan ona wanavyofuja majengo yetu na wizi wa vifaa sana na upotevu wa mali pia nmekukubal sana kwakuwa wewe wazir sio mnoko kbs hlf una lugha rafiki sana...viva mh. Aweso....viva serikali ya magu vivaaaaa...viva CCM VIVAAAAAA

    • @jamesmasome359
      @jamesmasome359 3 ปีที่แล้ว

      Uongo utausibitishaje? ,achazako....

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 3 ปีที่แล้ว +1

      @@jamesmasome359 kubushana na simpleton hasiyejua nini maana ya ulimwengu mtandaoni huwa siwezi kama mental ability angalau ni ndogo bas soma mpk mwisho utaelewa na hautokua na argument yoyote ile but if you're always bound to be reluctant in every single worthy utaendelea kutoelewa ila kwa kifupi sipend mabishano mtandaoni sawa then vanish and get lox

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 3 ปีที่แล้ว +1

      @@jamesmasome359 unamuuliza mtu umekula anajibu ndio..unauliza tena wapi ili nikaulize mtu kimya na hakuonyeshi unategemea nini tena zaid ya mara moja...hapo ukilazimisha unataka akakuonyeshe kala wapi wakat kauri yake ya kwanza ya kukubali imeanza kupingana na kauri zake nyingine kama umeelimika si unajua tu mtu kanidanganya ndio maana hatak kuinyesha na anakataa kwa aibu kwahyo unapolazimisha muende akakuonyeshe alipokula unataka aumbuke zaid na weng wajue na kumuona mbaya au unatafuta sifa ambayo ni nje ya miiko ya kaz😀wewe hata std5 wanakuzid maarifa kwahyo stop mabishano

    • @jamesmasome359
      @jamesmasome359 3 ปีที่แล้ว

      @@lirastanley390 zero brain. Ukitowa hiyo elimu yako unabakiwa na nini?

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 3 ปีที่แล้ว

      Uhakika lazima ssa asingeenda pia isngeleta maana ya huu uwongo

  • @waluohopaulo2116
    @waluohopaulo2116 3 ปีที่แล้ว

    Hawa ndio watu kama Msigwa na Tundu Lissu wanawatetea, ovyo kabisa

    • @bockernyarusahi3655
      @bockernyarusahi3655 3 ปีที่แล้ว

      Bila kuwataja hao hauendi choo,jinga kabisa

    • @waluohopaulo2116
      @waluohopaulo2116 3 ปีที่แล้ว

      @@bockernyarusahi3655 lazima niwataje juu hao ndio wanatetea wafanyi kazi wakora Kama hao na wewe.

    • @bockernyarusahi3655
      @bockernyarusahi3655 3 ปีที่แล้ว

      Thibitisha kauri yako na siyo kuongea kama upo kwenye kahawa

    • @bockernyarusahi3655
      @bockernyarusahi3655 3 ปีที่แล้ว

      @@waluohopaulo2116 leta nukuu kati ya hao uliowataja akiwatetea Wafanyakazi wasiotimiza wajibu wao,unajua unapoongea ni vizuri ukachuja unayohitaji kuongea kwanza na siyo kukurupuka na kuleta utoto ilhali we ni Mtu mzima,unaongea uongo kwa faida gani? na il iweje,uongo,umbea na unafiki ni sifa za kike,sasa jitaathimini una hizo sifa.

    • @waluohopaulo2116
      @waluohopaulo2116 3 ปีที่แล้ว

      @@bockernyarusahi3655 ati ni thibitishe kauli na Tundu Lissu na Msigwa wako kwenye record wakisema wafanyi kazi wanafanya kazi kwa hofu,iyo hofu ni ya nini kama unafanya kazi nzuri na bila makona mingi.

  • @user-cc4jk1ll5v
    @user-cc4jk1ll5v 7 หลายเดือนก่อน

    Awessooooooiooooooo utauwaaaaaaaa mguuu kwamguuuu nimekupenda sana mkuuu walishazoea kudandanya hao

  • @evaristosanga471
    @evaristosanga471 3 ปีที่แล้ว

    Ujinga hauna kikomo, hata ukisoma bado unakuwa na ujinga tu