Makamu wa Rais Hongera Sana kwa kutumia mfumo wa Hayati Magufuli mkitumia njia hiyo sina haja ya kuharibu kura yangu kupeleka kwingine nitabaki kuwa CCM ndio damu yangu hadi mauti unifike sina mengi ila Mungu atulinde Sisi zote tuone mabadiliko AMEN
tatizo la Africa wenye uwezo kuongoza hawapati nafasi ya kuongoza wehu kama samia na vyeti vyao vya form IV eti ndio wanakuwa viongozi tunategemea nini ?
Makamu wa Rais mimi nakukubsli sana kuliko viongozi wote nskuamini sana mtu wa watu ila hili la bandari llinatuboa sana halijakaa vzuri fanya kitu ili tutoke hapo sisi wananchi wa chini tunaumia sana
@@Boniphaceshayo5 yani panapo uhai huo uchaguzi wataiba sanaaa,tumewachoka,me nafamilia yngu tumehama wote hatutaki hata kuiskia, yani huku mtaan tumeitapika ccm
Nchi haijamshinda ndio maana wasaidizi wake wanatembea nchi nzima kumsaidia na kufatilia miradi ambayo ni mama samia ndio anaepeleka mabilioni nchi nzima
Kazi nzr Sana ukija dodoma niletee friji me nimjasiliamali mdogo, nauza Juis natengeneza mwenyewe Ila Nina upungufu wa friji,,nisaidie kwa Hilo TU hakika nitapiga kazii na kujikwamua na umasikini balikiwa sana baba Mungu akuongeze katika utendajii wako
Mh,makamo warais wajamuhuri pole na majukumu,pia hongera kwa kazi ngumu za kitaifa,pia kulitumikia taifa letu,tusaidie tarime nikero tanesco,umeme unapo pata hitirafu,kuja kutulekebishia nishida,utakaa mwezi muzima ukiomba msaada bila matarajio,
Hiyo style ya kutumbua watumishi hazarani ndiyo style pekee ya kurudisha nizamu kazini na hiyo ndiyo style ya magufuli kuaminka Kwa wananchi asilimia mia tunahitaji rais mwenye maamuzi magumu
Dkt samia suluhu hasani kaleta suluhu kwa kumwezesha dkt philipo mpango ,maana anamipango dhabiti juu ya maendeleo ya wananchi ,tunaitaji suluhu na mipango ya kama hii🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mngekua na mipango hiyo ya kujitokeza kwa raia Kujua matatizo yao yasinge fika hapo leo Lkn yote hayo ameondoka nayo magufuli Naomba mawaziri wote waende wakasikilize Raia kero zao sio kukaa ofisini turudi na system ya magufuli
Makamu wa raisi ndo naanza kukuerewa sisi wanaichi wamwisho kwamana yakutokua watumishi wa serikari tunaomba kuona na kusikia kauri kamahizo nikushukuri nanikuome uenderee tumerudi kunyanyaswa rakini pia kutopatahaki zetu za kimusingi na kuripwa maumivu Kira siku Mungu wa mbinguni akusimamie onya karipia ilibidi fukuza Asante
Doctor Mh magu ndo alikuwa kiboko yao waheshimiwa kazeni mwendo ili mmuenzi hayati magufuli ili nayeye apate matumain aliko kwann mpaka leo bado anaishi katika nafsi zetu
Me ninaalama ya kuuliza why mbn mnafanya hivi uchaguzi ukikaribia? Kwa maana hiyo uchaguzi ukipita mtabaki kujificha msitoke kusikiliza kero za wananchi
tatizo wanaopewa majukumu wakisha pata to hayo mamlaka wanajisahau sana ata wakilibu wanaamini watahamishiwa kwingine hili selikali liangalie hao ndio wanamfelisha mama
Hili tatizo la kuhamisha Baadhi ya watendaji wanapo haribu Ndio kufeli kwa serikali nikama Tanzania hamna watu wenye elimu na uwezo Kila siku kuhamisha hamisha mawaziri na watendaji Hii ibada imalizike inatosha
Hongera sana Mheshimiwa makamo wa Rais Dr Philipo Mpango unafanya kazi nzuri
Makamu wa Rais Hongera Sana kwa kutumia mfumo wa Hayati Magufuli mkitumia njia hiyo sina haja ya kuharibu kura yangu kupeleka kwingine nitabaki kuwa CCM ndio damu yangu hadi mauti unifike sina mengi ila Mungu atulinde Sisi zote tuone mabadiliko AMEN
Umeona Eeeh
Alietumia mfumo huo yuko wapi????
Makamu wa raisi ,wazili mkuu mama samia kaupiga mwingi🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mama.samia
Hii style ya Maghufuli naipenda sana!
mmbb v
Wameona hawatoboi
Kabisa
Hongera Sana Mheshimiwa Makamu wa Rais , Dr Philipo Mpango Kwa Kazi nzuri
Bola uyu mpango ngekua rais tu kwasabbu na hofu ya mungu
tatizo la Africa wenye uwezo kuongoza hawapati nafasi ya kuongoza wehu kama samia na vyeti vyao vya form IV eti ndio wanakuwa viongozi tunategemea nini ?
Mwehu ni mama yako samia cio mweh mshenz. Ww
Hongera kwakuwa sikiliza wanchi kelozao huondou zarendo
Binafsi Mh. Mpango namuelewa sana ni mpenda haki sema hawa wengine dharau nyingi janja janja nyingi haya sasa
Sasa naona munaenda kama magufuli ila hii naipa Jina timu mama SAMIA hongereni CCM OYEEEEEEE
Makamu wa Rais mimi nakukubsli sana kuliko viongozi wote nskuamini sana mtu wa watu ila hili la bandari llinatuboa sana halijakaa vzuri fanya kitu ili tutoke hapo sisi wananchi wa chini tunaumia sana
Kwa mara ya kwanza namuona serious 😂😂
Hali mbaya wanapumulia mipira
Daaha isee makamu wangu nimpole saana, namuonaga kama padreau askofu kabisa🙏🙏🙏
Hii safi sana ila isiishie hapo hao watendaji ni wa kufukuzwa tu na kufunguliwa mashtaka maana wanawaza upigaji tu na sio kuwahudumia wananchi
Hii style ya Kagame na Magufuli kbs!! 👏👏👏👏👏. Congratulations to Vice President!!
hakika huyu anaweza anikumbusha baba Magu
Makamu wa raisi 🔥🔥
Good leader
next magufuli
Viongozi wanajisahau sana wakipata nafasi za kuwasimamia wananch wanasahau kbs shida zetu
Tatizo kazi za kupeana ni mtt wa furani
Safi sana leo nimeona angalau mfanye kama jpm papo kwa papo
Siasa izo my wanaona uchaguz unakaribia ndio wanajileta ila nasi tulivo mazuzu tutasahau tuliyotendewa ya nyuma
@@rehmakondo wanatuzuga
@@Boniphaceshayo5 yani panapo uhai huo uchaguzi wataiba sanaaa,tumewachoka,me nafamilia yngu tumehama wote hatutaki hata kuiskia, yani huku mtaan tumeitapika ccm
Kweli Watanzania mmetushinda kwa hili wakenya
Baba Philip mpango tunakuombea Kwa Mungu akujaze katika kazi yako ya kumsaidia mama
Raisi Samia nchi imemshinda 😢😢 anawaza tu uchaguzi 2025😢😢😢
hamna kitu mule , kaishia form IV cheti chake F, F tupu.
We nitaahira hata hao waliogonga like pia nimataahira wenzio
Nchi haijamshinda ndio maana wasaidizi wake wanatembea nchi nzima kumsaidia na kufatilia miradi ambayo ni mama samia ndio anaepeleka mabilioni nchi nzima
@@MikereMio una uhakika ndugu?
@@allykayanda6930 kweli kabisa ndugu nashangaa sana
Samia atawewe nimbaya sana kwanini usimshirikishi mahamu wa rais😢😢😢😢😢😢😢😢
SAFI RAIS 👍
Angalau Leo nimesikia sauti yako
Alakoze mtama wachu makamu wa rais
MNAANZA USANII WA WAKUDANGANYA WATU..
Makamo waRais mungu akubark endelea nakuchapakazi kwamfumo huo wa hayat magufuli
Tunashkuru Dr Mpango👏🏽
Huyu ndiyo kiongosi tunayetaka munguakubariki makamu waraisi kauli Kama hisi ndisosinayakiwa
Ombi Mh Makamu wa Rais uwajibikaji umeondoka kabisa ila Tanesco wanafanya vizuri.
Mheshima makamu wa raisi hapo umetenda jambo jemaa viongozi wengi wamekuwa miungu watu wanataka kuabudiwa
Makamu wa rais umefanya vizur sana fanya kaz uo ndio mwenendo wa maghufur
Huyu Baba anaongea kwa hisia sana hadi unaweza ukatoa machozi. Mungu akupe maisha marefu Mh. Vice President.
Ahsanteni sana Kwa jitihada za pambano la maji
Samiaaaaa oyeee!! Umeshinda uchaguzi Kwa akili nyingi sana
Mungu akubariki mzee wetu
Kazi nzr Sana ukija dodoma niletee friji me nimjasiliamali mdogo, nauza Juis natengeneza mwenyewe Ila Nina upungufu wa friji,,nisaidie kwa Hilo TU hakika nitapiga kazii na kujikwamua na umasikini balikiwa sana baba Mungu akuongeze katika utendajii wako
Asante Baba Mungu akujalie katika kazi yako
Safi sana mheshimiwa kazi nzuri sana ni papo kwa papo JPM bado yupo kazini!!
Kanzi nzur mheshimiwa nimependa
Dats ... Right appreciate DP mipango
Huyu mama Alitutesa sana 2015 kipindi kili yuko Elimuni Alihisi vilio vyetuu havitofika Mbaalii kwiiiiishaaaa habar Yake
Hiyo style ya magufuli, ndo style ya kuongonza nchi bila ivo serikali, itaibiwa sana
Bora mpango mpango awe rais
Narudi cm jamani
muache siasa bhana ccm mkipewa hata mpaka mwisho wa dunia maji hamuwezi
Mh,makamo warais wajamuhuri pole na majukumu,pia hongera kwa kazi ngumu za kitaifa,pia kulitumikia taifa letu,tusaidie tarime nikero tanesco,umeme unapo pata hitirafu,kuja kutulekebishia nishida,utakaa mwezi muzima ukiomba msaada bila matarajio,
hawezi iona comment yako hapa
peka kwenye page zao
R I P Magufuli 😂
Hiyo style ya kutumbua watumishi hazarani ndiyo style pekee ya kurudisha nizamu kazini na hiyo ndiyo style ya magufuli kuaminka Kwa wananchi asilimia mia tunahitaji rais mwenye maamuzi magumu
Uko sahihi Sana
mheshimiwa rais acha kasulu sisi wananchi wa michese dodoma tuna matatizo kama hayo sisi tuna visina lakin hatuna maji
Mungu analipa apap dunian ndalichako chali
😂😂😂😂😂😂😂😂😂sawa ngoja tuone mai
gzooo
Well done vice president
Kweli yajayo yanafurahisha yani watu hawana maji halafu wanaambiwa kasulu oyee na wao wanaitikia oyee......😪
unajua hawa ccm wanajua watanzania wengi bado wamo kwenye uzingizi mzito , kwa hiyo raisi hata akiwa ngedere wanamshangiria tuuu
Akili kichwani 2025
😂😂😂 weee jamaa umenichekesha
Hizi ni Sanaa tu
nchi yangu kenya jameni jambo kama hili kufanyika ni kinaya sanaa
I wish mnipe nafasi na mimi jmn nitende haswaaa. Ila mnipe meno khaaswaaa. Ukweli mtapenda
Njooni chalinze Dawasa pia huku nako ni shida vijana wanadharaù sana watumishi wa dawasa baadhi yao ni shida
Haya matatizo yapo kwenye Jimbo ra buhigwe munanira siku moja tuangizie waziri wa maji aweso akatatuwe kero zetu Asante
Mhe uko vzr sana viongozi wote wagefanya kama ww tugefika mbali sana Tanzania nakuombea afya njema
Naitwa ENOCK KIMASA HAWA WANAKA MUDA MWINGI OFISINI
mungu akurinde sana
Pole Amana kitu apo ujanja ujanja TU wa kura
MTOENI KAZINI UYO NI MJINGA
ANAKULA PESA ZA BURE KABISA MJINGA UYU
Ccm watawanyonya,sana WATANZANIA,,Mbumbumbu.
🤣🤣🤣🤣 hiyo ndo Kasulu bhana
hata nida kunashida watu wanatukwanwa vitambulisha kupata nishida
Hawajaona maji wanayotumia wananchi wa mpwapwa maji yanatoka tope kwenye bomba na yanasukumwa na idara ya maji
Miguguno mingi mara TASAF, TAGES, TASS, TAKUKURU, TARURA mnachanganya tu wananchi. Wapeni maendeleo muache kuongea ongea
Tena tasafu wanazulum pesa zakaya maskini mitalo wamekula pasa zawatu diwani wakumnyika nimuhusika mkuu wautapeli
Ndiyoo mkifanya ivo wakuwa na dispilini kazini kila mahali kama alivokuwepo rais magufuli
Dkt samia suluhu hasani kaleta suluhu kwa kumwezesha dkt philipo mpango ,maana anamipango dhabiti juu ya maendeleo ya wananchi ,tunaitaji suluhu na mipango ya kama hii🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mngekua na mipango hiyo ya kujitokeza kwa raia
Kujua matatizo yao yasinge fika hapo leo
Lkn yote hayo ameondoka nayo magufuli
Naomba mawaziri wote waende wakasikilize
Raia kero zao sio kukaa ofisini turudi na system ya magufuli
Umeongea kweli makamu wa rais wengi wanapenda kufuga uzembe
WEWE MAKAMU WA RAISI HAKIKA NI MTUMISHI WA MUNGU, MUNGU AKUTUNZE. AMINA
Makamu wa raisi ndo naanza kukuerewa sisi wanaichi wamwisho kwamana yakutokua watumishi wa serikari tunaomba kuona na kusikia kauri kamahizo nikushukuri nanikuome uenderee tumerudi kunyanyaswa rakini pia kutopatahaki zetu za kimusingi na kuripwa maumivu Kira siku Mungu wa mbinguni akusimamie onya karipia ilibidi fukuza Asante
Safi ndiotunatakahivyo hakunakumchekea mzembepigachini chap
Mh.lifanye taifa liwe taifa hao viongozi wanajidai sana
Mheshimiwa mgeni rasmi🤣🤣🤣🤣
Kweli ukienda hivi mtafikaa isiwe kasulu tu
Yaani mm nahisi ningekuwa mkali ..watu wanajiona Mungu watu....
Doctor Mh magu ndo alikuwa kiboko yao waheshimiwa kazeni mwendo ili mmuenzi hayati magufuli ili nayeye apate matumain aliko kwann mpaka leo bado anaishi katika nafsi zetu
Yaani kwnn kufanya yaani kisimamia miradi ya nchi owe tabu. Jamani nipeni hata kwa kujaribu
Raisi wa kigoma
Me ninaalama ya kuuliza why mbn mnafanya hivi uchaguzi ukikaribia? Kwa maana hiyo uchaguzi ukipita mtabaki kujificha msitoke kusikiliza kero za wananchi
Kumbe mpango ni mkali nimekuelewa
Mmesituka kumbeee😅😅
Ila kigoma kuna vumbi mweeeee😅
tatizo wanaopewa majukumu wakisha pata to hayo mamlaka wanajisahau sana ata wakilibu wanaamini watahamishiwa kwingine hili selikali liangalie hao ndio wanamfelisha mama
Evi hawaviongoz kam wanafanya hiv mbon watushi hawakomi naon kimagufuli kipo lakin hawaogopi kwanni?
Bwami Dubai Hotel 🎉🎉🎉🎉😂
Makam chapa kazi hapo kasulu
Tunduma songwe maji changamoto mbona hawapiti viongozi Kama hawa
Mpango tuko pamoja ccm oyeee fatiria mipango ya serikarikuu endembere
NI KWELI AWESO NI MCHAPA KAZI HANA TAMAA,NAMUOMBA RAISI AENDELEE KUPATA VIONGOZI WENGI KUTOKA MKOA WA TANGA.AMEN
Kweli hata Ummy nimchapa kazi nampenda sana na Aweso japo mm stokei Tanga
ACHANA NA HUO UKABILA UTAKUDHOOFISHA SANA....
Sasa mbona amechelewa? Alikuwa kimyaa huongei kitu
Mh Waziri Aweso una majukumu makubwa na kweli wewe ni mchapa kazi naona unavyo angaika sana japo wizara yako ni ngumu mno.
Hili tatizo la kuhamisha
Baadhi ya watendaji wanapo haribu
Ndio kufeli kwa serikali nikama
Tanzania hamna watu wenye elimu na uwezo
Kila siku kuhamisha hamisha mawaziri na watendaji
Hii ibada imalizike inatosha
Makuma hawa wote