WAZIRI MKUU AKASIRISHWA AMWASHIA MOTO MTUMISHI, "MMEJENGAJE MILIONI 11 HII NYUMBA, SITOWAVUMILIA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 321

  • @danielimeshack3712
    @danielimeshack3712 2 ปีที่แล้ว +33

    ANAETAKA WAZIRI MKUU MAJARIWA AWE RAIS 2025 -2030 GONGA LIKES KWA MAJARIWA

    • @athanacnicholauc3555
      @athanacnicholauc3555 2 ปีที่แล้ว +2

      Umeongea pointi mwamba, huyu jamaa anatakiwa ashike urahisi na ataupata

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 2 ปีที่แล้ว +1

      huyu alitakiwa kuwa rais

    • @jambo3751
      @jambo3751 ปีที่แล้ว

      Alitakiwa na nani?
      KATIBA?
      Yaani mazezeta mna shida😅
      Halafu si ndio nyinyi mnaosema hamna haja ya katiba mpya!!! Sasa huyo mnaemtaka awe raisi atakuwa rais kupitia utaratibu upi!!!
      Pumbavu zenu..

    • @kazikazini1042
      @kazikazini1042 11 หลายเดือนก่อน

      Endeleeni kumchoresha

  • @JumaRashidi-qu6nv
    @JumaRashidi-qu6nv ปีที่แล้ว +20

    Hongera Sana muheshimiewa na nakuona uendelee hivyo hivyo,usipoe hata kidogo kwa maana ndio tunataka viongozi wa Aina yako,mungu akulinde baba Kasimu Majaliwa

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 ปีที่แล้ว +2

    Yaan kama nauona uraisi 2025 mikononi mwako mzee....yaan kama umepatwa na furaha kama mm jinsi anavyohoji like hapa twende sawa na mkuu wetu💪💪💪👍👍👍

  • @evarimdecoration4256
    @evarimdecoration4256 ปีที่แล้ว +7

    Tunakupenda sana watanzania asilimia 99 sijui unaelewa! Mungu akulunde sana tunakuombea piga kazi RIP JPM WETU!

  • @sophiaalexandersophia8610
    @sophiaalexandersophia8610 2 ปีที่แล้ว +30

    Kwa Mara yakwanza tangu afe magu
    Leo ndo namuona waziri yupo kazini kweri huu moto mngeufanya kila siku ingependeza sana tembelea baba na kwenye mahospitali na mahofsi baadhi ni shida

    • @geraldmakalala6091
      @geraldmakalala6091 2 ปีที่แล้ว +1

      Leo waziri Mkuu umenifurahisha Sana,
      Huo moto muuwashe hata kwenye mfumuko wa bei

  • @azizahharoun1236
    @azizahharoun1236 2 ปีที่แล้ว +56

    That man has Magufuri's spirit in him 🥺🥺

    • @abdulatiftu9836
      @abdulatiftu9836 ปีที่แล้ว

      Kabisa our next president

    • @johngerald4677
      @johngerald4677 ปีที่แล้ว

      Hamna Dada kuna watu wanapiga mabilion y hela n hawaguswi uyo anaonewa kw sababu n papa Mdogo sana

    • @maujanjatv24h41
      @maujanjatv24h41 ปีที่แล้ว

      Nyokooo

    • @ramadhanisanze3631
      @ramadhanisanze3631 ปีที่แล้ว

      Rais alibaki tz ambaye anaweza

  • @mohamedkigwehe3561
    @mohamedkigwehe3561 ปีที่แล้ว +1

    Asante kiongezi wangu waziri mkuu mngu akulinde katika kazi yako mtetezi wa malizetu uliye baki ww ndo jicho la matumain yetu ya kesho

  • @abedomar5183
    @abedomar5183 2 ปีที่แล้ว +39

    RIP John Magufuli, daima tutakumbuka kwa uongozi wako

    • @stefanomwanzarubi6216
      @stefanomwanzarubi6216 ปีที่แล้ว +2

      Hadinimemkumbuka magufuli

    • @bubelesatanzanialogistics3948
      @bubelesatanzanialogistics3948 ปีที่แล้ว +4

      Mh kasimu majaliawa apongezwe na tumchague awee raisi kwa maswalia ya nguvu

    • @fadhilimanjeka3729
      @fadhilimanjeka3729 ปีที่แล้ว +2

      Hawa watu hawajawah kuisha, hata wakat wake mambo yalikuwa haya haya, kikubwa hatuna wazalendo katika nchi yetu.

    • @mahmoudabdallah4533
      @mahmoudabdallah4533 ปีที่แล้ว

      Duh

    • @antonychristian1369
      @antonychristian1369 ปีที่แล้ว

      Huyo nae alikuw na madudu yake,,, Mambo haya yalikuwepo,, why alibana uwazi,, ripoti ya mkaguzi na mdhibit w hesabu za serkar ilitolewa baada ya yeye kufarki,,, tulion hasara kubwa haikuwah kutokea
      Huw mnanikera kumaanish jamaa aliyatenda mema sana

  • @richardchijana9665
    @richardchijana9665 2 ปีที่แล้ว +7

    Toka mzee leo nimeona anae fanana nae piga kazi waziri mkuu

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 ปีที่แล้ว +12

    Mungu Akulinde Baba🙏.

  • @ramadhanhemedi1554
    @ramadhanhemedi1554 2 ปีที่แล้ว +9

    Uko sahihi muheshimiwa hongera

  • @laurenciakamata
    @laurenciakamata 11 หลายเดือนก่อน +1

    Maamuzi maziri waziri Mungu akutie nguvu kazi iendelee

  • @jamesjeremiah9416
    @jamesjeremiah9416 2 ปีที่แล้ว +1

    Nmependa Hii...Asante Baba Endeleza Moto ..
    Mungu Akulinde.
    na Charamila Kagera..Moto unaonekana

  • @theresiamwandara7990
    @theresiamwandara7990 ปีที่แล้ว +7

    Mheshimiwa Kasim Majaliwa tunaomba urudishe utendaji wako km zamani, tunajua ni ngumu kufanya Kazi ukamzidi mama yako Samia atajua unataka kumpindua ila watanzania wengi tulikuelewa kipindi Cha uwaziri wako na Magufuli.Safi sana waziri

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 2 ปีที่แล้ว +10

    Upigaj mdogo sanaa huo,wadogo mnwakamataa wez wakubwa mnawaacha

  • @imaninjau9135
    @imaninjau9135 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana waziri . Endelea hivyohivyo usipoe.

  • @emmanuelaloyce932
    @emmanuelaloyce932 2 ปีที่แล้ว +11

    Afu wanatufanya hadi tunabanwa kwa tozo 🤕🤕🤕.majaliwa rais mtarajiwa ,mungu mlete huyu ,anatufaa wa tanzania

    • @yusuphkassimu227
      @yusuphkassimu227 ปีที่แล้ว

      Unadhani ccm itampa huyo nafasi ndani ya chama kugombea urais..

    • @margarethsolomon9823
      @margarethsolomon9823 ปีที่แล้ว

      CCM wanahitaji poyoyo ili wapate kulamba asali. Huyu Majaliwa hawawezi kumpa na ujue wote aliyekuwa na sauti ya kusikilizwa mzee Mkapa walimtanguliza ahera. Leo hii hakuna wa kusimamia hilo. Walamba ASALI wanaojiita wao ndio wenye CCM wapo. Angalia Humphrey Polepole yuko wapi.

  • @rachellaiza7779
    @rachellaiza7779 ปีที่แล้ว +4

    Nikimuonaga waziri mkuu napata moyo sana Mungu akutunze

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 2 ปีที่แล้ว +23

    Nashindwa kuelewa, yaani mpaka PM aje kugundua madudu; ... RC, DC, DED, PCCB, n.k. wapo tuu! Wajibisha wote utakuta hao hao ndiyo hushinikiza na kuwa-corrupt watumishi wao wa chini.

    • @sk-wj9or
      @sk-wj9or ปีที่แล้ว

      Ndio maana nimeona comrade Majaliwa hakufika mbali.
      Labda tutasikia wengine wamewajibishwa of which they should be.
      Asipo fanya hivyo nitamuona wa Ajabu.
      Nazidi kudhibitisha moyoni kwanini kwa miaka yote hii tangu uhuru kwanini mkoa ulio toa uhuru haiendelei.
      Wazawa tuna kazi kubwa ya kujiuliza na kuwa wakweli katika mioyo yetu

    • @ruthsawida8507
      @ruthsawida8507 ปีที่แล้ว +1

      Watu tunalala na njaa huku alafu mpuuzi mmoja tuu kajenga Banda la milioni kumi na Moja injinia huyo ni noma na nusu kwakweli

  • @Really-football
    @Really-football 2 ปีที่แล้ว +16

    mkuu piga bangili wote walioshiriki huo ujenzi maana wanasababisha serikali ikope pesa nyingi bila sababu.Mwisho wa siku nchi iwe kama sri-lanka

  • @queenlizzyplatnumz4942
    @queenlizzyplatnumz4942 ปีที่แล้ว +2

    The only leader we have remained with😥😥😥 Mungu akubariki

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 2 ปีที่แล้ว +7

    Majaliwa ungekuwa Rais tu!

  • @vumilialeonardi109
    @vumilialeonardi109 ปีที่แล้ว +1

    Fanya Kazi mh, Waziri wetu mkuu

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 2 ปีที่แล้ว +10

    Tukiwaambia mama hajui hesabu mnatubishia ,huwezi kuongoza jahazi bila kuwahold watu,Leo hii mama yetu akifika anapongeza watu wanajipigia pesa tu ,wananchi wanakamuliwa tozo ,Mungu simama na Taifa lako ,mama yamkini ana nia njema lakini hawa watendaji wanamhujumu

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 2 ปีที่แล้ว +1

      elimu na ufahamu ni muhimu kuweza kuongoza tiafa na mama enu hana hata kimoja. kila kitu aandikiwe na watumishi wake akipanda jukwaani asome

    • @mudihb1820
      @mudihb1820 ปีที่แล้ว

      Acha usenge elimu mamako anayo acha kudharau wazazi wa wengine. Msh. Samia ana diploma na kasomea chuo kikuu cha manchester babako hajafika hata dodoma punda we. Mxxx

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 ปีที่แล้ว

      acha matusi weee , bibi yenu hana elimu , na hajui chochote , diploma haina mpango wowote , cheti tuu hata kichaa anaweza pata , nipo na diploma na nilichukiua kwa miezi mitatu tuu , labda diploma ni elimu kubwa kwenu Zanzibar tuu

    • @wazirmlogi7532
      @wazirmlogi7532 ปีที่แล้ว

      @@mudihb1820 we kishoga unamtetea samia ili iweje?kuma la mama ako we choko mkubwa kuma vaba mkundu kunuka weeeee!!samia kasoma nin mbwa mwenzako tu yule na wote mnafirwa mikunduni had midomon msenge weeee!!Vitu vimepanda bei kila kitu hadi mama ako mzaz aliyekuzalia kupitia mkundu wake naye analalamika kupanda bei kwa vitu alafu unamtetea samia c ndio?we sio bure itakuwa unatombwa na mbwa wa samia

  • @gapablessgadison6863
    @gapablessgadison6863 ปีที่แล้ว

    MH MAJALIWA 💪🏼 🇹🇿,,Tumbua Tumbua tu

  • @lovesallu5292
    @lovesallu5292 ปีที่แล้ว

    Siku moja Mungu akuinuee uwe Raisi wa hili taifa

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 2 ปีที่แล้ว +18

    😂😂nchi Ina vimbwanga hii umasikini hautakwisha 🤣

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 2 ปีที่แล้ว +1

      ni ndio maana miaka nende miaka rudi taifa halina mabadiliko ya makubwa ya kimsingi kimaendeleo , matatizo ni hayo hayo kila mwaka na raisi yupo , makamo wake yupo , mawaziri wapo

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว

      Mingepitisha sheria ya kunyonga wezi hao hawana hata aibu

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 ปีที่แล้ว +1

      @@kabwelasutiviraka4765 kaka utaitwa dikteta kwa hilo , watu hayo ndio maisha yao kuiba serekalini tuu

  • @jumambarale699
    @jumambarale699 2 ปีที่แล้ว +4

    Engineer anaharisha apoo....

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 2 ปีที่แล้ว +5

    Zidi sana katika uchunguzi upigaji mwingi mno tz wachache mliobaki saidia inchi isizame

  • @hosea7919
    @hosea7919 ปีที่แล้ว

    Hongera waziri mkuu kwa kazi nzuri sio kila kitu asimamie Rais

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu akulinde mkuu tokea afe magufuli wizi ndio umezaliwa.upyaa halafu. Viongozi waliokuwa bora wanaosilmamia vizuri mambo yaserikali ndio huko juu anawatumbua iliwrzi waibetu

  • @kavoomshana7289
    @kavoomshana7289 ปีที่แล้ว

    Ahsante mh,sawa sawa kabisa Peleka ndan Watoe pesa zetuu

  • @venancengunda3879
    @venancengunda3879 2 ปีที่แล้ว +15

    Pumbavu Sana asee nchii hii inaitaji ukatilii watu wanakula hela zetu tyu jmn kweliii asee ngoja niwe kiongozi asee wataniita dictator tyuu

  • @ummyjoel4308
    @ummyjoel4308 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana wazir mkuu

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 ปีที่แล้ว +2

    Here is the future of Tanzania, corruption and public funds misuses is becoming rampant again. Kudos Majaliwa. We are in it for a very big surprise, the hyaenas are back!

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or 2 ปีที่แล้ว +7

    Funga pumbavu hao.
    Kisha wana Tabora tunalalamika hakuna marndeleo
    Majungu tu ndio sifa yatu.
    Hata huyo mkuu wa wilaya na watendaji mkurugenzi tupilia ndani .SUKUMA NDANI ARUDISHWE TBR

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 ปีที่แล้ว +1

    Mhuuuuuuuuuuuu! Comments nyingi watu wanapenda msimamo wa Waziri Mkuu, lkn Bahati mbaya sana yupo katikati ya walamba asali, hawawezi kumuwazia hata siku moja kwenye Urais. Walamba ASALI wataka mtu lege lege ili wasikose debe za ASALI. Pole sana wa Tanzania. Mungu alimwondoa jemedari Simba wa Yuda, aliyebatizwa kwa jina la DIKITETA.

  • @bahatiamnon7579
    @bahatiamnon7579 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kiongozi kwa ufuatiliaji huo mungu akulinde

  • @erickwilliam6610
    @erickwilliam6610 2 ปีที่แล้ว +3

    Unaweza mkuu

  • @neemakerefu4876
    @neemakerefu4876 ปีที่แล้ว +2

    Waziri Mkuu wangu. Shikamoo. Kumbuka na nukuuu kwa mama yetu Samia alisema kila mtu atakula urefu wa kamba yake. Hao mabwana ujenzi wameamua kula urefu wa kamba nazawengine

  • @bonywahab9565
    @bonywahab9565 2 ปีที่แล้ว +5

    Mmmh... mlikua mnawachekea saana watu... baada ya JPM kufa, sasa mnaona wanachokifanya....

    • @maryamaliy8509
      @maryamaliy8509 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwani wakati wa magufuli walikua hawafanyi

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 2 ปีที่แล้ว +4

    Majaliwa wafaa mno fanya kazi

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 ปีที่แล้ว +2

    Mi sihitaji hata kukupongeza mh kwa hatua hii uliyoichukua.maan ht ninyi huko mnaupiga mwingi ten hadi unamwagikia naona km umewaonea ungeanza na mapapa ndio urudi kwa dagaa hawo wamechukua hela ya kulipia ada watoto wao tu maan shule ndio zimefunguliwa

  • @floraleonard9095
    @floraleonard9095 ปีที่แล้ว +3

    Mdomo nyamaza!!, Mungu tunaomba kibali kutoka kwako utupatie viongozi sahihi kama hawa.

  • @theuniversetv2870
    @theuniversetv2870 ปีที่แล้ว +1

    Watakaompa kura huyu jamaa akisimamishwa 2025 like hapa

  • @jamessimbaire3016
    @jamessimbaire3016 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kazi iendelee kasimu majaliwaa

  • @wakalimediatz
    @wakalimediatz ปีที่แล้ว

    Mungu akuweke Mh. Waziri mkuu

  • @edisonpeter3894
    @edisonpeter3894 ปีที่แล้ว +1

    JPM tutakukumbuka daima aiseeee

  • @erickwilliam6610
    @erickwilliam6610 2 ปีที่แล้ว +5

    Ila ukweli huna nguvu kwa sasa lazima utulie tu aliyeko juu hawezi kujusaidia

  • @mrndundugurushi9782
    @mrndundugurushi9782 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa majaliwa yupo vizuri Siku zote mfumo umebadilika ndio maana hatumsikii huyu ni roho ya Magufuli aiseee tunakuombea sanaaa muheshimiwaa piga kaziii

  • @medsonulendo4221
    @medsonulendo4221 ปีที่แล้ว

    Waziri mkuu mh kasimu majaliwa mungu akutie nguvu tunaitaji na Tanzania ya kesho

  • @emmanuelerasti2405
    @emmanuelerasti2405 2 ปีที่แล้ว +2

    Bebaaaa

  • @sarahsimon8060
    @sarahsimon8060 ปีที่แล้ว +3

    Huyu ndo anatakiwa kuwa raisi wetu Tanzania ana uchungu na pesa za wananchi wengine wanafoji vyeo

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว +3

    Wewe ndiyo ulifaa kuwa Rais ndugu majaliwa

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 ปีที่แล้ว

    Yaani hawa Sukuma ndani,😭😭😭😭😭😭 tukimkumbuka Burudoza Tuacheni tu.

  • @diamondgeyser7987
    @diamondgeyser7987 ปีที่แล้ว

    Big up PM

  • @crisndembwele4016
    @crisndembwele4016 ปีที่แล้ว

    Daah MUNGU anaona Tozo tutozwe sisi arafu watu wanapiga pesa kirahisi namna hii😥😥😥Inauma arafu tukiongea mnasema sisi sio wachumi kweli kwenye kiband km hiki million 11... Hata 9 wamepiga hapo ni million 3 au 4.

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 ปีที่แล้ว +1

    Jifunze hukmu za quran gusa maandishi ya bluu hapa chini kama hautojali
    th-cam.com/channels/iIyK3R72QZNvRlzWezWIKw.html

  • @saidgoryo999
    @saidgoryo999 2 ปีที่แล้ว +3

    Duuuh hesabu kali hzo😄😄😄

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 2 ปีที่แล้ว +5

    Waziri nchi ilikuwa imepoaa Sana tokea chuma kiingie kutu- yaan "JPM mzalendo",pia ulianza kuonyesha kazi huko Mwanza kwenye meli,wakorea walipotaka kusepa🤔😩

  • @ulafim2719
    @ulafim2719 2 ปีที่แล้ว +1

    Love 💕 Ep Is Out Now
    th-cam.com/play/PLbFrAz29154WDEtvrThiA_fqUz0jUtKVd.html

  • @shebbythespyro5393
    @shebbythespyro5393 2 ปีที่แล้ว +3

    Dah kibanda million 11 eti huko 1 wa cement inatoa tofali 25 hamna ni tofali 35 hadi 40 hao waizi jamani nipeni mm kazi 2jenge taifa nitafanya budget hili tujenge taifa ye2

  • @erickwilliam6610
    @erickwilliam6610 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole baba

  • @ahmadiomari6913
    @ahmadiomari6913 ปีที่แล้ว

    Asanteeeeeeeeeee
    We sambaani tunakuita taaateeeeee
    Baba lao
    Endeleza ukali sisi bila ukali hatuendi tunakula pesa had mwisho

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter ปีที่แล้ว

    Huyu Engineer alikuwa back bencher darasani 😂😂😂

  • @malachcomedy4788
    @malachcomedy4788 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ndo Rais ajae naiona Tanzania yangu

  • @jerelkhondwani7165
    @jerelkhondwani7165 ปีที่แล้ว +1

    Watanzania haya ni maigizo tuu. Watu wanapiga mamilioni mbona hawasemi, huu ni unafiki tuu, siungi mkono upumbavu kama huu, watuambie wanaoiba mamilioni wamechukua hatua gani???

  • @suleamberforreal7401
    @suleamberforreal7401 ปีที่แล้ว +1

    The real replacement of JPM 😥

  • @ezekielmatondane714
    @ezekielmatondane714 ปีที่แล้ว

    Kazi ienderee

  • @sherryeverest2522
    @sherryeverest2522 ปีที่แล้ว +2

    Nimekumiss Magu wetu pesa zetu zinaliwa na wanaojiona wajanja wakati sis hata mlo mmoja tu unatusumbua

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 ปีที่แล้ว +1

    Mh mnayaona ayo ya ujenzi ila yenu ya tozo za simu na kodi za luku kila mwezi ila muizi akibiwa na muiz mwenzie ukasirika

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 ปีที่แล้ว

    Mhe.Waziri Mkuu ongera sana,hicho kibanda wamekula fedha hapo,ela hizo nyingi sana sio kwa kibanda hicho.

  • @menovicmushy1032
    @menovicmushy1032 ปีที่แล้ว +1

    Usichoke MKUU wananchi tuna macho,hata kama hatuna pa kusemea

  • @tatoorashedi1787
    @tatoorashedi1787 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁😁😁😁 umenichekesha sana waziri wangu pole kwa kazi ngumu .ulikosea kurudisha wafanyakazi hewa

  • @juliusjoseph4889
    @juliusjoseph4889 ปีที่แล้ว +1

    Majaliwa ndio mtu sahihi kwa nchi yetu ya Tanzania

  • @directoridd5893
    @directoridd5893 ปีที่แล้ว

    Mweshimiwa good tabora ni wezi kila sector fuatilia vizuri

  • @jacksonmkuye7739
    @jacksonmkuye7739 2 ปีที่แล้ว +3

    Ao ndio wanatuvunja moyo ata kukatwa tozo

  • @Catherine-u6g
    @Catherine-u6g ปีที่แล้ว

    Mungu akubark

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 ปีที่แล้ว

    Nchi hii ni shida kubwa kwenye utumishi !! Sasa hapo hadi PM aseme !? Wengine wapo wapi??

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 ปีที่แล้ว +1

    Waacheni watu wanapiga mabilion mnawajua na humuwasemi mtu kapiga kidogo povu linawatoka

  • @idyjumanne9796
    @idyjumanne9796 2 ปีที่แล้ว +1

    Tozo zetu hizo watu wanakula Kwa urahisi Bora ziondolewe zte

  • @fredyemmanuel4303
    @fredyemmanuel4303 ปีที่แล้ว

    Kalio la choo arobaini fanya laki duu kweli amewamulia

  • @alonhappy9906
    @alonhappy9906 ปีที่แล้ว +1

    Honqera wazii mkuu wetu

  • @fadhilidini1181
    @fadhilidini1181 2 ปีที่แล้ว +5

    mwamba wa uma tunakutegemea

  • @maryjoseph6973
    @maryjoseph6973 ปีที่แล้ว +1

    Waziri mkuu wanatutania hao hakuna hicho ,Sheria ichukue mkondo wake

  • @donaldelias6689
    @donaldelias6689 2 ปีที่แล้ว +1

    Sio kwel laki 6 boma zima haitoshi.mbona hampgiii hesabu za fundi?

  • @fraviansweetbert2703
    @fraviansweetbert2703 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Kila kher

  • @johnsolo6709
    @johnsolo6709 ปีที่แล้ว

    Piga Kasi baba tupo nyuma ako me/majaliwa ulifaa kuwa rais wa inchi hii mungu akutangulie kwa ufatiliaji walk mzuri ulio tukuka atujui atima ya miradi na rasilimali za taifa toka jpm atutoke uwajibikaji kwa Sasa umekuwa mwiba.

  • @norbertmuze8891
    @norbertmuze8891 2 ปีที่แล้ว +2

    Lkn gharama mbona ni mulemule! Nyumba zinazotajwa kwa gharama chini ya mil 50 haziwezi kuwa na standard.

  • @joshuajofrey9832
    @joshuajofrey9832 2 ปีที่แล้ว +3

    Iyo mbona yakitambo afu Millard

  • @hidnakirungi3381
    @hidnakirungi3381 ปีที่แล้ว +1

    Yaaan zunguka wazir wetu mtihan sana wengi wapgaj PTA kra kata ukague!

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 2 ปีที่แล้ว +1

    Aya Mambo mtayaona sehemu nyingi Sana kwasababu baada ya jpm kufariki watu wa kupiga dili ni wengi Sana tena nchi nzima.sisi uku mnatutesa na tozo.

  • @mathewmathayo212
    @mathewmathayo212 ปีที่แล้ว +1

    Hicho kibanda chenye gharama ya millioni kumi na moja ingekuwa enzi ya jpm kilikuwa kinaondoka na mkuu wa mkoa hiyo ni lazima angetumbuliwa ninavyomjua yule mzee tena jana hiyohiyo saa mbili usiku

  • @omarkipotwile9052
    @omarkipotwile9052 2 ปีที่แล้ว

    Hayo maswali unajifunga mwenyewe wao kazi yao kugonga nyundo tu

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 2 ปีที่แล้ว +3

    Wafungwe

  • @mariamobedy9898
    @mariamobedy9898 ปีที่แล้ว

    Daaaa kwa mtindo huu hatutaika kabisaaa

  • @florakweyunga4490
    @florakweyunga4490 ปีที่แล้ว +1

    Haaaah,Wazir wetu tunakupenda saana.lakini bana....MACHOZI yetu Kwa JPM Mpaka Sasa HAYAKAUKI.Eee Mungu mlinde Wazir wetu,MAJALIWA.

  • @sultansallah8772
    @sultansallah8772 2 ปีที่แล้ว +1

    Ivi kuna fund bongo anajenga mfumo matofal 25

  • @stivinmlelwa9860
    @stivinmlelwa9860 ปีที่แล้ว

    Majaliwa hongera ndoo tunachotaka watanzania tumeumizwa sana na huo UFISADI, wizi wa fedha za umma..

  • @papaamasauti1973
    @papaamasauti1973 ปีที่แล้ว

    Engineer katupiga