KAMATA SUKUMA NDANI HAO NDIO WENYE KUMGOMBANISHA MHE RAIS DKT SAMIA, NA WANANCHI, PESA ZA SERIKALI WANAKULA PAMOJA NA FAMILIA ZAO WANANCHI HAWAPATI MAJI.
Waziri ni vizuri akiwa wa taaluma ya wizara hiyo hawezi kudanganywa; ikikosewa akawekwa waziri katika wizara ambayo siyo taaluma yake atadanganywa sana.
Watu wachache hawataki mambo ya msutano utasikia haki za binaadamu wameshazoea ubabaishaji na wizi na wako watu watu kama hawa wakifichuliwa wachache wanawagombea na wanawatetea
Huyu waziri wa maji na Mh Makonda ndo wanaofanya kazi kwa vitendo. Maana watumishi wa serikali wanachezea Sana maisha ya Watanzania. Uongo mwingi kupitisha viongozi maeneo ambayo sio ili tu wawaridhishe viongozi Sasa akipatikana kiongozi mjanja anajua mbinu hizi za hovyo. Hivi kwa nn huwa watumishi huwa mnafanya haya yote si muondoke muache hizi kazi jmn watu wengine wafanye wenye dhamira ya dhati kuwatumikia wananchi
Watu kama nyie ni waajabu saana yaani mambo ya udanganyifu na wizi wewe unamuona Waziri anahasira si ndio pumbavu kabisa ndio nyie hamtaki safari yetu tufike
Mheshimiwa ata monduli kunamgogoro wa maji kati ya Kijiji cha olarashi na mlimani na wananchi wa Kijiji cha olarashi baathi wamekamatwa wakiwemo wa mama tunaomba utusaidie mweshiwa waziri plz tunanyanyaswa na viongozi wa monduli
Chapa kazi Waziri wa Maji, Hawana watu wenye matumbo makubwa sijui wana shida gani, Wana tamaa sana. Lowasa alikuwa Waziri Mkuu ila akashindwa kuweka maji kwao Monduli, Sumaye naye alikuwa Waziri Mkuu akishindwa kufanya maendeleo kwao Hanang. Raisi Magufuli endelea kujenga Chato ili uwe mfano bora kwa hawa Viongozi wengine wajifunze kupeleka maendeleo kwao badala ya kulemea Dar es Salaam tu.
Waziri moshi kijiji cha mabungo hakuna maji jua kali miti utaoteshaje hakuna maji upepo mkali kwa sababu hakuna miti tunakuomba uje hapa mlima wa mabungo kijiji cha kilindini hata umeme tu hakuna waliondoka na nguzo wakapita wanasema hatukusema tusaindie kumwambia waziri wa nishati tumeachwa tuanze kununua nguzo wenyewe
Kila kata ya raiya wa Tanzania wanatakiwa watume malalamiko yao (maoni yao) kwa Raisi kata ambazo hazina maji , hospitali, shule barabara na n.k mkifa hivyo yatafanyiwa kazi siyo mnangojea mpaka viongozi waamuwe . Mari zote za Tanzania Madini,gesi,wanyama,milima,maziwa,mito na n.k ni mari ya waswahili wa Tanzania . Mungu ibariki Tanzania
Waziri sisi tunateseka sana maji hakuna moshi kijiji cha mabungo tumeotesha miti imekauka waziri uje ututembelee uone shida tuliyonayo na bili inakuja ukifungua upepo unatoka hakuna maji uje waziri,,, karbu sana na mjini moshi nauli mia tano
Unakuta mtu anakula mshahara wa kodi za wananchi Lkni kutumika kwa wananchi Hakuna, kukaa kuongea hovyo maofisini kujibu watu hovyo na kujiona wao ndo wamesoma wanajua kula pesa Sana, miradi inakufa badala yake wananchi wanabaki kuilaumu serikali kumbe baadhi ya matumishi ndo mabovu
Mheshimiwa waziri pongezi xana, lakini naomba uje pia huku kata ya ilkiding'a tuna changamoto xana xana kijiji cha ilkisonko tumeanza kuambiwa tutalipia maji kila kaya na maji yenyewe hatuna tafadhali njoo
Watakoma when JPM is in Power , weldone Aweso 🇬🇧🇬🇧🇬🇧🙏🙏🙏
God bless you my king,unaitendea haki kazi yako🙏🙏. May God bless TZA.
Uko vizuri aweso mwenyezi mungu akuongoze katika kazi yako
Mh Aweso Mungu akubariki sana
Fukuza hayo majinga jinga hayafanyi kazi wamejaza tu matumbo yao hapo pumbavu sana.
Aweso mungu akujalie umri mrefu uwe raisi wa Nchi hii Iko vizurii
Asante sana Mh Aweso...wasi wasi wangu unaweza kuonekana hufai kwa Maamuzi yako maana wa tz hawana Dogo..but piga kazi yako
hakika aweso mungu aendelee kukutunza nakukupahekima. hongera sana
Mungu akubariki mkuu
Waziri naKuombea Mungu akulinde. UNATENDA HAKI
KAMATA SUKUMA NDANI HAO NDIO WENYE KUMGOMBANISHA MHE RAIS DKT SAMIA, NA WANANCHI, PESA ZA SERIKALI WANAKULA PAMOJA NA FAMILIA ZAO WANANCHI HAWAPATI MAJI.
Allah akutunze kiongozi🙏🙏🙏🙏🙏
Uwiiiiiii mungu wzngu pole kakaangu kipnz nevili daudi ndepachio msaki pole sana mwenyez mungu akutie nguvu kipind hiki kigumu
Uko vizuri kaka unasimamia vizuri wizara yako ya maji Mungu akubariki
Nimeliona jitu, ku u u bwa ! Jizi ! !
Masikini mama Tz
namuona magufuri Kwa kimvuri Cha aweso barkiwa sana
Waziri ni vizuri akiwa wa taaluma ya wizara hiyo hawezi kudanganywa; ikikosewa akawekwa waziri katika wizara ambayo siyo taaluma yake atadanganywa sana.
Allah akurinde we waziri na madui wasio pesa tzd jmn watu wananepeana kwa pesa za wananchi
Good job..Waziri
Kazi ipo Waziri Mungu akutie nguvu na akulindea
Well done minister, your doing for your fellow Tanzanian and not otherwise, those with big stomach always like being selfish and feeding their hunger😎
Karibu Tunduma
Safi sanaa imeipenda iyo
Daaaah juztuu kufa kwamzee wakazi mzee magufur teali mshaanaza wizi
Duh inawezekana Tanzania ya sasa ikawa ndio inchi ya ahadi iliokuwa ikisubiriwa.
Sanaaaa
Watu wachache hawataki mambo ya msutano utasikia haki za binaadamu wameshazoea ubabaishaji na wizi na wako watu watu kama hawa wakifichuliwa wachache wanawagombea na wanawatetea
Asante sana waziri kwa uthubutu wako wamezoeya kufanya ubazilifu wa fetha za kodi za walala hoi safi sana.kwanza amezeeka sana huyo.
Safi sana
Hatari sana waziri kazi nzuri
Siku zote tumbo likiwa kubwa Sana kuzidi Kichwa shida sana
Nice my brother Waziri wa Maji.
Jumaa Awesoo Umetisha kinomanoma!
You deserve to be a leader,congratulation bro
hapo sawa sawa aweso na bili za maji arusha ni kubwa sana mheshimiwa angalia na hilo.pia
Safi sana wanazid mno
Safi juma awesu Mungu akulinde tunakuombea
Safi hatutaki wa baba ishiji
Sawa viongozi nawapata vyema mungu awabaliki sana nakazinjema
Aweso piga kazi kama magu
Hongera na speaker ndugu
Tukusikie.
Kazi kazi Mh Awesu safiii msaidieni Mh Jpm na co hapo karibu wilaya nyingi mambo ni hovyo
HAPA KAZI TU wanaochemka wakae pembeni Safi Sana waziri wa maji
Waziri wew kwani mpaka uitwe au unakwenda kwaratiba ipi njoo mtwara uje uzunguke Halimashauli yamji Nanyamba ujionee madudu huku yanayofanywa nakamati hizi zamaji niia unayopita mungu aingazie na akutolee magumu yoote
Good
yaani ela zinazotolewa kweny hii miradi,is unbelievable ,wanalea vitambi tu kudadeki...
Huyu waziri wa maji na Mh Makonda ndo wanaofanya kazi kwa vitendo. Maana watumishi wa serikali wanachezea Sana maisha ya Watanzania. Uongo mwingi kupitisha viongozi maeneo ambayo sio ili tu wawaridhishe viongozi Sasa akipatikana kiongozi mjanja anajua mbinu hizi za hovyo. Hivi kwa nn huwa watumishi huwa mnafanya haya yote si muondoke muache hizi kazi jmn watu wengine wafanye wenye dhamira ya dhati kuwatumikia wananchi
Nchi hii raha sana
Mama Samia nipe nafasi nikusaidie sector ya maliasili na utalii na mm. Nia, sababu na uwezo wa kufanya kazi ninao.
Hongera mhe Waziri lkn kubwa zaidi kama damage ni kubwa zaidi ni kwamba inapendeza watu wakilipa
Kuna Wizara Ukijichanganya Imekula Kwako, Wizara Ya Bashe, Slaa, Awesu Na Zingine Chache
Aweso umetisha Bro.....
Mheshimiwa tafadhali nenda Mwanza wilaya ya ilemela kuna shida ya Maji haijawahi tokea kuna majipu uchungu
Safii sanaa mh jumaa mtoto wa awesso piga kazi
Aweso uko sawa. Hata urais unafaa
A real leader 🇹🇿
Njoo arusha arumeru waziri pls
Awesooo,Awesoo!!Kweli ninakukubali
Aweso
Nauona moto wa JPM angalau 🔥👍
Mpaka nimecheka huyo aliyenenepeana kwa kula pesa za wananchi anaondoka aibu imemjaa 😁😁
Jambo La Kushangaza Tanzania Shida Ya Maji 😢
Kazi kweli kweli! Jmn watanzania tubadilike
RIP JPM ulitaka kutupeleka nchi yenye asali na maziwa.
Aweso Waziri namba mmoja wa Rais Samia Suluhu Hasssni.
Huyu ni Mwanafunzi halisi wa Hayati shujaa wa Afrika Joseph Magufulu. Endelea
Kabisa miaka yijayo akitoka laisi mama yetu madarakani gobea uraisi mayimani utapata ushidi 🙏
Yaani waziri kakonda kwa stress za maji,injinia yeye kitambi ndiii
Njoo wilaya ya monduli kijiji cha lashaine
Bongo wasimamizi wa miradi weziwezi sasa lazima itafutwe muafaka wa kuzibiti toka enzi ya nyerere.
Viongozi Vijana wangu, punguzeni usela, hasira binafsi huwa hazijengi Nchi...
Sio hasira ila kudanganya ndo sababu.
Watu kama nyie ni waajabu saana yaani mambo ya udanganyifu na wizi wewe unamuona Waziri anahasira si ndio pumbavu kabisa ndio nyie hamtaki safari yetu tufike
Waziri hao watendaji wahuni
Uje na morogoro tunaibiwa sana na watu wa maji matumizi ya nyumbani bili elf 60 na maji katika mwezi yanatoka siku 12 adi 15 tunaibiwa sana
Mheshimiwa ata monduli kunamgogoro wa maji kati ya Kijiji cha olarashi na mlimani na wananchi wa Kijiji cha olarashi baathi wamekamatwa wakiwemo wa mama tunaomba utusaidie mweshiwa waziri plz tunanyanyaswa na viongozi wa monduli
Chapa kazi Waziri wa Maji, Hawana watu wenye matumbo makubwa sijui wana shida gani, Wana tamaa sana. Lowasa alikuwa Waziri Mkuu ila akashindwa kuweka maji kwao Monduli, Sumaye naye alikuwa Waziri Mkuu akishindwa kufanya maendeleo kwao Hanang. Raisi Magufuli endelea kujenga Chato ili uwe mfano bora kwa hawa Viongozi wengine wajifunze kupeleka maendeleo kwao badala ya kulemea Dar es Salaam tu.
Chapa kaz wazir
🎉
Uweaao nakuaminia hudanganywi hakikatungepata watukamahawanchiingeendambalisana hongerasana
Aweso piga kazi, but usisahau chuo cha mipango wale mama ntilie uliokuwa unakula wakati unasoma maji yanasumbua sana
Mzee mjinga ana mwanga unga kalale mzee
Hayo majizi,yamenenepa hela za wanachi.
Shida ya maji tz. Lake Victoria lake Tanganyika lake nyasa you name it
Waziri fanya mpango was kukutana na viongozi wa (W,U,A,) usikie cangamoto zao
TANGA BOY IS GOOD,
Wote wawili matapeli wanakula hela na vitambi vyao.asante Sana wamekamatwa
Waziri moshi kijiji cha mabungo hakuna maji jua kali miti utaoteshaje hakuna maji upepo mkali kwa sababu hakuna miti tunakuomba uje hapa mlima wa mabungo kijiji cha kilindini hata umeme tu hakuna waliondoka na nguzo wakapita wanasema hatukusema tusaindie kumwambia waziri wa nishati tumeachwa tuanze kununua nguzo wenyewe
Kila kata ya raiya wa Tanzania wanatakiwa watume malalamiko yao (maoni yao) kwa Raisi kata ambazo hazina maji , hospitali, shule barabara na n.k mkifa hivyo yatafanyiwa kazi siyo mnangojea mpaka viongozi waamuwe . Mari zote za Tanzania Madini,gesi,wanyama,milima,maziwa,mito na n.k ni mari ya waswahili wa Tanzania . Mungu ibariki Tanzania
Pambana watanzania wanakubali mchango wako nyinyi ni askari wa myavuli wachama cha mapinduzi, mama samia anawapiganaji wakutosha kumvusha 25_ 30
Kashiba na pesa za watu wanenepeana wananchi wanateseka
Kijana safi wa JPM..
Kijana aweso unatisha sana
Waziri sisi tunateseka sana maji hakuna moshi kijiji cha mabungo tumeotesha miti imekauka waziri uje ututembelee uone shida tuliyonayo na bili inakuja ukifungua upepo unatoka hakuna maji uje waziri,,, karbu sana na mjini moshi nauli mia tano
Meneja huyo anafanyia tumbo lake mwangalie alivyo
NJO NA KONDOA UONE
UJE NA KONDOA WAZIRI UONE
Waone sura zao
Kwa hii mama sjui kama wew huwez kua mkali j.p.m hakupenda kua mkali ni kama hiivi
Jenn SILAHA aludi ardhi
Sauti pls
mheshimiwa Aweso mbona hauji Mwanza Misungwi
Magari ya kifahari lkn maji ya kunywa hamna, ushuzi mtupu
Njoo na biharamulo
Du kumbe serikalini ukiingia cha kike hata kama anayekwambia ni mdogo badala yake mkubwa unageuka mdogo tena
Uje na Morogoro baba mjin hapa maji ni mateso mala yatoke mala hamna shida tupu tunanunua maji dumu 500
Kuna haja YA Kuwa Waziri kamali wa.maji.
HAO WEZI WALIOPITILIZA WEKA NDANI TU HAKUNA DHAMBI
Unakuta mtu anakula mshahara wa kodi za wananchi Lkni kutumika kwa wananchi Hakuna, kukaa kuongea hovyo maofisini kujibu watu hovyo na kujiona wao ndo wamesoma wanajua kula pesa Sana, miradi inakufa badala yake wananchi wanabaki kuilaumu serikali kumbe baadhi ya matumishi ndo mabovu
Mtu ana kitambi kuliko Waziri?
jamani mke wake kajifungua,msameheni
NAONA KAMA NYOTA YA UWAZIRI MKUU KWA AWESO INAKUJA KWA UHATARI SANA.