WALIOINGIA KWENYE 18 ZA WAZIRI AWESO WAKIPATA CHA MOTO “ASKARI KAMATA HUYU”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ค. 2021
  • Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewatia mbaroni Mhasibu na Mwenyekiti wa Jumuiya ya watumiaji Maji wa kijiji cha Berege kilichopo Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma baada ya kubaini ubadhirifu wa fedha katika jumuiya hizo ambapo pia ameagiza kuvunjwa kwa Jumuiya hiyo na kutaka jumuiya zote nchini ziundwe upya kwa kuzingatia uwepo wa wataalamu wa maji na wahasibu wenye Taaluma.
    Waliotiwa mbaroni na kupelekwa kuhojiwa katika kituo cha Polisi Wilaya ya Mpwapwa ni Scolastika Simbangulu, ambaye ni Mhasibu na Gideon Chesco Mwenyekiti wa Chombo cha watumiaji maji.
    Aweso amesema jumuia hizo zimegeuzwa kichaka cha watu kugawana fedha hali inayozorotesha upatikanaji wa maji hivyo kila Jumuiya nchini zinapoundwa zizingatie uwepo wa watu wenye utaalamu ili kuepusha ubadhilifu wa fedha za maji.

ความคิดเห็น • 145

  • @eliakazana7252
    @eliakazana7252 3 ปีที่แล้ว +7

    Ukushiba chezea kidevu chako na tumbo lako,,gongs like kwa mheshimiwa wazr WA maji!

  • @shambaiddi4984
    @shambaiddi4984 3 ปีที่แล้ว +6

    Mwenyezi mungu akuongozee asiye kuwa na macho haaambiwi tizamaa kazi nzuri brother oweso unajuwa na unatimiza wajibu wako wa kazi

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว +1

    Muishimiwa uwesu Mungu akulinde na kila Shari unaifanya kazi vizuri hadirah WA TZ tunafarijika kumbe wapo waaminifu watendahaki Uwesu💕💕💕💕💕

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว +3

    Sana a
    Mhe aweso tia ndani mijizi mingi iko kwenye dawasa njoo na huku mkoa wa pwani kibaha

  • @ameenaabdood2974
    @ameenaabdood2974 3 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana Raisi wa kesho ndotunataka wt km nyinyi safisana

  • @mathayonyerera3144
    @mathayonyerera3144 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana AYO MEDIA mmekuwa mkitupatia habari za ukweli na uhakika!!👏❤

  • @donardmsomi8451
    @donardmsomi8451 3 ปีที่แล้ว +3

    Kila nikiiona sura ya Aweso, naiona Tanzania mpya 2030 inakuja, Mwenyezi Mungu naomba Umpe afya njema Aweso,...

    • @sadickshabani2271
      @sadickshabani2271 2 ปีที่แล้ว

      Uraisi unamufaa Sana waziri juma 2030/ gobea uraisi mungu akupatie afya njema na maisha malefuu 🙏

  • @kadigatanzaniya4792
    @kadigatanzaniya4792 3 ปีที่แล้ว +2

    Safii sana kaka yangu kazi iendelee mungu akuongoze l nshaallah

  • @hadijaalpha7547
    @hadijaalpha7547 3 ปีที่แล้ว +2

    Mueshimiwa uje na huku Arusha pls bill laki sisi wazee stress zinatuuwa 😢

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 ปีที่แล้ว +1

    MHASIBU Huyu na wala hajui hesabu,halafu pumba kweli.

  • @eliakazana7252
    @eliakazana7252 3 ปีที่แล้ว +2

    Mheshimiwa Awesso nakukubali sana

  • @alphoncembasa1775
    @alphoncembasa1775 3 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana waziri .

  • @evaristlucas6338
    @evaristlucas6338 3 ปีที่แล้ว +1

    Very nice aweso umecheza nafasi yako vizuri sana hii ndo maana ya msaidizi wa raisi

  • @Jal210
    @Jal210 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi waziri mambo mazuri sana tumbua hawa, wafilisiwe na funga iwe mfano kwa wengine

  • @abuumbegu8657
    @abuumbegu8657 3 ปีที่แล้ว +2

    Aweso unauwezo mkubwa wa kusimamia, safi sana.

  • @mkombwemkumbwa2305
    @mkombwemkumbwa2305 ปีที่แล้ว

    Ongera kwa kazi zuri

  • @oscarkasalile8442
    @oscarkasalile8442 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana wazir mzalendo

  • @josephatjordan5560
    @josephatjordan5560 3 ปีที่แล้ว +3

    Tanzania ndio nchi Pekee ambayo watu wao hawataki kubadiriki na hawaitaji kusaidiana na serikali

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akutangulie.waziri wetu

  • @user-cc4jk1ll5v
    @user-cc4jk1ll5v 7 หลายเดือนก่อน

    Awessoooooooooooo hongerasana sukumandani

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaaah waziri sukuma ndani hao weziwakubwa haoo

  • @saidramadhan71
    @saidramadhan71 ปีที่แล้ว

    Mweshimiwa mwenyezi mungu akupe maisha marefu zaidi hapa Duniani kwani wewe ni mwamba

  • @kabwikaibrahim9502
    @kabwikaibrahim9502 ปีที่แล้ว

    Thanks!!

  • @joramkaganda976
    @joramkaganda976 3 ปีที่แล้ว +2

    Kazi iendeeee

  • @ezekieljacob5795
    @ezekieljacob5795 3 ปีที่แล้ว +1

    Mkuu waziri nimecheka hadi machozi hii ya leo naomba iwekwe kwenye documentary au ichezwe movie au wasanii wetu wa nyimbo basi watunge wimbo.Mhasibu nionyeshe mahesabu tangia uliposhika ofisi... jibu aliyekuwepo alikimbia.waziri aaa ya kwako achana na aliyekimbia .HII NI BONGE LA MOVIE
    ..

  • @fadhilidanieli1478
    @fadhilidanieli1478 14 วันที่ผ่านมา

    Daaaaah huyu dada imebidi amwage mchozi,ila haijasaidia

  • @mariamgodfrey53
    @mariamgodfrey53 3 ปีที่แล้ว +1

    Hizi ni zama nyingine tafuteni pa kuibia watu wamekua waelewa Sana sasa ngoja muipate dawa yenu mheshimiwa tambaa nao hao tumechoka mhasibu mwenyewe hajielewi yeye pia mwizi

  • @deuspaschal7616
    @deuspaschal7616 2 ปีที่แล้ว

    Nakukubali wazili,pia nilitaman Uwe waziri full

  • @SaudaLilandi-tg4wi
    @SaudaLilandi-tg4wi 10 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana waziri kama juma hawesu nakubali sana

  • @aminibungara5158
    @aminibungara5158 2 ปีที่แล้ว

    Watanzania tunapenda kiongozi kama huyu safi sana mungu ajalie

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 ปีที่แล้ว

    Waziri unapambana sana Watendaji wako wanakuangusha sana .Komaa nao .Pesa za Miradi inaliwa sana

  • @dearmama7865
    @dearmama7865 9 หลายเดือนก่อน

    Awesu mungu akuweke

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 ปีที่แล้ว

    Mwenyekiti na mhasibu mungu anawaona

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu naye ni kelele nyingi, mifumo na mabommba mengi yametandazwa mvua zinanyeshalakini mabomba hayana maji. Huku ni Majohe, Ilala dsm

  • @user-cc4jk1ll5v
    @user-cc4jk1ll5v 7 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa toaamri makusanyoyote yafanyike kwakulipa na cotrl namba wesipokee pesa mkononi

  • @thomasmakweta1007
    @thomasmakweta1007 2 ปีที่แล้ว

    Safiii sanaaa Aweso

  • @emmanuelelam555
    @emmanuelelam555 3 ปีที่แล้ว

    Jaman pesa ya uma haichezewi bado hamjui mbaka Leo weka ndani hao najua waziri unatimiza majukum yako mungu akujalie

  • @stephencharles2967
    @stephencharles2967 2 ปีที่แล้ว

    Me huwa najiuliza viongoz wengine kama DC,mkurugenz na wakuu wa idala huwa wanafanya kaz gan mpka waziri ndo aje kuona madudu haya

  • @jumaabdala7530
    @jumaabdala7530 2 ปีที่แล้ว

    Angekuwa Magufuli baba hapo ww mama usinichekee mm sichekewi tunahitaji pesa za wananchi onyesha hapa utazitapika Kama ulizila

  • @deoluma1706
    @deoluma1706 2 ปีที่แล้ว

    Huyu ni wazir kweli kweli.yaan nikimuona nafarijika Kwan nahc magufuri anaishi

  • @edisonmaliva1719
    @edisonmaliva1719 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana aweso

  • @fatmaalwiy7651
    @fatmaalwiy7651 ปีที่แล้ว

    Tunataka na wazuri wa mazungira waseme hela za taka wanakusanya na gari haiji kumchukua nataka hawaji pesa zinaenda wapi kila mwezi wanachukua hela kila nyumba

  • @laulymo2063
    @laulymo2063 3 ปีที่แล้ว

    Uweso nakukubali sana mpambanaji 🙏

  • @perepetuarwabona4178
    @perepetuarwabona4178 3 ปีที่แล้ว

    Kazi iendelee

  • @rajabulipongo4135
    @rajabulipongo4135 2 ปีที่แล้ว

    Mm nakupa taarifa mana mh wetu Abdalaa chikota naona anachelewa kukuambia njoo hapa Nanyamba mtwara Kijiji cha HINJU hali hiyo ipo nabado wanchi tunashida yavirula nahatuvipati sehemu nimoja tu inayopatikana maji sasa mh Juma Uweso njoo utusaidie chonde chonde

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 ปีที่แล้ว

    Bekegee oyee safiii

  • @kalengemochi9471
    @kalengemochi9471 3 ปีที่แล้ว

    Aibu sana kwa kweli

  • @oscargmosha3108
    @oscargmosha3108 2 ปีที่แล้ว

    Mh juma awesome nimejikuta nakuhusudu sana sikua nakufaham wala kukufuatilia vizuri ila sasa nimepata matumaini mapya nimekutazama kwa macho ya ndani nimekuona .hakika wewe ni timing la wa Tanzania hata kwa miaka ijayo nitakuombea sana kwa mungu kilasiki sitoacha kukuombea ili mumgu akulinde na akuepushe na maadui wasikukaribie kabisa

    • @yohanabundala9162
      @yohanabundala9162 ปีที่แล้ว

      Juma aweso waziri wa maji na Dotto biteko waziri wa Madini wako vizuri sana jaribu kuwafatilia uone

  • @user-cc4jk1ll5v
    @user-cc4jk1ll5v 7 หลายเดือนก่อน

    Awesso nchihii nishida watumishi wanakwibasana

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 ปีที่แล้ว

    Ndio mh pita kote maanake kuna pumba hatari.

  • @rosemayunga4021
    @rosemayunga4021 ปีที่แล้ว

    Nyie wakuu mnawaweka mambumbu mradi mkubwa huu wakati wasomi wapo msiwafunge waacheni huru

  • @ExcitedPicturesqueLake-uj8ve
    @ExcitedPicturesqueLake-uj8ve 2 หลายเดือนก่อน

    Mh: aweso njoo na ileje

  • @johnassey170
    @johnassey170 3 ปีที่แล้ว +1

    Kijana wangu aweso pambana kwenye jumuiya za maji kuna ufisadi kinoma

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 3 ปีที่แล้ว

    Chapa kaz kijana mie nakukubali SANAAAAA

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 ปีที่แล้ว

    Ujishiba chezea kidevu siyo miadi 😁😁😁

  • @zakiamsafiri123zakiamsafir7
    @zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani kunawatu hawana huluma na watanzania maskin

  • @mamaafrika1481
    @mamaafrika1481 3 ปีที่แล้ว

    Safi dana

  • @user-cc4jk1ll5v
    @user-cc4jk1ll5v 7 หลายเดือนก่อน

    Amlisha kute walipe kwa cotro nombayaserikali

  • @nkeyembampenda898
    @nkeyembampenda898 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona hauji kigoma sisi tumesahaulika

  • @ndagamwesa9955
    @ndagamwesa9955 ปีที่แล้ว

    Kumbe magu hajafa yupo safisana mwamba. wanyooshehao unauwezo wakuongoza

  • @allymapinda8804
    @allymapinda8804 3 ปีที่แล้ว

    Ila hii nchi yetu inaendeshwa Kiswahili swahili sana, huwa wanasubiri mpaka balaa litokee Ndio viongozi waje kuanza kukamata kamata watu. Wekeni mifumo ya ki elektroniki. Lasivyo hakuna kitu hapo...

  • @DM_15
    @DM_15 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakokadada kamanakaonaivi kanavyo pitana toyo kuelekea oficeni namchana kanaagiza chips hukukanapeluz TH-cam

  • @alihu3752
    @alihu3752 3 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania ni nchi ambayo ina watu hawapo tayari nchi ibadilike dunia nzima watu wameendelea kwa kushilikiana vyema na serikali watu wanaokwamisha miradi kwa makusudi harafu wananchi wanaangaika tu vitu vya ajabu miradi yenu badala kichunga unafikili watu akili hazifsnyi kazi

  • @ndagamwesa9955
    @ndagamwesa9955 ปีที่แล้ว

    Jaman huyu mbina anauwezo wakuongoza inchi yaan anauchungu na inchi

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 ปีที่แล้ว

    Ukishiba chezea tumbo. Na kidevu chako
    Siyo milada 😁😁

  • @jamilakizya7792
    @jamilakizya7792 3 ปีที่แล้ว

    Safi kwa maamzi walipe

  • @godsonjohn5321
    @godsonjohn5321 3 ปีที่แล้ว

    Mkuu nakuomba uje pwani kuna madudu zahid ya hayo

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 ปีที่แล้ว

    Aweso umetusha unaingea hata mate humezi.Ila watendaji wako ni vichomi

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 3 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣🤣hheeeeee jamanii wiziii huo wakiwaziwazi kama hivoo

  • @kainimlowe7555
    @kainimlowe7555 3 ปีที่แล้ว

    mh waziri tembelea jumuiya zote nchi hii kuna usenge sana

  • @benardsenguji8254
    @benardsenguji8254 3 ปีที่แล้ว

    Kweli Mhasibu hana taaluma hiyo.Anacheka cheka tu.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว

    Waweke ndani hao mijizi

  • @ndagamwesa9955
    @ndagamwesa9955 ปีที่แล้ว

    Pigakaz babaaa iposiku tutakupa inchi tu. unakipaj cha uongozi

  • @shanelmbunga1301
    @shanelmbunga1301 ปีที่แล้ว

    Aweso unatisha mzee

  • @flova7022
    @flova7022 2 ปีที่แล้ว

    Huyu aweso mbna km mwanajeshi..yaan Hata jamaaa ajielezi duuu

  • @kennethngoleka517
    @kennethngoleka517 3 ปีที่แล้ว

    Miradi ya maji inahujumiwa na hao wataalamu,wanalipana posho wenyewe kwa wenyewe na siyo kushughulikia matatizo yanayohusu kutoka maji,hivyo badget zao huwa zinafanyiwa re allocation mara kwa mara ili wapate posho

  • @rashidiabdallah5970
    @rashidiabdallah5970 3 ปีที่แล้ว

    Uko vizur.ila vip pangani kuhusu maji

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 3 ปีที่แล้ว

    unapo tuma mtu beki aweke pesa taarifa inarudi kwenye simu ya mwenye akaunt lakini upande wa maji unaletewa bili ukituma mtu hupewi marejesho ya malipo eti anapewa mrejesho alie tumwa

  • @deogratiusmahinyila6065
    @deogratiusmahinyila6065 3 ปีที่แล้ว

    Huyo Mwenyekiti wa Kijiji cha Berege ndio tatizo. Anahujumu fedha za wananchi kwa kiburi cha kwamba analindwa na Mtu anayeitwa Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa. Tunaomba hawa watu, Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Kijiji wachunguzwe juu ya huu ubadhirifu wa huku Berege.

  • @dearmama7865
    @dearmama7865 9 หลายเดือนก่อน

    Mh piga chini hao wanakusumbua tu

  • @halimakihame1744
    @halimakihame1744 3 ปีที่แล้ว +2

    Kime umanaaà😅😅😅😅

  • @ndagamwesa9955
    @ndagamwesa9955 ปีที่แล้ว

    Hivyo vibinti ndiovyakuvinyonga vikumahivyo

  • @halimakihame1744
    @halimakihame1744 3 ปีที่แล้ว

    Haya ndio madudu da hii kali

  • @ezekieljacob5795
    @ezekieljacob5795 3 ปีที่แล้ว

    Aweso mkuu hii itunze ili baada ya Uwaziri aidha iwe kwenye documentary au uje uifanye Movie..
    .

  • @ameenaabdood2974
    @ameenaabdood2974 3 ปีที่แล้ว +2

    Tumempata mridhi wa Magu

  • @salimanyagawa5816
    @salimanyagawa5816 3 ปีที่แล้ว +1

    DUH KUPATA WATU WAADILIFU NI KAZI KWELI KWA NCHI ZETU ZA AFRIKA.
    HILO SOMO LIANZIE LABDA CHEKECHEA HUKO ILI TUWE WAADILIFU

    • @almassylivester4691
      @almassylivester4691 3 ปีที่แล้ว

      TATIZO LA KUTOKUWA MUADILIFU, HALITEGEMEI UMESOMA AU LAA, NI UGONJWA UNAOTOKA MOYONI MWA MTU. HAKUNA MTU YEYOTE ANAEWEZA KUTIBU ISIPOKUWA YESU KRISTO PEKEE, MWANA WA MUNGU ALIYE HAI. ALIYEKUFA NA SASA YU HAI.

    • @kabogeof9597
      @kabogeof9597 3 ปีที่แล้ว

      Aweso mungu akupe ujasiri na ulinzi wa malaika

  • @cleopakahungo1614
    @cleopakahungo1614 3 ปีที่แล้ว

    Wazir njoo Same tunateseka maji hatuyaoni

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 3 ปีที่แล้ว

    Huyo muasibu hajui hata kazi yake

  • @issamsomba7219
    @issamsomba7219 3 ปีที่แล้ว

    Wewe waziri wa maji rais wetu hataki hicho unacho kifanya utatumbuliwa acha ,msikilize rais wako kwanza,una was tia ndani baadaye watatolewa tuu,atakwambia hujaunda tume ya kuchunguza

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 3 ปีที่แล้ว

    Ukituma mtu alipie maji ulie sajili hupewi mrejesho ndio nini mnatuvurugua

  • @ndagamwesa9955
    @ndagamwesa9955 ปีที่แล้ว

    Vimalaya hivyo.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว

    Ukikuta wamekula pesa wawe wanazo Lipa hata nyumba zao wakupe deni

  • @MrCosmas15
    @MrCosmas15 3 ปีที่แล้ว

    Unaweza ukajikuta unafukuza watu wote unabaki mwenyewe.

  • @user-pj7mu5sk7e
    @user-pj7mu5sk7e 9 หลายเดือนก่อน

    Njo manyara

  • @florakankutebe3987
    @florakankutebe3987 3 ปีที่แล้ว

    Huyu ndo magu ajae baada ya miaka kadhaa atakuwa magu og

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 3 ปีที่แล้ว

    Next JPM

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 3 ปีที่แล้ว

    Huyu dada aidhani sana kama anahusika bali wakuu wake alowakuta ndo walomuelekeza hivyo

  • @gadsonndato2941
    @gadsonndato2941 3 ปีที่แล้ว

    Wanajaza matumbo yao na kuleta dharau kwa wananchi wanaotoa pesa

  • @ndagamwesa9955
    @ndagamwesa9955 ปีที่แล้ว

    Wapokonywe malizao zoote

  • @ndagamwesa9955
    @ndagamwesa9955 ปีที่แล้ว

    Mbona wananenepa? Wawe wananyongwa wapumbavu hao