''WEWE NISIKILIZE'' - WAZIRI AWESO AMBANANISHA MENEJA wa MAJI HADI AKAPATA KITETE - AMSIMAMISHA KAZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 มิ.ย. 2024
  • ''WEWE NISIKILIZE'' - WAZIRI AWESO AMBANANISHA MENEJA wa MAJI HADI AKAPATA KITETE - AMSIMAMISHA KAZI
    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemsimamisha Meneja wa DAWASA Kinyerezi Burton Mwalupaso Kwa kushindwa kutambua majukumu yake kufuatia kushindwa kujua Takwimu kamili za mahitaji ya Maji kwenye eneo hilo.
    Waziri Aweso ametoa maelekezo hayo Leo Julai 1, 2024 wakati akizungumza na Wananchi wa Tabata Kinyerezi katika ziara yake ya kukagua hali ya huduma ya maji katika Jiji la Dar es Salaam.
    Awali Waziri Aweso alimuhoji Meneja huyo kutoa Takwimu za mahitaji ya Maji na uzalishaji katika Kata ya Kinyerezi ambapo awali alijibu kuwa Kata hiyo Ina watu takribani 62,304, huku mahitaji ya Maji yakiwa ni Lita 600,081 (Laki sita na themanini na Moja) kwa mwezi, na baada ya kuulizwa Tena akaeleza kuwa mahitaji ni Lita 22,704 Kwa siku, huku akishindwa kueleza namna alivyopata Takwimu hiyo.
    Waziri Aweso Leo Julai 1, 2024 ameanza rasmi ziara ya kikazi katika mikoa ya huduma ya Maji inayotolewa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) akiwa na lengo la kufuatilia hali ya huduma ya Maji na kusikiliza changamoto za wananchi.
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 8

  • @Piscesblair
    @Piscesblair วันที่ผ่านมา

    Mheshimiwa Waziri, ili pawepo na uwajibikaji madhubuti, kunahitajika semina elekezi kwa watendaji wote katika eneo lako ili msomane.

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 7 วันที่ผ่านมา +1

    Yani kinyeez wametoa maji siku 3 kumbe aweso anakuja mana maji ayajawai toka mwisho ilikua mwezi wa 3 sasa kumbe maji yapo

  • @mohammedkhimji7505
    @mohammedkhimji7505 6 วันที่ผ่านมา

    wanateuana wenyewe na wanatenguana wenyewe....

  • @froma3732
    @froma3732 5 วันที่ผ่านมา

    Sasa Magufuli alikuwepo miaka 5 mulikuwa na maji

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 7 วันที่ผ่านมา

    😂😂KIMEUMANA

  • @rewardyesse7314
    @rewardyesse7314 7 วันที่ผ่านมา

    Maswali Gani hyo?

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 7 วันที่ผ่านมา

    Usikute yote walipanga tu

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 7 วันที่ผ่านมา

    Aweso alikuwaga wapi kipindi chote hicho? ndo unatokea saa hii? baada ya uchaguzi hatukuoni. alafu nyie viongozi ndo wasteful kweli..mnakuja namikwala lakini hakuna usaidizi wwt..this was Magufuli way that yoiu guys are flashing us with..Aweso unaongea kweli laniki sidhani kama ndivo moyo wako uko..if it was so ungekuwaga unaingia shambani miaka yote ulivochagulia..anagalieni mwenzenu Mh Silaa