TAZAMA MKUU wa MKOA wa Dar Es Salaam Alivyowatuliza MACHINGA wa SIMU 2000 walioanzisha MGOMO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • _________________________________________________________________________________
    Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe TH-cam channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
    _________________________________________________________________________________
    Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

ความคิดเห็น • 60

  • @Ahmedikiringamoyo
    @Ahmedikiringamoyo 2 หลายเดือนก่อน

    RC hongerasana munguakubariki namuomba ALLAAH akupeumrimrefu nahekmazaidi nakherinyingi

  • @NgaizaKimbeNgaizakimbe
    @NgaizaKimbeNgaizakimbe 2 หลายเดือนก่อน +1

    Machinga Wa Mawasiliano Mna Wasemaj Wazuri Hongereni Mkuu Wa Mkoa Heshima Kwako..🙏🙏🙏

  • @worldinfoswahili
    @worldinfoswahili 3 หลายเดือนก่อน +16

    Likes za kutoshaaaa kwa jamaa aliyeongea mwanzo. Ametisha sanaaa. Wananchi wana uelewa sana. Hakuna vurugu, ni hoja tu!

    • @dizzboss7526
      @dizzboss7526 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yaani wanawazidi mpk walioajiriwa serikalini

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@dizzboss7526yupo vizuri hadi raha aiseee,huyo utakuta ana degree yake na yupo MITAANI,bora hata ndo angekuwa mkuu WA wilaya aise.🙏🙏🙏

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 2 หลายเดือนก่อน

      kwa kweli

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mkuu wa mkoa mungu akuweke

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mkuu wa mkoa 🔥🔥🔥🔥

  • @section8ight174
    @section8ight174 3 หลายเดือนก่อน +4

    Love Tanzania, we don’t run around aimlessly destroying our own properties like Kenyans for weeks on end. We’ve got an issue, we convene a meeting immediately with the relevant authorities, air our grievances in public & have it resolved one way or the other. We are responsible & busy people!! Viva The MIGHTY Dar es salaam 🇹🇿

    • @godfreymushi6966
      @godfreymushi6966 2 หลายเดือนก่อน

      Poor eduacton you dont now where you from.nor you go

    • @section8ight174
      @section8ight174 2 หลายเดือนก่อน

      @@godfreymushi6966 could you repeat that, in English this time 🙄

  • @MbatiaZakaria-ti5kt
    @MbatiaZakaria-ti5kt 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo ni siasa TU lazima wataondolewa kinyemera nchi yetu bado sana siasa Bado

  • @gibsonsimburya5291
    @gibsonsimburya5291 3 หลายเดือนก่อน +1

    Umi sawa sana bro

  • @adamsonmwasumbi4201
    @adamsonmwasumbi4201 3 หลายเดือนก่อน +2

    Daaa kuna hao wanao itikia mkuu akiongea😂😂😂🙌

    • @dizzboss7526
      @dizzboss7526 3 หลายเดือนก่อน

      Ni zaidi ya GEN Z hao sema tu kuna siku kitalipuka

  • @JumaMukhtar
    @JumaMukhtar 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mjiandae na janga la moto hapo figisu zishaanza😢

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 2 หลายเดือนก่อน

    Umesema kweli kabisa RC

  • @alfredbyangwamu9821
    @alfredbyangwamu9821 2 หลายเดือนก่อน

    Hapa Mkuu wa Mkoa umenena!!! Kama mtawasaidia wafanya Biashara kwa jinsi hii waangaikaji! Ni vema!!!

  • @Mwachuomo
    @Mwachuomo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana mkuu wamkoa

  • @sabinaluyego4408
    @sabinaluyego4408 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ndiyo maana ya elimu

  • @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
    @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mmmmmmm kwaherini

  • @HamisLeo
    @HamisLeo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Serikali inaweza jenga soko km pale mbagara baada ya wiki akabomoa ikajenga standi . Hvyo srkl huwa haina hasara.

  • @joshuamwalusambo2391
    @joshuamwalusambo2391 2 หลายเดือนก่อน

    Shida tunawasomi wengi ambaao hawajaelimika, hawajui kabisa maisha halisi ya wanaowaongoza

  • @jonasjonas8111
    @jonasjonas8111 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mkuu wa wilaya hana kosa kabisa, yeye alichofanya ni kutimiza alichoagizwa na mkuu wake na mkoa

  • @mussabendera1751
    @mussabendera1751 2 หลายเดือนก่อน

    Mussa huyu ni mwanaharakati Tangu akiwa IFM.

  • @ibrahimgwasma1223
    @ibrahimgwasma1223 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani wananchi ni waelewa sana ni hoja kwa hoja hakuna vurugu wala kuchoma Mali za uma na za binafsi

  • @BossiLaizer
    @BossiLaizer 2 หลายเดือนก่อน

    Mwanzo mzuri , itafika wakat uwelewa itachanganya afu tutajua mbeleni

  • @youngtone4333
    @youngtone4333 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi hilo ni shati la kitenge au silioni vizuri

    • @koladjulius9945
      @koladjulius9945 2 หลายเดือนก่อน

      Umeanza kuzingua😂

    • @rizikiminga3010
      @rizikiminga3010 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@koladjulius9945😂😂😂 ni kanga basi

  • @FrankKashamakula-xb1pc
    @FrankKashamakula-xb1pc 2 หลายเดือนก่อน

    Moto utawaka apo soon tuu mpk muhame

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 2 หลายเดือนก่อน

    Chalamila anajua sanaa sema viongozi wa chini ndo jauu sanaa

  • @allykota8355
    @allykota8355 3 หลายเดือนก่อน +2

    Uyo mkuu wa Mkoa mwenyewe simkubali

  • @gracerichard8145
    @gracerichard8145 2 หลายเดือนก่อน

    Yan alieongea mwanzo kanikosha ingekua makonda angekupandisha cheo🎉🎉

  • @robertedward1992
    @robertedward1992 2 หลายเดือนก่อน

    Kama hawezikuwatatulia matatizo Yao,ila hafai.

  • @PeterNyanda-xe3gd
    @PeterNyanda-xe3gd 3 หลายเดือนก่อน

    Mkuu wa mkoa nakukubali wa dar nakukubali

  • @annesmatemu4264
    @annesmatemu4264 2 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wenu wanaweza kujielezea kweli nawapa bgp

  • @Halidmohamed-n1d
    @Halidmohamed-n1d 2 หลายเดือนก่อน

    Mama wakuu wa wilaya kama ao wanamualibia mama

  • @ShaibuMniwa
    @ShaibuMniwa 2 หลายเดือนก่อน

    Mh mr chalamila liangaliye
    Na rakaliAa koo leo raiya
    Wanakahaa juwani wametol
    ewa miavulii yote lipanie
    Naili chalamila

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 2 หลายเดือนก่อน

    Jiji halina mipango. Kila mkuu ana mipango mfukoni ndiyo chanzo cha migongano

  • @JmMsukuma-c8l
    @JmMsukuma-c8l 2 หลายเดือนก่อน

    Siasa tu ubabe utatumika kuondolewa hii nchi bwana

  • @hamismwangwale563
    @hamismwangwale563 2 หลายเดือนก่อน

    Unapendwa kweli

  • @edwinlyimo5611
    @edwinlyimo5611 3 หลายเดือนก่อน

    alitaka kuwabadilikia mka wahi na kelele,alipoaanza kumsifia mkuu wa wilaya,hii ndio bongo bhana hapo mtaondoka tu,

  • @RobinsonKilango
    @RobinsonKilango 2 หลายเดือนก่อน

    Waende jangwani walipo iba fedha za benk ya dunia wakajenga njia ya. Maji waliwafukuza watu jangwani hii nchi yaajabu sana hawa sio viongozi wameuza standi ya mkoa. Sasa wana weweseka na ishu ya viwanja datt kuna mpango wa ruswa hii pran yao ni yao hakuwa kwenye fizibirite stad. Wao wana kurupuka. tu

  • @abdulyamiri3546
    @abdulyamiri3546 2 หลายเดือนก่อน

    huyo jmaa wa mwnzo an point mnooo

  • @KisaMax
    @KisaMax 3 หลายเดือนก่อน

    Wanaamixhwa aoo

  • @fidelnkurunziza
    @fidelnkurunziza 2 หลายเดือนก่อน

    h

  • @GaradiGaradi-zq1wf
    @GaradiGaradi-zq1wf 2 หลายเดือนก่อน

    Mwaka huu watawaacha ili mchague mwakani mnahama

  • @gibsonsimburya5291
    @gibsonsimburya5291 3 หลายเดือนก่อน

    Chalamila wee noma sanaaaa

  • @HenryReuben-w5m
    @HenryReuben-w5m 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤😂❤

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 2 หลายเดือนก่อน

    Mkuu wawilaya Bado nikijana lakni kachoka mbona au anaumwa

    • @NgaizaKimbeNgaizakimbe
      @NgaizaKimbeNgaizakimbe 2 หลายเดือนก่อน

      Atakuwa Mlev😂😂😂

    • @taturamadhan5940
      @taturamadhan5940 2 หลายเดือนก่อน

      Anajua haki ikowapi anatakiwa achukue maamuzi magumu malalamiko ya haki

  • @AlexSambai
    @AlexSambai 2 หลายเดือนก่อน +1

    Faken

  • @yassinrajabu6511
    @yassinrajabu6511 2 หลายเดือนก่อน

    fukuza hao wakalime 😂😂😂

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa kwann walimzomea mkuu wa wilaya?

  • @seifmohamed8725
    @seifmohamed8725 3 หลายเดือนก่อน

    Chalamila una busara kijana

  • @MohamediOmari-nz4vv
    @MohamediOmari-nz4vv 3 หลายเดือนก่อน

    Pale magufuli stand kuna eneo kubwa tu siwapeleke kule