Muhtasari: Wafilipi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Wafilipi, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika waraka huu, Paulo anawashukuru Wakristo wa Filipi kwa ukarimu wao na anawashirikisha jinsi walivyoitwa kuiga upendo wa Yesu wa kujitoa kwa wengine.
    #BibleProject #Biblia #Wafilipi
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus na Eternal Entertainment
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 3