KIJANA MZALENDO AWAVAA WABUNGE CCM "KUMPELEKA MPINA NEC NIKUVUNJA KATIBA YAO WALIFAA WAFUKUZWE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.ค. 2024
  • KIJANA MZALENDO AWAVAA WABUNGE CCM "KUMPELEKA MPINA NEC NIKUVUNJA KATIBA YAO WALIFAA WAFUKUZWE"
    🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 767 400402)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

ความคิดเห็น • 178

  • @johakhimu.mgembe.3297
    @johakhimu.mgembe.3297 7 วันที่ผ่านมา +10

    Kijana upo vizuri.Mpina. Atetewe .Tupo pamoja. kulitetea Taifa.

  • @MasterG-dc1tx
    @MasterG-dc1tx 7 วันที่ผ่านมา +18

    Kiufupi wtz Bado hatuna akili Bado hatujawa pamoja katika mambo yanayotuhusu

  • @user-xx8fb4ed5u
    @user-xx8fb4ed5u 6 วันที่ผ่านมา +9

    Tutakutana 2025 tumechoka!

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k 7 วันที่ผ่านมา +16

    Jamani kwa swala hili la sukari mm acha niwe mmbaguzi,naomba bashe akae pembeni,tuhangaike kwanza na uraia wake(msomali).Tusitumie muda mwingi kubishana na raia wa nchi hii.

    • @HildegardMasawe
      @HildegardMasawe 6 วันที่ผ่านมา

      Utafika mbali nimekuelewa ngosha wangu,

    • @user-br1dn8bc3u
      @user-br1dn8bc3u 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@HildegardMasawe
      C wanasema Mnyarwanda
      😢😮

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 7 วันที่ผ่านมา +18

    Msukuma na uyo muuzakahawa wa zamani ni wanafiki wakubwa.
    Mpina tunakuombea wewe ni mzalendo wa kweli unae simamia haki na misingi ya chama chetu.

    • @EmmanuelMollel-du6lh
      @EmmanuelMollel-du6lh 3 วันที่ผ่านมา

      Ndugu zangu tulisimamia nchi kwa nguvu zetu zote pamoja na chama mpaka Leo bila kujali tofauti zetu.Hebu fuateni maadili tulioachiwa na waa sisi waliotutangulia.Chama ni chetu na tunahaki ya kudai nyendo ya wanaotuongoza.

    • @Ambwene
      @Ambwene 2 วันที่ผ่านมา

      Huyo Rais Mwenyewe yupoyupo tuu hajui chochote hata hajui nini maana ya uongozi

  • @ayoubmtumishi50
    @ayoubmtumishi50 5 วันที่ผ่านมา +6

    Yani spika ametuonyesha kuwa hoja za mpina zipo sawa ispokuwa Mpina amemkosea Spika kwa kuongea na waandishi. 😂😂😂😂

  • @mtakamatv
    @mtakamatv 6 วันที่ผ่านมา +8

    Wabunge wetu wanaendaga bungeni na hoja za mama samia sio wananchi,ndio maana wanaokaa upande wa wananchi wanakuwa waasi.

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 7 วันที่ผ่านมา +11

    Tunapenda vijana kama hawa. Tobowa kijana watekaji watakuteka.wao nikuteka . Ccm hawawezi kusema chochote. Sana sana kusifia watu.waliandaliwa kunogesha,

  • @marianamontoedi1318
    @marianamontoedi1318 7 วันที่ผ่านมา +11

    Msukuma na Lusinde wamedilika sana hawajielewi
    Mpina upo sahihi

    • @marianamontoedi1318
      @marianamontoedi1318 7 วันที่ผ่านมา +1

      Ivi kweli Mpina anakosa gani ?

    • @willykomba8376
      @willykomba8376 5 วันที่ผ่านมา

      Shule hamna

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@willykomba8376Siyo kweli,shule siyo kipimo cha kuondoa ujinga

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 วันที่ผ่านมา

      Tuwapuuze Mungu Atashughulika nao

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 7 วันที่ผ่านมา +9

    Hiyo ilikua enzi hizo ccm ilikua zamani hivi ni waporaji siyo viongozi tena

    • @Mima-cl2im
      @Mima-cl2im 7 วันที่ผ่านมา +1

      Tena bila Makonda CCM watu waliichoka kama wakati wa Kikwete. Shida hakuna chama kingine cha maana. Kotę wamejaa mafisadi. Katiba ibadilishwe watu wawe huru kushiriki kwenye siasa bila ya vyama

  • @MeenaHassan-fd9vv
    @MeenaHassan-fd9vv 6 วันที่ผ่านมา +6

    Mpina alikuwa mtu wa jpm na ndiyo maana kuna makundi ndani ya ccm hawamtaki Luhanga mpina same kwa bashiru, polepole na wengine wengi

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 3 วันที่ผ่านมา

      Hata Tulia alikuwa wa JPM tatizo la mpina siyo mnafiki anaipenda Tanganyika yake kuliko hao wengine

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 7 วันที่ผ่านมา +29

    Musukuma na Lusinde walijuwa waterezi wa haki. Kwa hili kuna mawili. Pengine kwa elimu yawo ndogo hawakuelewa. Ama kwa woga wa kutengwa, wanejiunga na wapigaji. Unampelekaje mbunge NEC mutetezi wa mali za umma unamwacha mpigaji. Kweli CCM kuna kazi.

    • @kadasoemmanuel
      @kadasoemmanuel 7 วันที่ผ่านมา +2

      0

    • @piusmaduka
      @piusmaduka 7 วันที่ผ่านมา +3

      hapa Kwa ka msukuma ni elimu ndogo, katiba mpya kigezo elimu iwe kuanzia 4m4 na awe anajua vizuri English maana hapa msukuma alimwona bashe binge la msomi bila kutafakari malezo anayotoa Kwa vile tu bashe alikuwa akichanganya na English

    • @Mima-cl2im
      @Mima-cl2im 7 วันที่ผ่านมา +3

      @@piusmaduka ukisema kuwa mbunge wa Tanzania lazima ujuwe English. Huo utakuwa uonevu. English kutakuwa hakuna wabunge. Kujuwa kiingereza sio usomi. Ni kuelewa sheria na haki za nchi. Karibu wabunge wote hawajui kiingereza, sio Mąkosa yawo ni lugha hatuitumii. Kenya kiingereza ni lugha ya taifa. Wakaona wakubali Kiswahili pia kutumika. Kuna woga fulani kwa sasa. Kuna kundi limeiteka nchi. Hawa hawaguswi hata wakikosea. Rais amekuwa kama Mungu wa pili. Bungeni kwanza wanamuomba Mungu kisha Rais Samia. Maajabu haya. Tunaelekea pabaya. Tunazidi kupumbaa

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 7 วันที่ผ่านมา

      ​@@Mima-cl2imumeongea vema sana,hongera sana.

    • @brysonkaale3003
      @brysonkaale3003 5 วันที่ผ่านมา +2

      Hili Dili siyo la mtu mmoja,hii sukari +msamaha wa Kodi Ni mabilioni ya pesa,hata viwanda vya ndani vikifa wao wameshachukua Chao,hovyo kabisa!

  • @dida_official
    @dida_official 5 วันที่ผ่านมา +1

    Wasukuma. Mkisona Sheria mnasumbua sana

  • @samwelshepa8443
    @samwelshepa8443 5 วันที่ผ่านมา +1

    Inasemekana wakenya wanajitambua na kujua kutetea haki zao eti kwa sababu wamefanikiwa kielimu tofauti na sisi watanzania wengi ambao sio wasomi!
    Kwa hoja kama hizo hutudumaza sana hazipaswi kutufanya kuridhika na kusubiri lini tuwe na idadi kubwa ya wasomi au wakina Mpina wengi kutufundisha kujitetea katika nchi yetu bali kuna wakati tuyatambue majira na nyakati. Tuwe na maamuzi ya kutenda na kusema kama nyeusi ni nyeusi kama ni nyeupe. Kwa kweli kama tutasubiri taifa lijae wasomi wengi basi majira na nyakati havitatusubiri.

  • @samwelshepa8443
    @samwelshepa8443 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mbunge Msukuma na huyo mwenzake wanakosa confidence kujipambanua. Hoja zao inaonyesha wazi kabisa wao wanafuata upepo ili wawe kwenye kundi mamuluki na ili wapate huruma za kundi mamuluki. Ningependa kumshauri Mbunge Msukuma na yule mwenzake ni Bora na ikawa busara zaidi kwao mambo kama hayo ya kucheza na haki ya kura za watanzania ni Bora wawe wanapiga kimya ili wawaache wenye kupiga dili na maslahi yao binafsi wapambane na matokeo na laana ya haki za watanzania.

  • @francissimwinga-gb2vd
    @francissimwinga-gb2vd 5 วันที่ผ่านมา +1

    Nchi hii sijui tutafunguka lini tujifinze hata Kwa majilani Kenya tulipende nchi yetu anaye chezea nchi yetu awe adaui wetu

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq 4 วันที่ผ่านมา +1

    Nchi yetu sisi hatupendi kuambiwa ukweli na shangilia mambo ya hovyo ndo maana mmi nashangaa watanzania tume

  • @user-by7pz4sx1s
    @user-by7pz4sx1s 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wasukuma wameanza kuchangamka😂😂😂😂😂😂

  • @GabrielMwakasege-sx9wv
    @GabrielMwakasege-sx9wv 5 วันที่ผ่านมา

    Upo vizuri

  • @SelemaniIkombe-y8q
    @SelemaniIkombe-y8q 5 วันที่ผ่านมา +1

    Professor Assad alishawahi kusema hili bunge ni dhaifu

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 4 วันที่ผ่านมา

      Bila utaifa na si uchama bunge dhaifu litasitawi

  • @paull8659
    @paull8659 7 วันที่ผ่านมา +7

    Tupilia mbali CCM.

  • @user-ps6wm2qm4f
    @user-ps6wm2qm4f 4 วันที่ผ่านมา

    Uko sawa kabisa.Some wabunge there not commited kutetea watanzania.Hii c sawa.Tuwe wakweli jamani.Mungu yupo anaona

  • @user-fj4kj8xc5x
    @user-fj4kj8xc5x 3 วันที่ผ่านมา

    Hakuna aliye juu ya Sheria

  • @user-uy5nx1bj5r
    @user-uy5nx1bj5r 3 วันที่ผ่านมา

    Mmmh lile Sukuma gang tuliambiwa naanza kuwaona watu wake kwa sisi tulio soma "cuba'

  • @Ambwene
    @Ambwene 2 วันที่ผ่านมา

    Hatuna viongozi tanzania 🇹🇿

  • @abdulsalaamkahttan1037
    @abdulsalaamkahttan1037 4 วันที่ผ่านมา

    hilo ndilo tatizo la kua na bunge la chama kimoja.😢

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 5 วันที่ผ่านมา

    MPINA ni mbunge anaejielewa kati ya wabunge wa ccm.

  • @user-bd1jv7oi3j
    @user-bd1jv7oi3j 3 วันที่ผ่านมา

    Siku hizi hakuna mtu mnafki kama msukuma zama Hali kuwa mtu safi ila Sasa alishakewa sifa

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 6 วันที่ผ่านมา

    Bora mnyang,anywe ng,ombe ikiwezekana mpaka wamalizwe wote ili muendelee kuikumbatia CCM huko kanda ya ziwa

  • @user-so8fm4jm3v
    @user-so8fm4jm3v 7 วันที่ผ่านมา +1

    Viongozi wa dini wengi ni na hawa.

  • @MalijasJRCharles-vl2rq
    @MalijasJRCharles-vl2rq 5 วันที่ผ่านมา

    Of coz

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 2 วันที่ผ่านมา

    Watumishi feki wapo sana

  • @bonifacerobert2960
    @bonifacerobert2960 5 วันที่ผ่านมา

    Natamani kumfahamu Kidata. Tupo Vidata wenzie wengi sana

  • @jumaabdalla3374
    @jumaabdalla3374 2 วันที่ผ่านมา

    Msukuma ni mnafiki kama wale wabunge wanafiki wengine

  • @user-ok6lv3je4b
    @user-ok6lv3je4b 5 วันที่ผ่านมา

    Nalo neno kijana

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 4 วันที่ผ่านมา

    Huku lake zone bwana ccm ifanye kazi ya ziada Kuna Siri kubwa mno wanawaficha tu kina msukuma wajanja,lkn mpina ni muwazi musukuma hataki mpina anaharaka ,

  • @ramadhanikapona4317
    @ramadhanikapona4317 4 วันที่ผ่านมา

    Tatizo la mpina alitangaza kwenye vyombo vya habari wakati suala lilikua linafanyiwa maamuzi.

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 7 วันที่ผ่านมา +15

    Mbunge msukuma ni mnafiki sana, Hajitambui kabisa,

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bashe ni msomali na wasomali Wana roho mbaya majizi na matapeli

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq 4 วันที่ผ่านมา

    Hapana bwan umeongea vizuri lakina viongozi wa makanisa wanaokopa wanambiwa watakuwa wameingilia serikali kumbuka sakata la bandari

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 2 วันที่ผ่านมา

    Mambo yatabadilika mapema kuliko wanavyodhani

  • @DamasAmos-ue2gh
    @DamasAmos-ue2gh 5 วันที่ผ่านมา

    Ndivyo ilivyo m ccm ivyo unavyo ongea kamacho miccm inakutolea macho

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 7 วันที่ผ่านมา +1

    Hii tabia ya kuongea kwa sauti kubwa ni kuonesha msisitizo au ni hasira

  • @DaimonMwapelele
    @DaimonMwapelele 3 วันที่ผ่านมา

    Hapo tuna spika hatuna wabunge kwanza haua ndio madhala ya kuwapa nchi wanawake sasa vilio kila kona taifa liko hoi

  • @user-sj4vo9cg2c
    @user-sj4vo9cg2c 3 วันที่ผ่านมา

    Mpina hawezi kuungwa mkono na wabunge kwani hahongeki

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 5 วันที่ผ่านมา

    Hatuna wabunge nchi hii

  • @MeenaHassan-fd9vv
    @MeenaHassan-fd9vv 6 วันที่ผ่านมา +4

    Huyo mama samia hana mpango, hata yule kijana kichoma moto picha ya rais samia ni sawa sawa tuuu samia hakuchaguliwa awe president so it wa just luck baada ya rais wa kweli kufariki

    • @mkadammkadam
      @mkadammkadam 4 วันที่ผ่านมา

      Mfumo wetu wa uchaguzi mgombea Urais anakuwa na mwenza hivyo ni kusema kuwa unachagua watu wawili yaani mgombea urais na mwenzi wake ambaye atakuwa Makamo wake wa Rais

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 5 วันที่ผ่านมา

    Kwamba ccm wana wanachama milioni 34. Huyo ni Amos makala ila hii nchi

  • @januarysila1569
    @januarysila1569 6 วันที่ผ่านมา

    dar jamani

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 6 วันที่ผ่านมา

    Mbona unasema wale walosema amekosea tu,
    Sema na walosema Hakukosea kama wapo.> kama hawapo basi ni wabunge chawa tu!

  • @susujeremiah195
    @susujeremiah195 4 วันที่ผ่านมา

    Alooooo

  • @user-ux3xu9gs8d
    @user-ux3xu9gs8d 4 วันที่ผ่านมา

    Msukuma ni takataka

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 7 วันที่ผ่านมา +3

    Mimi ni ccm tokea mwaka 1972.nilichukuliwa. ukonga magereza. Tuwe pamoja baya tukemee tusiwachiye wapinzani

    • @chazy7ya216
      @chazy7ya216 6 วันที่ผ่านมา

      Itafika mwishotuu

  • @jumaabdalla3374
    @jumaabdalla3374 2 วันที่ผ่านมา

    Wabunge wte waliomsema vibaya mpina ni wanafiki na hawajielewi

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 6 วันที่ผ่านมา

    Nyerere alisema tuwashughulikie je tunawashughulikia sasa? Speaker anatushangaza sana kwa kweli hatuna bunge sisi bali tuna gereza la kuhukumu wanainchi. Sisi wanainchi tumefanya nini? Tunatakiwa kuenda mpaka bungeni kupika kelele kwa ajili ya Mbunge wetu Mpina.

  • @jumaabdalla3374
    @jumaabdalla3374 2 วันที่ผ่านมา

    Si mlikuwa hamumuelewi hayati JPM sasa ndio muone

  • @benardsamizi-qo4yp
    @benardsamizi-qo4yp 6 วันที่ผ่านมา +3

    .Musimulaum musukuma Tunalaumu WASUKUMA WALIOKOSA WASOMI WA KUPELEKA BUNGENI WAKANGUKIA DARASA LA SABA. WAILIMUONEA SANA.)

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 4 วันที่ผ่านมา

      Kule korogwe, wananchi walichangia wasomi,baadae wakaona wasomi hawasadii, wakaona wachague mwezao mganga mpiga ramli. Mfumo wenye njaa ya kutengeneza unaweza kumleta kiongozi wa aina yoyote. Raia tukifikia kuwachambua wasaka uongozi kama tunavyochambua wachezaji wa mpira, hao wabunge vilaza hawezi kuchaguliwa.

  • @onesphorymgedzi995
    @onesphorymgedzi995 5 วันที่ผ่านมา

    Kaka kuporwa mifugo nikushauri tu wananchi waache kuingaza mifugo kwenye maaeneo yaliyo hifadhiawa vinginevyo tunatwngeza jangwa wenyewe na hatutakuwa na wakumlaumu

  • @DouglasChuwa-ec7mv
    @DouglasChuwa-ec7mv 5 วันที่ผ่านมา

    Seo

  • @AdelinaAloys
    @AdelinaAloys 5 วันที่ผ่านมา

    Ndg yangu bunge letu limeingiliwa na wachawi haiwezekani watu tulio wachagua wafanye comedian kwa Watanzania.

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 5 วันที่ผ่านมา

    Viongozi wa dini wanaaminiwa na masikini tu nchi hii

  • @user-hu9bf7nw4c
    @user-hu9bf7nw4c 5 วันที่ผ่านมา

    Msukuma hua ni mnafki mm hua simuelewi mule hua amekaa kama zekomed ,na Wala haendan na ubunge, yaan hata kipind Cha magu alijifnya yupo vzr ,alafu Leo hii awam nyngne anakua kinyume na mwanzo ,ni mnafki mno ,aende tu afanye uigizaji wa zekomed Wala humo bungen hapamfai, maana amekaa kwa mfumo wakichawa

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 6 วันที่ผ่านมา

    Sasa ivi wachungaji wanaogopa kuwaambia watu dhambi zao ndiomana hawahawa viongozi wasio waadilifu wanapeleka michango ya pesa wayoiba kwenye nyumba ya mungu na kuwafichia siri

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 5 วันที่ผ่านมา

    Ukiona mbwa juu ya mti.

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 2 วันที่ผ่านมา

    Hapa tuachane na vyama havitusaidii tuungane kama wakenya kudai haki zetu

  • @user-jy4pm3hh9s
    @user-jy4pm3hh9s 3 วันที่ผ่านมา

    Eti jimbo lipo serias kumuweka mtu darasa la saba msukuma ,lusinde mptupishe bhana not u're Time now

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 วันที่ผ่านมา

    Kupata kura kwa wasukuma ni kazi wamrudishe tu Mpina huyu Msukuma na yule Mgogo kazi yao kubwa ni uchawa tu Nsukuma kwenye Bandari alikuwa mnafiki vilevile hana lolite

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 6 วันที่ผ่านมา

    Kwenye uvuvi umeongea kweli.....uvuvi haramu umemaliza samaki.....wakati wa Mpina na JPM UVUVI HAULUWA NA HASARA....WAVUVI HALALI TULIPATA FAIDA KUBWA SANA....LEO...mmmhmm. ..... Wengi wamepaki boti zao...

  • @user-qg1iy5ov3u
    @user-qg1iy5ov3u 6 วันที่ผ่านมา

    Hakuna haki hapa tanzania wafanyakazi sekta binafisi hawapati mikopo kisa mikataba ya mwaka mmoja

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 5 วันที่ผ่านมา

    Ila msukuma na tabasamu. Uchawa unawapunguzia heshima

  • @AdelinaAloys
    @AdelinaAloys 5 วันที่ผ่านมา

    Bashe nyuma yake kuna asiyesemwa MUNGU wa Tz

  • @user-wj6zj1ly4e
    @user-wj6zj1ly4e 6 วันที่ผ่านมา

    Yaan mnasema tu ukabila haufai lkn huko mbeleni mm naona utafaa tu

  • @MichaelNkungu-on1ub
    @MichaelNkungu-on1ub 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mpina hajakosea chochote watanzania wanawaona kwa jicho la kuzumu

  • @kingibandajembe2247
    @kingibandajembe2247 5 วันที่ผ่านมา

    Bunge la mchongo tz wachumiya tumbo

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 7 วันที่ผ่านมา

    Hata akienda mahamani hamuna mahaka Wala bunge ya mdee na wenzake yameisha yeye anajua aludi nyumbani kama amekata uchawa basi na ubunge kwisha

  • @ayoubmtumishi50
    @ayoubmtumishi50 5 วันที่ผ่านมา

    Spika aitishe mkutano wa waandishi wa habari ajibu hoja muhimu kwasasa. Amechukua hatua kwa mbunge ameacha tuhuma nzito na kuzifunika.

  • @bonifacerobert2960
    @bonifacerobert2960 5 วันที่ผ่านมา

    Wakatoliki hatujasema chochote hadi sasa! Mimi nivumilie hadi lini?

  • @user-jc8vt7ct9t
    @user-jc8vt7ct9t 5 วันที่ผ่านมา

    Viongozi kweli hatuna na hii serikali ni upuuzi mtupu

  • @lindajohansen9220
    @lindajohansen9220 4 วันที่ผ่านมา

    Ma mbumbu ndio yalikuwa yakimpinga mpina

  • @ShabaniMukose
    @ShabaniMukose 5 วันที่ผ่านมา

    Kunawatu ndani ya Sasa wanatumia fedha za umma kujenga Miradi yao mikubwa Wananchi wanakufa uvyo hawana Pesa za kunua dawa!

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd 5 วันที่ผ่านมา

    atari sana tz waziri asiekuwa raiya wa nchi usika lakini anawakimbiza mpaka basi, dah hii kari tz!.

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 4 วันที่ผ่านมา

      Sio kweli, mwaka 1961, watu wote, wakuwemo ndani siku tarehe Tanganyika ilipo pata UHURU walihesabika kuwa ni raia. Tuwe tunarejea nyaraka na hotuba za viongozi wa nyakati hizo. Kizazi hiki hakijui historia hii. Bahati mbaya na kundi la vijana kwenye vyama vyetu ukiwasikiliza hawajui historia yetu. Ingawa tayari Mabega juu maana wao ni watawala wetu wa baadaye.

  • @user-mh5mx1kn8j
    @user-mh5mx1kn8j 5 วันที่ผ่านมา

    Mpina mbona alipima Zamani Kwa rula hukuongea wakati akiwa mifugo acha makasiriko wewe mbona Kama unapiga kampeni mapema Acho roho mbaya wewe huyo Umar mtetea ana Aya ya kwake

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 7 วันที่ผ่านมา

    Kwa jumla wabunge wa CCM hawasomi kitu chochote wao nikiangalia upepo unaelekea wapi ni ushabiki wa kijinga hawaombewi mwongozo wala taarifa.lugha zao za kijinga na majigambo.wabunhe wanadai kudharauliwa hivi eakijitathimini wanastajili kuheshimiwa?

  • @NdeshaPaul-uz9bw
    @NdeshaPaul-uz9bw 4 วันที่ผ่านมา

    Je biblia na kurani ni ya viongozi wa dini tu? ???

  • @user-jc8vt7ct9t
    @user-jc8vt7ct9t 5 วันที่ผ่านมา

    Musukuma nilikuwa na muona wa maana kumbe zero kabisa [rushwa hupofusha]

  • @ShebbyMageta
    @ShebbyMageta 5 วันที่ผ่านมา

    Msukuma tatizo shule nasikia hajasoma

  • @user-pk9yr4go8p
    @user-pk9yr4go8p 6 วันที่ผ่านมา

    Ccmupigenikazi mbakatuse hizonikelelezaumbu

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 7 วันที่ผ่านมา

    Hakuna atakaye fungwa wala kufukuzwa kazi wakiwajibishwa mimi nitaomba uraiya kwenda DRC nisiwepo.

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 7 วันที่ผ่านมา +3

    Msukuma na lusinde hakuna wabunge hapo

  • @user-pk9yr4go8p
    @user-pk9yr4go8p 6 วันที่ผ่านมา

    Weweunayatafuta

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 5 วันที่ผ่านมา

    Wabheja ngosha

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 5 วันที่ผ่านมา

    Burundi mahakamani huyo spika

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 2 วันที่ผ่านมา

    Wabunge tulio nao ni feki kabisa hatuwachagua

  • @user-pk9yr4go8p
    @user-pk9yr4go8p 6 วันที่ผ่านมา

    Achenikufokafo katuone

  • @bakarimkwizu4335
    @bakarimkwizu4335 5 วันที่ผ่านมา

    Hili nalo sukuma

  • @innocentkanyata9923
    @innocentkanyata9923 4 วันที่ผ่านมา

    Msukuma hana lolote, ni lijinga fulan tu.

  • @user-ze1zz5zy9o
    @user-ze1zz5zy9o 2 วันที่ผ่านมา

    katika watu wajinga nihiri jamaa nsona chamaana hapo nitai na shati sijawsi ona sukuma jinga kama hiri tumbo ra shiporo musukuma hapa

  • @fadhilimoshi5754
    @fadhilimoshi5754 7 วันที่ผ่านมา +2

    Jamani hili bunge mnalijuwa ni la imla hawakuchaguliwa waliteuliwa na Magu. Hawajui lolote ni machawa sio watetezi.

  • @JonathanMatembo
    @JonathanMatembo 7 วันที่ผ่านมา +4

    CCM ni janga kubwa sana la kitaifa, adui namba moja wa watanzania woote ni chama chakavu cha CCM na family zao, bola ukimwi kuliko CCM kuwepo Tanzania.

    • @kashiririrkaasongwisye9487
      @kashiririrkaasongwisye9487 7 วันที่ผ่านมา

      Dooooooh!

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 4 วันที่ผ่านมา

      Mmm pale Kenya KANU ilionekana imechakaa, wakaipiga chini, lakini Juzi tumeona mengine kwamba KANU ilikuwa haikuchakaa, walikuwa wamechakaa viongozi. Shamba likiota magugu na vichaka hekima ni kupalilia ili shamba liwe wafi. Sio kukimbia shamba kwenda kulima pengine. Kwa sababu kanuni ya maumbile magugu yanaota kila pahali kama hali inaruhusu. Tuboreshe hivi vyama ili vifanye vizuri. Kuondoa ili mradi tumeondoa ni wendawazimu

  • @ayoubmtumishi50
    @ayoubmtumishi50 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mpina ndio mbunge namba moja katika kutumikia wajibu wa kibunge kwa sasa. Hata iweje ataendelea kuwa bungeni hata akifukuzwa CCM.