CCM YAPEWA ANGALIZO KUPOTEZA JIMBO LA TARIME DC 2025 IKIMSIMAMISHA WAITARA -KADA CCM ZAKAYO WANGWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 132

  • @kingmseti9205
    @kingmseti9205 3 หลายเดือนก่อน +51

    Ilibhancha na Ubhoro 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
    Tarime Vijijini Tunaenda na John Heche
    Tarime Mjini Tunaenda na Bob Wange
    Kama tupo Pamoja gonga like waone

    • @DandasiKundi
      @DandasiKundi 3 หลายเดือนก่อน +2

      Wanafaa Kwa asilimia 100

  • @josephmahando493
    @josephmahando493 3 หลายเดือนก่อน +7

    Kamanda umeongea point sana uko vizuri. Viva kijana vivaaa

  • @charlesnyanhanga4382
    @charlesnyanhanga4382 3 หลายเดือนก่อน +8

    Viva heche njia za MUNGU siyo za mwanadamu hapo sawa

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 2 หลายเดือนก่อน +3

    Usijidanganye ccm hawezi sehemu kubwa kushinda uchaguzi wa huru na haki

  • @benjaminmiselya2622
    @benjaminmiselya2622 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mmmh Ngoja tuone Mwishowe mtukuja kusema Samia hafai🤣🤣🥹🤣🧐

  • @manfredkibona3126
    @manfredkibona3126 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hizo sasa ni fitina ambazo CCM inasema mwiko umejichanganya bro😅

    • @AthumanDauda
      @AthumanDauda 2 หลายเดือนก่อน

      Amna Cha fitina au kafitina naona jipu litatumbuka

  • @jacksonsimon5020
    @jacksonsimon5020 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bado hamjasema, na mtasema tuuu!!

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe umeshindwa kumuenzi baba yako CHACHA ZAKAYO WANGWE hata alipo analia! Ungebaki CHADEMA watu wa Tarime hawawezi kumuacha CHACHA ZAKAYO! Mdogo wako BOB WANGWE NI JEMBE aje Tarime achukue ubunge asubuhi wewe hufai

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 3 หลายเดือนก่อน +5

    Bora kama mmegundua

  • @StevinGodfrey
    @StevinGodfrey 2 หลายเดือนก่อน +2

    hechee arudishiwee jimboo lake😊

  • @tronline6959
    @tronline6959 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna JITU litakufa kwa pressure 😂

    • @AbdallahMchani
      @AbdallahMchani 2 หลายเดือนก่อน

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊🎉

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน

    Fukuzeni huyo waitara mlevi mkubwa toeni kabisa huyo mono mongugi

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tarime mjini na vijijini hiyo ni chadema ninyi majoka ya kijani mlipata hayo majimbo kwa bahati na michongo tu! 2024/2025 tunataka majimbo hayo yarudi Chadema. Bob Wangwe na John Heche wanatosha sana! Wana Tarime ikatae ccm kuanzia wenyeviti wa mitaa, vitongoji, vijiji, madiwani, wabunge na Rais msiwachague hao mafisadi ccm.

  • @RichardMadebe-f1m
    @RichardMadebe-f1m 3 หลายเดือนก่อน +1

    Broo upigaji ndani ya ccm ni haki yao kwani ripoti ya cag inajileza vzuri tu nani kachukuliwa hatua mama amesema kila mtu alee kwa urefu wa kamba yake hujasikia? Acha watu wale mema ya inchi

  • @clemenceparokola
    @clemenceparokola 3 หลายเดือนก่อน +3

    Heche njia nyeupeeeeee

  • @JacobMbosalee
    @JacobMbosalee 2 หลายเดือนก่อน

    Chuki binafsi hizo.wewe uogopi kufungwa??

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 2 หลายเดือนก่อน

    Nami natamani kuhamia CCM, sijui nami nitapokelewa na Samia? Au kwa kuwa mie sijaandaliwa mazingira ya kupokelewa au labda mie kasisimizi mno😂😂😂

  • @JacksonNyaikoba
    @JacksonNyaikoba 2 หลายเดือนก่อน

    Toa sera

  • @MATHAYOPETROGARYA
    @MATHAYOPETROGARYA 3 หลายเดือนก่อน +4

    Naona huyu jamaa kaamua kumwombea John heche kura asubuhi sana sasa wewe jichanganye kumtoa waitara uone kama ccm tarime huko hautakufa!!!

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jimbo la heche.

  • @christopherryoba580
    @christopherryoba580 2 หลายเดือนก่อน

    Hata wewe una matatizo jitafakar kada mwezangu

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sio tarime tu Kanda ya ziwa wanasiri kubwa

  • @JosephMosabi
    @JosephMosabi 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani hamna vikao vya chama mkayaongelea huko

  • @josephmahando493
    @josephmahando493 3 หลายเดือนก่อน

    CSR, Itamtafuna sana ni haki ya waliyo karibu na mwekezaji, aendeee,, na CSR ITARUDI TU NI HAKI YETU SISI TUNAO UMIA NA SHUGHURI ZA UENDESHAJI WA MGODI WA.

  • @kadaskarim5081
    @kadaskarim5081 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe sio ccm mbuz wwe ni mnafik sana

  • @lameckrange-ol6uz
    @lameckrange-ol6uz 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hayo yapeleke kwenye chama kwani hamna vikao
    Hiyo haijakaa vzr..

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 3 หลายเดือนก่อน +4

    Safi Kabisa CCM sema kweli daima

  • @kadaskarim5081
    @kadaskarim5081 2 หลายเดือนก่อน

    Pumbavu zako wwe unatumiwa

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 2 หลายเดือนก่อน

    BOB WANGWE NI MBUNGE POPOTE TANZANIA HUYU NI DHAHABU YA MARA KITAMBAA SAHIHI CHA KUTUFUTA MACHOZI YA CHACHA ZAKAYO WANGWE BOB WANGWE HATA HECHE HATOSHI MBELE YAKO! WEWE NI KIPENZI CHA WANA TARIME JARIBU MY SON

  • @cassimjr
    @cassimjr หลายเดือนก่อน

    Ccm mtanyooka tu next election

  • @WazaeliStefano
    @WazaeliStefano 3 หลายเดือนก่อน +1

    Aheri huyo waitara kuliko huyo mliyemkaribisha juzi atawavuruga kwelikweli

  • @YoyoChacha-gl5ui
    @YoyoChacha-gl5ui 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wew wetar hahuwezi kusida tarime

  • @MngwaliAllykizangwa
    @MngwaliAllykizangwa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Chuki binafsi zina wasumbua sana ccm. Heche jimbo wamesha kupa.hilo asubuhi mapema.

  • @AmimIigeni
    @AmimIigeni 2 หลายเดือนก่อน +1

    Heche ni suala la muda tu kuchukua jimbo

  • @InnocentJohn-l5y
    @InnocentJohn-l5y 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bob wangwe au heche hao ndo watu sahii

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 3 หลายเดือนก่อน +1

    Binafsi hua naona waitara ni mwanasiasa mwenye hoja...lkn. Amekua kigeugeu sana KATIKA kuwatetea wananchi bungeni Kuna muda unaona huyu mwamba anatuteetea lkn kwa muda mwingine unaona anajipendekeza na kulamba miguu ya Samia..
    Halafu Sasa amekua haonekani kwenye majimbo

  • @JosephatMsafiri
    @JosephatMsafiri 2 หลายเดือนก่อน

    Haya yapo hata majimbo mengine pia na inawezekana kuna kozi maalumu wanayopitia kwani hakuna hata moja linalotofautiana.

  • @deomaiko9632
    @deomaiko9632 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ndio siasa
    😂😂

  • @ramdanmbara8500
    @ramdanmbara8500 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mpumbavu katumwa, hana lolote. CCM Vibaraka kama Mpuuzi huyu anayeongea wanapo achwa ndio chanzo cha migogoro..

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa na wewe mitandaoni ndio umeona pa kutolea malalamiko? Hakuna vikao vya Chama? Unaboa bwana!😢😢😢

    • @gidongailo7174
      @gidongailo7174 2 หลายเดือนก่อน

      Mwache aseme bhana😂😂

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 2 หลายเดือนก่อน

      @@gidongailo7174 ndio keshasema tena!

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 3 หลายเดือนก่อน

    Acha ujinga wewe nani akuamini wewe mchumia njaa tuache kumuamini mh mbunge mwakilishi wetu.

  • @mahengedaktari-ek8go
    @mahengedaktari-ek8go 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante mwamba

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 2 หลายเดือนก่อน

    Pipoooooooo✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥👌👌💪💪💪 ccm tumewachoka tokeni mapema

  • @MashakaMatuku
    @MashakaMatuku 3 หลายเดือนก่อน

    Na bado mmeanza kusinichiana wenyewe,, waachieni wenye Jimbo lao

  • @boniphacewambura1427
    @boniphacewambura1427 2 หลายเดือนก่อน

    Shida hakushinda 2020
    Na haya ndio malipo yake
    Maana watu walipiga kura wakimtaka
    Mwl.John wegesa heche
    Ila jana jana yenu mkapola uchaguzi
    Sasa vumilieni
    Maana kura huwaamua maana Pauline ya wengi ni kauli ya mungu
    Sasa kura ni kama kauli

  • @MonicaBeni
    @MonicaBeni 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa unamlalamikia nani? Wakati ccm woote ndio tabiya yenu. Kwani yule mama yenu marangapi anang'oa watu anaohisi wanampinga? Hiyo ni tabiya ya mzaziwenu mkuu kwaiyo waitara karithi kutoka kwa yuleee mama yake

  • @Weslauss
    @Weslauss 2 หลายเดือนก่อน

    Nilichogundua ww ndo mpinzani wa Chama Cha Mapinduzi na Waitara

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe wewe ni mpuuzi tu unaongelea mambo ya uchaguzi leo mbona bado acha mbunge afanye kazi aliyo tumwa na wananchi

  • @kirariwilanya1850
    @kirariwilanya1850 3 หลายเดือนก่อน

    Waitara ni Mbunge wa Magu & Ccm.huyo hajawai kushinda Tarime watu tunajua hata Waitara na watu wake wanajua kwamba "Heche ndie Mbunge wa Tarme vijijini ni swala la mda tu"

  • @BoscorPatrick
    @BoscorPatrick 3 หลายเดือนก่อน

    kijana mwenzangu achana na siasa.unusuru uhai wako .ccm hawapend mkweli watakupina au kukustava/ kukutundulis.kukuben sanane n.k

  • @evampuya-mp9vf
    @evampuya-mp9vf 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera saana kwakuwa muwazi CCM umewarahishia kupata mtu sahihi

  • @emanuelmhoja2411
    @emanuelmhoja2411 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe kuna ubaguzi wa ukoo huko kwenu!! Hamfai kabisa kuitwa Watanzania,mnatuletea tabia za Kikikuyu

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo tabia ya Waitara ndio aliyonayo huyo mwingine uliyemkaribisha hana sifa za uongozi kwa Sasa akiona Kuna mtu anaongelea nafasi yake ndie anakuwa adui yake

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 2 หลายเดือนก่อน

    Ww una hila zako kama ni hoja si upeleke kwenye Vikao vya Chama au na ww una mgombea?

  • @AthumanDauda
    @AthumanDauda 2 หลายเดือนก่อน

    Kanda ya ziwa mbona kitaeleweka tu majipu tutayatumbua mda ukifka

  • @sospeterodhiambo6869
    @sospeterodhiambo6869 3 หลายเดือนก่อน

    waitara hakubaliki huku tarime Ss tunangoja kipyenga kilie tuanze naye

  • @MweraRiro
    @MweraRiro 3 หลายเดือนก่อน

    Fuatilia katika tiktok ya wiki moja iliyopita,,,,,nilisema tangu 2005 hakuna mbuge alie wahi kurudi mara mbili au awamu ya pili bungeni kufikia 2025 itakuwa miaka 20 sijui kama kaka yangu atavunja record

  • @joycethomas7918
    @joycethomas7918 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa kwanini usipeleke kwenye viongozi wa kanda ya juu. Hilo kosa kusemea kwenye mitandao, hiyo inaonekana vitina zenu wenyewe

  • @SungwaFrancis-sx1ls
    @SungwaFrancis-sx1ls 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni musaka tonge huna lolote la maana la kusaidia chama,kwa kashifa hii unayotoa ikiwezekana naomba chama kikufukuze uanachama hufai kuitwa mwana CCM.

    • @leonceuwandameno6378
      @leonceuwandameno6378 3 หลายเดือนก่อน

      mkimfukuza ndo mtashinda uchaguzi? mlipewa ubunge kama ubani na mwenda zake --- sasa mtaisoma namba kama kauli ya chama chenu inavyosema.

  • @samoskiyalo6095
    @samoskiyalo6095 3 หลายเดือนก่อน

    Njia muliyo ipita je mutabadikisha? Hongera kutambua wema huzaa wema tenda utaweza

  • @sainatv2688
    @sainatv2688 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa kimeumana ila chunga ulimi utafichwa msa c mrefu tata maana chama chenu kwa kuficha hahahaha

  • @divaimafuru6844
    @divaimafuru6844 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba mbaki nae hata sisi akirudi chadema hatumtaki😂😂

  • @henrymwamakula
    @henrymwamakula 3 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi umetukosea wanaccm kamati ya maadili na kamati ya siasa ya wilaya ipo mbona umkurupuka kwenda kuongea kwenye media

  • @barakanyanchama4297
    @barakanyanchama4297 3 หลายเดือนก่อน

    Waitara 2025 hana chochote tarime

  • @michaelmwikalo971
    @michaelmwikalo971 3 หลายเดือนก่อน

    Si mlimuona lulu 😂 kisa muibomoe Chadema wenyewe kwa wenyewe sasa mnanyukana kwisha habari yenu na msubiri ya Msigwa sasa😂

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona uwizi ni asili yenu unashangaa nn? Wakiwaambia nyingi ni wapigaji mnawaona wabaya, sasa mnasema wenyewe. Ni muda tu

  • @chunoKisuma
    @chunoKisuma 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo waitera ni chawa,tu. Hafai kuwa hata kiongozi kwanza anatamaa sana

  • @georgedaudisabuni5339
    @georgedaudisabuni5339 3 หลายเดือนก่อน

    Kukataa wazee wa mila hapo ndipo unabugi viongozi wa dini wanaumhim wao na wazee wa mila wanaumhim wao usiangalie imani yako

  • @IsayaSosolo-nx8zk
    @IsayaSosolo-nx8zk 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bila mwrnda zake hilo jimbo mnajuwa ni la CHADEMA huyo Waitara kawrkwa kama malaya wa magoti!

    • @infodigtechforcommunityemp4103
      @infodigtechforcommunityemp4103 3 หลายเดือนก่อน

      Haaaaaahaaaaaaaa

    • @MashakaMatuku
      @MashakaMatuku 3 หลายเดือนก่อน

      Mmeanza kusinichiana wenyewe na bado waachieni wenye Jimbo lao

    • @MashakaMatuku
      @MashakaMatuku 3 หลายเดือนก่อน

      Hongera kwa kuwambia wasisiemu wenzako kwamba Jimbo siyo lenu lakin pia inaonekana wewe ni mwanachadema uliyejificha ccm ili ufanye mambo yako yaende kua tu wazi jisalimishe uwe salama tatzo mkisema ukweli mnafukuzana na wewe jiandae ila karbu chadema

    • @nicholausmramu
      @nicholausmramu 3 หลายเดือนก่อน

      Kijana ww ni mwelewa sana una akili sana nakupongeza

    • @MawazoMofu
      @MawazoMofu 3 หลายเดือนก่อน

      Heche katapila limesafisha
      njia, watumikie jamii !!

  • @boniphacewambura1427
    @boniphacewambura1427 2 หลายเดือนก่อน

    Mumuhoj na watara na nyabugeti tumjue

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 3 หลายเดือนก่อน

    Unafiki tu wa kisiasa mbona 2020 mlikula hela zake na mkamnadi mpaka akapita ubunge we kijana lazima umekisa vijicent vya waitara

    • @fwc5552
      @fwc5552 3 หลายเดือนก่อน

      Alipita kwa kupigiwa kura na nani

  • @emilianchibinda82
    @emilianchibinda82 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu si kada wa CCM wala mwanaccm.CCM wana sehemu zao maalumu za kuzungumzia mambo yao sio kwenye mitandao! Zaidi ya hapo CCM wana sare zao zinazowatambulisha, ambazo ni rangi ya kijani, makada wanaoisoma katiba ya CCM wanafahamu. Kipindi hiki kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mengi yatasemwa yakilenga kuchafuana.

    • @kibemassao6478
      @kibemassao6478 2 หลายเดือนก่อน

      Ww ni bogus, huoni nembo ya ccm hapo kifuani? Au umeshiba maharage

    • @emilianchibinda82
      @emilianchibinda82 2 หลายเดือนก่อน

      Massao nyie ndio mliozoea kuandika mambo bila kufahamu sawa na kudandia gari kwa mbele sawa na huyo mwenzio. Nikuelekeze ndugu yangu kwenda kwa wakongwe wa chama hiki kuelimishwa. Kwa kukusaidia tuu ebu angalia picha za wana ccm wawapo kwenye shughuli zao maalumu za ama mikutano ya kichama, kisha unitajie idadi ya wajumbe wanaokuwa na vazi lenye rangi ya huyo jamaa yako. Usiandike tuu ulipaswa uelewe kilichoandikwa. Pale kilichoandikwa ni rangi wewe bila kuelewa ukaona nembo.Ebu tafiti kwanza

  • @yohanamsongole6489
    @yohanamsongole6489 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu kijana hafai

  • @Mosesndahani
    @Mosesndahani 3 หลายเดือนก่อน

    Wenzako bungeni mpina aliyesema kweli katimuliwa.

  • @MachotaMachota-w6c
    @MachotaMachota-w6c 2 หลายเดือนก่อน

    Achaumbeaww mkuria anaumbea utafiriujaenda jandoya kisu

  • @emmanuelhema186
    @emmanuelhema186 2 หลายเดือนก่อน

    Hufai kuwa kiongozi wewe hayo ni mambo ya ndani ambayo mnatakiwa kuyaongelea kwenye vikao vyenu vya ndani utakuwa na lako jambo hapo husaidii chama bali unakiharibu

    • @boniphacewambura1427
      @boniphacewambura1427 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ndani hakuna nafasi

    • @cassimjr
      @cassimjr หลายเดือนก่อน

      Chama kilishaharibika hicho

  • @HadaikaNgabona
    @HadaikaNgabona 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mjinga kabisa. Mambo hayo ni ya vikao.

  • @HappyCalicoCat-zq8mo
    @HappyCalicoCat-zq8mo 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe unataka jambo acha kumsumbua mheshimiwa

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 3 หลายเดือนก่อน

    Waitara tupeni nje.
    Weka Heche hapo

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 3 หลายเดือนก่อน

    Kama hutoi huduma yeyote akiwekwa anapigwa tu

  • @yohanamsongole6489
    @yohanamsongole6489 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu hana jipya nimusaka tonge

  • @amanmwalyambi1416
    @amanmwalyambi1416 2 หลายเดือนก่อน

    Waitara kwisha

  • @lucksonsikaona505
    @lucksonsikaona505 2 หลายเดือนก่อน

    Waitara ni mavi kabisa

  • @charlesmurimi765
    @charlesmurimi765 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi nasema Waitara ni tapeli. Huyu ni jirani yangu ila kibaka

  • @MayalakusekwaNkwabi
    @MayalakusekwaNkwabi 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe na Waitara ni CCM ni WAONGO

  • @MasakaChacha
    @MasakaChacha 3 หลายเดือนก่อน

    waitara ni taira kama kichwa chake

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe hata nyie wenyewe mnatoana uhai😢😢😢😢

  • @ryobajohn7177
    @ryobajohn7177 3 หลายเดือนก่อน

    HUYO HAFAI

  • @AMANIMSORE
    @AMANIMSORE 3 หลายเดือนก่อน

    tarime kwanza watu baadaya mkuu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu Waitara kimemsibu nini

  • @richardbegga6679
    @richardbegga6679 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 MaCCM yamevurugana Hatari

  • @Kanyawela
    @Kanyawela 3 หลายเดือนก่อน

    Nileteee uyu imeanza kutugeuka

  • @JacksonNyaikoba
    @JacksonNyaikoba 2 หลายเดือนก่อน

    Usogere watu

  • @nestor384
    @nestor384 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine

  • @mustafaalli4698
    @mustafaalli4698 3 หลายเดือนก่อน

    Mshikemshike Tarime....😂

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie watu wa Tarime CCM,msijaribu kumuengua Waitara,na Mbunge makini ni Mbunge anajua kuzitetea hoja za mama Samia,lakini zaidi anajua kulia bungeni tafadhali kaa naye.Hoja zako peleka kwenye vikao vyenu.

    • @bockerNyarusahi
      @bockerNyarusahi 2 หลายเดือนก่อน

      Pamoja na hizo sifa zako kwa Waitara,ni vyema umkaribishe jimboni mwako umpiganie apate kura ili awaongoze nyie huko

  • @amanmwalyambi1416
    @amanmwalyambi1416 2 หลายเดือนก่อน

    Nimependa ukamandani

  • @HadaikaNgabona
    @HadaikaNgabona 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu si mwana ccm.

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 2 หลายเดือนก่อน

    Hahahaaa

  • @princenelsonsinko5237
    @princenelsonsinko5237 2 หลายเดือนก่อน

    Waitara kwsiha