Majibu sahihi kuhusu nyama ya NGURUWE kwa WAKATOLIKI/Padre kutengwa na kanisa/kufukiza Ubani Nk.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 พ.ย. 2022
  • Mhasham Askofu Method kilaini, Msimamizi wa kitume wa Jimbo katoliki la Bukoba na Mtaalamu wa historia ya kanisa Katoliki, akijibu maswali tata ya wasikilizaji wa kipindi cha Historia ya kanisa kupitia Radio Maria Tanzania na Radio Mbiu.
    #MaswalinaMajibu #HistoriayaKanisa #kanisakatoliki

ความคิดเห็น • 184

  • @Grace-rx5xy
    @Grace-rx5xy 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana baba askofu kwa majibu sanifu

  • @aloysiusrugejuna2804
    @aloysiusrugejuna2804 ปีที่แล้ว +2

    Katika majibu yako nimependa jibu la Jumapili. Asante sana baab askofu

  • @danielnyabungi693
    @danielnyabungi693 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni sawa na kulisha watu upepo

  • @KWAYAYAWATAKATIFUMASHAIDIWAUGA
    @KWAYAYAWATAKATIFUMASHAIDIWAUGA 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mambo mazuri kweli haya

  • @kilianmruma297
    @kilianmruma297 4 หลายเดือนก่อน +2

    Waamini wa kristu hawafungwi na agano la kale.

  • @nyirefami19471947
    @nyirefami19471947 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Baba Askofu kwa majibu sanifu

  • @graceladislaus1176
    @graceladislaus1176 ปีที่แล้ว +1

    Mhhhh,huku tunakoelekea tunaangamia 😭😭😭😭zaidi tumuombe Mungu atusaidie kulewa maandiko.

  • @kiookimolo
    @kiookimolo 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu alisema hakuna kilicho nje ya mwili kikiingia chaweza kuutia unajisi bali yamtokayo mtu moyoni mwake kama mawazo mabaya ,uzinzi ,na dhabi zote,,maana yake dhambi ndizo zinazo tutia unajis sio chakula

  • @danielnyabungi693
    @danielnyabungi693 7 หลายเดือนก่อน +1

    Padre hatugombani mungu anakupenda sana lakini unapotosha ukweli wa neno la mungu

  • @leonidaskwigize1853
    @leonidaskwigize1853 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana waumini mtafutao kujua mambo yale tuyaaminio

  • @kudraabdallah2561
    @kudraabdallah2561 ปีที่แล้ว +2

    Nguruwe kuleni na muoane nyinyi kwa nyinyi

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba ปีที่แล้ว +3

    Sanam kuiabudu hapana aisee , yawezekana ktk kueleza kakosea kidogo !!!

  • @kingmsanya3524
    @kingmsanya3524 ปีที่แล้ว +1

    Safi kbsa

  • @shadymulu1568
    @shadymulu1568 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wapi maandiko yasema kwamba alibariki siku ya Sunday baada ya kufufuka kwake masihi.....???

  • @mazemlejr9832
    @mazemlejr9832 ปีที่แล้ว +5

    Iyo Mathayo 15:17-20..hamjui bado ya kuwa kila kiingiacho kinywani hupita tumboni na kutupwa chooni? 18. Bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni; navyo ndivyo vimtiavyo mtu unajisi. 19. Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati, wivi, ushuhuda wa uongo, na matukano. 20. Hayo ndio yamtiayo mtu unajisi; lakini kula kabla hajanawa mikono hakumtii mtu unajisi.
    Hapo waweza elewa kutokana na swali mtumishi,, unajisi unaosemewa apo na Yesu si unajisi wa CHAKULA,, ni unajisi wa moyoni,, na umefafanuliwa vizuri mafungu ya 18 to 20.

  • @deogratiasrugangila3100
    @deogratiasrugangila3100 ปีที่แล้ว +4

    Asante Baba Askofu endelea kutufundisha

  • @user-qn9ip4bx2y
    @user-qn9ip4bx2y 3 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @charlesbulayi4095
    @charlesbulayi4095 ปีที่แล้ว +1

    Ni mafundisho mazuri sana

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 ปีที่แล้ว +1

    Mwana wa adam atarudi
    Sawa askofu nimekuelwa vzr

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mengi Yesu alikataza ikiwemo ulaji wa Nguruwe na kibudu bila kuchinjwa ila Paulo alikuja kubadili mengi tu. Kinyume na mafundisho ya Yesu

  • @luciansanga5195
    @luciansanga5195 ปีที่แล้ว +3

    YESU MWENYEWE ALI ITUNZA SABATO YANI JUMAMOSI PIA TAURATI ALI HESHIMU

    • @Simonirafael-wt4lc
      @Simonirafael-wt4lc 4 หลายเดือนก่อน +1

      Weweee ujuavyo sarihivyohivyo maana hata biblia mmechakachua so wewe abudu tu hiyounayojua

  • @mwesi527
    @mwesi527 7 หลายเดือนก่อน +1

    Injili ya mathayo duh hii mpya

  • @godfreymbuya5632
    @godfreymbuya5632 ปีที่แล้ว +1

    Mwamba ngozi huvutia kwake.Imeisha iyo

    • @user-ww3hb5md3v
      @user-ww3hb5md3v 11 หลายเดือนก่อน

      Mungu tusaidiee baba mtakatifu n mungu tu akna mtu duniani wakuitwa baba mtakatifu

  • @hamzayusuf1894
    @hamzayusuf1894 ปีที่แล้ว +3

    Unawona yesu akirudi maandiko yanasema mwana. Wa adam siyo mwana wa mungu

  • @hemmysaleh3521
    @hemmysaleh3521 ปีที่แล้ว +5

    Hajui kabisa Biblia inasemaje ,Yesu kasema hakuja kuvunja Sheria ya Musa Bali kiutimiza ,hakuna agano la kale Wala jipya ,Kwa hio kula chochote ni halali basi hata kumla yeye askofu nyama yake halali ,,asipotoshe UKWELI MUNGU AMEPIGA VITA NGURUWE

    • @breezonlinetv
      @breezonlinetv  ปีที่แล้ว

      Mbona umekasirika?

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hata Mimi kuna kitabu nimesoma kimeandikwa Yesu alikataza baadhi ya vitu lakini Paulo akaja kubadilisha na kutoa mafunzo kinyume na mafunzo ya Yesu na wanafunzi wake kumi na,wawili

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 18 วันที่ผ่านมา

      Kwani umelazimishwa kula? Chakula ni ibada...mimi nakula,baki na imani yako

  • @vumilialeonardi109
    @vumilialeonardi109 ปีที่แล้ว +2

    Uko vizuri muno padiri

  • @mazemlejr9832
    @mazemlejr9832 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmmhh mtumishi iyo injili ya mathayo soma... mafungu yote uelewe mkitadha wa fundisho hilo na usikomee fungu moja tafadhali mtumishi..

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 ปีที่แล้ว +2

    Katika kitabu Cha isaya maandiko yanasema watu wanaokula nguruwe na panya wote watakomeshwa katika hukum ya milele

  • @dorrymaduhu331
    @dorrymaduhu331 ปีที่แล้ว +2

    Mnakosea sana bible inasema usiabudu miungu mingne ila mm

  • @mohamedhashim3235
    @mohamedhashim3235 ปีที่แล้ว +3

    Kwanza ngoja ncheke

  • @johnmgalatia5375
    @johnmgalatia5375 14 วันที่ผ่านมา

    TUMSIFU YESU KRISTO BABA ASKOFU, NAOMBA HIKI KIPINDI KIWE KINASIKIKA REDIO TUMAINI

    • @breezonlinetv
      @breezonlinetv  13 วันที่ผ่านมา

      Kinasikika radio maria tayari

  • @happymboya7697
    @happymboya7697 ปีที่แล้ว +1

    Jamani Jana nimesoma bibilia imekatazwa msidangaye watu ni halam

  • @complex7582
    @complex7582 ปีที่แล้ว +4

    "Kula chochote ilimradi kinalika" mkipewa nyama ya paka mnalalamika

  • @ulirkimsacky
    @ulirkimsacky ปีที่แล้ว +1

    Samahani Naomba kujua kuhusu uchawi je nithambi?

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 ปีที่แล้ว +3

    Hili jibu la nguruwe ni ovyo kabisa iwe je kusiwe na HARAMU. Ina maana anaeweza kula nyama ya mtu ale tu kwa kuwa atasihia chooni.

  • @ibrahimcharlesswaleh
    @ibrahimcharlesswaleh ปีที่แล้ว +3

    Watakuwa na macho lakini hawaoni. Wana masikio lakini hawasikii

  • @jamesnziku7638
    @jamesnziku7638 ปีที่แล้ว +3

    Iko poa

  • @mansuetusmwoleka8732
    @mansuetusmwoleka8732 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana Baba Askofu kwa kutulisha na tunazidi kuimarika zaidi kiimani binafsi na kupenda sana hasa kila nikikusikiliza huwa nabarikiwa,napenda sanaa Baba Kilaini kukusikiliza,endelea kuimalisha kondoo wako!

  • @danielnyabungi693
    @danielnyabungi693 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe mliheaabu nyie sio mungu

  • @mwesi527
    @mwesi527 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jpili siku ya bwana constantino mungu wacatholic

  • @petermagoye5482
    @petermagoye5482 ปีที่แล้ว +1

    Kwahiyo Mungu hatahukumu kwenye agano la kale??? Na kuhukumu kwa kutumia agano la Jipya????

  • @nzogelamussa2585
    @nzogelamussa2585 ปีที่แล้ว +1

    hana majibu ya kweli inaoneka a hajui anacho kijibu muislamu siku ya 7 no ijumamosi sio ijumaa ijumaa no sikuku

  • @mwesi527
    @mwesi527 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani kuhusu jpili ndo nimetambua akili hamna humo dah acha nitengwe tu ala mzee hapo umezingua,lakin utambue bwana atakata kichwa namkia soma katika kitabu cha isaya 9 anzia 4 na kuendelea usipotubu hapo bas

  • @johnmligo6966
    @johnmligo6966 ปีที่แล้ว +4

    This man is really Bright....

    • @mohamedzambo1511
      @mohamedzambo1511 ปีที่แล้ว

      Kasome mambo ya walawi 11 msitari wa 7 utaona viumbe vinavyoruhusiwa kuliwa.

    • @johnmligo6966
      @johnmligo6966 ปีที่แล้ว

      @@mohamedzambo1511 we muhamed komaa na kuruani yako mambo ya biblia unayajulia wapi....

    • @machanomachano626
      @machanomachano626 ปีที่แล้ว

      Askofu anatetea ugali

  • @alexraymond1623
    @alexraymond1623 ปีที่แล้ว +5

    Askofu anajua Kila kitu maana biblia Iko wazi ila mambo ya walawi 11 sura nzima inatoa maagizo yote ya Nini kiliwe na Nini kisiliwe na uzuri askofu amesema agano jipya linakamilisha agano la kale Kwa hiyo hakuna kilichobadilika labda kafara tu ya wanyama ndo iliyoondolewa na yesu mwenyewe baada ya kufa msalabani akizibeba dhambi za ulimwengu

    • @deidrim86
      @deidrim86 ปีที่แล้ว

      hawa wanajua kila kitu ila ulafi tu. 😅

  • @PastorZakariaTzTV
    @PastorZakariaTzTV ปีที่แล้ว +1

    Yesu hakufufuka siku ya Saba padri Ni siku ya kwanza ya juma

    • @deidrim86
      @deidrim86 ปีที่แล้ว

      yani anaongea vitu moaka unashika kichwa 😅

  • @Neemakilimba
    @Neemakilimba 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi mwenyewe Ni mkristo Ila kula nyama ya nvuruwe Ni Haramu Acha kupotosha watu

  • @kiookimolo
    @kiookimolo 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mnapinga kitimoto isiliwe mkiingia kanisani mnavua viatu?je mwanamke akizini mnampiga mawe mpaka kufa, siilikua sheria,mwanamke aliruhusiwa kuoa wanawake wengi kulingana na uwezo wake mbona hamuoi siilikua sheria,,,mmekazana kitimoto kitimoto,hicho ni chakula kula ngurue na kuua kipi bora ,×watu wanafanya uzinzi wanaogopa kula ngurue aisee l see ,,hakuna dhambi mbaya kama dhambi ya juu ya mwili,

    • @user-oq7jw6kp6w
      @user-oq7jw6kp6w 3 หลายเดือนก่อน

      Amini 🤲🤲 umejitahidi ubarikiwe sana mpendwa 🙏🏻🤲

  • @shaameshaame9721
    @shaameshaame9721 ปีที่แล้ว +2

    Ndio muendelee kula ipo siku kitaeleweka

  • @jacksonkisabala8687
    @jacksonkisabala8687 ปีที่แล้ว +4

    Mnasoma sana uchumi mzee majibu yako rahisi sana alafu Roman Catholic walifanya biashara ya utumwa kuna dini .Vatican ina serikali pia dini gani inakuwa na serikali na mabalozi kila nchi hakuna dini mzee usitudanganye

  • @jumannemtawa4535
    @jumannemtawa4535 ปีที่แล้ว +3

    Soma Kumbukumbu 14:8 na Mathayo 5:17 Nguruwe sio halali.Na kuhusu Mathayo 15 Yesu hakuzungumzia kuhusu vyakula bali alizungumzia kula bila kunawa na sio vyakula anza kusoma kuanzia Mathayo 15:1-19

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 ปีที่แล้ว

      Good

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 ปีที่แล้ว

      Good, yesu alizungumzia kula bila kunawa

    • @gaudencechanga3170
      @gaudencechanga3170 ปีที่แล้ว

      Unaikumbuka ndoto ya Petro ambayo aliletewa vyakula vyote kwenye sinia na akaambiwa ale na yeye akasema ni najisi, Je unakumbuka alijibiwa nini?.. 'Usikiite kilichoumbwa na Mungu ni najisi'.

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 6 หลายเดือนก่อน

      @@gaudencechanga3170 Yesu kuna mambo aliyakataza. Na Paulo alikuja kuyahalalisha Yesu alitahiriwa nacalipenda wengine watahiriwe na mengine ikiwemo ulaji wa nguruwe na kibudu

  • @exseviangaeje1158
    @exseviangaeje1158 ปีที่แล้ว +1

    MATAYO 28;1 IYO NDIO SIKU YA SABATO USIDANYE WATU

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 ปีที่แล้ว +1

    Ukisoma kitabu Cha Isaya 66:16-17 inataja watu watakaoangamizwa kwa moto siku ya mwisho ikiwa ni pamoja na wale wanaokula nyama ya nguruwe Sasa ngoja mdanganywe hapo

  • @graceladislaus1176
    @graceladislaus1176 ปีที่แล้ว +1

    Kama hamfuati agano la kale huo uvumba mnafukiza wa nini?bas endeleeni kuua, kuiba, kuzini,kuvunja SABATO, n.k maana vyote hivyo ni agano la lake 😆😆😆,kwa hali hii siku ya mwisho naona kuna watu damu zetu zitakuwa juu yenu 😥😢😢😥

  • @vumilialeonardi109
    @vumilialeonardi109 ปีที่แล้ว +3

    Uko vizuri mh,padiri acha ture kitimoto waisiramu wataisoma namba

    • @marthadaniel4904
      @marthadaniel4904 ปีที่แล้ว

      Mmmmmh sasa sanam unafanya MUNGU nafany ya MUNGU haifananishwa na kitu chochote hap dunia

    • @rubenprince8990
      @rubenprince8990 ปีที่แล้ว +1

      @@marthadaniel4904 mapadri wa katoliki huku ulaya wanapelekwa sana mahakamani kwa makosa ya kuwafira watoto makanisani

    • @msafiriduwiya953
      @msafiriduwiya953 ปีที่แล้ว +2

      Kwa akili Yako unafikiri ngurue kakatazwa na muislam pole jiulize yesu wapi kala?

    • @shafiismaily9223
      @shafiismaily9223 ปีที่แล้ว +2

      Unamkomoa nani? wakati aliyekuumba kakupeni Agano ambayo ndiyo sheria, nyinyi mwaipinga na kuibadilisha!!!!

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 ปีที่แล้ว +1

      @@shafiismaily9223 Paulo kawaambia wasiishi kwa Sheria Bali kwa imani

  • @esterinajonas
    @esterinajonas 8 หลายเดือนก่อน +2

    Tyk naitwa esterina mfilinge kutoka parokia mariade Matias mivumon je not mtakatitu yupambaye Sala yake huaza na maneno bwana nifanye chombo Cha amani

  • @nzogelamussa2585
    @nzogelamussa2585 ปีที่แล้ว +1

    hiyo biblia ya agano la kale kulikua la dini gagi au biblia hiyo ulikua ya waislmu ?

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwazo walawi kumbu kumbu la torati ngurue aliwi nasio nguruetu

  • @PastorZakariaTzTV
    @PastorZakariaTzTV ปีที่แล้ว +4

    Kama mnashika agano la kale kwa kufukiza uvumba KWANINI mle nguruwe wakati agano hilohilo linakataza nguruwe.

    • @PastorZakariaTzTV
      @PastorZakariaTzTV ปีที่แล้ว

      @Phillip Mbuligwe kwenye agano jipya inaonekana wakati wa zakaria baba na yohana na wakati huo ilikuwa KABLA YA KRISTO HATA YOHANA MTANGULIZI WA YESU HAJAZALIWA KWAHIYO SIMULIZI YA ZAKARIA NI WAKATI BADO WANASHIKA TORATI.

    • @PastorZakariaTzTV
      @PastorZakariaTzTV ปีที่แล้ว

      @Phillip Mbuligwe vema sana itakuwa vema Sasa tuanzie hapo hapo WAEBRANIA 10:1 TORAT ILIKUWA KIVULI CHA MEMA YATAKAYOKUWA WALA HAIKUWA SULA YENYEWE YA MAMBO HAYO kwakuwa njia ya kupaingia patakatifu ilikuwa haijaonekana, SASA SWALI NI KWAKO UNASHIKA KIVULI AU SURA HALISI? KAMA UNASHIKA KIVULI KWANINI ULE NGURUWE? AU KAMA UNASHIKA KIVULI MBONA HUWATUPII MAWE WAZINZI? AU JE MBONA HUISHIKI SABATO KAMA KWELI UNAISHIKA TORAT.

    • @PastorZakariaTzTV
      @PastorZakariaTzTV ปีที่แล้ว

      @Phillip Mbuligwe MAANDIKO uliyo taja sikusoma yote ila nimeyaangalia mawili UFUNUO NA MATENDO MMOJA LINAHUSU KUTAKASWA KWA VYAKULA LINGINE NI UVUMBA JUU YA UTAKASO WA VYAKULA HAKUNA WASISI WASI KWANGU ILA KWAKO LITAKUWEKA NJIA PANDA SABABU WEWE UNATAFUTA KITIMIZA MAAGANO YOTE MAWILI KWA PAMOJA NA AGANO LINGINE LINAKWAMBIA USILE NGURUWE LINGINE LINASEMA KULA ITA KUPA SHIDA ILA KWA MIMI NINAEJUWA KUWA AGANO JIPYA LA BWANA NA MWOKOZI NDILO NINALO PASWA KULIISHI SINA SHAKA JUU YA HILO HATA BABA WAMBINGUNI ALIWAAMBIA WALIOKUWA WAMEKUSANYIKA HUYU NDIYE MWANANGU MPENDWA NINAYE PENDEZWA NAYE "MSIKIENI YEYE" KUHUSU UFUNUO WA YOHANA YALE NI MAONO YA MAMBO YANAYO TENDEKA MBINGUNI NA MARAIKA HAKUNA AGIZO PALE LINALO TUAGIZA SISI KUFUKIZA UVUMBA HUO WANAFUKIZIA MAPEPO WAISLAM NDIO MAANA BINAFSI SIJAWAHI KUONA PUBLIC PADRI ANAKEMEA PEPO SIJUI HUKO SILINI.

  • @exseviangaeje1158
    @exseviangaeje1158 ปีที่แล้ว +1

    MARKO 16;1-2 SOMA NDIO UTAJUA SIKU YA SABATO KIUKWELI NI J MOSI

  • @dorrymaduhu331
    @dorrymaduhu331 ปีที่แล้ว +1

    Huyu anapotosha watu kabisa siwez mwelewa ata kidogo

    • @yasintadaima25
      @yasintadaima25 ปีที่แล้ว

      Usipofungua roho yako hutamuelewa hata Yesu akirudi mara ya pili hutamuelewa

  • @vumilialeonardi109
    @vumilialeonardi109 ปีที่แล้ว +1

    Mh,sabato je nisiku ipi sahii

  • @macdonaldotieno5010
    @macdonaldotieno5010 ปีที่แล้ว +1

    Wacha kumis understand the scriptures... Na nyinyi wakatoliki ni kuni tu ya shetani

  • @exseviangaeje1158
    @exseviangaeje1158 ปีที่แล้ว +1

    ZABURI 115;4-9 SANAMU ZINA MACHO LAKINI AZIONI ZINA MASIKIO AZISIKII ZINAPUA AZISIKII ARUFU TUSIZITUMIKIE NI KAZI YA FUNDI

  • @lungusii
    @lungusii ปีที่แล้ว +2

    Bible zote zime chakachuliwa mzee Baba

  • @deusdedithhenry1524
    @deusdedithhenry1524 ปีที่แล้ว +2

    Mbona maswali muhimu yanajibiwa kirahisirahisi, tumia nukuu za biblia wapi biblia imeita jumapili siku ya BWANA na kuifanya siku ya ibada.? Kwani Yesu na mitume walisali jimapili.?

    • @hillarybwagidi9994
      @hillarybwagidi9994 ปีที่แล้ว +1

      Ndugu raia mwenzangu, masuala ya kiimani ni magumu pale inapotokea muamini asiyeamini imani fulani kujitwisha mzigo wa kutolea 'majibu' au maelezo imani asiyoamini! Kila imani ina vitabu na mafundisho yake ya msingi. Pole sana ndugu, si kosa lako bali hujui msingi wa imani ya Kanisa Katoliki. Zingatia imani yako. Hii achana nayo [m.y. nyamaza]

  • @petermagoye5482
    @petermagoye5482 ปีที่แล้ว

    Shida ni majibu hayajitoshelezi hata kidogo

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 ปีที่แล้ว +1

    Kwahio Kila mtu ameamua kujichagulia tu siku yake ya Saba 🤔🤔🤔🤔

  • @user-ww3hb5md3v
    @user-ww3hb5md3v 11 หลายเดือนก่อน

    Tusomeni jamaan mafiko tusisubili kufundishwa tu

  • @samsonpopat1474
    @samsonpopat1474 ปีที่แล้ว +1

    Huyu askofu wa ajabu Sana hata hajui biblia kiasi hiki hata siku ya kwanza kibiblia haijui ?

  • @godfreybruno3443
    @godfreybruno3443 ปีที่แล้ว +2

    kwa wasabato mbona unatoa povu

    • @marthadaniel4904
      @marthadaniel4904 ปีที่แล้ว

      Sabato ni jumamos hawasom biblia acha nisimam sehem sahih

  • @jacksonkisabala8687
    @jacksonkisabala8687 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mnasema sana uchumi kuliko dini .Theology ukiitafsiri kiswahili unapata nadharia yaani unachoongea ni nadharia hakuna uhalisia kwa hiyo dini ya kweli ni mila na desturi ambayo ndo Sabato.Vua joho una tofauti na mganga wa kienyeji.

    • @breezonlinetv
      @breezonlinetv  ปีที่แล้ว

      Mbona umekasirika sanaa😆😆

  • @methodpeter1323
    @methodpeter1323 17 วันที่ผ่านมา

    Yule anayetundikwa kanisani Ni yesu?

  • @macdonaldotieno5010
    @macdonaldotieno5010 ปีที่แล้ว

    Wacha kupoteza wachinja

  • @vumilialeonardi109
    @vumilialeonardi109 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini wariwazuia kuowa

  • @leonardalphonce8924
    @leonardalphonce8924 ปีที่แล้ว +2

    HUYU NI NAE NI PADRI WAKUIGIZA MPYA

    • @phillipmbuligwe7946
      @phillipmbuligwe7946 ปีที่แล้ว

      Lugha yako tu inaonyesha wew ni mkristo wa kuigiza

  • @emanuellukwaro1032
    @emanuellukwaro1032 ปีที่แล้ว +9

    Ina maana askofu hujui vyakula najisi na safi soma Law 11:1- Kumb 14:1-

    • @fjafrica62
      @fjafrica62 ปีที่แล้ว +4

      Agano la kale na watu wakipindi kile, agano jipya ni kula tu ilimladi kisikudhuru.

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 ปีที่แล้ว +1

      Hilo ni agano la kale

    • @danyjoram9130
      @danyjoram9130 ปีที่แล้ว

      Soma wakolosai 2:16

    • @shafiismaily9223
      @shafiismaily9223 ปีที่แล้ว +1

      Ole wao wenye kubadilisha maneno ya mungu

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 ปีที่แล้ว

      @@shafiismaily9223 Ni Mungu sio mungu
      MUNGU ana NENO hana maneno

  • @zuberimussa5508
    @zuberimussa5508 ปีที่แล้ว +2

    Mafunzo ya kanisani bwana hayaelewki kabisa Mara mungu mara tunamngoja mwana wa Adam wakiristo hakuna kuhoji?

    • @phillipmbuligwe7946
      @phillipmbuligwe7946 ปีที่แล้ว

      Yanaeleweka. Wewe tu ndiyo huelewi. Unasoma mstari moja ndiyo untegemea utaielewa biblia.

  • @jamilahamis2462
    @jamilahamis2462 ปีที่แล้ว

    Yesu aliipo toa mapepo Aliya Tia mapepo kwenye nguiuwe leo mnakila

  • @godfreybruno3443
    @godfreybruno3443 ปีที่แล้ว +3

    kwenye biblia ni wapi jumapili ni siku ya Bwana? Halafu unababaisha sana mim nilkuwa roman, hayo masanamu yanaabudiwa kanisan, mpaka kuna nyumba za sanam zinaitwa magorotha

    • @renaswai13
      @renaswai13 ปีที่แล้ว

      Uliathirika nini na hayo masanamu?

    • @stephanomoses7694
      @stephanomoses7694 ปีที่แล้ว

      Wahuni sana hawa ma freemason. Ole wao waabudio sanamu. Unaona mwenyew anasema UNAABUDU LISANAMU. LIJITU . Mhhhh. Dini hii ipo ki mchongo mno. Wapinga krito wakubwa hawa

  • @dorrymaduhu331
    @dorrymaduhu331 ปีที่แล้ว +1

    Yan huyu mtu bana mambo ya walaw yameeleza vyakula namaanisha wanyam,ndege,samaki,jaman somen malaw 11 yote

    • @breezonlinetv
      @breezonlinetv  ปีที่แล้ว

      Huyo siyo mtu ni Askofu msomi na mtaalamu wa historia ya kanisa mama duniani na siyo Tanzania pekee

    • @theafricaiknow6615
      @theafricaiknow6615 ปีที่แล้ว

      WALAWI NI AGANO LA KALE. WALIANDIKIWA WALAWI

  • @vayaulashedrack5994
    @vayaulashedrack5994 ปีที่แล้ว +1

    Kwa hiyo unapingana na biblia

  • @kardongailo88
    @kardongailo88 ปีที่แล้ว

    Tatizo ni kwamba,Kila dhehebu linapigia mstari katika biblia hiyohiyo na kukiishi kile alichokielewa.huwezi kumlazimisha mtu akiishi ulichokielewa wewe Kwa Imani yake.kila mtu anashika mistari hiyohiyo ya biblia.je biblia inapingana,yafaa nini?

  • @bahatiagape731
    @bahatiagape731 ปีที่แล้ว +2

    Wakatolik mbiona tunaabudu sanamu?

    • @bahatiagape731
      @bahatiagape731 ปีที่แล้ว

      @Phillip Mbuligwe niinao.

    • @mariavianeypeter2991
      @mariavianeypeter2991 ปีที่แล้ว

      Hawaabudu sanamu ila tunaiheshimu sanamu

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 ปีที่แล้ว +1

      @Phillip Mbuligwe Yale masanamu kule kanisani yanafanya Nini?

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 ปีที่แล้ว +1

      @@mariavianeypeter2991 unaheshimu sanamu kitu ulichokitengeneza mwenyewe hakikudhuru Wala hakikunufaishi

    • @phillipmbuligwe7946
      @phillipmbuligwe7946 ปีที่แล้ว

      @@nassorsharifu9837 Kama kweli wewe una nia njema na siyo mtu wa kuleta fuja, nakusahauri usome maandiko ya biblia. Kwanza soma maana ya kuabudu sanamu (Rum. 1:23); kwanza nini Mungu alikataza kuabudu sanamu baada ya tukio linalotajwa kaatika Kut. 32:1-4, Wakati Waisraeli wakisafiri kutoka Misri kwenda Kaanani, Mungu aliagiza kutengenezwa kwa sanduku la Agano (ambalo juu yake lilikuwa na sanamu ya makerubi ka kiti cha rehema) ili yeye akutane nao kupitia hilo sanduku (Kut. 25:10, soma pia 1Nyak. 28:18-19)). Tujiulize, Je sanduku la Agano lilikuwa ni Mungu? Lakini pia tunaona hekalu ambalo mfalme Sulemani alijenga kuta zake zilipambwa kwa sanamu (picha) za makerubi ukuta mzima (Ezek. 41:17-18, 25), 1Waf. 6:27-35). Na baada ya ujenzi kukamilika utukufu wa Mungu ulilijaza Hekalu (1Waf. 8:10-11). Kama Mungu hakupendezwa na sanamu ilikuwa utukufu wake ulijaza hekalu.

  • @lucasmabuli4786
    @lucasmabuli4786 ปีที่แล้ว +1

    Askofu soma biblia hakika unadangaya watu majibu yako ni simple sana hayana mshiko Wala imeandikwa

  • @mrmhenipm
    @mrmhenipm ปีที่แล้ว +3

    Ukweli ni kwamba Biblia inapaswa kufuatwa kila kitu bila kusaza chochote kile

    • @deidrim86
      @deidrim86 ปีที่แล้ว

      @Phillip Mbuligwe maisha ya watu we unaita kivuli, nyie kwenu kinaanza kuota kivuli ndo unafata mti?

    • @deidrim86
      @deidrim86 ปีที่แล้ว

      Waebrania ni mawazo ya Paulo, kwaiyo mawazo ya Paulo ni bora kuliko maagizo ya Mungu aliyompa Musa?

    • @mrmhenipm
      @mrmhenipm ปีที่แล้ว

      @Phillip Mbuligwe Ufunuo 22:17-hadi mwisho,,,Usiongeze wala kupunguza neno......Ukiongeza unaongezewa mapigo na ukipunguza unapunguziwa uzima wa milele

    • @deidrim86
      @deidrim86 ปีที่แล้ว

      @Phillip Mbuligwe kwani Musa alitumwa na shetani? kwamba Musa na manabii wote walioshika torati walilishana watu matango pori? 😅
      Sawa, Paulo alitumwa na Yesu kama ulivosema ila wapi Yesu alimwamuru Paulo atengue torati au aliruhusu nguruwe kuliwa ilhali ye mwenyewe alisema hakuja kutengua torati?

    • @deidrim86
      @deidrim86 ปีที่แล้ว

      @Phillip Mbuligwe kumbe tunashindana? mkikosaga majibu mnakimbilia huko. Kua na amani ndugu.

  • @macdonaldotieno5010
    @macdonaldotieno5010 ปีที่แล้ว +2

    Wewe ni baba wa nani? Nyinyi wakatoliki ni kuni tu...mnapinga bible

    • @frankiemissingo1925
      @frankiemissingo1925 ปีที่แล้ว

      Nadhani ninyi wengi mnaokementi hukumu juu ya Askofu kupotosha na kuhukumu Wakatoliki nadhani hata mpango wa Mungu hamjui kabisa mtahangaika na kuharamisha vitu na kuhukumu watu na hamtajua nini Mungu anataka kwenu na zaidi Biblia zenu ninyi nyingi hazina vitabu vyote-LAKINI ZAIDI MJUE MUNGU ANA DEAL ZAIDI NA NAFSI ZENU . ZILIZOJAA(zinaa,/ulafu/tamaa/majivuno/uesharati/ulevi/wivu/usengenyana/chuki/ubinafsi /ufisadi na mengi ya haya utoka rohoni haya ya kula kunywa mnapoteza muda nayo ,hao Wanyama kawaumba MUNGU msikalili rarueni mioyo yenu wala si mavazi yenu wapendwa-hapa haswa Wakristo mnaambiwa ASKOFU YUPO SAWA TATIZO NI UMAMUMA WENU.

    • @frankiemissingo1925
      @frankiemissingo1925 ปีที่แล้ว

      MNAJIPA UKAMILIFU,NA KUJIKWEZA SOMENI YOHANE SURA YA 3 YOTE MTAJUA huyo Nikodemu alikuwa nani ,mtajua ninyi mnao hukumu watu kwa vyakula na siku za kuabudu LUK7:31-35

  • @deidrim86
    @deidrim86 ปีที่แล้ว +1

    Padre wa mchongo au ana uwezo wa kufafanua mambo.
    👉🏽Majibu ya kitoto sana ametoa kuhusu nguruwe
    👉🏽Huwezi kusema mambo ya samaki wenye magamba hujui yametokea wapi kama umeisoma biblia vizuri.

    • @polycarplazaro8482
      @polycarplazaro8482 ปีที่แล้ว

      NDUGU USIPANIKI, NI HIVI YESU NI MUNGU NA KASEMA HIVI...KIMWINGIACHO MTU KINYWANI SI HARAMU BALI KILE KINACHO MTOKA NDIO HARAMU..MF..MAVI, MKOJO..N.K.
      1. KATI YA YESU NA MUSA NA ANAKUPELEKA MBINGUNI!?
      2. SHIKA ALIVYOANDIKA MUSA UONE KAMA UTAIONA MBINGU,...YESU ALISHASEMA KUWA KUNA MAHALI MUSA ALITUMIA HEKIMA YANA NA HAKUELEKEZWA NA MUNGU ...MAANA YAKE NI KWAMBA ALIMPINGA KUWA TALAKA HAKUNA ....
      NB;
      OMBA KWA MUNGU KWA JINA LA MUSA UONE KAMA UTASIKIKA

    • @deidrim86
      @deidrim86 ปีที่แล้ว

      @@polycarplazaro8482 swala la Yesu ni mungu hiyo ni topic ingine acha kuruka ruka, na mambo ya kwenda mbinguni pia ni swala lingine.
      Em jibu kwanza, Musa alijitungia zile sheria ama alipokea maagizo kwa Mungu?

    • @oswaldpancras5314
      @oswaldpancras5314 ปีที่แล้ว

      Hebu mtu anifafanulie hapa, Yesu aliposema "Mimi ndimi Bwana wa sabato alimaanisha Nini?

    • @phillipmbuligwe7946
      @phillipmbuligwe7946 ปีที่แล้ว

      @@deidrim86 Unasema majibu yake ni ya kitoto kwa sababu uelwa wako wa maandiko ni dhaifu. Nakushauri urejee maandiko ambayo ame refer. Itakusaidia!

  • @Simonirafael-wt4lc
    @Simonirafael-wt4lc 4 หลายเดือนก่อน

    Akirizinatofautiana sasa wewe unachojua fanyahicho ilimladi unyenyekee mbere zamungu maana kila zehebu lina hesabu zake ijumaa j.mos .j.pili

  • @petermgonja8547
    @petermgonja8547 ปีที่แล้ว +2

    Huyu padri.ana majibu rahisi kwa watu rahisi .biblia na Quran zinaonesha sabato ni jumamos.yeye anafundisha watu upumbavu tu hapo.labda afundishe wajinga.

  • @andrewsam364
    @andrewsam364 ปีที่แล้ว +2

    waafrika tumtafute Mungu alieumba mbingu na nchi hiz din zakikolon hazitatusaidia sana.biblia 1 mathehebu zaid ya elfu na uiskam hivyo hivyo.inamaana kabla yawazungu na waarabu waafrika tulikua hatumjui Mungu?tujifunze kupenda vyakwetu maana tumetawaliwa kifikra kimwili had kiroho.

  • @PeterMagoye
    @PeterMagoye หลายเดือนก่อน

    Ww endelea kuvaa hayo marozali yako utadhan yatakusaodia

  • @leonardmwayeya13
    @leonardmwayeya13 22 วันที่ผ่านมา

    Yani wewe nishetani kama mashetani

    • @breezonlinetv
      @breezonlinetv  22 วันที่ผ่านมา

      Huwezi kuvumilia....inaumaeeh

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 ปีที่แล้ว +2

    MAANDIKO KTK BIBLIA YANAONYESHA KITI MOTO NI HARAM
    SEMA MATAMANIO YA NAFSI YAMEKUWA NDIYO MWONGOZO WA WAKATOLIKI
    NA BIBLIA IMEKUWA NI YA MAONYESHO TU!!