PADRE AMIGU ANENA HAYA KUHUSU MIUJIZA|TUJIEPUSHE NA KUPENDA MIUJIZA MAANA NI MTEGO WA KIROHO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2021
  • -Homilia imeletwa Kwako Na Padre Titus Amigu Wa Jimbo Katoliki La Lindi anayefanya utume wake Chuo Kikuu Cha Mt.Augustino SAUT Jimbo Kuu Katoliki La Mwanza.
    -Picha Ya Video Kwa Hisani Na Ukurasa wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC)
    www.radiomaraia.co.tz

ความคิดเห็น • 27

  • @filbertdominiki7965
    @filbertdominiki7965 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa mbinguni akulinde na kukujalia moyo wa upendo kwetu kwa mafundisho yoko

  • @muzikimtamumtakatifu897
    @muzikimtamumtakatifu897 3 ปีที่แล้ว +3

    Padre Amigu Mungu mwenyezi akutimizie hitaji la moyo wako. Nazipenda Sana homilia zako

  • @genesisassenga3921
    @genesisassenga3921 ปีที่แล้ว

    Asante sana baba napenda sana mafundisho yako huwa sichok kabisa kukaa na kukuskiliza nataman kipind kisiishe nikae nikuskilize tuu barikiwa mno zid kutufundisha baba tumsifu Yesu kristo

  • @audifansisafari5587
    @audifansisafari5587 ปีที่แล้ว

    Baba nakupenda sana karibu Tena Ukonga

  • @user-og1us1wi7m
    @user-og1us1wi7m 11 หลายเดือนก่อน

    Tunakushukuru sana Padri

  • @getrudleonce8875
    @getrudleonce8875 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki baba.

  • @biatanderima1152
    @biatanderima1152 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda sana huyu mtumishi wa Mungu kwa mafundisho yake,,sometimes huwa nachekaga mwenyewe tu..hasa kile kipindi chake kwa Radio Maria. May God bless him.

  • @richardmasanja6713
    @richardmasanja6713 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa mafundisho fasaha. Najivunia sana kuwa Mkatoliki

  • @NemesMushi-go8iz
    @NemesMushi-go8iz 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera Sana fr

  • @gracejonh4022
    @gracejonh4022 ปีที่แล้ว

    Amina baba

  • @enockjohnstone3881
    @enockjohnstone3881 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante baba Pd Amigu kwa mafundisho. Ni kweli watu was sikuelewi iz wapenda miujiza kuliko kuelewa ndo maana leo utashangaa maprotestant kuchipuka ka uyoga. Tudum ktk imani

  • @michaelvincentmhagama337
    @michaelvincentmhagama337 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Mwalimu Padre Titus Amigu. Mungu atubariki wote.

  • @edwinmborrow8056
    @edwinmborrow8056 ปีที่แล้ว +1

    Nikisema yoote hayatoshi vile navohusudu na kupenda mafundisho yako,,,zaidi Mungu akutunze Baba uendelee kututoa giza,,,

  • @hildegardchafwila5076
    @hildegardchafwila5076 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @florachogo243
    @florachogo243 ปีที่แล้ว

    Asante sana babs nakukubali m mafundisho yako

  • @ponsianamataka4607
    @ponsianamataka4607 3 ปีที่แล้ว

    Asante kwa mafundisho yako. Sisi wakatoliki tunajivunia sana kwa ajili yako Pd. Titus Amigu. Mungu akulinde siku zote za maisha yako. Ubarikiwe sana.

  • @ijueimanikatoliki980
    @ijueimanikatoliki980 ปีที่แล้ว

    AMINA BABA PADRE
    NAKUPENDA KATIKA IMANI NA KATIKA KRISTO YESU

  • @jeromemtatifikolo9487
    @jeromemtatifikolo9487 3 ปีที่แล้ว

    Najivunia sana baba yangu huyu. Mungu akubariki sana Pd. Amigu jalimu wangu

  • @enockjohnstone3881
    @enockjohnstone3881 2 ปีที่แล้ว

    Fr TitusAmigu nampenda Sana kwa mafundisho Kama ya Fr. Faustine Kamugisha paroko was minziro bukoba

  • @julianacellestine801
    @julianacellestine801 3 ปีที่แล้ว

    Sauti ya kinabii. Ubarikiwe sana kwa mafundisho yako. Mazuri sana yanatujenga kiimani 🙏🙏

  • @evansmassawe7609
    @evansmassawe7609 ปีที่แล้ว

    Mafundisho mazuri ubarikiwe baba padre

  • @leocadiabwire512
    @leocadiabwire512 ปีที่แล้ว

    Ahsante baba

  • @donatlwila8530
    @donatlwila8530 ปีที่แล้ว +1

    Mechi za leo

  • @galashioscarlucas6067
    @galashioscarlucas6067 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante kwa kutufundisha mwenye masikio na asikie asikubali kudanganywa

    • @lilianmlay2336
      @lilianmlay2336 ปีที่แล้ว +1

      Kanisa Lina madini hili ugumu upo kwenye kuyatafuta madini yapo wapi..Asante kuhani barikiwa

  • @isayakahemela4881
    @isayakahemela4881 2 ปีที่แล้ว +2

    Tuleleeni wachungaji wetu kwenye misingi imara kama ya Baba huyu. Ndio dawa pekee ya uasi na mafundisho feki ya dunia ya kileo

  • @johnmligo6966
    @johnmligo6966 2 ปีที่แล้ว +1

    Ng'ing'i au numbu hazishibishi hahhaha