Breez Online Tv
Breez Online Tv
  • 2 021
  • 9 505 061

วีดีโอ

Askofu MUSOMBA akemea tabia za Waumini kutangatanga/Afichua ujanja wanaoutumia kuwateka watu/homilia
มุมมอง 1919 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Homilia ya Askofu Stephano Lameck Musomba Askofu msaidizi wa Jimbo kuu la Dar Es Salaam wakati wa Ibada ya misa takatifu ya Kipaimara, parokia ya MT. TERESA BENEDICTA WA MSALABA MSUMI. #daressalaam #kanisakatoliki #breezonlinetv
REC:Misa Takatifu sherehe ya miaka 10 ya Upadre/Padre Philipo Tairo Visiga Seminari DSM
มุมมอง 29021 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Adhimisho la Misa Takatifu Dominika ya 14 ya Mwaka B wa Kanisa katika Seminari ya Mtakatifu Maria Visiga ikiambatana na Sherehe ya Miaka ya Miaka 10 ya Upadre ya Padre Philipo Tairo (Gombera Kadogoo) Mlezi wa Seminari hiyo na pamoja na kufungua muhula wa pili wa masomo seminarini hapo Misa iliongozwa na Padre Philipo Tairo (Mshangwela) #daressalaam #breezonlinetv #kanisaka
YESU NI MWEMA- (LIVE) KWAYA YA MWENYE HERI ANUARITE - MAKUBURI
มุมมอง 338วันที่ผ่านมา
Adhimisho la Misa Takatifu Dominika ya 14 ya Mwaka B wa Kanisa katika Seminari ya Mtakatifu Maria Visiga ikiambatana na Sherehe ya Miaka ya Miaka 10 ya Upadre ya Padre Philipo Tairo (Gombera Kadogoo) Mlezi wa Seminari hiyo na pamoja na kufungua muhula wa pili wa masomo seminarini hapo Misa iliongozwa na Padre Philipo Tairo (Mshangwela) #daressalaam #breezonlinetv #kanisaka
Alichokisema Padre Vicent Kibooo kwenye Sherehe ya Miaka ya Miaka 10 ya Upadre ya Pd Philipo Tairo
มุมมอง 77วันที่ผ่านมา
Adhimisho la Misa Takatifu Dominika ya 14 ya Mwaka B wa Kanisa katika Seminari ya Mtakatifu Maria Visiga ikiambatana na Sherehe ya Miaka ya Miaka 10 ya Upadre ya Padre Philipo Tairo (Gombera Kadogoo) Mlezi wa Seminari hiyo na pamoja na kufungua muhula wa pili wa masomo seminarini hapo Misa iliongozwa na Padre Philipo Tairo (Mshangwela) #daressalaam #breezonlinetv #kanisakatoliki
Bwana Utuhurumie-Ukwakata parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma Mbezi-Beach DSM
มุมมอง 180วันที่ผ่านมา
Parokia ya Bikira Maria mama wa Huruma Mbezi-Beach Jimbo kuu la Dar Es Salaam. #daressalaam #breezonlinetv #kanisakatoliki #BaloziwaAmani
Pd NYILAWILA"Ukweli upo ndani ya kanisa katoliki,Hakuna lingine'"Awasha mshumaa miaka 50 ya Upadre
มุมมอง 226วันที่ผ่านมา
Homilia ya Padre Stephen Nyilawila dominika ya 14 ya Mwaka B wa Kanisa ambapo katika Ibada hii Padre Nyilawila aliwasha mshumaa wa kuelekea miaka 50 ya Upadre wake. #daressalaam #breezonlinetv #kanisakatoliki #BaloziwaAmani
Litania ya Watakatifu Wote Upadrisho wa Mapadre 9 Jimbo kuu la Dar Es Salaam
มุมมอง 198วันที่ผ่านมา
Adhimisho la Misa Takatifu ya Upadrisho Ikiambatana na Kilele cha Maadhimisho ya Kijimbo ya Miaka 50 ya Jumuiya Ndogo Ndogo za Kikristo Katika Misa hiyo Mashemasi 9 walipata Sakramenti ya Daraja Takatifu la Upadre ambapo Mashemasi 6 ni Jimbo na Mashemasi 3 ni wa kutoka katika Mashirika. #daressalaam #breezonlinetv #africa #kanisakatoliki
TUMEZITAFAKARI- KWAYA YA MWENYE HERI ANUARITE - MAKUBURI
มุมมอง 532วันที่ผ่านมา
Adhimisho la Misa Takatifu Dominika ya 14 ya Mwaka B wa Kanisa katika Seminari ya Mtakatifu Maria Visiga ikiambatana na Sherehe ya Miaka ya Miaka 10 ya Upadre ya Padre Philipo Tairo (Gombera Kadogoo) Mlezi wa Seminari hiyo na pamoja na kufungua muhula wa pili wa masomo seminarini hapo Misa iliongozwa na Padre Philipo Tairo (Mshangwela) #daressalaam #breezonlinetv #kanisakatoliki
RC Kilimanjaro asema Raisi Samia alimwambia awe karibu sana na Askofu Minde/Vicheko vyatawala.
มุมมอง 894วันที่ผ่านมา
ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU JUBILEI YA MIAKA 50 YA DARAJA LA UPADRE KUTOKA PAROKIA YA MTAKATIFU YOSEPH MFANYAKAZI MWENGE JIMBO KATOLIKI MOSHI #daressalaam #love #breezonlinetv #automobile
Askofu MINDE:Mapdre IGENI Mfano wa hawa/hawana vurugu wala hawasumbui/Wamefanya aje kufika hapo.
มุมมอง 929วันที่ผ่านมา
ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU JUBILEI YA MIAKA 50 YA DARAJA LA UPADRE KATIKA PAROKIA YA MTAKATIFU YOSEPH MFANYAKAZI MWENGE JIMBO KATOLIKI MOSHI MISA TAKATIFU INAONGONZWA NA ASKOFU MKUU ISAACK AMANI ASKOFU JIMBO KUU ARUSHA PAMOJA NA ASKOFU LUDOVICK J.MINDE ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI MOSHI NA ASKOFU MSAIDIZI MSTAAFU METHODIUS KILAINI WA JIMBO LA BUKOBA
Askofu AMANI:Mapadre Tunzeni Maagano yenu/Agusia sakata la Waomi kufanyiwa mitihani/Hawana Ufanisi.
มุมมอง 844วันที่ผ่านมา
ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU JUBILEI YA MIAKA 50 YA DARAJA LA UPADRE KUTOKA PAROKIA YA MTAKATIFU YOSEPH MFANYAKAZI MWENGE JIMBO KATOLIKI MOSHI #daressalaam #love #breezonlinetv #automobile MISA TAKATIFU INAONGONZWA NA ASKOFU MKUU ISAACK AMANI ASKOFU JIMBO KUU ARUSHA PAMOJA NA ASKOFU LUDOVICK J.MINDE ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI MOSHI NA ASKOFU MSAIDIZI MSTAAFU METHODIUS KILAINI WA JIMBO LA BUKOBA
Inapendeza-Maandamano Jubilei ya miaka 50 ya Upadre Jimbo katoliki Moshi 2024
มุมมอง 99614 วันที่ผ่านมา
MISA TAKATIFU YA JUBILEE YA MIAKA 50 YA DARAJA TAKATIFU YA UPADRE JIMBO KATOLIKI MOSHI. ▪︎Karibu tushiriki pamoja Misa Takatifu ya Miaka 50 ya Daraja Takatifu ya Upadre kutoka Parokia ya Mtakatifu Yoseph Mume wa Bikira Maria Longuo, Jimbo Katoliki Moshi. ▪︎Siku ya leo Mpadre Saba wa Jimbo Katoliki Moshi wanamshukuru Mungu kwa Jubilee ya Miaka 50 ya Daraja Takatifu ya Upadre. ▪︎Misa hii takatifu...
Inapendeza Padre Kihoo alivyowaimbia Wanandoa wapya Walioenda kutoa Shukrani/Wajitambulisha Rasmi.
มุมมอง 75621 วันที่ผ่านมา
Adhimisho la Misa Takatifu Dominika ya 13 ya mwaka B wa kanisa ikiambatana na uzinduzi wa album ya nyimbo 6 ya kwaya ya Moyo Mtakatifu wa Yesu katika Parokia ya Mtakatifu Ritha wa Kashia Goba. Misa iliadhimishwa na Paroko wa parokia hiyo Padre Moses Kihoo
Vicheko vyatawala Swali la mtego kwa waumini (Tujuzane Challenge ndani ya kanisa katoliki)
มุมมอง 45921 วันที่ผ่านมา
Kila siku ya jumanne tutakuwa tunakuletea kipindi hiki cha tujuzane kikiwa na lengo la kutukumbusha mambo ya msingi ya Imani yetu na kuendelea kuimariasha uelewa wa mafundisho ya kanisa katoliki #breezonlinetv #kanisakatoliki #daressalaam #Tujuzane
Padre Kihoo:Kina Mama Waleteni Waume zenu kanisani/sikilizeni ushauri wa Madaktari-Homilia
มุมมอง 67121 วันที่ผ่านมา
Padre Kihoo:Kina Mama Waleteni Waume zenu kanisani/sikilizeni ushauri wa Madaktari-Homilia
UJASIRI wa watoto Walivyopangua Maswali ya Mtego ya Askofu Ruwai'ch, Wengine wapata Kigugumizi.
มุมมอง 259หลายเดือนก่อน
UJASIRI wa watoto Walivyopangua Maswali ya Mtego ya Askofu Ruwai'ch, Wengine wapata Kigugumizi.
Kikongwe wa miaka 106 Afariki/Padre bahati awafariji wafiwa"Kila mtu abebe majukumu yake"
มุมมอง 1.3Kหลายเดือนก่อน
Kikongwe wa miaka 106 Afariki/Padre bahati awafariji wafiwa"Kila mtu abebe majukumu yake"
Bibi wa miaka (106) Afariki/Historia yake yaacha Funzo/Mamia wajitokeza kwenye mazishi DSM na Moshi.
มุมมอง 842หลายเดือนก่อน
Bibi wa miaka (106) Afariki/Historia yake yaacha Funzo/Mamia wajitokeza kwenye mazishi DSM na Moshi.
Idadi ya watoto wa KIUME (Kipapa)Imepungua/Mwenyekiti wa utoto mtakatifu parokia ya KIPAWA DSM asema
มุมมอง 92หลายเดือนก่อน
Idadi ya watoto wa KIUME (Kipapa)Imepungua/Mwenyekiti wa utoto mtakatifu parokia ya KIPAWA DSM asema
Padre Simon CSSp Aweka wazi Mchango wa Jumuiya ndogo ndogo kufikia Daraja la Upadre/Atuma salamu hiz
มุมมอง 166หลายเดือนก่อน
Padre Simon CSSp Aweka wazi Mchango wa Jumuiya ndogo ndogo kufikia Daraja la Upadre/Atuma salamu hiz
Mtoto Devotha atoa Darasa kwa wazazi parokia ya Kipawa Jimbo kuu la Dar Es Salaam/Huu ndiyo msingi.
มุมมอง 197หลายเดือนก่อน
Mtoto Devotha atoa Darasa kwa wazazi parokia ya Kipawa Jimbo kuu la Dar Es Salaam/Huu ndiyo msingi.
Mkuu wa shirika la Holy Ghost Awafunda Mafratel waliofunga Nadhiri za Daima/Aweka wazi mambo muhimu.
มุมมอง 546หลายเดือนก่อน
Mkuu wa shirika la Holy Ghost Awafunda Mafratel waliofunga Nadhiri za Daima/Aweka wazi mambo muhimu.
Shangwe zatawala parokia ya KIPAWA/Maandamano/Mafratel 16n wafunga Nadhir za Daima ni wa Holy Ghost.
มุมมอง 204หลายเดือนก่อน
Shangwe zatawala parokia ya KIPAWA/Maandamano/Mafratel 16n wafunga Nadhir za Daima ni wa Holy Ghost.
Shirika la ROHO MTAKATIFU Latoa Nadhiri za Daima kwa Mafrater 16 kutoka Nchi 4 parokia ya kipawa SDM
มุมมอง 261หลายเดือนก่อน
Shirika la ROHO MTAKATIFU Latoa Nadhiri za Daima kwa Mafrater 16 kutoka Nchi 4 parokia ya kipawa SDM
Askofu MUSOMBA "Imani imekuwa ni kama siasa/Eti Aliweka picha ya mchungaji kwenye mtungi wa gesi"
มุมมอง 422หลายเดือนก่อน
Askofu MUSOMBA "Imani imekuwa ni kama siasa/Eti Aliweka picha ya mchungaji kwenye mtungi wa gesi"
Somo la pili Ibada ya Kipaimara parokia ya Kimara DSM 2024
มุมมอง 134หลายเดือนก่อน
Somo la pili Ibada ya Kipaimara parokia ya Kimara DSM 2024
Somo la kwanza Ibada ya Kipaimara parokia ya Kimara DSM 2024
มุมมอง 61หลายเดือนก่อน
Somo la kwanza Ibada ya Kipaimara parokia ya Kimara DSM 2024
Askofu KODA Mstaafu wa Jimbo katoliki la SAME Afiwa na ndugu yake/Aongoza Ibada ya Mazishi.
มุมมอง 1.6Kหลายเดือนก่อน
Askofu KODA Mstaafu wa Jimbo katoliki la SAME Afiwa na ndugu yake/Aongoza Ibada ya Mazishi.
Padre KACHEMA Atoa Pole kwa Askofu KODA Kifo cha Ndugu yake/Homoilia yake yarejesha tabasamu msibani
มุมมอง 2.2Kหลายเดือนก่อน
Padre KACHEMA Atoa Pole kwa Askofu KODA Kifo cha Ndugu yake/Homoilia yake yarejesha tabasamu msibani

ความคิดเห็น

  • @JosephJoseph-h1s
    @JosephJoseph-h1s 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asante baba kwa mahubiri Yako tumepokea.

  • @JosephJoseph-h1s
    @JosephJoseph-h1s วันที่ผ่านมา

    Kweli wwanadam ni watu wa kuhangaika msahau kabisa kama maandimo yanavyosema ni kweli kabisa katoliki nawapa shavu

  • @JosephJoseph-h1s
    @JosephJoseph-h1s วันที่ผ่านมา

    Asante yesu wa ekaristi 10:28

  • @JosephJoseph-h1s
    @JosephJoseph-h1s วันที่ผ่านมา

    Achen matamshi ya kasfa kwa kabisa katoliki mtalaaniwa. Hilo ni kabisa mama.

  • @JosephJoseph-h1s
    @JosephJoseph-h1s วันที่ผ่านมา

    Kama unaimani amini ulipobatizwa sio kutangatanga hutaiona pepo.

  • @jeromejames-cu7hv
    @jeromejames-cu7hv 3 วันที่ผ่านมา

    Mungu atukuzwe ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Laswaididas
    @Laswaididas 5 วันที่ผ่านมา

    Nimepata faraja sana. Mungu akupiganie, na kukuza talanta yako Father wetu

  • @user-fw9vv8wi7m
    @user-fw9vv8wi7m 5 วันที่ผ่านมา

    Tumekukumbuka sana baba njoo kugoma utuone

  • @MagingaJoseph-iw9nk
    @MagingaJoseph-iw9nk 7 วันที่ผ่านมา

    Kanisa katoliki halilei waamini maana miujiza haileti baraka

  • @VICTORIAKIHAGA
    @VICTORIAKIHAGA 8 วันที่ผ่านมา

    Asante baba napata baraka sana .

  • @MushiVicent
    @MushiVicent 9 วันที่ผ่านมา

    MUNGU AENDELEE KUKUONGOZA,DAVOO WA LORI CONGO,

  • @MelkioryDigha-ry8nu
    @MelkioryDigha-ry8nu 9 วันที่ผ่านมา

    Dah nzuri sichoki kuitizama

  • @Joyce-p6w
    @Joyce-p6w 9 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤

  • @user-sh8xp5dn3w
    @user-sh8xp5dn3w 10 วันที่ผ่านมา

    Pole baba kwa kutoa homilia ya watoto wachanga

  • @siliviakokubanza-dz6qf
    @siliviakokubanza-dz6qf 10 วันที่ผ่านมา

    Baba Likoko, Mungu akubriki na akudumishe ktk wito wako. Amina.

  • @johaneshaule4378
    @johaneshaule4378 10 วันที่ผ่านมา

    Very nice

  • @emmanuelmwambiaji8515
    @emmanuelmwambiaji8515 10 วันที่ผ่านมา

    Mungu azidi kuwatunza katika Utume wake aliowaitia,

  • @paschalsafari9747
    @paschalsafari9747 11 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @bethwinfred4400
    @bethwinfred4400 11 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @RichardAlfred-s1c
    @RichardAlfred-s1c 11 วันที่ผ่านมา

    Hunibaliki pikipiki yangu Richard Alfredy nombo boxser

  • @bethwinfred4400
    @bethwinfred4400 11 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa sana

  • @RichardAlfred-s1c
    @RichardAlfred-s1c 11 วันที่ผ่านมา

    Nahomba hunibaliki sasahivi Richard Alfredy nombo

  • @RichardAlfred-s1c
    @RichardAlfred-s1c 11 วันที่ผ่านมา

    Kunamtu nihibia basi msahada

  • @bethwinfred4400
    @bethwinfred4400 11 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 13 วันที่ผ่านมา

    Tuache siasa Kanisani...

  • @ReginaKulwa-zp7wp
    @ReginaKulwa-zp7wp 14 วันที่ผ่านมา

    Hongera baba, Mungu akubariki.

  • @FrutunatusMuyango
    @FrutunatusMuyango 18 วันที่ผ่านมา

    Amina baba

  • @fridaupendomushi1081
    @fridaupendomushi1081 21 วันที่ผ่านมา

    Proffessor Kabudi huwa unanikosha kwa hotuba zako.❤

  • @johnrizi5978
    @johnrizi5978 22 วันที่ผ่านมา

    Paroko wangu wa zamani.

  • @MagrethKatondo-qs9oz
    @MagrethKatondo-qs9oz 23 วันที่ผ่านมา

    Ushoga na usagaji ni chukizo mbele za mungu. Mkumbukeni lutu huko sodoma na gomola. Tuache. Jamani serikali angalie sana. Hiki kitu mungu amekataza. Mungu tuhurumie sana. Mababa wa imani mkemee sana huu uchafu ndani ya taifa letu. Misaada ya kumkosea mungu haifai jamani.

  • @MfaumeIbrahim
    @MfaumeIbrahim 24 วันที่ผ่านมา

    Pole ukweli hujaupata,,mungu akuonyeshe ukweli

  • @marysona9999
    @marysona9999 25 วันที่ผ่านมา

    Hadi leo mimi huwa nasema, Wewe ukisimama kuongea, huwa unaunguruma maneno yalijaa ushujaa , uzalendo wa kiuongozi na yenye nguvu na mtirririko wa kihistoria katika Taifa letu la Tanzania. Hongera kwa akili kali na kwa zawadi ya imani.

  • @MUNIKOKARANI
    @MUNIKOKARANI 28 วันที่ผ่านมา

    Congratulation watu wa mungu

  • @mwajumakitoro8582
    @mwajumakitoro8582 29 วันที่ผ่านมา

  • @angelinamkombo9385
    @angelinamkombo9385 29 วันที่ผ่านมา

    So sad bro,,,rest in peace

  • @petronilamruma2418
    @petronilamruma2418 29 วันที่ผ่านมา

    Shukrani kwa breez online tv na kila mmoja wenu kwa kuwa sehemu ya faraja katika msiba huu mzito kwetu.. Tunawaombea baraka za mwenyez Mungu ziwe nanyi daima

    • @breezonlinetv
      @breezonlinetv 29 วันที่ผ่านมา

      Tunapokea kwa moyo wa shukrani🙏🙏

  • @lydiaalex5137
    @lydiaalex5137 หลายเดือนก่อน

    Jinsi nilivyokuwa Mimi Leo ndivyo alivyokuwa yeye jana na jinsi alivyokuwa yeye Leo ndivyo nitakavyokuwa Mimi keshooo For sure we will mis you 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Umetuachia pigo kubwa sana katika Dekania yetu.....

  • @catherinelameck9700
    @catherinelameck9700 หลายเดือนก่อน

    Rest well Deo🙏

  • @lydiaalex5137
    @lydiaalex5137 หลายเดือนก่อน

    Daaah inauma mana hakuna mrithi wa kiatu chako ni mapema sana bado tulikuwa tunakuhitaji 😭😭😭

  • @hildaapolinary
    @hildaapolinary หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukubariki. baba.

  • @EliminaLuwi
    @EliminaLuwi หลายเดือนก่อน

    Mungu aendelee kukutumia baba🙏🙏🙏

  • @jessydaktari5209
    @jessydaktari5209 หลายเดือนก่อน

    Rest easy brother 😢

  • @vickyfrancis8137
    @vickyfrancis8137 หลายเดือนก่อน

    Rest in Peace Deo. Mungu akumbuke sandaka yako

  • @neemafideliss4744
    @neemafideliss4744 หลายเดือนก่อน

    RIP Deo

  • @mariaiddy4866
    @mariaiddy4866 หลายเดือนก่อน

    Rest in peace deo😓

  • @breezonlinetv
    @breezonlinetv หลายเดือนก่อน

    Tunaomba radhi kwa kushindwa kuendelea na matangazo haya kutokana na taratibu za kiparokia

  • @avilakawonga9227
    @avilakawonga9227 หลายเดือนก่อน

    R.I.P Deo we will mis you😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔

  • @johnmgalatia5375
    @johnmgalatia5375 หลายเดือนก่อน

    TUMSIFU YESU KRISTO BABA ASKOFU, NAOMBA HIKI KIPINDI KIWE KINASIKIKA REDIO TUMAINI

    • @breezonlinetv
      @breezonlinetv หลายเดือนก่อน

      Kinasikika radio maria tayari

  • @bennymtau2989
    @bennymtau2989 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @user-dy8ss4ly8z
    @user-dy8ss4ly8z หลายเดือนก่อน

    Waumin wachache jmn madini hya yalitakiw yapatikane kweny miji mikubwa Kwa kweli Huwa unanibariki sana baba padre