HIZI NDIO VITA ALIZOPIGANA PAUL MAKONDA NA KUJIWEKA HATARINI LAKINI AKACHOMOKA SALAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 169

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 6 หลายเดือนก่อน +14

    Makonda oyeeeeeeeee❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉Hongera sana Makonda Mungu akulinde

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 6 หลายเดือนก่อน +25

    Hongera sana Zungu kwakutuletea ukumbusho Mh Makonda ni jembe jeshi la mtu mmoja mchapa kazi asiye na majivuno 🎉🎉🎉🎉Hongera nyinyi Mh Makonda Mungu akulinde akupiganie uchape kazi hakika ww ni kiongozi wa wanyonge 🎉🎉🎉

  • @FaridaOngala
    @FaridaOngala 3 หลายเดือนก่อน +3

    Raisi wa tanzania wa badae nakupenda makonda

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 6 หลายเดือนก่อน +9

    Kwani uongo bunge wengi wao mnalala.
    Mh Makonda ni jembe jeshi la mtu 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

    • @aud548
      @aud548 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nchi hii ukiwa na lugha nyepesi hutafanya chochote watu wanapenda kuburuzwa..you have to be unique like Makonda.❤❤❤

  • @GracedMkonongo
    @GracedMkonongo 6 หลายเดือนก่อน +10

    Nakupogeza sana mh makonda kwa kazi nzuri ya kutetea wanyone,Mungu yu pamoja nawe

  • @PeterMathias-g2d
    @PeterMathias-g2d 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Mh Makonda ,hongera Mh Samia Rais wetu kwa kumteua Makonda kukuwakrisha.

  • @jalinachilala8465
    @jalinachilala8465 6 หลายเดือนก่อน +13

    Mungu akulinde bro makonda kwa Kila lenye Shari na ww amiin

  • @moiseszacariasmoisesmoises
    @moiseszacariasmoisesmoises 6 หลายเดือนก่อน +11

    makonda anafanya kazi kwa ajir ya wana nchi na sio vihongozi wa selikali ambao wanajali matumbo yao. nasema kwamba ukwuli una uma.fanya kazi makonda mungu atakulipa

  • @MaryValerian-u2p
    @MaryValerian-u2p 6 หลายเดือนก่อน +9

    Ma
    Konda Mungu akulinde unawasaidia wasiyo na watetezi/wanyonge

  • @CalmOmbreSky-iz2hj
    @CalmOmbreSky-iz2hj 6 หลายเดือนก่อน +4

    Makoda hongera sana makonda mungu yuko pamoja nawe using usiogope baba mungu atakupigania kwamagumu unayo kutana nayo

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 หลายเดือนก่อน +7

    Gwajima amesema sanaaaa ndiyo maana akaitwa Bashite umechapa kazi nzuri sanaaaa Makonda sasa yamerudi upyq wauzaji wamerudi kama kazi sasa hivi ni kama pipi

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 6 หลายเดือนก่อน +11

    Safi sanna zungu kutukumbusha taarifa za Jembe Makonda.🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Misheckkazilist-cv2hb
    @Misheckkazilist-cv2hb 6 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu mwamba namkubali sanah ❤❤❤

  • @EdwardOkemba
    @EdwardOkemba 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mhhhh makonda kumbe ulianza mapema kuwasaidia wananchi kipindi cha kikwete jamani mungu akutie nguvu sana mimi pia ni mwana harakati mtetezi wa wanyonge kowak rorya mh nakupa big up sana rc

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 6 หลายเดือนก่อน +6

    Hongera Sana mchambuzii Charles wiliamu hii ndio faida ya kuhifadhi kumbukumbu za matukio zinatusaidia kufanya rejea (kweli Makonda ni jembe ni sawa na bondia anayejua kukwepa ngumi za uso maana hizo hupekekea kushindwa pambano)

  • @mungholomakalanga8958
    @mungholomakalanga8958 6 หลายเดือนก่อน +7

    Umetukumbusha mbali, hongera

  • @ADIMUSALUMU-ko6zp
    @ADIMUSALUMU-ko6zp 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera makonda mungu akulinde

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 6 หลายเดือนก่อน +2

    MAKONDA MUNGU awatangulie katika kazi zako ❤

  • @mejamiela7436
    @mejamiela7436 6 หลายเดือนก่อน +6

    Namkubali sana makonda

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 6 หลายเดือนก่อน +3

    @Alimasudi jambazi ww na family yako shenzi ww na mtanyooka hadi nywele zinyonyoke. Makonda oyeee 🎉🎉🎉

  • @ChristopherMgonja
    @ChristopherMgonja 6 หลายเดือนก่อน +1

    God protect you my broo your so man of God has provided

  • @YusufZavala-j4j
    @YusufZavala-j4j 5 หลายเดือนก่อน +3

    Magufuli & Makonda heroes

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 6 หลายเดือนก่อน +6

    Pamoja na mabaya yakeee nayoyaskia ila madhal ni kiongozi mkubwa ambae anakemea ushoga hadharani bila kuogopa niko pamoja na wanaotaman kuwa awe Rais na kura nitampigia akigombea😊😊😊

  • @ErizicDaud
    @ErizicDaud 6 หลายเดือนก่อน +5

    Rekodi yake ni shujaa tupu anafaa kuwa raisi na waziri mkuu watajamba huyo mwanaume❤❤❤❤

  • @DullahNyoni-cr2fu
    @DullahNyoni-cr2fu 6 หลายเดือนก่อน +22

    Makonda ni bonge la kiongozi kama mungu anasikia maombi yangu siku moja awe Raisi awanyooshe mafisadi

  • @josephk90
    @josephk90 6 หลายเดือนก่อน +5

    Kiswahili sahihi ni "Hivi ndivyo vita alivyopigana" siyo "Hizi ndio vita alizopigana".
    Vita ya -❌
    Vita za -❌
    Vita vya -☑

    • @RuthWarombo
      @RuthWarombo 5 หลายเดือนก่อน

      Ewe Mwenye Enzi wewe ujuwaye ukweli uliomo duniani nakomba utete yaliyo haki

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 6 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu jama ni kiongozi na anahofu ya mungu

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 6 หลายเดือนก่อน +3

    Tunahitaji kiongoz mithir ya makonda Tanzania..Mwenye hofu ya Mungu, mwenye huruma, katir na jasiri panapohitajika kufanya hivyo na haogop wala hana wasiwasi...Hi serikal ingeend sawa...Biteko yupo vyema ila Mama samia una huruma sana juu ya vijana wako..Ungemueka makonda Kama Naibu Wazir Mkuu...Tunamuombe baada ya mama kupumzika bas Makonda akabidhiwe form ya kugombea Urais

  • @AlipoMwasenga
    @AlipoMwasenga 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hapo bwana makonda naona roho ya hayati magufufi ipo kwake tukipata watanzania warau watano kama hawa tanzania yetu itatakasika serikari yetu itang'ara mungu qetu alie mwema akurinde paul makonda

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 หลายเดือนก่อน +7

    Wanaharakati waajabu sana hao watu wamekufa kwa ajili ya Ardhi hao Wanaharakati wanasaidia nini wakafie mbele

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 หลายเดือนก่อน +9

    Kwani uongo wengi wanalala tu Bungeni wengine wabunge ndiyo wanafiki na wenye msimamo madawa ya kulevya viongozi wao wako humo humo ndani ya Serikali yetu

  • @elizabethbigilwa6822
    @elizabethbigilwa6822 6 หลายเดือนก่อน +5

    Makonda songs mbele na Mungu akulinde

  • @dorotheamethod347
    @dorotheamethod347 5 หลายเดือนก่อน

    Makonda Mungu akulinde siku moja uwe Rais wa Tanzania

  • @NeemaJackson-s5f
    @NeemaJackson-s5f 5 หลายเดือนก่อน

    Makonda mungu akulinde hakuna safali lahisi apa chini yajua mungu Skype wepesi tunakupenda Kila sehemu tunatamani ufike watu watu wanateseka jaki haipo watu wanatumia pesa zao kunyanyasa watu wangonge

  • @MaryValerian-u2p
    @MaryValerian-u2p 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde makonda

  • @bugabyarugaba3771
    @bugabyarugaba3771 6 หลายเดือนก่อน +9

    Wamkabizi nchi anauwezo wa kuamua

  • @jafaribori5428
    @jafaribori5428 5 หลายเดือนก่อน

    Safi sana umenifurahisha sana

  • @yapukahassan
    @yapukahassan 5 หลายเดือนก่อน

    Da! Zungu 🔥🔥🔥👏

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 6 หลายเดือนก่อน +4

    Miongoni mwa HAYO ni SERIKALI kumruka MAKONDA ilifanya makosa JUU ya ushoga

    • @section8ight174
      @section8ight174 26 วันที่ผ่านมา

      Lazima uelewe mambo ya Siasa ya kijiografia!!

  • @Evance-op4jw
    @Evance-op4jw 6 หลายเดือนก่อน +3

    mh Makonda wanachi tunakukubali tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu akulinde kwani hiyo unayofanya ndo kazi inayotakiwa na Mungu pia wananchi

  • @Joseph-lu4yj
    @Joseph-lu4yj 5 หลายเดือนก่อน

    Mengine nilikuwa sijui kama alikuwa ni mtu na nusu kitambo .....safi sana

  • @jamesmzaki6041
    @jamesmzaki6041 6 หลายเดือนก่อน +1

    'We enlightene the dark side' Hongereni Zungu na team yenu.

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 3 หลายเดือนก่อน

    Mwaka atakaogombea urais Makonda nitampigia kura naomba M'Mungu anifikishe roho yangu nitimize hilo

  • @lameckmatonya
    @lameckmatonya 6 หลายเดือนก่อน

    Charles William na Zungu mmeupiga mwingi. Kongole sana kwenu

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 6 หลายเดือนก่อน +1

    Siyo kweli maneno ya dharau sana punguza maneno yako eti mke wangu mzuri

    • @HawaSwaleheh
      @HawaSwaleheh 6 หลายเดือนก่อน

      Huyu ndio mwanaume sasa maana chako kisifie mwenyewe usisubiri wakusifue we kama mumuwe au hawarako hajawahi kukusifia wivu unakusumbua

    • @margarethsaramaki3966
      @margarethsaramaki3966 6 หลายเดือนก่อน

      @@HawaSwaleheh kiongozi hutakiwi kuwa na maneno ya kashfa ile ni kashfa ulisikiliza vizuri ile video????
      Huna akili ww ni bora ungenyamaza unanijua mimi?? Ninyi ndiyo wale wale

  • @monicamichael-sr4kx
    @monicamichael-sr4kx 6 หลายเดือนก่อน +1

    mungu akutunze

  • @NicholausKalolo
    @NicholausKalolo 5 หลายเดือนก่อน

    amekufa😭😭😭😭😭😭😭😭😭 makonda nakupenda uko wap baba

  • @MusawitsonskanaMusawitso-iy4vh
    @MusawitsonskanaMusawitso-iy4vh 6 หลายเดือนก่อน +2

    Namkubali makonda

  • @AmaniManase-x1i
    @AmaniManase-x1i 6 หลายเดือนก่อน +2

    Daah makonda ana roho yangu aisee maana natamani nipate uongozi wa kuwatetea wanyonge maana uku mtaani watu wananyanyasika sana naamini IPO siku tu Mungu yupo

  • @georgeexavier5921
    @georgeexavier5921 6 หลายเดือนก่อน +7

    Makonda jembe 🔥

  • @2050bydesign
    @2050bydesign 4 หลายเดือนก่อน

    Kiboko ya wachawi tu labda kuwe ushoga tu hapo kwengine kote ni ziro

  • @abdallabundala404
    @abdallabundala404 6 หลายเดือนก่อน +3

    Makonde ni bonge la kiongozi

  • @mejamiela7436
    @mejamiela7436 6 หลายเดือนก่อน +14

    Ccm siku mkijichanganya mumpe makonda agombee uraisi aki ya Mungu naenda kumpa kura na sijawahi piga kura kbs ila makonda nitaenda

    • @VictorEmilio-y4c
      @VictorEmilio-y4c 6 หลายเดือนก่อน +1

      Una kadi ya mpiga kura

    • @mejamiela7436
      @mejamiela7436 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@VictorEmilio-y4c ipo ipo

    • @DudddyWhyCant
      @DudddyWhyCant 5 หลายเดือนก่อน

      Kama hujawahi kupiga kura, ulipoteza haki yako ya kikatiba, ila kwako wewe usilalamike kuhusu yanayotendeka kwenye nchi, maana hujachagua kiongozi.

    • @DudddyWhyCant
      @DudddyWhyCant 5 หลายเดือนก่อน

      Nyie msio piga kura mnakuwa wa kwanza kulalamika kwamba viongozi fulani hawafai.

    • @fredrickmbuvi9603
      @fredrickmbuvi9603 4 หลายเดือนก่อน

      kweli? kupiga Kura ni aki yako mbona

  • @mcmasaitv9491
    @mcmasaitv9491 3 หลายเดือนก่อน

    noma sana

  • @Seiphkavinga
    @Seiphkavinga 5 หลายเดือนก่อน

    Daawejamaa una kumbumbu❤

  • @AhmedAhmed-gf1rd
    @AhmedAhmed-gf1rd 6 หลายเดือนก่อน +5

    Yan unatokosha unavosimulia 💯

  • @kulwankuba2785
    @kulwankuba2785 5 หลายเดือนก่อน

    Alikuwa sahihi Sana

  • @DianaMafuru
    @DianaMafuru 5 หลายเดือนก่อน

    Na hili la sasa litapita mungu atamulinda makonda

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 6 หลายเดือนก่อน +5

    Shida nchi ya Tanzania,ukiwa mkweli tu unauwawa

    • @HawaSwaleheh
      @HawaSwaleheh 6 หลายเดือนก่อน

      Asaante ndugu pia wengine hawampendi kwa mate ndoa yao

    • @EdwardOkemba
      @EdwardOkemba 6 หลายเดือนก่อน

      Makonda hivi ni mungu ndiye anaye kutumia kuibua mambo magumu kama haya mh mkuu wa mkoa

  • @SamwelRichard-ep4sd
    @SamwelRichard-ep4sd 6 หลายเดือนก่อน +3

    Nimeielewa hyo ya DC makonda

  • @ramadhanibahati2829
    @ramadhanibahati2829 6 หลายเดือนก่อน +4

    Good mwandishi

  • @MngwaliAllykizangwa
    @MngwaliAllykizangwa 6 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu atakuja kuwa Rais,labda asiwe na tamaa ya hilo

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hao wanaharakati nao saa zingine hulipukatu kama petroli iliyovujia kwenye cheche zamoto. bila maarifa autaaluma zao.

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 6 หลายเดือนก่อน +6

    Makonda anafaa kuwa raisi

  • @LightnessUrio-fo7mq
    @LightnessUrio-fo7mq 5 หลายเดือนก่อน

    Emungu mlinde makonda mtetee mpe hui mpe uzima mpe afya njema mungu tunakuomba usikie kilio chawatanzania

  • @veronicmkenda9939
    @veronicmkenda9939 5 หลายเดือนก่อน

  • @FredericovalentiBanda
    @FredericovalentiBanda 5 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali SANA kwa maamuzi yako mkuu zidisha utetezi"

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 6 หลายเดือนก่อน +3

    Wanaharakati wa haki za uvivu wafiye uko.

  • @CareenKuzilwa-vn8hw
    @CareenKuzilwa-vn8hw 5 หลายเดือนก่อน

    Damu ya Yesu imfunike

  • @CSMAPESA
    @CSMAPESA 3 หลายเดือนก่อน

    Zunguuuuuuu

  • @AndrewMyinga
    @AndrewMyinga 6 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥

  • @davidsebastian661
    @davidsebastian661 5 หลายเดือนก่อน

    Niko tayali kupigania jembe azishe gurupu lake nitajiuga tumechoka😢😢😢

  • @JansanMokiwa
    @JansanMokiwa 6 หลายเดือนก่อน +6

    Awe Raisi TU watakomaaa😅😅😅

    • @farajistory
      @farajistory 6 หลายเดือนก่อน

      Huyu atawanyoosha😂😂😂

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@farajistory🤣🤣🤣

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 6 หลายเดือนก่อน

    Unapenda sana sifa wataje hao watu misifa tu

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 6 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda dawa ya CCM wanafiki

  • @christopherishengoma6692
    @christopherishengoma6692 5 หลายเดือนก่อน

    Jamni uyu mwamna mungu amtete ukoaliko make miaka ijayo anaweza kuwa rais wetu

  • @AhmedAhmed-gf1rd
    @AhmedAhmed-gf1rd 6 หลายเดือนก่อน +4

    Zungu baba lao 💯

  • @ndikumanaismail5419
    @ndikumanaismail5419 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nikweli vp wabunge wanalala bungeni hao niwabunge wazembe

  • @NeemaJackson-s5f
    @NeemaJackson-s5f 5 หลายเดือนก่อน

    Niseme tunitaoomba kwajili Takis ku zote ili mungu alete kiongozi Kama wew nahuku

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri 6 หลายเดือนก่อน

    Ispokuwa muhimu alitakiwa awatendee haki kwa KUWASIKILIZA maafisa hao wa Ardhi.

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 6 หลายเดือนก่อน +2

    Spana spana 😂😂

  • @EmmanuelSabibi
    @EmmanuelSabibi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hao ndio viongozi, maana watu wanafanya kaz kwa mazoea na kwakujisikia ndio maana, hawawajibiki ktk kaz ,ndio maana lazma wawajibishwe ,ili waepuke mazoea ya kujisikia, sisi ndio tunataka viongoz wa namna hio na sio wale wanaojiskia na kutaka uongoz wa kuangalia ugal tu

  • @fadhilfurahini2518
    @fadhilfurahini2518 6 หลายเดือนก่อน

    tumekuelewa kaka, tunaomb uteletee na mzurii mengi aliyofanya makala ijayo

  • @OleLucas
    @OleLucas 5 หลายเดือนก่อน

    Eemwenyezi MUNGU kwa hili usinyamaze hakuna kilichokushindwa milele EE MUNGU uikomboe Tanzania yangu

  • @bostonbensonkapute5274
    @bostonbensonkapute5274 6 หลายเดือนก่อน

    Mh Makonda, huo uchapaji Wa kazi, ninaomba tupatie kidogo huku Mozambique. Nina penda ningelikuwa mwanafunzi wako, unanifurahisha, unanipa moyo, ninakubali kwamba, África, kuna siku itakuwa safi, ita nyooka.
    Kila la Kheri!

  • @AbdallahShaweji-c7r
    @AbdallahShaweji-c7r 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu mm

  • @MussaMarwa-z3n
    @MussaMarwa-z3n 5 หลายเดือนก่อน

    Nakwambia ukweli ccm munashida san nyinyi mufanye kazi ila mungu yupo ccm siyo wakweli niwaongo nyiye mukiona mutu anadany kazi zuri amumutaki anakua namisukosuko kwanin mungu awalani nyinyi kam wew upo apo umekaa tu unanenepa tumbo yako bani anayajua acha ushamba tu yote ayo niyaukweli siy uongo munatendea watu vitu vyaovyo sana mungu apendi mungu anakua nachuki nanyie acha kua watu mumepewa madalaka ila ayamuyatumii ifatavyo munanyanyasa watu munatesa watu

  • @stevensoso7506
    @stevensoso7506 6 หลายเดือนก่อน +1

    Apewe nchi ana msimamo mkali sana wa kimaendeleo kama jp kaamka

  • @AlexisAjwantos
    @AlexisAjwantos 5 หลายเดือนก่อน

    Makonda iyo n mwanzo tiba ina umaga bba endelea kuokoa wanyonge mungu yko nawe mm mcongo nakuombea saaan

  • @robisonikadogo7371
    @robisonikadogo7371 5 หลายเดือนก่อน

    Kwani Awasinzii bungeni

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 5 หลายเดือนก่อน

    Wanacheya kazi lazima watiwe adabu kwani siriyasi ishu nikweli makonda

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mdiyo hawa tunawategemea katika kuipigania Nchi pamoja na Raia wake

  • @al-bleproshooteur1922
    @al-bleproshooteur1922 6 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @CantiusBenedict
    @CantiusBenedict 5 หลายเดือนก่อน

    Iv mimi najiuliza mwenyew nakosa jibu hii nchi inamutaka mtu wa namna gan???

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri 6 หลายเดือนก่อน

    Hapana Mkuu uwekaji ndani ni kama ilikuwa sahihi tu japo ni jambo lilikuwa geni na lilitakiwa kufanywa na kiongozi mkubwa zaidi ya hapo ili kutoa SoMo kwa watu wengi zaidi.

  • @MussaMarwa-z3n
    @MussaMarwa-z3n 5 หลายเดือนก่อน

    Watu wanalia sana wanateseka sana nani atawatetea nilijua tu makonda awezi kutetea watu nakutenda aki akabaki apo lasima atakua na mingongo na ccm daa makonda ulipo mungu akulinde san watu wanalia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @NoelyMiyoo
    @NoelyMiyoo 6 หลายเดือนก่อน

    Makonda ndo uko sawa kaka hukosei na cjaona umbaya wako kaka.

  • @anangisyekibona9006
    @anangisyekibona9006 6 หลายเดือนก่อน +1

    Unaye pambana na Makonda just unapambana na Mungu mubashara

  • @DavidNgalowoka
    @DavidNgalowoka 6 หลายเดือนก่อน +8

    Huyu mwamba namkubali