MAKAMU WA RAIS TEC AFAFANUA KWA KINA MAANA YA PALLIUM ATAKAYOVALISHWA KARDINALI RUGAMBWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 8

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 6 หลายเดือนก่อน +4

    Kanisa Katoliki ni taasisi ya kale zaidi ulimwenguni.. imebeba ustaarabu na historia kubwa. Ni kwa neema tu nimelelewa katika imani ya Kikatoliki. Namshukuru Mungu

  • @matinyahaule792
    @matinyahaule792 6 หลายเดือนก่อน +2

    Baba Askofu nzigilwa unajua kutoka mafundisho.Hongera baba

  • @ajoeus
    @ajoeus 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Baba Nzigilwa. Tunashukuru.

  • @ImeldaIsdory
    @ImeldaIsdory 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana Cardinal Rugambwa, "Mchungaji Mwema."

  • @FrolenceRogath-fv6ku
    @FrolenceRogath-fv6ku 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mwenyez Mungu amjalie kadinari Rugambwa siku moja awe Baba mtakatifu

  • @emmanuelkema045
    @emmanuelkema045 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sanaaaa

  • @mungholomakalanga8958
    @mungholomakalanga8958 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika wewe ni mwalimu