Kanisa Anglikana Tanzania lilianzia Eneo Hili Hapa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 มี.ค. 2024
  • Ijue Historia ya Kanisa Anglikana Tanzania . Wapi lilianzia na nani mwanzilishi. Tupo na Baba Askofu , Dkt James Almasi wa Kanisa Anglikana Dayososo ya Masasi

ความคิดเห็น • 7

  • @JessyKalonga
    @JessyKalonga 7 วันที่ผ่านมา

    Hongera Askofu kwa historia mzuri

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @maranathagospelmessagesbyj1255
    @maranathagospelmessagesbyj1255 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana ,wanahabari wa CCT,mmefanya vizuri sana kuandaa makala hii ya Kanisa la ANGLIKANA Tanzania , Dayosisi ya Masasi .
    Kongole baba Askofu Almasi 🙏🙏👏👏

  • @faresisaid
    @faresisaid 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏 Barikiwa sana baba Askofu. Natamani siku Moja nifike masasi

  • @OscarlawrenceNachinguru
    @OscarlawrenceNachinguru 3 หลายเดือนก่อน

    Amen ubarikiwe Baba Almasi kwa kuitangaza Masasi katika kazi ya Bwana

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona sasa serikali imetelekeza uridhi na historia hii mazingira yako duni hakuna lami wala mazingira ya kujari ikiwa viongozi wengi wamesoma hapa na leo wako na maisha mzuri wanakula kwa mrija mbona hawakumbuki msingi ulio wapa uagali

    • @samsonmweta5040
      @samsonmweta5040 2 หลายเดือนก่อน

      Masasi hakuna lami ?