JAMAA ACHOMWA MOTO NA MACHALII WA BODABODA, BAADA YA KUMPELEKA DEREVA VICHAKANI,WENZIE WAKIMBIA NAYO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 85

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 4 วันที่ผ่านมา +15

    Safi sana.Hongereni sana wananchi,tena yanaiba mchana kweupee.

  • @iddiali8057
    @iddiali8057 4 วันที่ผ่านมา +6

    Wizi NI tatizo kubwa ila huu kumchoma MTU MOTO NI mtihani MKUBWA SANA

    • @user-si9bm1cn9z
      @user-si9bm1cn9z 2 วันที่ผ่านมา

      Ndio inavyotakiwa kichomwa hv unajua jinsi kaka zetu wa boda wanavyopata matatzo wanauawa

  • @JustinaGodfrey
    @JustinaGodfrey 4 วันที่ผ่านมา +9

    Hamna kitu kinauma kama kuwa na ndugu mwizi yan kila ukisikia haya matukio moyo hautulii, amani pekee unaipata pale akiwa gerezani tu ila akiwa mtaan yan unakaa umejiandaa kupokea maiti mda na wakati wowote!! Inasikitisha sana na huwa wanashauriwa lakn wapi yan huwa hawashauriki kabisaaaa cjui shida huwa ni nini jamn.
    Innalilahi Wainalilah rajighun

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 4 วันที่ผ่านมา +1

      Kbs unaishi kwa magutu magutu tuyn una hamani kns unajjw muda wwte naoata hnr mbaya hy km uyu mma ake ana hl gn ila tuna kosea kuhukumu ivi bola kupeleka jela

    • @jonessalum6325
      @jonessalum6325 4 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂 ndugu mwizi sio

    • @user-bz7kg2lr3f
      @user-bz7kg2lr3f 3 วันที่ผ่านมา

      Kwel kabisa yan dah😢

  • @jonijoogabriel3728
    @jonijoogabriel3728 2 วันที่ผ่านมา +1

    Maisha ni magumu sana mtu anatafuta kwa jasho na damu apate walau hata hela ya kula halafu anakuja mtu mwingine ambae na yeye anatafuta apate ya kula na anauwawa na tunamuuwa kweli kweli lakini hamna mtu anaependa kuiba ila ni maisha magumu inamlazimu mtu atamani cha mwenzie akichukue na mimi ninaechukuliwa siwezi kukubali yote yote haya maisha mimi sielewi kwakweli mungu atusaidie sana

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 4 วันที่ผ่านมา +2

    Kaa jmn so ivi mungu ajasema mfanye ibi jmn i ukumu si nafas yenu ni nafas ya allah jmn mnachoma binaadamu mwenzenu km mdudu ht km mwizi so kuukumu ivi

  • @RobertNjoroge-dt6yc
    @RobertNjoroge-dt6yc 4 วันที่ผ่านมา +1

    Siku hizi kuua mtu imekua sawa na kuchinja kuku jaman mnao shiriki hata kwa sauti tuu hiyo ni huku u umetoa tumwogope mungu jamani ndugu sangu🙏🙏🙏

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 4 วันที่ผ่านมา +8

    Poleni sana,Godbles Lema alipayuka kusema bodaboda ni
    kazi ya laana.
    Mimi nasema bodaboda na bajaji ni kazi hatari na visitumike kama vyombo vya usafiri wa abiria

  • @MsAisha-w4o
    @MsAisha-w4o 4 วันที่ผ่านมา +2

    Bora mumemuua...safi sa sana

  • @ombeniefata2239
    @ombeniefata2239 4 วันที่ผ่านมา +3

    Kama ningekubali tu kumfata ningerudi pikipiki amna na yeye hayupo wale huwa wanakuwa wanaandaa watu ukijichanganya tu umeibiwa

  • @vero57
    @vero57 4 วันที่ผ่านมา +3

    Na wale walio mukata na kumuuwa mtoto albino akiwemo paroko na baba mtu mumewafanya nini???

  • @ambroceharouna1612
    @ambroceharouna1612 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu Mwalimu fala sana hajui uchungu wa kuibiwa na hayajamkuta

  • @user-jj3yt1ex5c
    @user-jj3yt1ex5c 4 วันที่ผ่านมา +1

    That good job

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt 4 วันที่ผ่านมา +5

    Safi sana wamezidi kutuumizia waume wetu

  • @kutailass6671
    @kutailass6671 4 วันที่ผ่านมา +2

    Mmefanya vizur sana kumchoma

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana ! Wamezidi hao ?

  • @evansmoshi1923
    @evansmoshi1923 4 วันที่ผ่านมา +2

    Achomwe kabisaa mbwa yeye anaiba mchana.

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 4 วันที่ผ่านมา +6

    Iyo sauti nayo imechomwa moto

  • @HamadBashir-bs5wo
    @HamadBashir-bs5wo 4 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri sanaa

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 วันที่ผ่านมา

    Daah Aseee Arusha kwa matât izo asee me Sipo

  • @afreytonemajidi6909
    @afreytonemajidi6909 4 วันที่ผ่านมา +1

    Safii sana

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 4 วันที่ผ่านมา +3

    Mpaka naogopa

  • @magretangel5242
    @magretangel5242 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kwann mtu usitafute Mali yako unashika za Watu...kaz nzuri boda hapo mmepunguza mwiz mtaan

  • @user-gy5fo6zv6w
    @user-gy5fo6zv6w 4 วันที่ผ่านมา +1

    Jamaa kaiba hadi sauti

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 4 วันที่ผ่านมา +1

    Inalilaahi wainalilah rajighun

  • @owenforagepictures
    @owenforagepictures 4 วันที่ผ่านมา

    🎉

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mtihani

  • @Seifndimbaye
    @Seifndimbaye 3 วันที่ผ่านมา +1

    Duuhh

  • @Mlokoz_twangalatwz
    @Mlokoz_twangalatwz 4 วันที่ผ่านมา

    😮😮😮

  • @joshuasamson9618
    @joshuasamson9618 3 วันที่ผ่านมา

    UKIANDIKA KISWA CHA HABARI NAMNA HI
    BODABODA ALITEKWA AKIWA PIKIPIKI YAKE PORINI ALIPASA SAUTI WATU WAKAJA KUMPA USHIKIANO, YAANI
    MILLARD AYO UNAZINGUA

  • @WansolaLuther-tq8qm
    @WansolaLuther-tq8qm 4 วันที่ผ่านมา

    We mwalimu usiongee kimavi mavi acha achomwe.

  • @user-db1uy6hv9q
    @user-db1uy6hv9q 4 วันที่ผ่านมา

    Nilikuwa 2 babati Kuna matukio mengi sana

  • @nahumnkwama239
    @nahumnkwama239 4 วันที่ผ่านมา

    ,mbona haina sauti

  • @mwanaidimussa
    @mwanaidimussa 4 วันที่ผ่านมา

    Je angeuliwa wa bodaboda ? Sibora kapata alichokitafta

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t 4 วันที่ผ่านมา

    Innalillahwainnalillahrajiuun

  • @ombeniefata2239
    @ombeniefata2239 4 วันที่ผ่านมา +3

    Hao wezi wapo sana kuna siku halinikosa kaja kijiweni akaniambia nimpeleke airport baada ya kupanda bila kupatana bei akaniambia ana safari kama tatu hivi akaniuliza utanifanyia bei gani nikamuuliza hiyo safari ni wapi na wapi akaniambia airport kamaka . Kinyerezi namwisho mbezi halafu namrudisha mpaka total veta nikamwambi a 50000 mpaka 40000 hakasema sawa tumefika mbezi njia panda ya makabe kuna ccm pale akashuka huku anatembea haraka haraka nipaki pikipiki nimfate nikamwambia we nenda kachue hiyo chek uliyosema hutanikuta hapa kwani alirudi nilimsubiri kuanzia saa 5:30 mpaka saa7 mchana kwani alirudi

    • @maryamtanzania9743
      @maryamtanzania9743 4 วันที่ผ่านมา +1

      Pole sana allah awalinde ktk utafutaji

  • @witneskilinda5034
    @witneskilinda5034 4 วันที่ผ่านมา

    yaani majizi pamoja na kuuawa kikatili lkn majizi hayaachi

  • @AmourHassan-bg2iu
    @AmourHassan-bg2iu 4 วันที่ผ่านมา

    Said mwanzo haina

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 4 วันที่ผ่านมา

    Mm waliniibia pikipiki zangu mbil wauawe tu

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 4 วันที่ผ่านมา

    Sauti sas

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 4 วันที่ผ่านมา

    KIBERTI KIMEWAKA CHENYEWE.

  • @rahmamukhtar521
    @rahmamukhtar521 4 วันที่ผ่านมา

    Haya WaKENYA tumejibu sasa

  • @Enigma_files_
    @Enigma_files_ 4 วันที่ผ่านมา +1

    Vip kama alikua ni mteja kweli na hausiani chochote na uo wizi

    • @HusnaMtitiko-yt4ru
      @HusnaMtitiko-yt4ru 4 วันที่ผ่านมา +2

      Kwanini ampeleke porini na wangine wakakimbia na boda na ndo walikuwa wote

    • @jumannepaskary3182
      @jumannepaskary3182 4 วันที่ผ่านมา +2

      Si unasikia kwamba na pikipiki wameondoka nayo

    • @kutailass6671
      @kutailass6671 4 วันที่ผ่านมา +3

      Tega sikio acha wenge

    • @user-sv6zy3hc8o
      @user-sv6zy3hc8o 4 วันที่ผ่านมา +1

      Wew kweri mjinga

    • @ElizabethWamcha
      @ElizabethWamcha 4 วันที่ผ่านมา

      Ndio mana darasani ulipata ziro😅

  • @user-gy5fo6zv6w
    @user-gy5fo6zv6w 4 วันที่ผ่านมา

    Mbona sauti amuna

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 4 วันที่ผ่านมา

    Tafuteni jambaxi walikuwa yanachati.

  • @franciscakija1702
    @franciscakija1702 4 วันที่ผ่านมา

    Uchaguzi huoooooo

  • @merabKitundu
    @merabKitundu 4 วันที่ผ่านมา

    Punguzeni kumwanga dam

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 4 วันที่ผ่านมา +1

      Ila waongeze kumwaga maji

  • @RadegundaShayo-vv9of
    @RadegundaShayo-vv9of 4 วันที่ผ่านมา

    Wachomwe kabisaaaaa

  • @majidimussa8678
    @majidimussa8678 4 วันที่ผ่านมา

    Waweza kuta sio mwizi wana bifu zao2

    • @user-nf9cc1hi1t
      @user-nf9cc1hi1t 4 วันที่ผ่านมา

      Ingekua bifu wasingeiba hiyo boda😂

  • @EwaldAntony
    @EwaldAntony 4 วันที่ผ่านมา

    Hakuna sauti

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 4 วันที่ผ่านมา

    Mh

  • @johaali9959
    @johaali9959 4 วันที่ผ่านมา +3

    𝒂𝒔𝒂 𝒎𝒃𝒐𝒏 𝒉𝒂𝒎𝒖𝒐𝒏𝒆𝒔𝒉𝒊 𝒂𝒍𝒊𝒗𝒚𝒐 𝒖𝒏𝒈𝒖𝒂

    • @annaheagle2915
      @annaheagle2915 4 วันที่ผ่านมา

      😅

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 4 วันที่ผ่านมา

      Mmh wewe nawe unaitakia nini maiti kwa Sheria gani waoneshe maiti ???

    • @GeraldEliezer-vp1qc
      @GeraldEliezer-vp1qc 4 วันที่ผ่านมา

      Safi Sana wamezidi mmefanya kaz nzur Sana na mungu awatie nguvu jaman

    • @user-qg3nu1kv2n
      @user-qg3nu1kv2n 3 วันที่ผ่านมา

      We mwenyewe comment yako umeificha ulichoogopa ww ndo walichoogopa wao pia 😂😂😂

  • @jonijoogabriel3728
    @jonijoogabriel3728 2 วันที่ผ่านมา

    Maisha ni magumu sana mtu anatafuta kwa jasho na damu apate walau hata hela ya kula halafu anakuja mtu mwingine ambae na yeye anatafuta apate ya kula na anauwawa na tunamuuwa kweli kweli lakini hamna mtu anaependa kuiba ila ni maisha magumu inamlazimu mtu atamani cha mwenzie akichukue na mimi ninaechukuliwa siwezi kukubali yote yote haya maisha mimi sielewi kwakweli mungu atusaidie sana