KIJANA AKUTWA NA CHUPA ZA MKOJO CHUMBANI KWAKE, MWENYE NYUMBA, MAJIRANI WAELEZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 344

  • @cloudngoko.2679
    @cloudngoko.2679 7 หลายเดือนก่อน +14

    Hii hali ipo sana hasa kwa sisi wakiume hizi plastiki tunapozitumia kukojolea ina fika mahla mtu anajaza chupa mbili na mwisho wa siku chupa 3 na kisha unakuwa adicted. Ila kwa wenzetu wanawake wao wanatoboa tobo kubwa huoni akibadilisha chombo cha kukojolea.

    • @westcijosh
      @westcijosh 2 หลายเดือนก่อน +2

      Aaah huyu jamaa ni kwere 😂😂 afanyiwe utafiti
      Ila mi nahisi jamaa ni bangi na nyeto ndio zmemuathiri kisaikolojia wala sio ushrkina

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 7 หลายเดือนก่อน +6

    Ila kwa kwelii khaa uyu kijana sio mzima haki😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 7 หลายเดือนก่อน +12

    Ayo Mambo Wengi Tunafanya Lakini Unakua Na Kidumu Unakojoa Asubuhi Unaenda Kumwaga Kwasababu Ya Usumbufu Wa Kutoka Inje Mala Kwa Mala Mana Usiku Unakunywa Maji Mengi Lakini Sio Kwa Ayo Mambo Uyo Kichaa Sio Bule Wenda Kapewa Shaliti Na Mganga Wa Kienyeji Akizani Atapata Utajili Mashaliti Ayo Ya Mganga Alizani Zitabadili Ziwe Pesa

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 7 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂 umetisha kabisa ni usumbufu sana

  • @winfridambwambo9830
    @winfridambwambo9830 7 หลายเดือนก่อน +6

    Jamani siku hizi kuna ugojwa wa shida ya akili vijana wengi sasa tuna shida ya akili asaidiwe huyo kwa kina inasikitisha mno

  • @pendobaharia5598
    @pendobaharia5598 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ayooooo laizer 😂😂😂

  • @VictorBugobola
    @VictorBugobola 7 หลายเดือนก่อน +5

    Tzz 😂huyu mama mwny nyumba alikuwa mkali kutumia choo chake😂 ila ukwl tu kodi ya nyumba inaumizaga vichwa Sana sema tutafika tu

    • @salimfaraj5509
      @salimfaraj5509 7 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅😅😂

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mmmmmmh jamani,hali ngumu kiasi cha kujisaidia ndani ndo usilipe kodi,sio sahihi,

  • @LeilaWilfred-zc7gn
    @LeilaWilfred-zc7gn 7 หลายเดือนก่อน

    Daaa mwacheni kaka wa Mungu jamnii' cha msingi atafutiwe mke aoe

  • @salumahmadasalum1556
    @salumahmadasalum1556 7 หลายเดือนก่อน +6

    ATAKAE KUJA KUPANGA KWANGU AJE NA CHETI CHENYE KUTHIBITISHA AKILI YAKE

  • @patriciamrina2275
    @patriciamrina2275 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mpaka nimesikia harufu ya mkojo humu kwenye cm😂😂😂

    • @danieljoseph1610
      @danieljoseph1610 2 หลายเดือนก่อน

      Weeeeee! Acha hizooooo! Ukute Hilo limama ndo limemuwekea hizo uchafu ili kumkomoa na kumwaibisha kwenye jamii!

  • @brightonchedego8100
    @brightonchedego8100 7 หลายเดือนก่อน +3

    Labda alikuwa na mpango wa uzalishaji wa umeme kwa kutumia gesivunde(biogas), wakati wa kulala jamaa anawasha na feni kabisa,mwamba umetisha sana na umeingia kwenye rekodi ya dunia😂😂😂😂

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 7 หลายเดือนก่อน +4

    😃😃😃yaani imenibidi nicheke kwanza. Yaani kakojoa ndani kwenye Dasani zote hizo pamoja na kunya kwenye mabeseni halafu akija kulala anavaa Barakoa 😃😃😃 Huko si kukwepa Kodi tu ya nyumba huyo atakuwa na shida kichwani kabisa. Hata Kama uvae Barakoa harufu haikwepeki hata kidogo.

  • @floramlowe7078
    @floramlowe7078 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mmmh kuna watu wanatisha jamani sio kwa Uchafu huo

  • @YustaMlilile
    @YustaMlilile 7 หลายเดือนก่อน +4

    Alikuwa anashindwa kwenda choo kwao sababu anaogopa hana kod

  • @godfreykameme6644
    @godfreykameme6644 7 หลายเดือนก่อน +17

    Wamsamehe tu alikuwa anajificha kupia Kodi Ili asionane na mama mwenye nyumban🤣🤣🤣

    • @naomisamwel18
      @naomisamwel18 7 หลายเดือนก่อน

      Alikuwa anatita wap😂😂

    • @naomisamwel18
      @naomisamwel18 7 หลายเดือนก่อน

      Alikuwa anatita wap😂😂

    • @humphreyfungo7669
      @humphreyfungo7669 7 หลายเดือนก่อน

      Alikutwa na beseni mavi ndani ya chumba chake

    • @mariumseif6751
      @mariumseif6751 7 หลายเดือนก่อน

      Yaani mkojo mpaka ujae beseeni ni miezi ht 4 kwa hiyo haikua anaogopa kodi atakuwa na mambo ya ushirikina tu.maana hata uvivu wa kumwaga usingefikia hapo

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mtihani ktk mitihani ,tunamengi viumbe tunayoyaamua bila kupenda ,kwahali yakawaida huwez kufanyahivo , Mungu awasimamie kimaamuz viumbe wake sisi

  • @mikalwila9342
    @mikalwila9342 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa anatuumiwa kama anaogopa kukojoa nje jamani 😂😂😂😂😂

  • @JudicaShoo-x9n
    @JudicaShoo-x9n 4 หลายเดือนก่อน

    Pole kwetu wenye nyumba

  • @jackiekimario9324
    @jackiekimario9324 7 หลายเดือนก่อน

    Yaan najiuliza alikuwa anatawaza na nini akinnyaaaaa😂😂😂😂

  • @absm8084
    @absm8084 7 หลายเดือนก่อน

    Afya ya akili jamani jamani😅😅😅😅 watu wanaumwa

  • @MigomgoMigali-ky1jl
    @MigomgoMigali-ky1jl 7 หลายเดือนก่อน +1

    Duuuh huyu atakua ana matatizo ya akili sio bure khaah😅

  • @MagrethMagandula-u2z
    @MagrethMagandula-u2z 2 หลายเดือนก่อน

    Duh jmn hyo hlfu ya mavi na mkojo alikuwa analalaje mbn htr

  • @eliyasanga6374
    @eliyasanga6374 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂alikuwa ana ogopa kutoka nje ndio maana 😷

  • @SitiboWilson
    @SitiboWilson 7 หลายเดือนก่อน

    Heeeerrr 😂😂😂😂😂😂 syoatari bana iyonikama tabiatu sema yeye kapitiliza mpaka amepatumia kama selufu akapangishe selufu ataki foleni vyoo vyakupanga nikama changa moto kuna mtualiwai tokewa alikamaiyo😂😂

  • @Sangaligospel
    @Sangaligospel 7 หลายเดือนก่อน

    Daaar pole kijana nichangamotoza kukosa kodi mwachieni huyo kijana akaendeleee kutafta maisha yake

  • @JacquelineMacha-y3n
    @JacquelineMacha-y3n 7 หลายเดือนก่อน +10

    Mwamba kama mwamba,,,huyo ni mvivu wakutoka kujisaidia usiku😂

    • @salomethomas6469
      @salomethomas6469 7 หลายเดือนก่อน +1

      Hata asubuh kumwaga awezi

    • @joshuasamson9618
      @joshuasamson9618 7 หลายเดือนก่อน

      @StanleyJ214 mnamshangaa huyo dar dsm maghetto ya waschana wanakojoa jagi anautuza asubuhi ananawia usoni ili usowake uwe sofiti yaani hao wapo wengi mno hawaumbui

    • @Fx_expertmoneymaker001
      @Fx_expertmoneymaker001 7 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@joshuasamson9618huoni huyo katunza kama vile anataka kuuza yan.. 😢😢. Bora anaemwaga..

    • @joshuasamson9618
      @joshuasamson9618 7 หลายเดือนก่อน

      @@Fx_expertmoneymaker001 Goja ni kupe siri ya mkojo ni utajiri mkubwa Ajabu yaani watu wengi hawafahamu ila sio kwa Jia kama ya huyu Maghati LA porini hajui kitu,
      Ukitaka mambo yako yayooke sawasawa kila unachokifanya ukipokee tumia mkojo wako uonge saa Tina usiku Mara saba marajiri watakuamini ajabu ukiwaomba pesa milioni Mia watakupa wajua tawarundushia imetoka hiyo ila uwe na Pesa iliyotengenezwa na mkoloni pesa Ina Madi ya dhahambu Alimasi Mekirii ukiwa nayo matariji wanasahau kama walikupa pesa hawakukubuku yaani usije ukaonga mkojo kama huna hiyo pesa nitafute takuuzia hiyo pesa ninazo yaan

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 7 หลายเดือนก่อน +1

    Geita😂🙌

  • @ALCADOJAMES
    @ALCADOJAMES 7 หลายเดือนก่อน +3

    Laiza katuumbua staili yetu da!😂😂😂😂

    • @gidammatagi2723
      @gidammatagi2723 7 หลายเดือนก่อน

      🦧🦧🦧🦧🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 7 หลายเดือนก่อน +3

    Wapo wengi sana watu wa hivyo mitaani😂😂😂sema uyo kazingua kufika hadi milladayo,,,😂😂😂katoa siri ya kambi😂😂

    • @nickmkude7571
      @nickmkude7571 7 หลายเดือนก่อน

      😅😅

    • @SuzanMairy
      @SuzanMairy 7 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅😅kula chuma

  • @yilodhasunga3967
    @yilodhasunga3967 4 หลายเดือนก่อน

    Eti dishi limejaa mavi😂😂😂

  • @MartinLaban
    @MartinLaban 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kwangu Nina lita 20 na nimefika juu karibu linajaa😂😂😂

  • @OmanOman-vb4uj
    @OmanOman-vb4uj 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hahahaha 🤣🤣🤣 anavaa barakoa analala zake

    • @RoseManyata
      @RoseManyata 7 หลายเดือนก่อน

      Hahahaaa anavaa balakowa kwa ajili ya halufu isimpate 😂😂😂

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 7 หลายเดือนก่อน +1

    Vitu vya kawaidaa , mama wa nyumba mkali Choo chakee

  • @Madam255
    @Madam255 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tumuone jamani 😂😂😂😂

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 7 หลายเดือนก่อน

    Mtihani kwakweli hata kama mvivu huwenda anakichaa dah😮duniani kuna vituko 😮😮

  • @oneplustv3862
    @oneplustv3862 7 หลายเดือนก่อน

    Samahani jamani naombeni msaada amehukumiwa kwa kosa gani sijaona kosa lake as long vilikua vyote ni vyake 😅😅 kosa lake hasa ni lipi naombeni msaada

  • @RahimaIdd-yf9jo
    @RahimaIdd-yf9jo 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nchi za mwenzetu kinyesi na mikojo ni dili sasa nyinyi na umbea wenu mnahalibu madili ya watu unamponza mwenzenu awe masikin😂😂😂

    • @BatazalNdifwa-nk2hl
      @BatazalNdifwa-nk2hl 7 หลายเดือนก่อน

      Gooooooooood. Mavi ni Mbolea nzuri Sana na Mkojo ni dawa nzuri Sana ya vidonda. Ok

  • @AgathaAndrew-j8s
    @AgathaAndrew-j8s 7 หลายเดือนก่อน

    Kwani si angekuwa anadamka kumwaga jamani mbona kajitesa ivyo😂😂😂

  • @claudiajames2003
    @claudiajames2003 7 หลายเดือนก่อน +4

    Ila we mama labda ulimbana mpangaji wako khs kodi mpk akaanza kuogopa hata kwenda chooni

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mwamba hatari anavaa barakoa ili alale kwenye chumba chenye mavi kijana sharobaro😂😂😂😂

  • @nesielias9493
    @nesielias9493 7 หลายเดือนก่อน +27

    Tuone sura yake Binti zetu wasije kukumbana nae😢

    • @AsiaNassor-u7s
      @AsiaNassor-u7s 7 หลายเดือนก่อน +2

      😂

    • @ZainabZainab-v8s
      @ZainabZainab-v8s 7 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂

    • @DarliotonTumaini
      @DarliotonTumaini 7 หลายเดือนก่อน

      Wehuna mototo mkubwa kiasi hiko😂😂😂😂

    • @snico2275
      @snico2275 7 หลายเดือนก่อน

      Binti yako atamwaga😅

    • @FiollaIsaya
      @FiollaIsaya 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @vero57
    @vero57 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo sio mzima kabisa, tatizo la dish

    • @hameezhami7795
      @hameezhami7795 7 หลายเดือนก่อน

      Linayumba ama😅

  • @NuruZebedayombise-ie5zb
    @NuruZebedayombise-ie5zb 7 หลายเดือนก่อน

    Kumbe geita hiyo kawaida yao😂😂😂😂

  • @humphreyfungo7669
    @humphreyfungo7669 7 หลายเดือนก่อน +3

    Anakuja saa 8 usiku anatoka saa 10 alfajiri , kisa kukwepa kulipa kodi analala masaa mawili tu .

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 7 หลายเดือนก่อน

    Joja na mm nianze taratibu make hyu mama mwenyenyumba haishi kunizogoa nifkishe japo chipa mia na besen 5 za mavi

  • @AlindaJoel-xy4vz
    @AlindaJoel-xy4vz 7 หลายเดือนก่อน +1

    Niliambiwa kua uyaone mbona naona mpaka yananizidia😮

  • @nadiatanzania
    @nadiatanzania 7 หลายเดือนก่อน

    Mtihan😅😅😅😅

  • @IsaacLameck-nz8yr
    @IsaacLameck-nz8yr 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nilikuwa sijaona vituko vyote aisee

  • @kephafrancis7177
    @kephafrancis7177 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ukishiwa kodi ndio utajua aya mbona madogo kabisa

  • @shakilarajabu8059
    @shakilarajabu8059 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mmh hizi nyumba tunazopanga imagine unaenda zako kupanga chumba kumbe kunamtu alifanya mambo yake kama Lazier doooh

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kawaida sana mbona😂😂

    • @mariamjuma5957
      @mariamjuma5957 7 หลายเดือนก่อน

      Mmmh skweli

    • @seifmiraji43
      @seifmiraji43 7 หลายเดือนก่อน

      Hiyo kawaida hata mm ndani kwangu zipo kibao ​@@mariamjuma5957

  • @kemmymartine4884
    @kemmymartine4884 7 หลายเดือนก่อน

    😮😮😮😮

  • @RadhiaJumanne-d5e
    @RadhiaJumanne-d5e 7 หลายเดือนก่อน

    Ee mungu baba nipe uhai mrefu kumbe sjaona vyote😂😂😂

    • @mariamjuma5957
      @mariamjuma5957 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @mariamjuma5957
      @mariamjuma5957 7 หลายเดือนก่อน

      Ukiskai kua uyaone ndio Aya mengine

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 7 หลายเดือนก่อน +4

    Duniani kuna mengi jamani.waaah!!!

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 7 หลายเดือนก่อน +1

      😂unaweza ukadhani ulishamaliza kuona yote kumbe hata robo bado

    • @irhamseif
      @irhamseif 7 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂 kunammoja walimtoaga huko manzese akitoka ndan shati limenyooka hatar kuja kuingia ndan ni gari tatu za taka walitoa na mikojo mpaka kwenye majaba chupa za soda sijui ni ugonjwa 😂😂😂

    • @doreenmsafari2945
      @doreenmsafari2945 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@irhamseifnimecheka mieeeee 🤣 mtaniua 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@irhamseifunanivunja mbavu 😂😂😂😂

  • @gcrack067
    @gcrack067 7 หลายเดือนก่อน +13

    Dah ana roho ngumu, sasa kama alikuwa anataka choo cha ndani angesema.😂😂😂

    • @MariamIbrahim-zz2hu
      @MariamIbrahim-zz2hu 7 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂 kwa kweli

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 7 หลายเดือนก่อน +2

      Hahaa

    • @spreadlove5300
      @spreadlove5300 7 หลายเดือนก่อน

      Aisee yaani kanya hadi kajaza beseni😮😮😮

    • @mariamjuma5957
      @mariamjuma5957 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @mariamjuma5957
      @mariamjuma5957 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@spreadlove5300😂😂

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 7 หลายเดือนก่อน

    Lizer Yupi au Yule producer wa WCB😅😅

  • @redtk2971
    @redtk2971 7 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu mimi kabisa uvivu kwendAa chooni nje jamani msitulaumu

    • @claudiajames2003
      @claudiajames2003 7 หลายเดือนก่อน +3

      Mmhhhhh😅😅😅😅😂😂😂katibiweni akili jamani

    • @mariamdullazy8166
      @mariamdullazy8166 7 หลายเดือนก่อน +2

      Ndo ukikojowa usimwage haiwezekani

    • @joshuasamson9618
      @joshuasamson9618 7 หลายเดือนก่อน

      Mkojo inafaa ukaukojoe chooni mda unaamka mkojo unakuuma kimbofu nenda chooni ukakojoe sababu ukikojolea ndoo au sadolini au chupa mkojo unatabia kujichuja ukienda kuumwanga asubuhu utasababisha maabukizi ya magonjwa kwa watu wengine

    • @mariamjuma5957
      @mariamjuma5957 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@mariamdullazy8166apo maajabu nayo wengi wakojoa mekebeni lakini wamwaga

    • @bensonwissa5777
      @bensonwissa5777 7 หลายเดือนก่อน

      Ukiona Ivo jua kijana hakuna na mademu huwezi kuacha chimba kichafu ivo

  • @Jonsking
    @Jonsking 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hii nilishaonaga😂😂

  • @lakiabalozi5633
    @lakiabalozi5633 7 หลายเดือนก่อน +1

    ,😂😂😂😂masai au😂😂

  • @rehemamajaliwa
    @rehemamajaliwa 7 หลายเดือนก่อน

    Hata mimi nimewahi kuwa na mpangaji wa ivo mamae🤣

  • @rickiefisher1085
    @rickiefisher1085 7 หลายเดือนก่อน

    kosa likowapi sasa😂😂😂

  • @Jurbeg
    @Jurbeg 7 หลายเดือนก่อน

    Udharirishaji tuu 😢😢😢

  • @MsNajma-e6e
    @MsNajma-e6e 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mchafu uyo kijana ndio huweke mikojo ndan asimwage

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 7 หลายเดือนก่อน

    Hata mimi nakojoa kwenye kopo kawaida😂😂

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 7 หลายเดือนก่อน

      Kabisa ni kawaida tu

  • @MRTSBUILDER
    @MRTSBUILDER 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mambo yangu hayo

    • @RabiaIddi-ci2uz
      @RabiaIddi-ci2uz 7 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo na wewe unakunyaga kwenye beseni?

  • @muhsinmsimu7449
    @muhsinmsimu7449 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa mwenyewe anakaa nayo arufi yawasumbua😊

  • @EuniceOdegea
    @EuniceOdegea 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nninapoishi kulitotea stori Kama hii...nlishuhudia live jirani alikuwa anakojoa na.kunya mwenye beseni...mpaka kukatokea.mabuu..

  • @RachelNathan-yv5zc
    @RachelNathan-yv5zc 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 jaman dunia ina watu

  • @faridbinjumaonlinetv9258
    @faridbinjumaonlinetv9258 7 หลายเดือนก่อน

    Hili jambo milard ata mimi nilkua nalo niko zanzbar nilikutwa na chupa miamoja na kumi na nne kwahio nihali ya uvivu wa kuenda toylet huonndo ukweli

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo disi limeyumba sio bure😂😂😂😂

  • @HusseinAlly-fq9il
    @HusseinAlly-fq9il 7 หลายเดือนก่อน +15

    Jengeni vyumba na choo ndani ....Hana kosa huyo 😂

    • @MaryamMaryam-wp5yk
      @MaryamMaryam-wp5yk 7 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @mariamjuma5957
      @mariamjuma5957 7 หลายเดือนก่อน

      Ss siakamwage😂😂

    • @HusseinAlly-fq9il
      @HusseinAlly-fq9il 7 หลายเดือนก่อน

      @@mariamjuma5957 😂😂😂 au Kuna sehem anauza nini?

    • @doreenmsafari2945
      @doreenmsafari2945 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@HusseinAlly-fq9ilnimecheka vile ulikata 🤣🤣🤣🤣

    • @elimidakashumba2422
      @elimidakashumba2422 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kama ameshindwa kulipa Kodi Kwa chumba hicho je self container ataweza?

  • @elidiustudoy2640
    @elidiustudoy2640 7 หลายเดือนก่อน

    Ukute ni petrol yenyewe 😅😅😅

  • @lakiabalozi5633
    @lakiabalozi5633 7 หลายเดือนก่อน

    Ametutia aibu wamasai😅😅😅uuuwi lalashe kanyoooo

    • @michaelkamunyu567
      @michaelkamunyu567 7 หลายเดือนก่อน +1

      Utajiri mgumu lalashe 😂😂Acha mwenetu akomae mganga wake atar

  • @josephkiwale374
    @josephkiwale374 7 หลายเดือนก่อน

    Jamaa anataka kufua umeme labda 😆😆

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 7 หลายเดือนก่อน +1

    sasa huko kituoni mmempeleka kwa sabbu ya kukojoa ndani au kwasabb hajalipa kodi au kwasabbu alitaka kupigana na polis jamii

  • @zawadimpayo3839
    @zawadimpayo3839 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani hakuna vyanzo vingine vya habari🤣🤣🤣

  • @frankmhengilolo1584
    @frankmhengilolo1584 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ayo Lizer

  • @talentshow2024
    @talentshow2024 7 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu anataka kutuharibia wenye majina yetu ya Laizer sijampenda kabisa😂😂😂😂 Laizer hatunaga hali kama hii😢

    • @SuzanMairy
      @SuzanMairy 7 หลายเดือนก่อน

      Yaani wa kina laizer ni wachafu sana

    • @SuzanMairy
      @SuzanMairy 7 หลายเดือนก่อน

      Na wengi wanao jiita laizer ni wamasai

    • @joshuasamson9618
      @joshuasamson9618 7 หลายเดือนก่อน

      Laizer Walikunya kanisasa arumuru arusha asili yao uchafu

  • @mustafarajabu4005
    @mustafarajabu4005 7 หลายเดือนก่อน

    Mmkamata kwa kosa gani?.au ndio kwakosa lakukojoa kwenye chupa na kulala na mikojo take?.VP wale wenye chumba cha mastar.wale si ndio wanalala na choo ndani itakuaje.😂😂

  • @bensonlameck6348
    @bensonlameck6348 7 หลายเดือนก่อน

    Daaah huyu mwamba,asee mavi na mkojo....

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 7 หลายเดือนก่อน

    Nihofu tu ya kudaiwa kodi muachilie aondoke bure nimaisha magumu.hata wewe mama pia elewa.hiyo tu.

  • @musampanda3643
    @musampanda3643 7 หลายเดือนก่อน

    Sema kijijin bhn watu wanafatiliana sana mno ingekuwa mjn akuna Mambo kama hayo

  • @SuzanMairy
    @SuzanMairy 7 หลายเดือนก่อน

    Wamasai ndio walivyo sijui wananini yaani kukojoa kwenye makopo ndio walivyo yaani kukaa na kinyesi ndani kawaida tu

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ni mgonjwa wa akili kuna magonjwa mengi ya akili sio lazima mtu hujue ni mgonjwa wa akili ila anakuwa Na mambo ya ajabu, anatakiwa akutane Na daktari wa mambo ya magonjwa ya akili Na sioni hiyo ni taarifa ya maana ya kutoa kwenye vyombo vya habari

    • @joshuasamson9618
      @joshuasamson9618 7 หลายเดือนก่อน

      Huenda umeona tukio hili LA kwanza kwako na yule mzee wa mwaka Jana alikutwa madumu is ishirini yamejaa mikojo tupu dar dsm mburahati huyo mtasema mgonjwa wa akili ukiona mtu anakojoa mikojo ndani combo chumbani ni huluka yake Ee

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 7 หลายเดือนก่อน

      @@joshuasamson9618 kwani kuna limit ya wagonjwa wa akili Na si wanajulikana kutokana na matendo yao au unafikiri mgonjwa wa akili lazima atembee uchi kuna magonjwa mengi sana ya akili ya taarifa yako hiyo sio hulka ya kawaida ni ugonjwa huo na huyo wa dar

    • @joshuasamson9618
      @joshuasamson9618 7 หลายเดือนก่อน

      @@Kabwela776 Hakuna mgonjwa wa Akili hapo kama vitendo viazie kwa watu wanamiliki nyumba zao Wana vyuo ndani yaani Choo Wana ishi na mavi chumbani mikojo hao ni wagonjwa wa akili watu wengi nyakati za usiku wanatenga ndoo ya kukojolea mkojo usiku wanachoka sana makazini kwao goja Nikusimulie kisa hiki mwaka1985 ilipita Ladirova jamaa walitupa mfuko wa Marimboro waliufunga vizuri watu wakakimbilia Gari imedodosha mfuko watu kusukumana na fuko ulipasua watu waliyaonga mavi ya wazungu yaani, Kuna siku ulikaa unamsumbilia mtu alioko ndani choon atoke ndo wewe uingie chooni haya mtu anatoa unafungua mlango unakutana mavi tena mama kanya mavi nje ya shimo wewe unatakiwa uyandeki utafanyaje mwanamke kaondoka Amekunya mavi hajalenga shimoo

  • @arthurherman-rn8ko
    @arthurherman-rn8ko 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo Inavyo Onekana Landlord ANAMDOMO SANA

  • @LatyTanzania
    @LatyTanzania 7 หลายเดือนก่อน

    Kosa ni nini jaman chuapa zakwake mwenyewe jaman mm naona wamdai kodi 2😅😅

    • @amisafaraji5796
      @amisafaraji5796 7 หลายเดือนก่อน

      Kosa harufu angezuia harufu isiwe kero kwa wengne😂😂

  • @BatazalNdifwa-nk2hl
    @BatazalNdifwa-nk2hl 7 หลายเดือนก่อน

    Elimu Elimu Elimu. Huo ni udhalilishaji. Tuache kutesana Watanzania. Hali mbaya mno ccm ipi kazini. Mpe notsi kwanza sio mitandaoni humu Aibu. Ok

  • @Enjoy-ge5cy
    @Enjoy-ge5cy 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona hawa maelezo yanachengana sasa mara mlango ulikuwa wazi mara wapelelezi wakafungiwa mara tukatikisa mlango ukafunguka tuelewe nn

  • @ashurahamiss
    @ashurahamiss 7 หลายเดือนก่อน

    Imagne ni boyfriend wa mtu 🙄😢daah so sadddd😂😂😂😂

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 7 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmh😢

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa swala la mokojo si lake mwenyewe jaman au.

  • @siamnyone8403
    @siamnyone8403 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂nimecheka mm jamaan ety anawasha fen na barakoa..... MUNGU huyu bc ty😂😂😂😂

  • @nth3512
    @nth3512 7 หลายเดือนก่อน

    Hio ni kawaida kwa mabarobaro wengi tu, tena umri 26 na hana mke ni kawaida iyo. Hata dar wapo kibao tu. Na ambavyo hana ajira yyte. Kawaida bn, ni maswala ya malezi tu. Alikua anajificha asionekane

    • @samwelikmollel
      @samwelikmollel 7 หลายเดือนก่อน

      Hi kawaida ila apo kwenye mavi no

  • @AgathaFerdinand
    @AgathaFerdinand 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona kijana yupo sahihi tu, isipokuwa suala la kukosa kipato ni suala la muda tuu, na alihisi ni choo hicho maaana nyumba yenyewe haieleweki. Yaani mimi sioni kosa kabisa maana bibi huyu naye anongea pointless

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 7 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂 iyo inanikumbusha mwaka 2004 tulikaa nao miaka mitatu bila kumuona.anaoga hata siku moja akienda chooni ana chukua maji kwenye kopo na alikua mbishi kulipa kodi na aliambiwa aondoke kwenye nyumba.hakutaka kuondoka walifikishana.mpaka.polisi lakini alikua mbishi sana.mwenye nyumba akaenda kulipa pesa police ili waje wamtoe police walikuja asubuh mapema tukazuiliwa tusitoke nyumba nzima waligonga mlango hakutaka kufungua wakasukuma.mlango tulivyo viona tulibaki hoi vipisi vya sigara vilijaa kisado na mkojo kwenye ndoo umejaa ka mpaka ndoo imekua na magamba imelika kwa mkojo na alikua akitoka nje hauwezi mzania alikua anaimba kwaya kanisani na alikua ana badirisha wanawake kila siku tena ni mashangazi police akamuuliza wewe kabira gani akajibu muhaya 😂 police akamzaba vibao takatifu na kumwambia unaichafua kabira ambayo maridadi na wasafi na hata kama hawana huwezi kujua alitolewa vyombo vyake vimejaa vumbi buibui wametanda sehemu zote tv haionekani kioo kiko wapi

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 kwenye kwaya😂😂

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 7 หลายเดือนก่อน

      Kah😂😂😂😂😂😂😂😅😊😅😅😅😅😅😅 yan nimecheka atar

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 7 หลายเดือนก่อน

      .

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 7 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 7 หลายเดือนก่อน

      @@abdulkarimabdallah9536 Yani sitanii wallah tena chumba changu kilikua kina tazamana milango akifungua tu arufu Kari iyo siku Sito isahau nakumbuka nilikua nafanya kazi mjini mda wa kuingia saa Moja asubuh lakini tulizuiliwa mpaka walipo maliza kutoa vitu ndani ndo tukaambiwa tutoke na.pingu alifungwa uku anashuhudia makolokolo yake Yana tupiwa barazani tena.alipata.hasara walikua wanatupa tu kitanda chaga zote zilivunjika😄😄uwezi amini mpaka Leo namuonaga sana pale posta kazi yake kubwa kuosha magari na alikua anasema kazi yake dereva anamuendesha mzungu chezea wahaya wewee 😄

  • @samwelikmollel
    @samwelikmollel 7 หลายเดือนก่อน

    Hi kitaa mbona kawaida sana hasa mjini

  • @nahyahya7349
    @nahyahya7349 7 หลายเดือนก่อน

    Wee laizer weweeee(kwa sauti ya zuchu)

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mmh hata kama hilo ndogeto is mhuni lkn Hapana kwakweliiii😅😅😅huyo sio mhuni labda anashida kichwani jmn.

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 7 หลายเดือนก่อน

    Asee hii imekaaje😂😂

    • @adolfmathew9698
      @adolfmathew9698 7 หลายเดือนก่อน

      Imekaa kitaalam sana hii

  • @josephpeter2343
    @josephpeter2343 7 หลายเดือนก่อน

    Hannah designed hapo