TAHARUKI ARUSHA: ROBERT ADAIWA KUFUFUKA, AONGEA ALIPOKUWA "HATA AKIFUFUKA HATUMPI ARDHI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 767

  • @jacklinesimon7544
    @jacklinesimon7544 3 หลายเดือนก่อน +10

    Pastor ulifanya Kazi yako Kwa uweledi mkubwa Sana...hata kama uliona hamna kitu ww haikuhusu coz ungeleta taharuki lakin haipaswi hivyo..congats

    • @StellaMwasha
      @StellaMwasha 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani pasta aliona kuwa hakufa au

    • @jacklinesimon7544
      @jacklinesimon7544 2 หลายเดือนก่อน

      Ni Siri yake na mola wake coz hataangeona hapaswi kusema je ushahidi anai??? Means uwe na machi ya rohoni Bila hivyo utaona ni yy na maiti ipo

  • @kutailass6671
    @kutailass6671 3 หลายเดือนก่อน +66

    Yaam Robert kayashinda maut halafu ety kesi ya shamba imshinde 😂😂😂😂 Arusha ndiko niliko kulia mie 😊

    • @FriddaUrasa
      @FriddaUrasa 3 หลายเดือนก่อน

      Hakika upo sawa,hata kama walikosea,nikafufuka.Amina.

    • @EsterMtalo
      @EsterMtalo 3 หลายเดือนก่อน

      Umeua😂😂😂😂😂

    • @ayubutv9651
      @ayubutv9651 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 3 หลายเดือนก่อน +4

      😂akiwatishia kesho ataondoka nao wote kwenda kuzimu lazima wamwachie shamba

    • @sharifasaleh4802
      @sharifasaleh4802 3 หลายเดือนก่อน

      Hahaaaa hawaogopi

  • @Sammy_01t
    @Sammy_01t 3 หลายเดือนก่อน +29

    Huyu pastor hana tofauti na wanafunzi wa Yesu, hawakuamini kama. Ni yeye kafufuka mpaka Yesu akawaambia nishikeni viganja vyangu ndo muamini mimi ndiye

  • @DismasMaturine
    @DismasMaturine 3 หลายเดือนก่อน +34

    Karudi master sasa sterling hauwawi, naona wanapaniki Hao kazi wanayo

  • @latwibujuma
    @latwibujuma 3 หลายเดือนก่อน +102

    Welcome back mwamba tuendeleze kupambana huna baya mjomba 😂😂😂

    • @starlily07
      @starlily07 3 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂

    • @adellakyando2829
      @adellakyando2829 3 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 3 หลายเดือนก่อน +2

      🤣🤣

    • @aikt.
      @aikt. 3 หลายเดือนก่อน +2

      😂😅

    • @abuuhafswamunsheedu5790
      @abuuhafswamunsheedu5790 3 หลายเดือนก่อน +3

      😂😂😂

  • @christinamongi7951
    @christinamongi7951 3 หลายเดือนก่อน +44

    Kila nikiwaza kande tumekula chepe tumepiga na hata kama kafufuka shamba hatumpi😂😂😂sina mbavu mie mwingne hakumbuki kazikwa mwaka gan ila ni kama .....😂😂😂

    • @paskalinamassawe5283
      @paskalinamassawe5283 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂ninecheja ai arusha my country

    • @mariakibwana3700
      @mariakibwana3700 3 หลายเดือนก่อน +1

      Nimecheka ni kama comedy 🤣 😂

    • @johnraymond6602
      @johnraymond6602 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 tuzaidizane kucheka yanayofurahisha ya ulimwengu huu kande tumekula na chepe kulipiga😂😂😂😂

    • @WakundambandaKinyambe
      @WakundambandaKinyambe 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @LeilaWilfred-zc7gn
      @LeilaWilfred-zc7gn 3 หลายเดือนก่อน

      Hahaaaa

  • @deborampinga8185
    @deborampinga8185 3 หลายเดือนก่อน +36

    hv Arusha ni nchi nyingn et eeeh maana duu matukio kila siku

    • @gilbertkalanda9354
      @gilbertkalanda9354 3 หลายเดือนก่อน

      Yaani

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mtihani

    • @mzalendomzalendo2567
      @mzalendomzalendo2567 3 หลายเดือนก่อน

      Umeona huko ni kenya tanzania bahati mbaya manake watu wamepinda huko jamani

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @FatumaMamlo-st8pj
      @FatumaMamlo-st8pj 3 หลายเดือนก่อน +1

      Robati rombo rechorombo😅😅😅😅🎉🎉🎉nakupa maua ya uhai wale chuma hiko waliokula makande nachepe wakashindilia😅😅😅

  • @FahadAbubakari
    @FahadAbubakari 3 หลายเดือนก่อน +62

    Taarifa za arusha hususan za huyu muandishi ni zakiaina yake

    • @gabrielmlay3815
      @gabrielmlay3815 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa😂

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 3 หลายเดือนก่อน +2

      Upo saii

    • @2116-n
      @2116-n 3 หลายเดือนก่อน

      Na Kuna yule wa Geita na Mwanza

    • @aminmohammed4249
      @aminmohammed4249 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ni zakidudu bro😂 chuga ni ya wadudu

    • @kimwanahamisi8551
      @kimwanahamisi8551 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂​@@aminmohammed4249

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga 3 หลายเดือนก่อน +23

    HAPA NILIPO NATETEMEKA WANAGOMBANA NA MAREHEMU ALIERUDI.....
    MAUZAUZA JAMANI😢😢😢😢😢

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 3 หลายเดือนก่อน +2

      Mazinga ubwa ya uchawi hayo

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 3 หลายเดือนก่อน +4

      Ukifa kifo cha ukwel chamu mungu huwez fufuka mpaka siku ya mwishoo

    • @mariasixmund7964
      @mariasixmund7964 3 หลายเดือนก่อน +1

      Na huyo marehemu akicheza atauliwa tena 🙌

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@mariasixmund7964😂😂😂😂muhimu akaze wakimuua arud tena mpk wachoke wnyw

    • @kawiche4911
      @kawiche4911 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@awadhally1052
      Wamemzika mtu mwingine, hakuna cha uchawi , ni kutokuwa na serikali makini katika kutambuwa waliokufa motuwari

  • @IsmailMjesh
    @IsmailMjesh 3 หลายเดือนก่อน +29

    Hizi ni zama za mwisho' allah atupe mwisho mwemaa 🤲

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia 3 หลายเดือนก่อน +3

      Allah hakupi mwisho mwema, Bali YESU KRISTO ndo anaekupa mwisho mwema

    • @KijuuShaban
      @KijuuShaban 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@Churchofecclesia❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @MoroNyomboki-bb7re
      @MoroNyomboki-bb7re 3 หลายเดือนก่อน +1

      Endelea shikilia Hivyo hivyo,,huo ni umajinnun

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 3 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@Churchofecclesiayesu christo ni nabii wa mungu tu na sio mungu kwani mungu hana mama wla baba hakuzaa wala hakuzaliwa upo wacha kumsingizia yesu uongo nipe andiko la yesu alilosema yeye ni mungu 😂😂😂😂😂

    • @JoyceMbise-zr2xh
      @JoyceMbise-zr2xh 3 หลายเดือนก่อน

      ​Yesu ni mwana wa MUNGU kweli kweli,kama huamini tuache na imani yetu@@azizayassin3623

  • @osmundmtavangu
    @osmundmtavangu 3 หลายเดือนก่อน +72

    Mchungaji na yeye hana jicho la rohoni😅😅😅😅😅 ama kweli Arusha ni nchi ingine ndani ya Tanzania.

    • @SilviaAnthony-uf9fq
      @SilviaAnthony-uf9fq 3 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂😂

    • @HawaSwaleheh
      @HawaSwaleheh 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @abedysteven4930
      @abedysteven4930 3 หลายเดือนก่อน

      Hahahahhsh😂😂😂😂 hii nchi mnachekexha! Jaman jicho la rohon likoje ko mchungaji nae n hamna k2!

    • @HappyatHome-bn8wm
      @HappyatHome-bn8wm 3 หลายเดือนก่อน

      hahahahaha

    • @CatherineMbatta
      @CatherineMbatta 3 หลายเดือนก่อน

      Duuuuu wachungaji wanazika vinyago kumbe

  • @victoravelin575
    @victoravelin575 3 หลายเดือนก่อน +49

    Kama umesikia tulimzika na nguo izo izo #like hapa

    • @FredyMolley-zq3em
      @FredyMolley-zq3em 3 หลายเดือนก่อน

      Gai yiani ifukuliwe tu mujue kaburi iko nin

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 3 หลายเดือนก่อน +1


      😅🏃🤦🏿🏃😅

    • @FatnaAlly-go7yt
      @FatnaAlly-go7yt 2 หลายเดือนก่อน

      😂​@@allahisone6386

  • @ifmknowledgepower7333
    @ifmknowledgepower7333 3 หลายเดือนก่อน +16

    Sasa Ninaanza kuamin,i kuna mtu ameishawai kuniambia 70,% ya vifo vingi Dunia sio mapenzi ya Mungu ni Hila za shetani, na 20% ni ujinga na uzembe wa watu wenyewe na 10% ndio mapenzi ya Mungu..
    Bila kuwa na Mungu wa kweli ni mwendo wa kupigwa viini macho tu.
    Sterling hafi, mwamba karudi wabaya wake waombe ardhi ipasuke wamezwe, vinginevyo kitawahusu.

    • @AdelinajescaOswald
      @AdelinajescaOswald 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ndiyo maana yake!! Vingi siyo vifo vya MUNGU hata kidogoooo! Ni uchawiiiiiiii!!!

  • @DeruDeru-p4t
    @DeruDeru-p4t 3 หลายเดือนก่อน +12

    Arusha shikamoo dur noma sana huyu mzee anavyo babaika kuongea mbaka nimecheka et tulimkatazs ndio kuuza shamba jaman

  • @DannyWiston-xo4hx
    @DannyWiston-xo4hx 3 หลายเดือนก่อน +9

    Arusha,vijana mpaka wazee bangi tupu

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 3 หลายเดือนก่อน +7

    Ningekuwa Robert ningewapiga maigizo ya kutisha nikaokota dunia nzima kwa kwenda mbele. Mpaka hapo angejitangaza yeye nabii😂😂😂😂

    • @UpendoLazaro-n3e
      @UpendoLazaro-n3e 3 หลายเดือนก่อน

      😅😂😂😂😂😂😂😂

    • @EREVUKATV
      @EREVUKATV 15 วันที่ผ่านมา

      Qmmake umenichekesha sana 😂😂😂😂😂😂

  • @SinemaZaChina
    @SinemaZaChina 3 หลายเดือนก่อน +2

    chuga ya wenyewe babaangu ila nini wanagu wa chuga karibu muangalie masinema huku wazee

  • @chidmp
    @chidmp 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna mzee apo kaongea fact sana huwenda waliomzika co

  • @RogasianStephen
    @RogasianStephen 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hi familia bhn inamambo mengi SEMA mpokeeni jombaa bado anataka kula ugali😊😊

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 3 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo Mwamba aulizwe kama shetani yupo au wachungaji wanatupanga daadek 😅😊

    • @khambhai360
      @khambhai360 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @PrinceBonnyTz8
      @PrinceBonnyTz8 3 หลายเดือนก่อน

      @@khambhai360 😅😅😅

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 3 หลายเดือนก่อน +14

    Kwa matukio ya manji na msigwa ukiongezea na laufufuko tutasahau kuhoji jamaa alieokotwa katavi

  • @OmegaJustine
    @OmegaJustine 3 หลายเดือนก่อน +18

    Kuna mubaba ameongea point kwamba kwenye boma wamemzika mtu ambae siyo, me nasubiri part two ya hiii stori mana lazima kaburi lifukuliwe .....

    • @heavengift779
      @heavengift779 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ni jambo la kufikirisha, lakini masela wana uthibitisho mpaka wa mavazi ni yale yale na pastor anathibitisha, ndugu walioshiriki pia na hata kabla ya kufariki alipataja nyumban kwao.. so wahuni , ndugu , GPS 😂 na pastor watakuwa wanashuhudia uongo mmnh hapana, wazo la kujiridhisha ni muhimu pia… kuna mahali tutakuwa tumepigwa.. 😂,, wacha ije episode 2 tuone 🙌 # New Lazarus in Town 😂😂

    • @malkiarosemuhando3310
      @malkiarosemuhando3310 3 หลายเดือนก่อน

      Yeye kasema hakuwepo kwenye msiba Sasa angejuaje kama ndiye au siye!?

    • @TumsifuSilaa
      @TumsifuSilaa 3 หลายเดือนก่อน

      Kwan huyo robert ni nan mbona ni maajabu ya dunia

    • @ZediMichael
      @ZediMichael 3 หลายเดือนก่อน

      Hiyo boma walizika Mtu mwingine

  • @vi3ayo1622
    @vi3ayo1622 3 หลายเดือนก่อน +6

    Nasema hivi kila mtu afe na chake😂😂😂 hamna kufa kizembe uache mali kwa mtu hiyo hamnagaa manzeee😅😅😅

  • @omarmwarizo9678
    @omarmwarizo9678 3 หลายเดือนก่อน +10

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂nacheko lakino naogopo...eti tutakaa nae lkn shamba hatumpi

    • @JohanesFaustine-vn9sk
      @JohanesFaustine-vn9sk 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @FatumaBasho
      @FatumaBasho 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @LotiMollel-nw1it
    @LotiMollel-nw1it 3 หลายเดือนก่อน +41

    Karibu Tena uraiyani mwamba hakuna kufa 😂😂

    • @doublejmrutu8529
      @doublejmrutu8529 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 3 หลายเดือนก่อน

      Mazinga mbwa ya msukule hayoo

    • @femidayahaya4882
      @femidayahaya4882 3 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂😂Mzimu anataka shamba lake

    • @wilondjarama1427
      @wilondjarama1427 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @pendoismail945
      @pendoismail945 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@doublejmrutu8529kkkokkokooookkkllkokoklookkkkkkklķķķķķķķķķķķkklkkl

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mmezika mtu ambaye sio, atafutwe familia iliyopoteza ndugu yao waje watambue mwili

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 3 หลายเดือนก่อน +7

    Uchawi sio lazima sumbawanga au kigoma
    Huyo mzee aliehojiwa mwanzo ,,akitulia mmuhoji vizuri

    • @femidayahaya4882
      @femidayahaya4882 3 หลายเดือนก่อน +1

      Nakuunga mko..Mzee hayupo sawa

    • @MasumbukoKilunga-mf7sg
      @MasumbukoKilunga-mf7sg 3 หลายเดือนก่อน +1

      Umenena vyema yaweza kuwa huyo mzee ni chanzo cha Mambo....

    • @haikawilson216
      @haikawilson216 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yaan akili yangu ishamuona sio mtu mzuri kabisa

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 3 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂wamuhoji kipindi hikihiki alichopanik ndio majibu yatakua sahihi akitulia atadanganya huyo mzee...Robertinyo umerud baba tupo pamoja mpk upate shamba lako 😅😅

    • @samwelpaul4279
      @samwelpaul4279 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa stori hii tunazika migomba Kila kukicha

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 3 หลายเดือนก่อน +3

    Af huyu jamaa n kama ukoo ulikuw umemchoka mana wanavyoviongea vinashangaza!

    • @femidayahaya4882
      @femidayahaya4882 3 หลายเดือนก่อน

      Wanataka kumdhulumu mali za Baba yake😢😢

  • @RaulentJulius-bg4ov
    @RaulentJulius-bg4ov 3 หลายเดือนก่อน +1

    Daaaaaah makubwa sanaa

  • @AmmyJ-blue
    @AmmyJ-blue 3 หลายเดือนก่อน +18

    Mwamba hafi hadi apate chake. Welcome back

  • @MsAisha-w4o
    @MsAisha-w4o 3 หลายเดือนก่อน +4

    Uchawi upo ..mngu atulinde waja wake 😢🙏

  • @deodathsilayo3639
    @deodathsilayo3639 3 หลายเดือนก่อน +18

    Hili ni picha la kihindi steling anakupiga hata kwenye ndoto😅😅😅

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mch nae naona kama king'amz kinayumba!! Na yeye haelew k2 hapoo😂😂😂

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 3 หลายเดือนก่อน +20

    ILA HII SAYANSI YA KIAFRIKA SIJUI WANAFANYA FANYAJE HAPO😂

    • @paschalsafari9747
      @paschalsafari9747 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @rose76312
      @rose76312 3 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣

    • @evalinemalole6709
      @evalinemalole6709 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂acha tu

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 3 หลายเดือนก่อน +2

      Lakin haiondoi maradhi umasikin na ujinga hii ni sayansi isiyo na maendeleo

  • @AdelinajescaOswald
    @AdelinajescaOswald 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hiyo kilichotokea hapo baada ya kuzika akachukuliwa kichawi ili aende kufanya kazi za kichawi! Lakini kwa Neema za MUNGU amemgomea yule mchawi ndio maana mnamuona! MUNGU ametaka muwajue adui zenu kwenye familia! Muhoji kwa upole atawaambia na waliyomchukuwa msukule!

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 3 หลายเดือนก่อน +31

    Walimfanyia uchawi kusudi wamdhurumu shamba.

    • @Maxpaul-oi8pw
      @Maxpaul-oi8pw 3 หลายเดือนก่อน +2

      Huenda ndo ivo na ndo maaana yule mzee naona kama kachukia sana ..sasa kama dili limebuma ishakula kwake

    • @AmianaMavura
      @AmianaMavura 2 หลายเดือนก่อน

      Na yeye akagoma 😂😂😂😂

  • @winniedotto1459
    @winniedotto1459 3 หลายเดือนก่อน +5

    Makande tulikula 😂😂😂dah Arusha 🙌

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa amefufukaje??mmmmh!!!mi nahitaji kujua zaidi
    Ni kweli kufukuliwe tu tujue😮😮😮😮sababu weee

  • @marthadanielgethro6216
    @marthadanielgethro6216 3 หลายเดือนก่อน

    Walizika mtu mwingine😂😂😂 mtu alie kufa hafufuki ng’o 😅wafunue tuone na wakapime DNA hiyo kumuangalia waliangalia kwa hofu 😂😂😂 Acheni imani za kishirikina

  • @amanimakoi7651
    @amanimakoi7651 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hii pia inaweza kua ushahidi wa time travel. Huyu mtu katoka from the past to the future lakin alipofika future akajikuta the future him ameshafariki.

    • @LeilaWilfred-zc7gn
      @LeilaWilfred-zc7gn 3 หลายเดือนก่อน

      Daaa hatariii

    • @jenipheraron3566
      @jenipheraron3566 3 หลายเดือนก่อน

      😂mambo ya Korea hayo

    • @amanimakoi7651
      @amanimakoi7651 3 หลายเดือนก่อน

      @@jenipheraron3566 dunia ina Siri kubwa sana na wanaojua siri nyingi za dunia hawajafikia kujua hata theluthi ya mambo yote

    • @betyjoseph6812
      @betyjoseph6812 หลายเดือนก่อน

      Hiyo topic ya physics inaitwaje

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mzee wa bomaaa😂 kaongea kabisaa, kazikwa mtu sieee

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 3 หลายเดือนก่อน

      Kwel kabisa

    • @Bifa_2024
      @Bifa_2024 3 หลายเดือนก่อน

      Mzee mwenyewe hakuepo mazishini

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 3 หลายเดือนก่อน +6

    HUYU MZEE NDIO ALIMPOTEZA KISHILIKINA KWA MAELEZO YAKE UYU MZEE ANAYOSEMA SHAMBA ATUMPI MNAWASIWASI NAE SANA😂😂😂

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo washamba hatumpi ndiye mchawi alimpeperusha kichawi huwezi kung'ang'nia shamba hata marehemu kafufuka bado unang'ania shamba hamuonei huruma huyo marehemu niwaajabu Sana

  • @samuelkaranja3918
    @samuelkaranja3918 หลายเดือนก่อน

    That family needs to be jailed they barried somebody not in their family , Tamaa ya pesa .wanjinga Hawa. Hilo kaburi lifukuliwe na hiyo familia izikwe hapo. Wote iwe funzo Kwa wengine .

  • @EwaldAntony
    @EwaldAntony 3 หลายเดือนก่อน +3

    Aleluyaaaaaaaaaa

  • @DirectorPAJAMWA
    @DirectorPAJAMWA 3 หลายเดือนก่อน

    MWAKATOBE AMEDATA NA TAMTHILIYA YANGU INAYOTAMBA KWA SASA - MJUKUU WA MZEE MCHAWI

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 3 หลายเดือนก่อน +11

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

    • @FredyMolley-zq3em
      @FredyMolley-zq3em 3 หลายเดือนก่อน

      @@amanmalima940 kweli lakin kaburi Kun nini nimekuelew

    • @drmahwa8166
      @drmahwa8166 3 หลายเดือนก่อน

      Mmepata yesu mwingine huyo kafufuka

  • @GisellaLukas
    @GisellaLukas 3 หลายเดือนก่อน +3

    𝕟𝕚 𝕟𝕪𝕒𝕜𝕒𝕥𝕚 𝕫𝕒 𝕞𝕨𝕚𝕤𝕙𝕠

  • @vailethjames1934
    @vailethjames1934 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu ajazikwa mtu akizikwa akifufuka anakuwa kama mental wewe niambie mnavyoambiwa mtu huyu amekufa na picha yake unayo machoni kila unavyomuangalia unamwona yeye mf wewe UNAOUWEZO wa kuvuta picha ya mtu yoyote ambaye umeshawahi kumwangalia Kwa mda mrefu na ukamweka mbele ya macho Yako na ukamwona ktk mwonekano tofauti tofauti uliyomwonaga uko nyuma

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 3 หลายเดือนก่อน +3

    Iko hivi wapendwa:Inapotokea ndugu katika famili amekufa, ikawa mmemuhifadhi mochwari, na pengine amekaa siku zaidi ya siku 2 na kuendelea mwili na viungo vya marehemu yaani ,rangi ya ngozi , sura, na hata urefu nao kidogo huongezeeka.Ndiyo maana siku ya kukabidhiwa mwili wenu kwa ajili ya kuuzika,huwa ni vizuri kuwa makini na huwa tunashauriwa ndugu wa karibu sana wawepo,yaani kunzia mtoto,mama,baba au mke,mme.tupunguze ule u kimbele mbele.Kuweni makini.Lkn ndugu zangu wa Arusha punguzeni siku za kunywa pombe na mikutano ya kisiasa.

    • @Bushman000
      @Bushman000 3 หลายเดือนก่อน

      Haya maelezo hayajaeleweka yaweke sawa, mtaalamu

    • @YohanneSangawe
      @YohanneSangawe 3 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli

    • @TEDY-MTEMY24
      @TEDY-MTEMY24 หลายเดือนก่อน

      ​@@Bushman000kipi hujaelewa kwa mfano

  • @latifalayla9990
    @latifalayla9990 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hahaha maswali mengine ya kizushi sana. Eti ni kweli ulizikwa? Ss angejuaje km amezikwa wakati kashazima?

    • @FatumaBasho
      @FatumaBasho 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @Sportingeventaroudtheworlds24
    @Sportingeventaroudtheworlds24 3 หลายเดือนก่อน

    Report za police na cheti Cha kifo kiko wapi Kama ni kweli hapo Kuna jambo limetegenezwa

  • @jamaicaevakeyz3737
    @jamaicaevakeyz3737 3 หลายเดือนก่อน

    ajenge nn n swala la neema ndg kapatkana lakini wanamkataa HAO NDIO WACHAWI WAKUBWA

  • @AnisaA-v4v
    @AnisaA-v4v 3 หลายเดือนก่อน

    Walijaribu kuchukua msukule wamemshindwa imebidi wamuachie hiyo ni shiriki kbs

  • @GOODLUCKMNYONE
    @GOODLUCKMNYONE 2 หลายเดือนก่อน

    Tatizo machalii wa chuga wanafanana fanana wamezika mtu ambaye siye bhana usiamini miujiza alifufuka mmoja tu ambaye ndiye aliyemfufua Lazarus

  • @moudyhamisi2641
    @moudyhamisi2641 3 หลายเดือนก่อน +6

    Tulimzika mtu na makande tulikulaaah yeah 🤲🤲🤲

  • @chrixyaugust7127
    @chrixyaugust7127 3 หลายเดือนก่อน

    Tulimwambia ajengee 😂😂😂 hatakama amefufuka lazima ajengee bhana😂
    Ila wanadamu Sasa muhuni anataka aze apate pesa ale Bata age Tena nyie mnamwambia marehu ajengee Kwa pesa gani anayo Toka kuzimu?😂😂

  • @alexjabali9674
    @alexjabali9674 2 หลายเดือนก่อน

    Arusha kuna matukio ya aina yake hivi nadhani si Africa yaani kafufuka ila shamba hatumpi 😂😂😂 better nikasatle kenya

  • @DudddyWhyCant
    @DudddyWhyCant 3 หลายเดือนก่อน

    Haiwezekani mtu afe halafu urudi. Ni ujanja umetumika hapo 😅😅😅

  • @AshuuuBakari
    @AshuuuBakari 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mzee mbona anaogopa sana 😂😂😂 anahojiwa huku atetemeka

  • @JaneAssey-x2f
    @JaneAssey-x2f 3 หลายเดือนก่อน

    Original kabisa

  • @casmirnkombe424
    @casmirnkombe424 3 หลายเดือนก่อน

    petro alienda kuhakikisha kaburi kama kweli likowazi,, kweli hakumkuta na huo ndio ulikua ushahidi wa kwanza,, naomba nao wakafufue kaburi kuhakikisha

  • @sadiqadam7971
    @sadiqadam7971 3 หลายเดือนก่อน +2

    Arusha msitufanyie hivyo, hebu tuacheni kidogo 😂

  • @agustinohinjo-zo9cb
    @agustinohinjo-zo9cb 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 Si ajabu mlizika mwili sio au ni nguvu za giza aliye lala kalala awezi nyanyuka tena isipokuwa yesu tu ndiye aliye mfufua Lazaro aliyenuka

  • @VictorJohn-fu7ch
    @VictorJohn-fu7ch 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa hyo gar yapolisi inafanya nini hapo au imekuja kumchukua mtu aliyefufuka??

  • @rachelndaki5642
    @rachelndaki5642 3 หลายเดือนก่อน

    Yani hapa kunamkanganyiko wa mambo kiukweli huyo anae sema hakumbki alimzka lini af nimwenzi m1 tu hajawah kufa mtu akafufuka af bado akawa na hakili za kujitambua hapo kunakitu kilifanyik et nanguo hiz hiz jmn kwenye jeneza mtu huonekana upo tu na huvaliswa sana sasa huyo alieona nguo inakuwaj hapo igekuwa kunaushilikn asingeongea hivyo hawa walizk mtu sio wao inatokea sana hivyo vitu yani mtu nimemzk af nimuone rod tu nimkumbatie iv nikweli inakuja hii nivitu 6ta 6ta tofaut

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani hizi comments zenu zinanivunja mbavu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @willsonmsuya9261
    @willsonmsuya9261 3 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂wewe ndugu muandishi unachekehsa. Eti kwaiyo mgogoro ndo umefanya afufuke?

    • @NeemaJackson-f1b
      @NeemaJackson-f1b 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @isunga1964
      @isunga1964 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 yaani nimecheka kwa nguvu

  • @PokeaEliau-mf7rx
    @PokeaEliau-mf7rx 3 หลายเดือนก่อน

    Tatizo huyo mtu aliye zikwa sio yeye watu wanafanana na pia wlio kwenda mochwari kumuandaa hawakumcheki kua ni yeye

  • @PapiaDeogratiusMpangaje
    @PapiaDeogratiusMpangaje 3 หลายเดือนก่อน

    Ila watu wanafufuka Shinyanga alifufuka mwanamke hadi mkuu wa mkoa akawaambia wananchi wapunguze ushilikina .mwanza akafufuka mtoto mambo haya yapo kabisa

  • @queenshomba8412
    @queenshomba8412 2 หลายเดือนก่อน

    Mwacheni auze,msitumie nguvu. Shamba la bake.

  • @pamojacomedytv7563
    @pamojacomedytv7563 2 หลายเดือนก่อน

    Muulizeni alikuwa wapi mnaseni namakofikama anajiuma Uma kunyoosha maneno😂😂

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 3 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda ana kazi kubwa, Arusha haiiishi vituko....

  • @EdwardOkemba
    @EdwardOkemba 3 หลายเดือนก่อน

    Muulizeni amerudi kutafuta Nini duniani Hali ni ngumu arudi huko wake na yesu aliye sema kwamba nyumbani kwa baba yake Kuna makao mengi anarudi Tena kuuza ardhi ya kaka yake?

  • @ArnestKoome
    @ArnestKoome หลายเดือนก่อน

    Uyo Mzee ameongea ukweli waende Kwa kabuli wa akikiche that good

  • @Mamshika
    @Mamshika 25 วันที่ผ่านมา

    Walizika mtu ambae sie huo ndio ukweli na kama sivo basi kuna mchezo alichezewa huyu mtu kiini macho labda sababu ya hiyo shamba

  • @godsonmasseri7622
    @godsonmasseri7622 3 หลายเดือนก่อน +4

    Welcome back brother tuendeleze mapambano 😅😅 uje utuadisie mambo ya heaven 😂 pakoje😂🙌

    • @barakajpilly6900
      @barakajpilly6900 3 หลายเดือนก่อน +1

      laivu aise atupe fununu za majuu😂

    • @TEDY-MTEMY24
      @TEDY-MTEMY24 หลายเดือนก่อน

      ​@@barakajpilly6900fununu 😅

  • @aboudijaaboudija
    @aboudijaaboudija 3 หลายเดือนก่อน +7

    😂😂haya uliechukua shamba lake mwenyew amerudi kama ulimuua uzulum utajua hujui

    • @osmundmtavangu
      @osmundmtavangu 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mwamba huyu hapa,picha linaanza upya lazima apewe shamba lake😄😄😄😄😄

    • @joycesanga4378
      @joycesanga4378 3 หลายเดือนก่อน

      Kuna haja ya kuaga marehemu kwa kumwangalia kwenye jeneza waache tabia ya kuweka picha wanapoaga mwili

  • @Namaize-lc8sh
    @Namaize-lc8sh 3 หลายเดือนก่อน

    Yuko baba ni jirani yangu huku tunamwita bolo anaokotaga maganda mbona yupo tu sikunyingi hata juzi ijumaa nilimpa maganda hanaga shida na mtu jamani njooeni niwaonyeshe alipokua anakaa

  • @renatusrevocatus3895
    @renatusrevocatus3895 3 หลายเดือนก่อน

    Eti anasema hajambo. Huyo mzee mwingine naye analeta uswahili

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p หลายเดือนก่อน

    He ayo ni matata kweli hivi kama mtu anadhikwa kidhukule na wachungaji wamemuombea itakujae kwani wachungaji awawesi ombea mtu aliefariki kidhukule wakafufua jamani ebu tuwe tunajaribu kuwaombea walio kufa kwa ukweli ili ata ikiwa amekufa kidhukule tone kama tutafufua kabila ajaingia kaburini jamani watu wa mungu

  • @AsminKhaoya
    @AsminKhaoya 2 หลายเดือนก่อน

    Neno lamungu linanena halie kufaa nahakafufuka hanajanganyikiwa kwa sababu huvile halivo kuwa kabila hajakufaa siyo huvile halivo nahawesi kujiliganyisha nawale hawajakufaa nawakafufuka kama yeye halie kufaa nahakafufuka hajakuwa nahakili yakujijuwa kwa kujuwa mahali halipo kwa kutano lakifo kwake nakuzikuwa nakufufuka kwa sababu neno lamungu linanena kifo nihujuku kimwilli nakiroho kimahumifu kwa hivo hahuwesi kufufuka kwa kifo nahufahamu mahali hulipo kwa kifo na mahli hulipo kuwa kabila hujakufaa neno kufufuka linatuhitaji kwa yule hatakaye jisikia sauti yamungu huvili halivo hishi mahishani mwetu hakitutafuta kwa kifo kwetu jakukufaa yule hatakaye sikia sauti yamungu kwa kifo jake hafufuliwe naneno lamungu kwa kutokufaa kwake tena hajifufuwe kwa neno lamungu kwa sauti yamungu kwake kumuhokosa kwa hufufuwo wawekinewo hilo nineno kwetu halie kufa nahakafufuka hawesi kujitafuta kwa via dunia via dunia die kifo kwetu

  • @Hussenskinyangaa
    @Hussenskinyangaa 3 หลายเดือนก่อน

    Hawo walikosea wamezika mtumwingine wakafukuwe kaburi ,

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂wataisoma namba arusha hafi mtu kizembe na shamba atauza😂😂😅

  • @charlesmalwana3739
    @charlesmalwana3739 3 หลายเดือนก่อน

    Aaa aaaa jamani mnanichekesha sana wapendwa kwa comment zenu.😂 Mungu yu mwema

  • @EsterMbise-pj4vd
    @EsterMbise-pj4vd 3 หลายเดือนก่อน

    Baba umesema ukweli ni ukweli mtupu ajafufuka mtu apo walimfananisha na kwa Nini watu wa 2 wa 2

  • @frankmgaya6949
    @frankmgaya6949 2 หลายเดือนก่อน

    ya leo kali pambania kombe mwamba wakubwa ndo wataelewa kwa 2 ni 2 kwa 2 ni moja chukua hiyoooooo

  • @vennyblack3766
    @vennyblack3766 3 หลายเดือนก่อน

    Mlitoa heshima za mwisho ikimanisha mliaga Kwa kuangalia sura , Sasa iweje mlizika asie?

  • @deborampinga8185
    @deborampinga8185 3 หลายเดือนก่อน +3

    sasa jmn akizaa mtt lin ila Arusha jmn😂😂😂😂😂

  • @kobylwaho3191
    @kobylwaho3191 3 หลายเดือนก่อน +1

    Arusha igawiwe kenya iwe mkoa uliopo ndani ya kenya hao wanaendana purukushani zao

  • @musampanda3643
    @musampanda3643 3 หลายเดือนก่อน

    Stealing auwawi shamba lipo palepale, kwanza mlimuua nyie na atawataja

  • @Maxpaul-oi8pw
    @Maxpaul-oi8pw 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee amuache na shamba lake tu yaishe asimlazimishe mtu na shamba lake

  • @gloriaaugustino8031
    @gloriaaugustino8031 3 หลายเดือนก่อน +5

    shamba LA babake

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 2 หลายเดือนก่อน

    baba mdogo mjanja Sana kachukua maiti ya mtu kazika kisa tu achukue shamba jaman nyie hii aridhi

  • @janengowi-lt9gu
    @janengowi-lt9gu 3 หลายเดือนก่อน

    Nimecheka kama mazuri wazee wamekomaa hata kama amefufuka hatauza shamba

  • @mamaabduly
    @mamaabduly 3 หลายเดือนก่อน +5

    TANZANIA NZIMA... ARUSHA NDIO INAONGOZA KWA MATUKIO YA AJABU.... REPORTER WA ARUSHA HONGERA

    • @latifamubba100
      @latifamubba100 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wapo kama wakenya

    • @mamaabduly
      @mamaabduly 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@latifamubba100 🤣😅😂😅😂😅😂

    • @ngwacahnyagwaswa9979
      @ngwacahnyagwaswa9979 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂​@@latifamubba100

  • @queenshomba8412
    @queenshomba8412 2 หลายเดือนก่อน

    Hilo shamba la bake mwacheni auze msitumie nguvu

  • @Martin-lv1xw
    @Martin-lv1xw 3 หลายเดือนก่อน

    Jombi anapambania kombe balaa...komaa hadi shamba irudi ankola.

  • @hemedmakunda5985
    @hemedmakunda5985 3 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅ila shamba jamaa amegoma kufa weee aache ulisi 😂😂😂😂

  • @ElianasoMrema-wl3ym
    @ElianasoMrema-wl3ym 2 หลายเดือนก่อน

    Labda kwel alifariki na kufufuka ila hana kumbukumbu kama alifariki