"TUNAMSIMAMISHA KAZI" AWESO ASHTUKIZA DAWASA, AZAMA CHINI YA TENKI KUKAGUA MAJI NA KUYABAINI HAYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 173

  • @EmmanueliZani-ur9bi
    @EmmanueliZani-ur9bi 6 วันที่ผ่านมา +11

    Mheshimiwa, sababu kubwa ya kutokuwepo maji kwenye matanki ni hii.
    Wana Magari yao ya kusambaza maji mitaani, na hasa maeneo ya King'azi B wana soko kubwa la maji.
    Mabomba yapo, lakini yanatoka kwa mwezi mara 2 au hayatoki kabisa.
    Asante kwa ufatiliaji, mkiwa mnafanya hivi, wananchi tutapata raha kwenye Nchi yetu.
    Mungu akubariki Mh.

  • @nguruwekikwete1635
    @nguruwekikwete1635 6 วันที่ผ่านมา +12

    Wafanyakazi wa serikali asilimia 99% ni wapumbavu haswa ndiyo maana wanalialia kuongezewa mishahara for nothing ni kama walimu hakuna wanacho fanya ila wanataka mishahara mikubwa.

    • @africaonechannel1289
      @africaonechannel1289 6 วันที่ผ่านมา +2

      Ndugu!,
      Mbona UMEAMUA KUYASEMA MANENO YAKIWA MABICHI KABISA!? Hujayakaanga, hukuyachemsha &hata kuyaanika juani pia hukutaka!?
      HII NI
      "NGURUWE Aitwe NGURUWE●

    • @laurentraphael5470
      @laurentraphael5470 6 วันที่ผ่านมา +1

      Wapuuzi sana. Waachie ngazi

    • @frankyeye
      @frankyeye 6 วันที่ผ่านมา +2

      Bro kwani sisi walimu kwenye maji tunaingiajee😢😢😂😢😂😢

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 5 วันที่ผ่านมา

      Kama una akili huwezi kuasema walimu hawana wanacho kifanya siwez kuwadharau kabisa hao watu ni kama wazee kwetu

    • @nguruwekikwete1635
      @nguruwekikwete1635 5 วันที่ผ่านมา

      @@MohamedAhmada-ie7ke tatizo lako ni kukosa akili....tafuta akili utajua naongea nini ?

  • @hildajoel5
    @hildajoel5 6 วันที่ผ่านมา +9

    Huyu bwana kuna kitu kinampa jeuri maana hiyo confidence sio ya kitoto😢

    • @joycekambuga6286
      @joycekambuga6286 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hana confidence ana afya ya akili na anatafuna dawa

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 6 วันที่ผ่านมา +11

    Hy mzee white mbona ka kalewa au👀😳

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 6 วันที่ผ่านมา +6

    Tena alivyokua Jeuri anatafuna huku anaongea na Mkuu wake...Hyu ndo Kibaka sugu w Kodi za wananchi.

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 6 วันที่ผ่านมา

      Hatafuni. Ana tatizo la meno 😅

  • @sammymdemeka7937
    @sammymdemeka7937 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa mameneja wa Mamlaka za maji mtatuulia Waziri wetu Aweso mnamfanya aingie hadi kwenye matank kwa uzembe. Sasa dawa yenu inachemka sheria kali ziletwe ikibidi kufungwa maisha na kufilisiwa huu ni uhujumu uchumi😢😢😢😢😢

  • @MariamLigoha
    @MariamLigoha 2 วันที่ผ่านมา +1

    Waziri Aweso na wewe ujitathmini, unaongeaje na huyo mzee anajitafuna-tafuna na humuwashi kibao. Ujue anapokudharau wewe ameidharau jamhuri ati! Ungemdhalilisha na wewe, hongera kwa uvumilivu,. Na wewe mzee acha kujitafuna, bosi mzima

  • @africaonechannel1289
    @africaonechannel1289 6 วันที่ผ่านมา +6

    Mhe.WAZIRI WA MAJI!!.
    Utamuonea bure huyu MTAFUNA Big G.
    PICHA KUBWA NDANI YA UKUMBI INAJIELEZA●
    Hii ni HUJUMA DHIDI YAKO.
    Jaribu kuzipekua Sura za WASHIRIKI WOTE AND NINASEMA WOTE WA HICHO KIKAO; It's A Very Open Msg.
    HIZI NI SIASA ZA KIJINGA.
    Kuzuia hatua za Maendeleo Yetu! ●KAMA JAMII;
    Let's Be Serious😎

    • @user-bi7gk7im4f
      @user-bi7gk7im4f วันที่ผ่านมา

      😂😂. Labda anatafuna miti shamba,sio big g

  • @injilinjeyakutazakanisa
    @injilinjeyakutazakanisa วันที่ผ่านมา

    Nakumbuka mbali sana, Kaka jipe moyo na kubali hii ndio dunia. Pole

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 6 วันที่ผ่านมา +6

    Tumbua wote hao wanafanya kaz kwa mazoea. hawana hata wasiwasi maana mishahara wanalipwa

    • @user-gy5en6cy8o
      @user-gy5en6cy8o 6 วันที่ผ่านมา +2

      Kabisa Kama serekal inafanya yte haya alafu hawa wajingawajinga hajui jinsi tuna yo pata shida ya maji tumbua Muheshimiwa 😢

  • @user-xn8jh1yw1h
    @user-xn8jh1yw1h 5 วันที่ผ่านมา +2

    Hatutakii mema huyo! Anatesa Jamii! Maji ni Uhai! Anahujumu uchumi.

  • @aminamwashambwa6846
    @aminamwashambwa6846 4 วันที่ผ่านมา +2

    Watu wanateseka kununua maji ndoo hamsini kwa elfu ishirini huku njia panda ya makabe, ni mateso wao wanakula mshahara na majumbani mwao maji yapo

  • @aminamwashambwa6846
    @aminamwashambwa6846 4 วันที่ผ่านมา +2

    Njia panda ya makabe Wana magari yanauza maji boza elfu ishirini kwa maisha gani ni manyanyaso

  • @jumamdaki9691
    @jumamdaki9691 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pwani na Dsm kuna upotevu wa Maji kwa kiasi kikubwa na watumishi wa Idara ya Maji wanaona ni hatari sana.

  • @pascalntandu1217
    @pascalntandu1217 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnabembeleza sana watu wazembe kama hawa fukuza wote kazi patia wengine kazi achana na hao wazembe;waziri wangu take action ya nguvu watu wengine wajifunze kwamba hatuigizi.

  • @VictaDaudi
    @VictaDaudi 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Viongozi Kama hao wapo wengi Sana ,, hata Hulu IRINGA wapo wao kazi yao ni kubambikizia watu bili za maji ,ndio wanachoweza TENA tunaomba mtuletee mita za kununua maji kabla ya matumizi hapo mtakuwa mmetusaidia 😮

  • @godfregiiti8327
    @godfregiiti8327 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waziri wa maji tembelea mwanza Nako kuna ujuma kubwa kwenye chanzo kipya Cha maji akitoi maji kama tulivyotangaziwa matatizo ya maji yamekuwa makubwa kuliko ilivyokuwa kabla ya ujenzi wachanzo hicho maeneo ya buhongwa ziwaunaliona lakini maji ayapatikani

  • @GeorgeChacha-dd9fh
    @GeorgeChacha-dd9fh 6 วันที่ผ่านมา +8

    Yani unatafuna kabisa huwazi😂😂😂

    • @lucasmlowezi9214
      @lucasmlowezi9214 6 วันที่ผ่านมา

      Kweli ni dharau kubwa sana, watu wanahangaika maji mzembe mmoja anazingua. Lengo serikali ya Mh. Samiah ionekane hafanyi kazi. Safi sana Mh Waziri

    • @verdianabanabi2205
      @verdianabanabi2205 6 วันที่ผ่านมา +3

      Anaficha harufu ya pombe au dawa za kuzindika asufukuzwe.

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 6 วันที่ผ่านมา

      🤣​@@verdianabanabi2205

    • @user-bi7gk7im4f
      @user-bi7gk7im4f วันที่ผ่านมา

      Hahahaha

  • @BarakaThoas
    @BarakaThoas วันที่ผ่านมา

    Aiseee daaaah! Yaaani hayo majamaa niyakufukuza kazi ili yaje ulaiyani uku yaone joto la jiwe tunalolipata wananchi sio poa kabisa

  • @hamzaibrahimu
    @hamzaibrahimu 6 วันที่ผ่านมา +1

    Boss njoo na Mwanza Umeme upo ziwa tunalo lakini maji ya mgao🙏

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 6 วันที่ผ่านมา +3

    Awamu ya majizi tupu. Hongereni

    • @MnubiMm
      @MnubiMm 6 วันที่ผ่านมา

      Kwa Mtazamo wako haki yako

  • @johnmwakipesile9046
    @johnmwakipesile9046 6 วันที่ผ่านมา +3

    Hiyo ni hujuma waziwazi apo kuna watu wanakutengenezea zengwe ili utumbuliwe Mh Waziri

    • @sofiakhan9706
      @sofiakhan9706 6 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisa na maada ye waziri anaondolewa wanabakia waharibifu palepale na kuendelea uzembe

  • @2003hintay
    @2003hintay 6 วันที่ผ่านมา +2

    Adabu hana fukuza kazi sio kusimamisha unaongea nae yete anatafuna big G

    • @hamiduomar1316
      @hamiduomar1316 3 วันที่ผ่านมา

      Anaonesha zarau kwa wazir cjui ninani anayempa kiburi cha kujiamin mbwa huyu fukuza kabisa

  • @iam_sami
    @iam_sami 6 วันที่ผ่านมา +1

    Ukiskia kazi na mazoea ndo haya mazoea mengiii aisee kummke tia ndani woteee

  • @JemaLupande
    @JemaLupande วันที่ผ่านมา

    Mbagala utakuja lin mhe,make tunateseka mpk basi mwezi mzm maji hayatoki na bili zinasomwa tukiuliza sababu ya maji kutotoka tunaambiwa umeme wakati umeme upo!

  • @nenenongi66
    @nenenongi66 2 วันที่ผ่านมา

    Hili ndio tatizo la ajira za kujuana, mtoto wa fulani,kwa akili za kawaida ,huwezi kufanya ujinga wa namna hii,waziri hao wote timua,wanakuharibia kazi,na wanawatesa Watanzania sana,

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 วันที่ผ่านมา

    Huyo
    atakuwa anatafuna Kizizi siyo Big G. Waziri na hapa Dodoma shida ipo unalipa pesa lkn hawafiki kuunganisha maji. Sijui tatizo ni nini?

  • @consorathajames2693
    @consorathajames2693 6 วันที่ผ่านมา +1

    Anatafuna kizizi ndio maana ana confidence zakutosha

  • @AugustKisaka-qy7kl
    @AugustKisaka-qy7kl 2 วันที่ผ่านมา

    Ongera waziri ,bado waziri wa nishati na madini atuonyeshe cheche zake, umeme garama sana atue tamko atueleweshe kwanini garama za umeme zimekuwa juu

  • @swaiagnes6696
    @swaiagnes6696 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yaani unaongea na kiongozi wako huku ukitafuna BG 🤔🤔

  • @mohammedshaaban3730
    @mohammedshaaban3730 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mheshimiwa Waziri wa Maji Njoo Kigoma Ujiji

  • @yasinkiaze2352
    @yasinkiaze2352 วันที่ผ่านมา

    Ni siku zaidi ya sita atupati maji ubungo kibangu chini sasa tmeambiwa matenk yamejaa maji iweje ayatoki

  • @DerickNgowi-mf5pe
    @DerickNgowi-mf5pe 6 วันที่ผ่านมา +1

    Jaman hao wafanyakaz wanaoesabu mita ni wiz mtupu tunajaziwa bil ambayo hatujatumiwa mita yangu haifanyi kaz ila wananijazia init

  • @STEPHENKingu-yz2dk
    @STEPHENKingu-yz2dk 6 วันที่ผ่านมา

    Mama Samia meongezeee Aweso mingine

  • @pascaldonati2711
    @pascaldonati2711 6 วันที่ผ่านมา +1

    Na sis Nyashishi hatuna maji tokea Uhuru

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 6 วันที่ผ่านมา +1

    Shabaan Mkwanye umeyakanyaga leo

  • @mwazanimnyamani8493
    @mwazanimnyamani8493 3 วันที่ผ่านมา

    Kama.sisi wananchi tuna uwezo aa kujaza maji kwenye. Mantenki yetu majumbani nyie mnashindwaje kujaza hayo ni makusudi na nihujuma tunateseka bila sababu

  • @HamadBashir-bs5wo
    @HamadBashir-bs5wo 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanamagari yao wanawauzia maji wananchi majizi hao

  • @japhetbalilonda797
    @japhetbalilonda797 วันที่ผ่านมา

    Mbona hapa mpiji magohe hakuna maji

  • @sananefrank6560
    @sananefrank6560 6 วันที่ผ่านมา +1

    Njoo na mwanza haraka sana mkuuu same kunamichezo mibaya hakuna maji hapa mjini mgao mkali sana hapa Nyegezi

  • @mohammedkhimji7505
    @mohammedkhimji7505 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee White kalewa hahaha ndio maana kaamua kutafuta bigG kuua harufu

  • @marcynhumbi3534
    @marcynhumbi3534 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Alafu ako ka baba keupe kanadharau sana,kanatafuta kitu sijui dawa

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 6 วันที่ผ่านมา +1

    Waziri Aweso watu wana kufanyia Hujuma Kwa Makusudi
    Kwanza huyo Mfanyakazi anaonekana Mlevi hivi hivi fanya kazi Yako Mkuu Usimwonee huruma mtu fukuza tu Vijana wengi wakoitaani hawana kazi na Wana Elimu ya kutosha tu

    • @sofiakhan9706
      @sofiakhan9706 6 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

  • @BenjaminSululu-uz6sd
    @BenjaminSululu-uz6sd 6 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo anadawa mdomoni

  • @bossmolellsisiya4101
    @bossmolellsisiya4101 6 วันที่ผ่านมา

    NJOO ARUSHA MKUU OJIONEE MAAJABU YA WIZARA YAKO IDARA MAJI WAMEJIGEUZA MUNGU MTU MAJI NI YA KUBEMBELEZA WANATUFUNGULIA MUDA WANAO TAKA WAO NA WAKI YA FUNGULIA NI NYAKATI ZA USIKU SAA 7 WANAYAKATA SAA 11 ALFAJIRI

  • @sofiakhan9706
    @sofiakhan9706 6 วันที่ผ่านมา

    Miezi mitatu maji hakuna City centre bill inasoma 172,500/= na nimelipa kitu kinaitwa hewa yaani kila ukijaribu kuwasha pump na line ikiwa haina maji hewa ndiyo inahesabu maji pale sasa bora kuwa na meter kama za luku pata unit kutokana na pesa yako siyo kubambikwa bill zisizokuwa na mantiki bei ya maji kuliko dhahabu duuh na wakati hakuna ,

  • @mohammedshaaban3730
    @mohammedshaaban3730 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Njoo kigoma Ujiji

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simamisha wote chukua wahitimu wapya

  • @babafemie4576
    @babafemie4576 3 วันที่ผ่านมา

    Hii nchi inarudishwa nyuma na watendaji wa serikali, mambo ya ovyoo yanayofanyika..alafu hawajali wanamapuuzaa balaa!

  • @VictaDaudi
    @VictaDaudi 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aweso baba uje na iringa tunakufa huku

  • @masoudrashidmohammed4124
    @masoudrashidmohammed4124 2 วันที่ผ่านมา

    Hao mawaziri mbona wao hawasemi. Km haya magari tunayotumia ni ya gharama sana bei yake ni ya juu mno ili kupunguza gharama tuwaonee huruma wananchi tununueni magari ya bei ya kawaida .hawa mawaziri wao ndio watu wa mwanzo kupigwa na chini

  • @GeneralSankala
    @GeneralSankala 6 วันที่ผ่านมา

    Safiii sana

  • @EphulaimemanuelEmanuel
    @EphulaimemanuelEmanuel 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mweshimiwa njoo mwanza nyegez hamna maj miez 3 njoo tusaidiye

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 6 วันที่ผ่านมา

    UJE HAPA KIBAHA MILE MOJA NIMELIPA KUUNGANISHIWA MAJI NOW MWEZI WA PILI SIJAWEKEWA MAJI SHIDA NINI MUESHIMIWA

  • @VictaDaudi
    @VictaDaudi 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Njoo iringa aweso

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 6 วันที่ผ่านมา

    HATUWEXI KUENDELEA TUKIFUGA UZEMBE. PAMOJA NA KUWA KIONGOZI , LAZIMA UFUATILIAJI UWEPO KILA SIKU. KUHAKIKISHA YALE ULIYAAGIZA YAMEFANYWA. NA AKISIMAMISHWA HUYO , NA MSHAHARA APEWE NUSU MSHAHARA..

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 6 วันที่ผ่านมา

    WASIKUMWAGIE KITUMBUWA MCHANGA HAO MUHESHIMIWA UWESO. WATIMUWE . NYERERE ALISEMA USIONE HAYA KUMWONEA HAYA MLEVI. NA UKITAKA KUMWUWA NYANI , USIMWANGALIE USINI.

  • @user-uo5em7im6b
    @user-uo5em7im6b 3 วันที่ผ่านมา

    Nenda machine ya maji mtoni tandika ukaone hali ya maji mbaya .ulipomtumbua meneja wa Dawasa maji yakatoka kutwa ,na sasa yameondoka Tena

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 6 วันที่ผ่านมา +1

    HATA Waziri naye amechelewa kufanya inspection kwa nn aje vry late watu walishateseka

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 6 วันที่ผ่านมา

      Waziri nae bomu tu, alikua wapi Leo ndio anabeba makamera kukuonyesha anafanya kazi😂😂😂

    • @leskarmeikok8956
      @leskarmeikok8956 6 วันที่ผ่านมา

      Alikuwa amelala kidogo ​@@darajalakidatukilomgi2362

  • @EdwardMchome
    @EdwardMchome 3 วันที่ผ่านมา

    Maji yenyewe ukitaka kuunganishiwa nimelipa Nina mwezi mitatu bado maji sijaunganishiwa hani hawa wanakera sio sir

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 6 วันที่ผ่านมา +1

    Maji yanatoka machafu tope tupu shoda ipo wapi jamani na bill tunalipa tumefikia huku kweli Waziri Aweso?

  • @user-qr2ol5td5w
    @user-qr2ol5td5w 2 วันที่ผ่านมา

    Goba tegata A huu ni mwezi wa pili hatuna maji hata

  • @Zaburi-
    @Zaburi- 6 วันที่ผ่านมา +1

    Anatafuna kitu au ndivyo alivyo?

  • @bongo39
    @bongo39 6 วันที่ผ่านมา

    Hiyo ni hujuma asilimia 💯 sio huyo tuu yupo na wenzake halafu matusi yote anatukanwa mama hivi nyie mawaziri hatuwaelewi kabisa mnabembrmelezana mno mama sie ndio wapiga kura wako na ndio tunaolipa kodi na hao watendaji wote tunawalipa inakuaje wanatuchezewa kiasi hiki mda huhatumbuwa mawaziri hebu waguse wanajisahau mno

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 6 วันที่ผ่านมา +1

    Wasomi wengi ni wezi na wapigaji ira hili swala Kuna wakubwa wapo nyumba yake picha inajionyesha kua wewe ni mtu mdogo sana kwake

    • @collinndabi1914
      @collinndabi1914 6 วันที่ผ่านมา

      Hata wewe ungewekwa ungekuwa mwizi tu

    • @bakarikayugwa3295
      @bakarikayugwa3295 6 วันที่ผ่านมา

      @@collinndabi1914 kupiga. Unapiga ira unapigaje hapo angekua kakuria uswahilini angekua namna ya kupiga we SI unaona kama kina msukuma kina Bashe wana piga huwezi shtuka

  • @rehemashabaniameen
    @rehemashabaniameen 6 วันที่ผ่านมา

    Mungu atusaidie sana tuna chukia nchi yetu kumbe ni viongozi walio pewa zamana ndio mazombi wanataka tumchukie mama,mtu analizwa maswali anafumba macho huyo jeuli,kibuli

  • @abrahammtegeta635
    @abrahammtegeta635 6 วันที่ผ่านมา

    Hata huyu Wazori naye hayuko serious. Inakuwaje Leo siku ni siku ya Tano sasa maji yanatope.

  • @emilianchibinda82
    @emilianchibinda82 6 วันที่ผ่านมา

    Maji ni uhai,viongozi wetu hamjui? Jamani tuacheni utani hivi mji wa Dar es salaam kwa umati ule wa watu ni wa kukosekana maji jamani? Acheni utani jamani na maisha!! Hivi maji hadi yamsubiri waziri atoke Dodoma, viongozi wengine mpo wapi? Acheni utani bwana!!

  • @hijaabdalah9235
    @hijaabdalah9235 วันที่ผ่านมา

    fukuza wapuuzi kama ao wako wengi wako wako tu

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 6 วันที่ผ่านมา +1

    Aweso anaonekana mrevi tu

  • @gordiansoko9113
    @gordiansoko9113 5 วันที่ผ่านมา

    Sasa hivi maji tunayopokea ni machafu yana rangi uzurungi inaonyesha hayawekwi madawa ya kusafisha.

  • @user-ui5du6wj7n
    @user-ui5du6wj7n 6 วันที่ผ่านมา

    Ndiyoo maana makongo maji shidaaaa dahhh sukumia ndani banaa unachelewaaa

  • @luizabahati5198
    @luizabahati5198 6 วันที่ผ่านมา

    Very Sad..Tena kwa Dsm? Hii ni hujuma kabisa.

  • @evaristjoseph8151
    @evaristjoseph8151 2 วันที่ผ่านมา

    Huyo jamaa anaakili sawa kweli mbona anaulizwa anatafuna bublish

  • @gililwise
    @gililwise 6 วันที่ผ่านมา

    Njoo Morogoro Morowasaa .maji bigwa tunapata mara moja Kwa Wiki

  • @user-oy2gp3nq4j
    @user-oy2gp3nq4j 6 วันที่ผ่านมา

    Aweso huku mbezi makabe hakuna maji wakiamua ata wiki 3 awatoi maji tunanunua maji unit 1sh 15000
    Sijui hii biashara ni yao?

  • @omarmkumba3547
    @omarmkumba3547 3 วันที่ผ่านมา

    Dah,ndo mana wanatubambikia maden

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq 6 วันที่ผ่านมา

    Huyu wa Bodi naye anaongea upuuzi eti anasubiri maelekezo ya waziri. Kwani bodi walikuwa wapi hata wasijue matatizo haya? Amekaa tu anapaka nywele black bila aibu. Waziri amekosea kutokumpasha huyu mtu. Bodi iwajibike.
    Kanchi ka ajabu kweli .

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 6 วันที่ผ่านมา +1

    Waziri nae anachekesha leo ndio ubebe makamera kujifanya mkali😂😂😂😂
    Ulikua wapi siku zote mpaka madudu yamefikia hapo? Hujui uongozi wewe

    • @sultanmsolon8428
      @sultanmsolon8428 6 วันที่ผ่านมา +1

      Bila makamera tungeonaje Aya madudu

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 6 วันที่ผ่านมา

      @@sultanmsolon8428 hatujitani kiki simamia kazi, uko wapi mpaka madudu tuje kuyaona, usimamizi mbovu Wananchi tunahitaji maji makamera waachie waigizaji

  • @super815
    @super815 3 วันที่ผ่านมา

    Wazir aweso anapigya kazi atakimasihara kabisa kwenywe swala lamaji

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 6 วันที่ผ่านมา

    Ila hii nchii hiii😢😢

  • @MasoudSultan-ks6kc
    @MasoudSultan-ks6kc 6 วันที่ผ่านมา +1

    PIA HUYU MSHIRIKINA ANATAFUNA MTI FULANI ANADHARAU

    • @lusese1
      @lusese1 6 วันที่ผ่านมา

      We jamaa bhana!! Umenifanya nimepaliwa kwa kucheka ghafla bila kutegemea!!!hivi ni kibogoyo au anamambo ya jadi kama unavyosema maana sio kwa kunung'unya huko!! Loh

  • @traudkamugisha8051
    @traudkamugisha8051 2 วันที่ผ่านมา

    Njoo na mbeya

  • @faridmohamed203
    @faridmohamed203 6 วันที่ผ่านมา

    makampuni ya serekali watu wanakula pesa tu kazi hawafanyi kama mm nimeomba internet ya ttcl jirani yangu anatumia nimejaza formu nikaambiwa nisubiri mpaka ifike zamu yangu ikapita mwezi nikawapigia wakaniambia ikifika zamu yako utakuja kufungiwa hadi sasa nnavyokuambia ishapita miezi nane juzi nimepiga simu tena wameniambia ombi langu lipo kwenye system niendelee kusubiri

  • @ramadhanimohamedi717
    @ramadhanimohamedi717 5 วันที่ผ่านมา

    Waziri wa maji mugu akupemaisha marefu kazi yako inaonekana

  • @EdwardMchome
    @EdwardMchome 3 วันที่ผ่านมา

    Unaambiwa vifaa hakuna lakini ukitoa rushwa vinapatikana mimi nimeambiwa sijasoma kiuba nilikuwa sijaelewa kumbe hadi utoe rushwa vifaa vinapatikana

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 2 วันที่ผ่านมา

    Dah, Shaban hauko serious

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 6 วันที่ผ่านมา

    Muwe mnavaa japo kamba mkiingia huko chini ili iwe rahisi kuvutwaa kukiwa na matatizo.

  • @josephatmathiasgalagalabuh786
    @josephatmathiasgalagalabuh786 5 วันที่ผ่านมา

    DAWASA tangu LUHEMEJA AONDOKE IMEKUFA

  • @dancerboy2686
    @dancerboy2686 6 วันที่ผ่านมา

    huyu waziri ndo huwaga namuelewa kweny maamuzi lakn wengne ni nyumbu tu

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 6 วันที่ผ่านมา

    JILEVI HILO HULIONI DOMO LAKE ?. HANA MAANA HUYO NI MUUWAJI. MTOWENI HAPO , WAWEKENI WATU WENYE AKILI ZAO HAPO WAFANYE KAZI. WATIMUWE HAO.

  • @MagdalenaThomas-cz1qp
    @MagdalenaThomas-cz1qp 6 วันที่ผ่านมา

    Anatafuna dawa huyo Mkuu kuwa makini badala yakumfukuza kazi unaweza kumpandisha cheo

  • @user-il5pk2dr5n
    @user-il5pk2dr5n 6 วันที่ผ่านมา

    Aya matope ndio tunayolalamikia Savei

  • @Zenny89
    @Zenny89 6 วันที่ผ่านมา

    KUMBE TANZANIA TUNAWAZIRI WA MAJI??? NILIKUWA SIJUI!!! NILIFIKI MAJI LAZIMA UJICHIMBIE KISIMA MWENYEWE🤣

  • @shaban6644
    @shaban6644 6 วันที่ผ่านมา

    Wapige Spana, Vichwa vitakaa sawa tu.

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 6 วันที่ผ่านมา

    Huyo jamaa ni jeuri sana fukuza mshenzi hakuna kubembeleza

  • @neemakerefu4876
    @neemakerefu4876 6 วันที่ผ่านมา

    Waziri Wangu
    Ndiyo ujue watendaji wako niwajeuri sanaaa hata ukiwapigia simu ndivyo wanajibu Kwa jeuri
    Tusaidie
    Watakuwa wameanza Biashara ya uuzaji wa magari

  • @frankngoloka5416
    @frankngoloka5416 6 วันที่ผ่านมา

    Huyo kiongozi ni jeuri Kuna kitu anajivunia

  • @AndreaGunda-xx3mn
    @AndreaGunda-xx3mn 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Anatafuna ...dharau

  • @Ngakux0644
    @Ngakux0644 6 วันที่ผ่านมา

    Angalia channel yangu😂