DOGO WA BODA ASHANGAZA WATU APAMBANA NA WEZI PORINI, ALITOA PANGA KUNIUA NIKAMUWEKEA MCHANGA MACHONI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 421

  • @viviankihiyo1076
    @viviankihiyo1076 2 วันที่ผ่านมา +20

    Pole mtoto wangu. Mi nakushauri usifanye Tena kazi ya bodaboda, maana wameshaona sura Yako, wanaweza wakalipiza, kwakuwa Mungu amekuponya, watanzania tunakuchangia ulipe pikipiki na tafuta kazi ingine tafadhali kwa usalama wsko, ikibidi hama hata hapo unapokaa kwa sasa.

    • @mwajabumsami6388
      @mwajabumsami6388 วันที่ผ่านมา +2

      Nimewaza kama weww

    • @JohaDomi-bg5yh
      @JohaDomi-bg5yh วันที่ผ่านมา

      Nimeumia jamani kama kaka yangu​@@mwajabumsami6388

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 2 วันที่ผ่านมา +116

    Wewe tajiri wa pikipiki mungu Anakuona leo Angepoteza maisha ungedahi nini? Siyo sawa bora msaidiane yeye Ajapenda kuvamiwa kweli mungu Anakuona haya maisha bhana

    • @mariamkibindo1741
      @mariamkibindo1741 2 วันที่ผ่านมา +4

      Yaani mpaka mtu unaeza his kama nae anajua huo mchongo sababu pikipik mpya siku mbili TU alafu tukio Hilo boss anadai mmmh?

    • @PendoMatemba-ql1ng
      @PendoMatemba-ql1ng 2 วันที่ผ่านมา

      @@mariamkibindo1741 hapa duniani kuna watu wanateseka kisirisiri huyo kabahatika kukutana na mwandishi wangapi wanaonewa kama yeye ni wengi mnoo kpz.

    • @kibasamohamedi8029
      @kibasamohamedi8029 2 วันที่ผ่านมา +2

      😅😅😅😅

    • @user-eu6ql9zl7n
      @user-eu6ql9zl7n 2 วันที่ผ่านมา +6

      Hatareeeee !Anajali pesa tuuu ila ukimaliza den lake achana nae kwanza hujui misingi aliyotumia huyo boss kupata pikpik yamkin ungekua kafara yke

    • @user-xk7vy4gb6g
      @user-xk7vy4gb6g 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@mariamkibindo1741yani hata mimi nimewaza hivyo hivyo istoxhe kapelekwa hadi sehemu ya tukio jambazi kalikuta linaungua moto bado anafungulia kesi huyu dogo

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 2 วันที่ผ่านมา +98

    Mchanga ni silaha moja matata sana. Hata mbwa alikukimbiza mkabidhi mchanga. Big up chalii kwa kupambana.

    • @HusnaMtitiko-yt4ru
      @HusnaMtitiko-yt4ru 2 วันที่ผ่านมา +8

      Aise umeniambia hivi nikakumbuka tuliwahi kuvamiwa na nyuki shambani basi mama alisema inameni chini kimuweni mavumbi basi tulifanya vile hatukuzurika 👏

    • @auntmakochela4202
      @auntmakochela4202 2 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@HusnaMtitiko-yt4ru Duuh 😢 MashaAllah nimejifunza

    • @MwanadiaSaid
      @MwanadiaSaid 2 วันที่ผ่านมา +1

      JE DANGOTE

    • @user-ot2qw9fb7o
      @user-ot2qw9fb7o 2 วันที่ผ่านมา +2

      Safi Sana bro

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 2 วันที่ผ่านมา +2

      duh huyu dogoni noma❤

  • @JaliaMuro
    @JaliaMuro 2 วันที่ผ่านมา +59

    Nimefurahi lkn pia namuonea huruma sana uyu kijana mdogo walivyomuonesha sura kuna watu wamebaki bado hawataridhika wataendelea kumuwinda vip kuhusu usalama wake

    • @user-bz7kg2lr3f
      @user-bz7kg2lr3f 2 วันที่ผ่านมา +5

      Daah aisee umeongea point sanaaa yaan anahitaj ulinzi maana pia aliekufa anawatu wake

    • @MerryRenatus-ck4lz
      @MerryRenatus-ck4lz 2 วันที่ผ่านมา +2

      Yaani Mungu amlinde mdogo wangu

    • @shuwehaharuna6309
      @shuwehaharuna6309 วันที่ผ่านมา

      Hata Mimi nimeshangaa Kwann wamemuonesha Sura

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 2 วันที่ผ่านมา +36

    Mungu bado anakupenda mwanangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y 2 วันที่ผ่านมา

      Amen 🙏🙏🙏🙌🙌🙌

  • @MsAisha-w4o
    @MsAisha-w4o 2 วันที่ผ่านมา +8

    Piki piki ni bei gani jamani kwa atakae guswa na hili tueze kuchangia chochote hata ikiwa ni mia tano tano..umoja ni nguvu.. sis ni WATanzania .mngu atulinde..maisha ya boda boda yamekua hatarini sana kwa nyakati hizi..

    • @ahmedsaid5519
      @ahmedsaid5519 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hili ni wazi zuri sana

  • @ConfusedAlien-xk3sh
    @ConfusedAlien-xk3sh 2 วันที่ผ่านมา +35

    Mchanga fimbo nzuri sana😂hongera mwanangu wewe ni shujaa

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 2 วันที่ผ่านมา +28

    Hii mbinu ya mchanga na kumvuta pua aisee😂🦁🦁🦁 we ni zaidi ya mjeda🎉

  • @Maroo6Official
    @Maroo6Official 2 วันที่ผ่านมา +40

    😂😂😂
    Nimeinjoy Sana
    Ila Yote kwa yote nikwanguvu ya Allah

  • @TynahChitamu
    @TynahChitamu วันที่ผ่านมา +2

    Pole sana aiseee uyo aliyeiba pikipiki ndio tatizo ofu yangu kama utaishi salama ungeweza ungeama io sehemu ukaenda kuishi sehemu nyingine majaribu yatakuwa mengi mungu akuepushie

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 2 วันที่ผ่านมา +42

    Ndo tujue Mungu akiruhusu ushindi Kwa anaemtaka. Huwa hazingatii wew. Unapambana na jitu la milaba minane ama kitugani tuweni na imani na Mungu alitupatia Akiri kama sehem ya vitendea kaz kujitetea💪

  • @LaurenciaKitauli-or8rr
    @LaurenciaKitauli-or8rr 2 วันที่ผ่านมา +27

    Mungu ni mwema. Pole zake . Huyo ni jasiri ila tajiri yake hana utu. Askari wasitoe maneno ya kukatisha tamaa ,

    • @user-mi7cd8ch1b
      @user-mi7cd8ch1b 2 วันที่ผ่านมา +4

      Asikari wa bongo wajinga sana badara ya kumpongeza wanakatisha tamaha uyo angekuwa nchi hi uku kwa wenzetu angepata tunzo na kupewa kaz ya jeshi,,Kwan ni jasiri sana, na mungu kampa nguvu alhamdulillah kashinda?

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 2 วันที่ผ่านมา

      Aslay wa bongo wenyew waoga

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 2 วันที่ผ่านมา +14

    Tumsaidie jamani. Anafaaa aende jeshini❤❤. Kikubwa tumsaidie. Brother wetu mdogo wetu😢 ila alihamundulih. Umetoka salama

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 2 วันที่ผ่านมา +8

    Mungu tusahidie na watt wetu wa kiume kupata kazi ninngumu maskin wana pambana pole kijana wngu❤

  • @vero57
    @vero57 2 วันที่ผ่านมา +72

    Huyu apewe kazi ya jeshi

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 2 วันที่ผ่านมา +3

      😂😂 kwa sabab gan sasa kumwaga mchanga machon au

    • @MauaDumba
      @MauaDumba 2 วันที่ผ่านมา +8

      Ndio utaki au?au we ndio mtoa ajira

    • @JofreyMsigwa-ok7hv
      @JofreyMsigwa-ok7hv 2 วันที่ผ่านมา +4

      Et kama majaliwa😂

    • @JofreyMsigwa-ok7hv
      @JofreyMsigwa-ok7hv 2 วันที่ผ่านมา

      @@MauaDumba sijui

    • @shanimbaruku2071
      @shanimbaruku2071 2 วันที่ผ่านมา +6

      Ni shujaa na bado mdogo sana🎉

  • @user-gx4vx5ru2u
    @user-gx4vx5ru2u 2 วันที่ผ่านมา +7

    Hongera Sana shujaa hakika Mungu hajakuacha mkumbuke sana huyo Mungu aliekupigania maana hujapigana mwenyew Mungu atakupa pikipiki yako na ya tajiri pia

  • @MaryKalunde
    @MaryKalunde 2 วันที่ผ่านมา +4

    Pole dogo, pia hongera kwa kupambania roho yako

  • @SwabrinanurdhinSwabrinanurdhin
    @SwabrinanurdhinSwabrinanurdhin 2 วันที่ผ่านมา +7

    Mnge mficha sura hii nhatari kwakwel Allah akulinde babaa 🤲🤲

  • @JoycemsangiJoyce-go9su
    @JoycemsangiJoyce-go9su 2 วันที่ผ่านมา +13

    Kwakweli we ni daudi umemuweza goliati hongera sana kijana

  • @user-xh7xf2ki3r
    @user-xh7xf2ki3r 2 วันที่ผ่านมา +4

    Maa Shaa Allah hongera sana mdogo wangu kwa ujasiri pia pole kwa mashakil na iman utapata msaada kwa uwezo wa Allah

  • @Lanihsarumu
    @Lanihsarumu 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole Sana mtoto wetu mungu akulinde popote ulipo mwizi likaliwe na majoka na huyo alikimbia na boda boda afe Kama kifo kibaya nawe tajili TUNAKUOMBA msamehe mtoto Bado mdogo amejitahidi kupambana msamehe

  • @user-yk3we9vk6y
    @user-yk3we9vk6y 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu anakupenda sana kijana sifa na utukufu kwayesu tu

  • @GaudenciaMadirisha
    @GaudenciaMadirisha 2 วันที่ผ่านมา +14

    Aisee hongera kwa kuonyesha ushunjaa 🙏🙏🙏

  • @user-wr7wp9sl2p
    @user-wr7wp9sl2p 2 วันที่ผ่านมา +8

    Pole sana kijana....na hongera Kwa kupambania maisha yako

  • @nicastesha5986
    @nicastesha5986 2 วันที่ผ่านมา +3

    Pole sana dogo binadamu tunajali mali zaid ya utu ndicho alichokionesha uyo tajiri

  • @ndagabwenekusaya223
    @ndagabwenekusaya223 2 วันที่ผ่านมา +2

    Pole sana dingii ,askri anao wajue kupigana na ktu sio mwili ni mbwinu tu,na mbwinu zake kazitaja

  • @aishaabrahaman9957
    @aishaabrahaman9957 วันที่ผ่านมา +1

    Achana na iyo kazi dogo tafuta kazi nyingine 😊

  • @user-ne2zv8km3x
    @user-ne2zv8km3x 2 วันที่ผ่านมา +17

    Shujaa kapambania maisha..hongera sana. Mungu kakupa ujasiri.

    • @user-eu6ql9zl7n
      @user-eu6ql9zl7n 2 วันที่ผ่านมา +1

      Na kweli ni Mungu tu kampa ujasir

  • @godfreyelibarikilaizer6178
    @godfreyelibarikilaizer6178 2 วันที่ผ่านมา +7

    Pole sana hapa duniani hakuna alie salama hata asie na kitu lakini umepambana na ni msaada wa MUNGU tu hutabaki kama ulivyo wapo watakaosimama na wewe na utatoka kwenye shida pole

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 2 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu mwema hongera kwa ushindi huu mkubwa Mungu azidi kukulinda ❤❤❤

  • @mbwawafillingstation
    @mbwawafillingstation 2 วันที่ผ่านมา +2

    Pole kijana wangu wewe ni zaidi ya mjeshi. Mpeni nafasi jeshini huyu

  • @regybahati5986
    @regybahati5986 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uende kanisan ukasali Umshukuru Mungu, ujikite kwenye Sala usiku na mchana umwombe Mungu akulinde.

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 2 วันที่ผ่านมา +11

    Hongera sana,dogo! Umepambana kiume. Usijal kuhusu jino lililotoka.

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 2 วันที่ผ่านมา +11

    Boda boda washachoka hongera sana mdg angu mana mnauwawa sana wengine wanaacha watt" wadogo ona kama huyu n mdg sana" sana " miaka 19 ni mwanangu wa kwanza mtt anajitafutia lkn mnataka kumuua kisa pik pik jmn

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 2 วันที่ผ่านมา +4

      Sadkata wanawaonea kwa sababu ni wadogo ni mwanangu wa pili kwa kweli mibaba mizima haitaki kujituma kazi kuwakoromea watt wa wenziwao na huyo alieiba pikipiki huko aendako akapate ajali akose hiyo mali ya dhulma

    • @PaulinaSemindu-ob3de
      @PaulinaSemindu-ob3de 2 วันที่ผ่านมา +1

      @@FatimaAli-of4gh Yan huwa wanawaonea mno mno

    • @JohaDomi-bg5yh
      @JohaDomi-bg5yh วันที่ผ่านมา

      ​@@FatimaAli-of4gh😢

  • @isaselogistics7266
    @isaselogistics7266 2 วันที่ผ่านมา +16

    huyu kamanda sana apewe kaz jeshin

    • @ibraton4071
      @ibraton4071 2 วันที่ผ่านมา

      kabisa kamuua pekeake ahahahahaha

  • @user-pe1qv1sn5p
    @user-pe1qv1sn5p 2 วันที่ผ่านมา +5

    siri ya ushindi ni mungu kampa akili ya kupambana nakapata akili ya kutumia michanga mungu nimwema

  • @ChristopherCosmas
    @ChristopherCosmas 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daaa mungu akutie nguvu mdogo wangu na pole sana

  • @elinapetro7136
    @elinapetro7136 2 วันที่ผ่านมา +5

    Vijana wa chuga siowakuchezea mtoto mdogo lakini kapambana mungu atakusaidia utapata pikipiki nyingine namba tumeiona

  • @user-dq4ur9kk6h
    @user-dq4ur9kk6h 2 วันที่ผ่านมา

    Wewe kaka Mungu Akusaidie sana kwakweli duh
    Mungu Alikupa nguvu mpya Yaani siyo kwa uwezo wako mdogo wangu ni Mungu tu
    Usiache kumuomba Mungu Usiache Kumtumikia Mungu Usiache Kumshukuru Mungu

  • @longidasanare6816
    @longidasanare6816 วันที่ผ่านมา +1

    Mdogo wangu mungu bado ana haja na wewe

  • @jaharaoman6478
    @jaharaoman6478 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole sana Mwanangu Mungu Anakupenda

  • @user-hf5qq2qy4y
    @user-hf5qq2qy4y 2 วันที่ผ่านมา +1

    Pole sana dear, ashukuriwe Mungu alokuponya 🙏🙏🙏

  • @azzaalmalki41
    @azzaalmalki41 2 วันที่ผ่านมา +2

    Pole mwanangu na hongera kwa ukakamavu

  • @user-sn9yp3sc2f
    @user-sn9yp3sc2f 2 วันที่ผ่านมา +2

    Dogo hongeraa kwa kupambana,MUNGU awe nawe pukipiki utapata MUNGU yupo hamwachi mja wake

  • @amanlenatus9067
    @amanlenatus9067 2 วันที่ผ่านมา +5

    Uwe makini kwa atakae kupigia maana wabaya wako wamezipata namba zako

  • @SiaCollins
    @SiaCollins 2 วันที่ผ่านมา +3

    Big up kijana kwa ushujaa wako,,unekonesha wezi wa pikipiki

  • @JamesRichard-x8d
    @JamesRichard-x8d 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole kijana mungu akulinde

  • @JJKitomary
    @JJKitomary 2 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu kaka ni shujaa jamani afu Bado mdogo, umepambana sana mungu anakupenda sana siyo kazi rahisi.

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu ni mwema 🙏hongera kwa kupambana na pia pole. Uyo boss hawe na hofu ya Mungu hata kidogo 😢

  • @GeradinaJohn-xh8pw
    @GeradinaJohn-xh8pw วันที่ผ่านมา

    Cha muhimu uhai mengine sasa hayo ya tajiri sasa🙌🙌

  • @RoseGasto
    @RoseGasto 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu atakusaidia ni kijana mdogo ila kikubwa pumzi umetetea uwahi wako dah kuna watu umlikama wako wameshapata matukio haya nakupotez maisha na tulikuwa nao mtaani ila Kwa ss wameshakuwa marehem Kwa sbabu ya hao hao wezi wachomwe tu moto

  • @Sweetnaah
    @Sweetnaah 2 วันที่ผ่านมา +6

    Ila mngeficha sura ya huyu kijana kwa usalama wake jamani hamjui zamira ya yule alobaki 😢😢

    • @StellaWaillu
      @StellaWaillu 2 วันที่ผ่านมา +2

      Kweli kabisa, Mungu amlinde.

    • @Sweetnaah
      @Sweetnaah 2 วันที่ผ่านมา +3

      @@StellaWaillupia wangetumia hata namba nyingine kwenye kuchangia jamani yaani kijana hatarini sana kuwa makini

    • @StellaWaillu
      @StellaWaillu 2 วันที่ผ่านมา +1

      @@Sweetnaah Umeona ee!

    • @magrethmbuma3045
      @magrethmbuma3045 2 วันที่ผ่านมา +1

      Boss kuna kitu anacho😢Munguu atusaidie kwa kweeeli ubinadamu umeishaa uuwii

    • @magrethmbuma3045
      @magrethmbuma3045 2 วันที่ผ่านมา

      Yaaani wanaume wamaana wanashindwa kufanya kazi wanakaba watoto wadogo Jamanii

  • @barikimollel7890
    @barikimollel7890 2 วันที่ผ่านมา +1

    Pole Sana Dogo
    Simu ya Huyu alieuawa haijapatikana isaidie kuwasaka Hao wezi sugu😢

  • @Juke995
    @Juke995 2 วันที่ผ่านมา

    Huyo boss ana roho mbaya na hatofanikiwa 😢je kama angeuliwa huyo boda.......Unaweza kuwa mtu mkubwa ila haujui kupambana vitu viwili tofauti

  • @Bettylaizery
    @Bettylaizery วันที่ผ่านมา

    Pole sana majukumu kweli umepambana

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 2 วันที่ผ่านมา

    Pole sana mwanangu! Mungu anakupenda sn,wewe ni Shujaa,mwenye piki2 kuwa na huruma.

  • @pilisilakilawila5657
    @pilisilakilawila5657 วันที่ผ่านมา

    Unatakiwa upewe ulizi na mkubwa mapolisi akupe nyota kwakuwa umeweza kumuuwa jambazi ongera sana dogo.

  • @regybahati5986
    @regybahati5986 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tajiri usihofie Mali, Mali utapata tena, mwachilie kijana kweli Mungu atakubariki utapata tena. Usihofie pikipiki Yako mpya, ilikuwa mpya ndio maana walimfuata. Mwachilie huyo mtoto utafanikiwa zaidi.

  • @HamadBashir-bs5wo
    @HamadBashir-bs5wo 2 วันที่ผ่านมา +1

    Pole sanaa aisee du!

  • @naomikatharinaandrewmnkai6760
    @naomikatharinaandrewmnkai6760 2 วันที่ผ่านมา

    Hongera Sana kijana , your such a hero! 💪
    Walio tafsiri bible kwa kingereza na kiswahili wamekosea maneno mengi sana!
    Bible haijasema usiue ukisoma kiebrania inamaanisha "don't Mudder"
    Maana yake usiue bila sababu . Kwamba kama ilivyotokea kwa huyu kijana wangu alikua anatetea uhai wake hivyo hana kosa!
    Hongera sana kijana.
    MUNGU mbariki kijana
    Ibariki Israel 🇮🇱
    Ibariki Tanzania
    😂😂😂kijana ni zaidi ya jambazi 🙌😂💪

  • @hawaally3136
    @hawaally3136 วันที่ผ่านมา

    Daah chalii wa home pole sana mdogo wang

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 2 วันที่ผ่านมา

    Nmekubali goliati alikufa kwa nguvu za mwenyez mungu!! Allah akujalie upate Tena kwa wepes amen!!

  • @LamaribamJumbe
    @LamaribamJumbe 2 วันที่ผ่านมา

    Mmhh pole. Sana Mwananguuu kwa Mtihani uliokufika

  • @MsAisha-w4o
    @MsAisha-w4o 2 วันที่ผ่านมา

    Kijana anajua kujieleza ~maa shaa allah..mngu akujaalie afya njema..wezi sina hamu nao.

  • @user-qp4rz9ow5s
    @user-qp4rz9ow5s วันที่ผ่านมา

    Hongera kwa kupambania uhai wako

  • @hawasaid7151
    @hawasaid7151 2 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu boss hana utu kabisa angekuwa boda mwingine kuona panga tu angekimbia🏃 na kuacha pikpik lakn kijana wa watu mdogo kapambania pikipiki japo ilichukuliwa lakn kapambna mpaka dakka ili tu kuokoa usafir na uhai wake😢😢alafu unaenda kumfingulia kesi angekufa huyo ungemdai nan bas umpe hata muda wa kutafuta hio pesa unataka kulipwa haraka🙌

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hii dawa ya wizi ni nzuri wawe wanapewa tuu

  • @user-ok2mk8mh4j
    @user-ok2mk8mh4j วันที่ผ่านมา

    Mungu atakupa riziki polesana

  • @broodaquizo2510
    @broodaquizo2510 2 วันที่ผ่านมา

    Macho n mawe ndo Siri kubwa, aise pole Sana kijana

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr วันที่ผ่านมา

    Mtihani pole sana

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 วันที่ผ่านมา

    Kijana amejitahidi sana kwa kiwango cha juu ukilinganisha na umri wake apewe maua yake🎉🎉🎉na ametumia ujasiri wa hali ya juu na sana

  • @EstherKolowa
    @EstherKolowa วันที่ผ่านมา

    Hongera kijana

  • @user-qq6mv6vh3e
    @user-qq6mv6vh3e วันที่ผ่านมา

    Mungu akulinde kijana

  • @BethaJonathan
    @BethaJonathan 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole mdogo wng hakika Mungu ni mwema kila wakati lkn binadam jmn Mungu anatuona hivi ungekufa hyu tajiri angemdai nani 😂

  • @VictoriaMefya
    @VictoriaMefya 2 วันที่ผ่านมา +1

    😢😢😢😢nimelia mwee eti tajiri anipe bike nyingine nifunge kwa 15 tutakuchangia utapata

  • @dannywillson5874
    @dannywillson5874 2 วันที่ผ่านมา +2

    Huyo boss ni msenge anajali pikipik kukiko uzima wa mtu so angekufanya uyo dogo je angemdai

  • @SinemaZaChina
    @SinemaZaChina 2 วันที่ผ่านมา +2

    hongera Mungu amekuponya

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 2 วันที่ผ่านมา

      Tuletee mwendelezo wa sister

  • @JasminEddy-cc3tx
    @JasminEddy-cc3tx วันที่ผ่านมา

    Maskini Mungu akulinde kaka hao watu wanakuwaga na kundi wasije kukuwinda Tena kulipa kisasi

  • @emmanuelfari8924
    @emmanuelfari8924 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ni +MUNGU+ tu alisimama na akakuvusha🙌 +MUNGU+ ni MWEMA MILELE yote ISAYA 54:10🙏🙏🙌

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu Akusaidie kijana, Upate mfadhili,

  • @user-mi7cd8ch1b
    @user-mi7cd8ch1b 2 วันที่ผ่านมา

    Hu wizi bado upo jmn aisee pole sana mwanangu,vijana fanyeni kazi sio pow kuiba mari za watu

  • @MerryBaltazari-zv9gf
    @MerryBaltazari-zv9gf วันที่ผ่านมา

    Mungu nimkubwa ❤❤❤❤

  • @elizabethclement1017
    @elizabethclement1017 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole kijana Mungu bado anakusudi lako kubwa 😢😢

  • @user-bo5qp9gz8m
    @user-bo5qp9gz8m 2 วันที่ผ่านมา

    Duh hadi nasikia kulia ila tunamshukuru Mungu kwa kukuepusha na hili Mungu akupe njia ya kupata rizki

  • @josephjohnmbelwa4998
    @josephjohnmbelwa4998 2 วันที่ผ่านมา

    Hakika kama anavyosema ni sawa!Anastahili kuangaliwa na serikali yetu na kuingizwa jeshini!Shujaha huyu kijana!

  • @NyotaBalolane.
    @NyotaBalolane. วันที่ผ่านมา

    Mungu alikuwa upande wako usi ache ku mtukuza Mungu alikuteteya akakupa nguvu

  • @khamisikhamisi7225
    @khamisikhamisi7225 2 วันที่ผ่านมา

    Ushujaa amin mungu chaly wang ! ALLAH abarik uishi!

  • @JudithAdonis
    @JudithAdonis 2 วันที่ผ่านมา

    Pole sana na hongera kwa ujasiri
    But nimecheka ya kumfungulia kesi marehemu

  • @AnthonySindabaha-de3xb
    @AnthonySindabaha-de3xb 2 วันที่ผ่านมา

    Nyokaa umetisha sana..chuga hatokagi fala

  • @vero57
    @vero57 2 วันที่ผ่านมา +1

    Pole sana kaka

  • @MerryBashiru
    @MerryBashiru 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Napenda bodaboda walivyona umoja ila Tajiri awe na huruma jaman

  • @hawajohn749
    @hawajohn749 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu akutie nguvu na akuongoze na akufanyie wepesi Kila hatua

  • @rachelndaki5642
    @rachelndaki5642 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kiukweli tajili wahuyu charii kuwa na utu bas iv chukulia ni ndug yako ata mtoto wa kaka yako au mwanao kbs kuwa na huruma ALLAH hana sifa yakushindwa hasa ukiuamini kiukweli pole san charii

  • @user-bw1hs2nd8p
    @user-bw1hs2nd8p วันที่ผ่านมา

    Yote kwa yote,,,, Mungu ashukuriwe sana. Vile tu upo hai

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu amekuokoa mwanangu pole sana

  • @user-sp4jr4vw6t
    @user-sp4jr4vw6t 2 วันที่ผ่านมา

    Pole mwanangu huyu tajiri amsaidie huyu kijana jamani

  • @ZainaBu-zs6wc
    @ZainaBu-zs6wc 2 วันที่ผ่านมา +2

    Nikwer kiusalama usikubali kwenda kwa mtu yeyote uso mfaha

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 2 วันที่ผ่านมา

    Pole mwanangu nimejisikia vibaya jaman😢

  • @joyceraphael2586
    @joyceraphael2586 2 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana na pongezi kwako ww ni shujaa mwanangu

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mgemuekea giza usoni kwa usalama mana kaua kijana wa genge, pia namba ulizotoa pokea hela tu usimfuate yyte atakaekupigia kwa madai kukupa msaada

    • @Uwazionlinetz
      @Uwazionlinetz 2 วันที่ผ่านมา +1

      Rudia kumsikiliza vizuri utaelewa