Shinyanga, LISSU awaka kauli ya Rais SAMIA kunyamaza, afichua Mkataba mwingine wa waarabu

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 18

  • @classicmolinyo4011
    @classicmolinyo4011 10 หลายเดือนก่อน +1

    miaka 50 sijajawawa huyu mwamba atakuwepo lakin ametimiza wajibu

  • @thomasWeigama-ed5vn
    @thomasWeigama-ed5vn 10 หลายเดือนก่อน

    Tupo pamoja sana Lissu

  • @iddymkeamkea4034
    @iddymkeamkea4034 10 หลายเดือนก่อน

    Lisu mungu akulinde

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 10 หลายเดือนก่อน +1

    TZ kunanini jamani mbona watawala wanapendasana kubinafusisha malizetu kikatilikabisa leokunamakesi mahakama zakimataifa kwasabbu yamikataba yakulazimisha kitapeli tapeli

    • @dullahkalanjedullahkalanje1422
      @dullahkalanjedullahkalanje1422 10 หลายเดือนก่อน

      tatizo Tanzania tunawatetea sana wanyang'anyi na kiwapamba ujinga sana akuna kiongozi mzawa wa tanganyika alieuza bandari na maeneo ya misitu kama uyu kiongozi wa nchi

  • @user-yz4uc2kh2l
    @user-yz4uc2kh2l 10 หลายเดือนก่อน

    Nimeisikia iyo pamoja sana lisu

  • @josephjosephgeorge3195
    @josephjosephgeorge3195 10 หลายเดือนก่อน

    Kipindi kipi hicho,biashara gani hiyo mbona hii miujiza,bwawa la mwl Nyerere mbona huja dai mkataba

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 10 หลายเดือนก่อน

    TZ tumeangukiwa nakitukizitokwelikweli eemungu tusaidiye uwalinde wapendahaki , mikataba yamiaka yatisini imegharimu taifahili leo kwenye mahakama zakimataifa , jamani wafrika tunalaana gani hii??? ebufikilia.miaka sitini serikali yamaccm imebinafusisha vituvingisana lakini bado sisiraia hatujawahi faidika isipokuwa. Watawala tu, 16:08

  • @faidathomas2730
    @faidathomas2730 10 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ya ushonga tumeichoka tafuta tuhuma nyigine buro

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 10 หลายเดือนก่อน

      Hii kitu demokrasia acha tu sisi africa imeleta tu matatizo sasa fikiria mtz na mtz wanakua maadui,Hivi unaamini kabisa hilo la ushoga ni kweli haujui kama ni propaganda tu ama mbinu za wasiomtakia jema.Hujawahi kumsikiliza kauli yake mwenyewe kasema kwa tz suala la ushoga halikubaliki kwenye maadili na tamaduni zetu?ila ndiyi siasa zilivyo kama huzielewi aisee ndiyo kama hawa viongozi wetu ambao tunawaita wasomi lakini pamoja na usomi wao wameshindwa kuelewa kabisa nchi za Magharibi na mashirika yao ya fedha na misaada ni kuwapumbaza tu,nchi kama tanzania toka ianze kukopa na kusaidiwa mpaka leo ipo nyuma tu imepitwa na iran na korea ya kaskazini ambazo zimo kwenye vikwzo miaka zaidi ya 30.Ila utamsikia boya anasema bila mkopo hutoboi,keshamezeshwa na akaamini kabisa aisee ukitaka kumtawala mtu anza kwenye akili yake kabisa ndicho walichofanikiwa leo wenzetu wametuteka kiakili kiasi ambacho vya kwetu tunaviona vibaya mtu anachukia lugha yake anajiona akiongea lugha ya kigeni kama kingereza ndiyo wa kisasa aisee.walituweza acha tupigane wenyewe kwa wenyewe tu Africa ona wakongo leo nenda somalia nenda libia mhh.ni aibu

  • @johnmgeta4932
    @johnmgeta4932 10 หลายเดือนก่อน

    Hata wabunge wametukosea sana

  • @user-ef2zr4un2u
    @user-ef2zr4un2u หลายเดือนก่อน

    Acha dharau mpumbavu wewe msikiti na mama samia na upuuzi wako wakujaza vifuwa watu unamaana gani kuingiza nembo ya msikiti na tamaa za nafsi laaanakum

  • @jacobonaftari8082
    @jacobonaftari8082 10 หลายเดือนก่อน

    Sema ukweli tuko pamoja

  • @mtegochita8466
    @mtegochita8466 10 หลายเดือนก่อน

    Duuuuuh tutamkumbuka Sana magu

  • @dullahkalanjedullahkalanje1422
    @dullahkalanjedullahkalanje1422 10 หลายเดือนก่อน

    kiongozi wa nchi mbinafsi sana akuna anayemkubali kwetu

  • @youssefsanje8743
    @youssefsanje8743 10 หลายเดือนก่อน

    Kufa kunoga ukipewa nchi wewe si utajaza mashoga tanzania? Maana wewe ni kibaraka mtiifu wa waberigiji

    • @niazonbukoke1964
      @niazonbukoke1964 10 หลายเดือนก่อน +1

      Mbona unafirwa wewe pumbavu sana

    • @dionismutayoba3542
      @dionismutayoba3542 10 หลายเดือนก่อน

      @@niazonbukoke1964 Acha matusi jenga hoja