LISSU AKIWASHA MANYONI MASHARIKI, AZIDI KUWAJAZA UJASIRI, MAGETI KUGEUZWA KUNI, MICHANGO KUFUTWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 มิ.ย. 2024
  • #TANZANIA: Tundu Lissu akiwasha Manyoni Mashariki, azidi kuwajaza Wananchi ujasiri wa kuleta mabadiliko, mageti ya kugeuzwa kuni, michango kuondoshwa.
    Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE TH-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

ความคิดเห็น • 4

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 หลายเดือนก่อน

    Watz tufikiliye vizuri Huyu mh lissu nimupango wamungu kwahiyo sisiraia wrote tuunge juhudi zahuyu Malaika wabwanamwenye umbo la binadamu

  • @geraldgedi4657
    @geraldgedi4657 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ndo maana watu tunaonewa kwa sabbu ya kukosa maarifa

  • @user-ii2vm5vv1b
    @user-ii2vm5vv1b หลายเดือนก่อน

    Elieshi poul: Hata sisi wastaafu hatuna mtetesi, hiyo pensheni ukiichukua haifiki hata nyumbani

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 หลายเดือนก่อน

    Kunamusemo wamiaka yanyerere alisema Mali zatanzania zitaliwa nawajanja, kumbe Leo nimeelewa Maana yake,watz tunakobolewa mchanakweupe