WAKILI MWABUKUSI AKIWASHA TENA MKATABA WA BANDARI NA DP WORLD "SITISHWII NIMEKUBALI "

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2023
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    TH-cam : www.youtube.com/@kusagatv6320...
    Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

ความคิดเห็น • 213

  • @amos878
    @amos878 11 หลายเดือนก่อน +17

    Mzee endelea buruza hii mijizi sisi tuko pamoja nawe 👏👏👏👏🙌🙌🙌

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 11 หลายเดือนก่อน +9

    That is great, I'm sure God will always be with you.
    Mungu ibariki Tanzania

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 11 หลายเดือนก่อน +7

    UJASIRI WA KIFISADI.......WELL SAID ÒUŔ HERO

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 11 หลายเดือนก่อน +8

    Asante safi sana tuko pamoja kabisaaa

  • @bellahmushi6096
    @bellahmushi6096 11 หลายเดือนก่อน +9

    Kudos Mwabulusi. You are great. Watanganyila tumwombee wote

    • @pendokimathi99
      @pendokimathi99 11 หลายเดือนก่อน

      Mkombozi wa nchi yetu Magufuli ajayeeee uyu apa

  • @msongolehellen123
    @msongolehellen123 11 หลายเดือนก่อน +10

    Mungu awasimamie nakuwatetea watu wa,Mungu simameni ktk haki

  • @StevenGendo-vx9jo
    @StevenGendo-vx9jo 11 หลายเดือนก่อน +5

    Wewe niwakir msomi bwana nakukubar sana kwa maneno yako ya hekima na busara. Mungu awe nawe daima

  • @chegebukoli1914
    @chegebukoli1914 11 หลายเดือนก่อน +5

    Ni vizuri kutetea bandari zetu hakuna cha DPWorld hapa Tanzania ila wapo watu wamejificha ndani ya DPW hapa

  • @godfreydavid6996
    @godfreydavid6996 11 หลายเดือนก่อน +2

    We are proud of you brother, tuko pamoja legend.

  • @simonkenne6892
    @simonkenne6892 11 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana.....kiongozi....

  • @rahma6189
    @rahma6189 11 หลายเดือนก่อน +6

    Hongera baba Mungu akusimamie mzalende wetu

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 11 หลายเดือนก่อน +2

    Tumeruka mkojo ( bandari ya Bagamoyo) tumekanyaga mavi ( mkataba wa DPWorld)
    Mungu Akulinde Mheshimiwa.

  • @heliudjulias7748
    @heliudjulias7748 11 หลายเดือนก่อน +10

    Asante mwabukusi tupo pamoja hadi mwisho wa mkataba huu ufike hakika nipo tayari kufa maana hakuna umihimu wa kuishi kama sita kuwa huru

    • @fransiskamwinuka4750
      @fransiskamwinuka4750 11 หลายเดือนก่อน +3

      Mungu akusimamie kwa hili hakika unatumbania saba watanzania ila watanzania tuliowengi hatujitambui tunakoelekea tupo bendera fuata upepo. Swala la.Bandari tunalihusisha na dini ya uislamu akili mbovu kabisa. Mungu humkomboa mwanadamu kupitia vinywa vya watu . Tuko nyuma yako mtumishi wa Mungu. Unaongea ukweli mtupu. Hii nchi ina wajinga wengi sana wenye kukosa uelewa wa kujua madhara ya mikataba isiyokuwa na mashiko kama.huu wa.bandari.. Mungu sikia kilio.chetu nchi inakwenda kuangamia.

    • @brightergermanus2163
      @brightergermanus2163 11 หลายเดือนก่อน

      💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 SONGA MBELE HADIKIELEWEKE ,MUNGU ALIMWAMBIA MUSA SONGA MBELEE, NASI TUNASEMA MWABUKUSI NA WATETEZI WETU WOTE SONGA MBELE MUNGU YUPO PAMOJA NANYI HADI UKAMILIFU WA DAHARI KWA JINA LA YESU KRISTO AMIN AMIN

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@brightergermanus2163kasomge nyuma na wewe, alipo kua mahabusu ulienda, nyie ndo manafiki

  • @VailettyShigerla-fw2sg
    @VailettyShigerla-fw2sg 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mwabukus oyeeeeeee ❤❤❤❤❤❤❤

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 11 หลายเดือนก่อน +3

    Sema brother uko sahihi Mungu akulinde

  • @willibroadwilliam6798
    @willibroadwilliam6798 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda sana Mwabukusi unaongea point za msingi unasitaili kua Rais wa jamuhuli ya muungano naamini unaongea ukweli Niko tiari kukupigia kampeni asante.

  • @AW-vt9pw
    @AW-vt9pw 11 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana wacha Serikali ifanye uchunguzi wake ili ijiridhishe hata kama itachukua muda mrefu huna haki ya kuhoji

  • @omanbarka1588
    @omanbarka1588 11 หลายเดือนก่อน +5

    Hilo ni tatizo la polisi inawezekana mtu akakamatwa akalundikwa ndani bila kujua kosa lake na wala asiambiwe hili ni tatizo kubwa Sana tanzania

  • @bensenlukumai4691
    @bensenlukumai4691 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mwamba huyu apa ndi ndiiiiii😂😂😂😂😂🙏🙏😩😩

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 11 หลายเดือนก่อน +14

    Hamna mtu atakae waua Mungu yuko nanyi vitisho vimezidi tuko pamoja tunawaombea

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akulinde siku zote za maisha yako

  • @shabanadam4476
    @shabanadam4476 11 หลายเดือนก่อน +1

    M/MUNGU akunusuru na mataikun enough respect 🙏

  • @Gracemima
    @Gracemima 11 หลายเดือนก่อน +7

    Tanzania ni yetu WOTE na sio ya watu wachache

  • @ClemoohPeter
    @ClemoohPeter หลายเดือนก่อน

    Safi kabisa baba mungu ukutunze uenderee kupigania haki za wa toto wa taifa la kesho

  • @victorernest7702
    @victorernest7702 11 หลายเดือนก่อน

    Asanteni sana Wana mbeya,, najivunia kuzaliwa mkoa wangu wenye misimamo,, kajunjumele pambana tupo nawewe kwa kila hatua

  • @user-vs9jx3vu5y
    @user-vs9jx3vu5y 11 หลายเดือนก่อน

    Mh Mwabukusi ujumbe wako ni mzuri Sana. Tuko pamoja. Mungu atusimamie.

  • @user-pk7kx7dk7g
    @user-pk7kx7dk7g 11 หลายเดือนก่อน +1

    Tetea taifa lako mwambukusi big up brother

  • @francismwitumba5185
    @francismwitumba5185 11 หลายเดือนก่อน +5

    Pambana babaaaaa! Tuko nyuma yako!

  • @marialesulie6798
    @marialesulie6798 11 หลายเดือนก่อน

    Asante mwabukusi na mbatia kwa taarifa muhimu zinazotoa si mwanga na mwelekeo tu bali kufundisha ushujaa na ukakamavu kwa wananchi wote. Wengi wanajifunza toka kwenu

  • @micahlucky5613
    @micahlucky5613 11 หลายเดือนก่อน +1

    *_Hitaji kuu zaidi la ulimwengu ni hitaji la wanadamu - watu ambao hawatanunuliwa au kuuzwa, watu ambao ndani ya mioyo yao ni wa kweli na waaminifu, watu ambao hawaogopi kuita dhambi kwa jina lake sahihi, watu ambao dhamiri zao ni za kweli, waaminifu kwa wajibu kama ncha ya sindano, watu ambao watasimama kwa ajili ya haki ingawa mbingu zitaanguka._*

  • @abdallahnkrumah6237
    @abdallahnkrumah6237 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa Heshima Wananchi wa Mbeya wanastahili kukupa Nafasi ya kuwatumikia Kama MBUNGE WAO

  • @josephmwavangila1633
    @josephmwavangila1633 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wazo zuri halipigwi nyundo
    ....Uzalendo kwanza 💥
    Viva 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 vivaa

  • @charlesheswa2140
    @charlesheswa2140 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa kabisa.

  • @deusdedithsalvatory465
    @deusdedithsalvatory465 11 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu aendelee kuwasimamia, walimuua magufuli wakijua watakuwa huru kuuza urithi wetu sasa Mwenyezi Mungu anazidi kunyanyua watu wengi zaidi. ahsante mwambukusi maneno yako yataishi

  • @marialesulie6798
    @marialesulie6798 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe neno HAKI ni rahisi kulitamka lakini tafsiri na utekelezaji wake kumbe ni kama kupigana vita

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Hon Mwabukusi

  • @HemedHemed-qp2wt
    @HemedHemed-qp2wt 11 หลายเดือนก่อน

    Safi sana sasa tunauza mlima kilima njaro Wazanzibar oyeeeeee

  • @realmeamyna30
    @realmeamyna30 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ikumbuke Tanzania🙏

  • @user-cy6qf1kf8x
    @user-cy6qf1kf8x 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli uncle Magufuli ulisema tutakukumbuka.

  • @godfreydavid6996
    @godfreydavid6996 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ila bro ni mbabe hatari na nusu 😅😅

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 11 หลายเดือนก่อน +2

    Sema usiogope nyinyi ndiyo waokozi wetu.

  • @marialesulie6798
    @marialesulie6798 11 หลายเดือนก่อน +2

    Afrika yetu inajitahidi watu wengi kama hawa kwa manufaa ya future ya bara letu.

  • @juliustimon3794
    @juliustimon3794 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awape2 nguvu ya kusimama na kuongea muhimu za nchi

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wazarendo tupo pamoja nanyi. Mungu awasimamie sana

  • @magangakibella6895
    @magangakibella6895 11 หลายเดือนก่อน

    Siijui sheria ila unanielimisha sana mr. Mwambukusi ningekuwa karibu nawe ningesema tuko tayari nami kwa lolote si wewe bali mungu yu ndani yenu kutusemea wanyonge Mungu akubariki na aendelee kukusimamia aamina Nasimama nanyi katika sala ili msirudi nyuma

  • @user-zh8wg3lc4i
    @user-zh8wg3lc4i 11 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mwanaume acha hao Wazanzibari waende kwao. Mungu awabariki na awape nguvu na uhai.

  • @user-cy6qf1kf8x
    @user-cy6qf1kf8x 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana wakili uko vizuri Mu ngu asimame na wewe. Tuitetee bandari yetu kwani ni fahari yetu. Wajinga wachache wanataka kujinufaisha akiwamo Jakaya Kikwete na mashoga yake.

  • @marialesulie6798
    @marialesulie6798 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani hiki kikampuni kidogo cha dpw ndicho kinatusunbua hivi kweli?
    Are we okay? Really?
    Please let’s think again and again. Tuwe makini wote

  • @PauloLeonard-ol5oo
    @PauloLeonard-ol5oo 11 หลายเดือนก่อน +2

    Zitapigwa kavu au na glove we are no longer fool.

  • @user-fc9ro5fh9m
    @user-fc9ro5fh9m 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa kabisa.hakuna kukimbia wala mpaka ccm ife,tunaandamana sikugani

  • @user-ct6jd3kl9l
    @user-ct6jd3kl9l 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awe nawe

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 11 หลายเดือนก่อน +1

    RIP Magu. Kama angekuwepo haya yasingekuwepo.

  • @RachealMndambi-kv9sd
    @RachealMndambi-kv9sd 11 หลายเดือนก่อน +1

    NAKUPENDA SANA WEWE KAKA.MUNGU AWE NANYI NYOTE MNAOSIMAMA KUTETEA MALI NA HAKI ZA WATANGANYIKA.MUNGU AWATIE NGUVU NA ULINZI

  • @HamadyMickdady-wn7fn
    @HamadyMickdady-wn7fn 11 หลายเดือนก่อน +3

    Vija kuweni makini vijana. Kikiwa wote hao watapanda ndege nafamilia zao. Njooni Bukavu muone. Taadhari chukuwa hatuwa

    • @amanilucy
      @amanilucy 11 หลายเดือนก่อน

      Atasis tutapanda ndege

    • @omaryyusuph7877
      @omaryyusuph7877 11 หลายเดือนก่อน

      Acheni woga unashindwa kutetea nchi yako kisa unaogopa kufa utaishi milele ni bora kufa kutetea vizazi vijacho.

  • @Bikhafija
    @Bikhafija 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amina yarab

  • @pendokimathi99
    @pendokimathi99 11 หลายเดือนก่อน

    Amina baba

  • @sophiaandrew9230
    @sophiaandrew9230 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wasikutishe hao nimependa sana wewe na mbalikiwa najivunia najua kitaeleweka tuu

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 11 หลายเดือนก่อน +3

    Bandari zoote na corridors bila ukomo!!? Na reli tena!!? Madini yote yameuzwa!, gas tumegawa!,mbuga za wanyama tumegawa!, kifuatacho sasa ni bandari zote na Tanesco!!? Wananchi tukihoji tunakamatwa tuuawe kama Wahaini na serikali ya watawala wachache wenye uchu,ubinafsi,na roho mbaya! HAPANA! HAPANA! HAPANA!

    • @fredyvahaye126
      @fredyvahaye126 11 หลายเดือนก่อน

      Kaka hivi umesoma kidugala

    • @rahelpaul3079
      @rahelpaul3079 11 หลายเดือนก่อน

      Bado kuuzwa kuwa watumwa.

  • @sophiaandrew9230
    @sophiaandrew9230 11 หลายเดือนก่อน +1

    Tusemee wewe baba labda watasikia sisi tulio chini sauti zetu haziwezi kuwafikia walio juu piga kelele usiache Mungu yuko pamoja nawe hupambanii maslahi yako mwenyewe

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 11 หลายเดือนก่อน +2

    💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻

  • @user-mq9dx3fq1r
    @user-mq9dx3fq1r 11 หลายเดือนก่อน +2

    Tunaomba namna ya kufanya TUNAHAM SANA NA UHURU WA TANGANYIKA tupotayar kuipambania TANGANYIKA yetu

  • @marialesulie6798
    @marialesulie6798 11 หลายเดือนก่อน

    Waraka wa maaskofu umepigilia msumari. Umeongea mhuri wa moto. Mungu wetu asante kwa kutufungua macho kupitia waraka huo.

  • @deogratiusonesmo793
    @deogratiusonesmo793 11 หลายเดือนก่อน +1

  • @marialesulie6798
    @marialesulie6798 11 หลายเดือนก่อน +1

    Natamani kila mtu angeelewa sheria

  • @marialesulie6798
    @marialesulie6798 11 หลายเดือนก่อน

    Hii kipengele cha kutaka kubadili vipengele kwenye sheria ili kuendana na mkataba wenye utata na mashaka si kitendo cha hekima wala busara. Hiyo si afya kwa taifa na hakifundishi kutili wala Kulinda sheria za nchi in the future.

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 11 หลายเดือนก่อน +1

    Number Maghu aliacha mizizi take endelea kuwaleta waking Maghu wengine. Maana unatengeneza Njia passport kua na Njia. Hakika wewe ni Jehovah Muumbaji Wetu.

  • @user-ds3yb2ft9f
    @user-ds3yb2ft9f 11 หลายเดือนก่อน +4

    Bwana yesu awalinde wote mnaotetea nchi yetu tunawaombea

  • @user-fc9ro5fh9m
    @user-fc9ro5fh9m 11 หลายเดือนก่อน +1

    Umesema kweli,tunataka tanganyika tualikie maandamano,

  • @Bikhafija
    @Bikhafija 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ubaguzi ubaguzi ubaguzi ata huu mkataba umebagua kwann tanganyika ??? Jamani tumechoka sana

  • @marialesulie6798
    @marialesulie6798 11 หลายเดือนก่อน

    Kama mawakili na watu wengine wangesimama imara kutetea sheria na maslahi ya taifa kwa uthubutu kama huyu wakili mwabukusi kweli nchi hii ingefika mbali sana. Tungeheshimika duniani na tungekuwa mfano kwa nchi nyingine barani afrika.

  • @ayoubmwanawima1820
    @ayoubmwanawima1820 11 หลายเดือนก่อน

    Hakika taifa linaitaji watu kama hawa mungu akulinde

  • @Gracemima
    @Gracemima 11 หลายเดือนก่อน +1

    Tuko pamoja baba.

  • @ShedrackFchirstian
    @ShedrackFchirstian 11 หลายเดือนก่อน +1

    kiukweri ingekuwa unaongea pumba ungeshugulikiwa ila nafsi zao zinawasuta

  • @oscarlaizer1337
    @oscarlaizer1337 11 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @siamuchunguzi
    @siamuchunguzi 11 หลายเดือนก่อน

    Tunafunga na kuomba kwa ajili yako mwamba mwabukusi, kusudi la Mungu litasimama tu

  • @erastomadary2891
    @erastomadary2891 11 หลายเดือนก่อน

    Uko vzr kaka

  • @danielsaruni872
    @danielsaruni872 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pongezi kubwa kwako mwabukusi

  • @marialesulie6798
    @marialesulie6798 11 หลายเดือนก่อน

    Kweli kutolewa kwenye umiliki wa duka la babako na kugeuzwa kuwa mfanyakazi hapo si ujanja bali uzuzu mtupu. Hiyo ni Kutokufikiria mbali

  • @user-uk3eg3uo7s
    @user-uk3eg3uo7s 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atasimama kututetea maskini wa nchi hii dhidi ya wanyonyaji na mafisadi waliotumaliza bila haya alafu wengine wanatudhiaki majukwaani kama cici wajinga.

  • @Bikhafija
    @Bikhafija 11 หลายเดือนก่อน +5

    Udin udin kuna udini hapa kwenye haya maonngezi mkome kuzua kwenye mambo sialaz

    • @verdianabanabi2205
      @verdianabanabi2205 11 หลายเดือนก่อน

      Watu wengine wanaegamia udini udini hawajui kwamba tutarudi kuwa watumwa wa waarabu. Hatutaki hatutakiiiiiiiii

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu baba anaeleweka asilimia 1000 nashangaaa sana watanzania hawashituki kuwatoa madalakani viongozi wachache hao wajiuzulu hawafai maana hawana maslahi mapana ya nchi kabisa sijui wamelogwa na nani

  • @nelsonmgeni9060
    @nelsonmgeni9060 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu awe pamoja nanyi tunawaombea tupate wapi Mtu kama huyu.?

  • @user-ku6tw7sm1q
    @user-ku6tw7sm1q 11 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba, kila utakapo zungumzia suala la DP world uweke na mkazo mbuga zetu zilizotolewa kwa wageni zirudishwe na wamasai walioondolewa huko warudishwe kwani walikuwa ni sehemu ya utalii. Binadamu Kukaa na wanyama wakali bila kudhuriana. Wamasai hawakuulizwa Bali waliburuzwa tu na kuondolewa Hulu wengine wakiuawa, na wengine kupewa majeraha makubwa.

  • @marialesulie6798
    @marialesulie6798 11 หลายเดือนก่อน

    Taifa letu mbele kwanza wengine badaye. Rasilimali zetu mbele kwanza mengine badaye

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 11 หลายเดือนก่อน

    Wamepokea marushwa yakitapeli SASA wanahaha hawana jinsizaidi ya kugandamiza sauti zenyewatuwapigania haki, lakini hawanapakujificha tena

  • @ahmedsalum4809
    @ahmedsalum4809 11 หลายเดือนก่อน

    Wee kilaza misifa wee masilahi2

  • @Ibnimohd-tr6qc
    @Ibnimohd-tr6qc 11 หลายเดือนก่อน

    Hapa nimekuelewa kua Rasilimali za Tanganyika zishuhulikiwe na Tanganyika !! Suali kwani hakuna muungano????

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji Mtikila is back😂

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 11 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nurdinahmed9063
    @nurdinahmed9063 11 หลายเดือนก่อน

    Uonevu wa viongozi wa polisi Mungu anawaona

  • @marialesulie6798
    @marialesulie6798 11 หลายเดือนก่อน

    Mikataba ndiyo ifuate sheria zilizopo na siyo sheria zibadilishwe kufuata mikataba. Zitabadilishwa sheria ngapi?
    Lazima tuwe na misimamo na utii wa sheria zilizowekwa

  • @yonazimpombe1160
    @yonazimpombe1160 10 หลายเดือนก่อน

    WALIOTUFISADI KWENYE UMEME richmond na dowans NDIO HAO HAO WANAOVUNA GAS YETU NA SASA WANATAKA KUINGIA BANDARINI

  • @mkebezimlokozi2825
    @mkebezimlokozi2825 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ogera baba wewe ndiye msomi tunayekutegeme

  • @fanuelruhaga2960
    @fanuelruhaga2960 11 หลายเดือนก่อน

    Kumbukeni juu ya butcher 2013 mtafaruku was uislaam na ukristo waislaam wakimlaumu Kikwete wakiwa kanisa la kwa mtoro wakisema uislaam ushike dola nchi nzima walijibiwa siyo haraka kwa namna hiyo iko sk itafika watanzania tanganyika litafakarini

  • @kasiankillo6949
    @kasiankillo6949 2 หลายเดือนก่อน

    Mwabukusi asiyeelewa basi ni kiburi tu cha Madawaska lakini unasema kweli

  • @omanbarka1588
    @omanbarka1588 11 หลายเดือนก่อน +2

    Wapo wajinga huku nnje wanatangaza udini Tu sijui inaingilianaje hii

    • @janetmutashubilwa3041
      @janetmutashubilwa3041 11 หลายเดือนก่อน

      Hawa wenye udini ninawaambia huu mkataba uende Zanzibar kwanza anapotoka kama kweli hili ni dili

  • @TradersEasyWay
    @TradersEasyWay 11 หลายเดือนก่อน

    wataodoka nae huyu ata onekana tena maana si kwa kichambo hiko anachotoa!

  • @janetmutashubilwa3041
    @janetmutashubilwa3041 11 หลายเดือนก่อน

    Loliondo ndio ishaondoka poleni WAMASAI

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 11 หลายเดือนก่อน

    uripo 2po mh samia atakufa kabla ya 20025 tanganyika inakuja tunaitaka kwa lazima tu mh hana dini wala huruma kwa wa tanganyika yeye mzanzibar sio mtanganyika aje kuniua na mimi niende peponi duniani tz moto

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 11 หลายเดือนก่อน

    Elimu ya uzalendo Mali na madini zetu ifundishwe mashuleni. Elimu mpya itolewe kwa jeshi la Polisi ili wakuu ni nini wajibu na sheria zipo Vipi. Watu mid sheria kutekeleza kazi zao. Na si amri ambayo haipo kisheria na kikatiba

  • @AW-vt9pw
    @AW-vt9pw 11 หลายเดือนก่อน

    Wewe be relax. Utapatwa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo.