ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

Vijana wa Bodaboda waufunga Mji wa ARUSHA kwa fujo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 10

  • @emanuelyngailo6807
    @emanuelyngailo6807 23 วันที่ผ่านมา +1

    Na uchumi mwingine ni kukatika miguu hongera mkuu wa mkoa

  • @shaurimtanda8285
    @shaurimtanda8285 20 วันที่ผ่านมา

    wapimwe mkojo kwanza kabla ya kushiriki

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka 23 วันที่ผ่านมา

    Daaah million kumi watauana apo Road

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 22 วันที่ผ่านมา

    Madoktar mjiandae kupokea vijana waliokatika miguu 😅😅😅😅 na hizo pesa watakazo pewa mtu mshindi anatoa nani mfukoni??

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 23 วันที่ผ่านมา

    Kila kitu kimekuwa siasa

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 20 วันที่ผ่านมา

    Heading yako mbovu kabisa dogo wacha kupotosha umma not good

  • @JosephM.meiliari
    @JosephM.meiliari 22 วันที่ผ่านมา

    Je serikali imetathmini madhara ya mashindano hayo?mm naona wengi wataumia kwa hivyo vichwa navyoviona hapo.mm nipo pale nasubiria matokeo

    • @stephenmsanzu9850
      @stephenmsanzu9850 22 วันที่ผ่านมา

      Wewe Wacha hiza kwa Jana rpc alivyo sema Kuna dakitari,ulikuwa uko wapi

    • @ngoshakulwa8348
      @ngoshakulwa8348 22 วันที่ผ่านมา

      Madaktari watafanya nini kama wakifa? Wapimwe kwanza afya ya akili kabla ya kushiriki​@@stephenmsanzu9850

    • @Nick16697
      @Nick16697 20 วันที่ผ่านมา

      Mashindano yameisha, twambie wameumia wangapi?