Mbowe Azungumzia Waraka wa Maaskofu Juu ya Bandari. Ashusha Nondo Zingine, Apangua Hoja za Udini

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2023
  • Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2023 © All Rights Reserved.

ความคิดเห็น • 111

  • @likimaro6
    @likimaro6 11 หลายเดือนก่อน +5

    Kwa haya nisikiayo, kama huu mkataba hautapigwa chini ama kurekebishwa, basi kama nchi tutakuwa mahali pabaya sana

  • @victorsamaytu3487
    @victorsamaytu3487 11 หลายเดือนก่อน +3

    Sema mwamba Mbowe nakukubali kinomaa

  • @hosianamosha389
    @hosianamosha389 11 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂😂😂 Mangi unasababisha nichukie mtumba😂😂😂

  • @Ibnimohd-tr6qc
    @Ibnimohd-tr6qc 11 หลายเดือนก่อน

    Hao tena wamekuwepo!!! Kila leo bandari bandari! Lkn mama ata habar hana !! Mtendaj haneni bali ni vitendo!!! Ahsante mama!!!

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 11 หลายเดือนก่อน +1

    People's power

  • @ThomasMwinuka-kg5kz
    @ThomasMwinuka-kg5kz 11 หลายเดือนก่อน

    Sema baba wanataka mpaka sijui nyerere aamke huko aliko ndowaasikie Mimi siwaelew hawa watu watu waccm mungu ingilia kati hili swala LA bandar

  • @user-bk7so9dz9o
    @user-bk7so9dz9o 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kama ndivyo mambo mazito haya🎉

  • @prospermalala6636
    @prospermalala6636 11 หลายเดือนก่อน +1

    Elimisha jamiii ielewe kinachojiri nchini kwetu Tanzania, CCM wameziba masikio yao kujifanya mabubu Kwa ajili ufisadi haramu wa bandari, wanatokea wanasheria wakubwa walioelimika kuhusu Sheria zetu wamejitolea kuielimisha jamiii ielewe kinachojiri nchini kwetu lkn CCM wameziba masikio, mababu,vipofu, kusema ukweli CCM hawataki kabisa, wameamua kutumia nguvu kubwa kuuutetea uovu huuuu haramu, wa bandari unaofanywa na CCM

  • @charlesally6028
    @charlesally6028 11 หลายเดือนก่อน +1

    Viongozi wa ccm Wana angamia kwa kukosa maarifa 👫👫👬

  • @magembekisabo9632
    @magembekisabo9632 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa tungekuwa na Katiba alitakiwa kuwa Ikulu kabisa

  • @user-su2qv6gi6k
    @user-su2qv6gi6k 11 หลายเดือนก่อน

    😢

  • @pendokimathi99
    @pendokimathi99 11 หลายเดือนก่อน +2

    Akuna wakutugawanya na atatokea ila DP world atuwatakiiiiiiiiii

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 11 หลายเดือนก่อน

    ✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️

  • @janetmutashubilwa3041
    @janetmutashubilwa3041 11 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo la TZ uswahili mwingu

  • @user-do5nk9up1k
    @user-do5nk9up1k 11 หลายเดือนก่อน +3

    Tumwombe Mungu atusaidie

    • @noahemanuel7015
      @noahemanuel7015 11 หลายเดือนก่อน

      Wanaosain mikataba tunacheka nao hala Mungu aje atusaidie aisee sisi tunafanya nin

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 11 หลายเดือนก่อน +2

    Dah kwa hapo wameyakanyaga

  • @aminasaid6555
    @aminasaid6555 11 หลายเดือนก่อน

    Nyie huwa hamridhiki hata mpewe Dunia hamna jema

  • @user-tp9zi5jm1v
    @user-tp9zi5jm1v 11 หลายเดือนก่อน +2

    Bando sana hata kama wamechukua bado hatjaridhia watanzania

  • @saidabdala4980
    @saidabdala4980 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mbowe MWARABU .atakuchukuliiya mkeo 😂😂

  • @hatibuyusufu4668
    @hatibuyusufu4668 11 หลายเดือนก่อน +2

    Tunawashangaa CHADEMA kuwatetea watuhumiwa wa ubadhirifu na ukwepaji wa Kodi Bandalini , kwasababu zama za Mjomba magezeti yalilipoti kua KANISA KATOLIKI limeusika na wizi ,lakini Mjomba hakuchua dhidi Yao Bali yeye Alibaba tu,Sasa munawatetea vipi hamuoni Muna kichafua Chama chenu

    • @bahatidamiani561
      @bahatidamiani561 11 หลายเดือนก่อน

      Sikia waarabu mkataba na Tz hakuna kikomo na hatujui Taifa linapata kiasi gani, na wanachukua Bandar zote za Tanganyika kwa nini za Zanzibar hamna hata moja ?

    • @user-gc1ez1yv4k
      @user-gc1ez1yv4k 11 หลายเดือนก่อน

      Akina Hatibu Yusuph.Wapisheni wenye uelewa watupe elimu.Wewe Hata elimu wamekunyima.huna unachojua watu wanazungumzi BANDARI wewe unazungumzia BANDALI.Ndiyo uje we ndiyo mizigo ya ccm.

    • @othmarluwawilo8308
      @othmarluwawilo8308 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@bahatidamiani561acha unafiki

    • @costantineenock5323
      @costantineenock5323 11 หลายเดือนก่อน

      Shida ni moja tu kwa wabongo tunaenda moja kwa moja kwenye udini. Ebu tuwe watu wa kupambanua vitu kwa upana wake.

    • @hatibuyusufu4668
      @hatibuyusufu4668 11 หลายเดือนก่อน

      Hoja vipi CHADEMA kuwatetea watuhumiwa wa ubadhirifu ambao ni KANISA KATOLIKI hii imekaaje?

  • @aloyceshangali9894
    @aloyceshangali9894 11 หลายเดือนก่อน +1

    Eeee Mungu inusuru nchi yangu na vipofu wenye macho na meno

    • @pendokimathi99
      @pendokimathi99 11 หลายเดือนก่อน

      Mungu afunike viongozi wetu hawa na awaangamize watawala ata kwa moto usiojulika amlinde mboweeee mileleeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @user-lz2fd6hn3g
    @user-lz2fd6hn3g 11 หลายเดือนก่อน

    Hakuna muislam anapinga huo mkataba mnawaongopea wananchi waislam wanaupa dole❤ nanyinyi katafuteni mtu wavatkan mumpe Moshi mumuuzie

    • @richardbegga6679
      @richardbegga6679 11 หลายเดือนก่อน +1

      ACHA UJINGA 😂😂 wenzio wanaenda Shule ww unahangaika na Madrasa ona sasa ulivyo Mjinga hata hujui ulisemalo

    • @reginaldhhayuma6907
      @reginaldhhayuma6907 11 หลายเดือนก่อน +1

      Wataupingaje wakati hawauelewi mkataba wenyewe.. Hayo ndo madhara ya kutokusoma.Pelekeni watoto shule

  • @Bikhafija
    @Bikhafija 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mwezangu halina dini hili suala

  • @danielsaruni872
    @danielsaruni872 11 หลายเดือนก่อน

    Tumeuza na serikali ya wezi ccm

  • @saimonjohnsumley9198
    @saimonjohnsumley9198 11 หลายเดือนก่อน

    Devide and rule

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 11 หลายเดือนก่อน

    Sema ukweli baba

  • @user-zs9mi7jl8j
    @user-zs9mi7jl8j 11 หลายเดือนก่อน +5

    Mwamba story ya mitumba Haina afya wazungu ulaya wanavaa mitumba. Maduka kila Kona.

    • @kisangageorgethomasi2830
      @kisangageorgethomasi2830 11 หลายเดือนก่อน +1

      Kwaio unaunga mkono ujinga wa mitumba kisa ulaya wanavaa umefanya tathmini ukajua niwatu watabakagani

    • @orestsanga6294
      @orestsanga6294 11 หลายเดือนก่อน

      Mitumba ulaya ni kwaajili ya maskini waliopo ulaya

    • @user-zs9mi7jl8j
      @user-zs9mi7jl8j 11 หลายเดือนก่อน

      @@orestsanga6294 is not true bro.
      Mitumba ni kama unavyonunua sim iliyotumika tandika. Just try to squeeze yo budget haimaanishi wwe ni masking.
      Watu wanatengeneza zaidi ya usd $ 50, 000 a year na wanashop mitumba.
      Mwambieni mwamba hii story ya mitumba na Ile ya bodaboda haina afya

  • @janetmutashubilwa3041
    @janetmutashubilwa3041 11 หลายเดือนก่อน

    BARICK

  • @swahibal-karama145
    @swahibal-karama145 11 หลายเดือนก่อน

    @all
    HAWA HAWANA JAMBO LA MAANA TAYARI WASHAJIONESHA KUEGEMEA KTK UDINI UPANDE WA KANISA NDIO MAANA WAO NA KANISA KATOLIKI NA VIONGOZI WA KATOLIKI NI KITU KIMOJA:

    • @shadymoses5813
      @shadymoses5813 11 หลายเดือนก่อน

      Cha msingi kuna makundi mawili tu, Wanaokubali na wanaopinga mkataba, so kama Kanisa limeona haufai,kimantiki linakuwa upande mmoja na wengine wote wanaopinga Chukua hiyo!

  • @omaryjumas6327
    @omaryjumas6327 11 หลายเดือนก่อน +2

    Chadema wameona Watanganyika hawawapendi waarabu kwa kasumba ya biashara ya utumwa, wakati wakati wa biashara ya utumwa waarabu walikuwa chini ya Muingereza na ndiye aliyekuwa akiwatuma.
    Hivyo wanabeba ajenda ya uarabu kama ni turufu ya kutafuta uungwaji mkono wa chama chao.
    Kuhusu udini, Chadema ni chama cha Kanisa angalieni hao viongozi wao wote wakuu wa Tanzania bara Muislamu ni nani?

    • @MACHOYATAI-jk6fu
      @MACHOYATAI-jk6fu 11 หลายเดือนก่อน

      Na zanziba kiongozi gani ni mkiristo?

    • @lilianchuwa4324
      @lilianchuwa4324 11 หลายเดือนก่อน

      Waislam kuweni na hoja senye maashiko basi jaman

    • @omaryjumas6327
      @omaryjumas6327 11 หลายเดือนก่อน

      @@lilianchuwa4324 Kaangalie orodha ya waliokuwa wabunge wa Chadema 2015 - 2020 asilimia 98% walikuwa Wakristo, kulikoni?

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 11 หลายเดือนก่อน

      MZEEE MPAKO KASEMA UKWELI CHADEMA CHAMA CHA WAKATOLIKI MAFIAS WALIOKUWA WANAINGIZA SILAHA KUPITIA BANDARI YETU NDIO MAANA MAASKOFU WANALIA KWA JINA LA PAPA 😂😂😂😂😂

    • @user-xu3dx7vv8w
      @user-xu3dx7vv8w 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@omaryjumas6327maeneo waliyotokea wakristo ni wengi CCM ilishinda sehemu zenye waislam wengi kama Tanga Lindi mtwara pwani kondoa nk

  • @ThomasMwinuka-kg5kz
    @ThomasMwinuka-kg5kz 11 หลายเดือนก่อน

    Kamanda unafaa uwe ikulu huyo waikulu amemuweka nani makamanda yupo pamoja naamini kunasku hata mawe yataongea kuhusu bandar

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 11 หลายเดือนก่อน

    Wasitulazimishe mkataba mubovu wakati ss hautufai

  • @ssam3385
    @ssam3385 11 หลายเดือนก่อน

    Kumbukeni alivyongea ndugai km tutauzwa ndo hy sasa

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 11 หลายเดือนก่อน +3

    Katika hili, tutakuwa pamoja mpaka mwisho.

  • @rjunior1086
    @rjunior1086 11 หลายเดือนก่อน

    Mareham haongelewag vibay mnafel xn

  • @janetmutashubilwa3041
    @janetmutashubilwa3041 11 หลายเดือนก่อน

    Nchi ya wababaishaji

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 11 หลายเดือนก่อน +2

    CHADEMA CHAMA CHA WAKATOLIKI NA WANAFIKI NA WAHUNI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @officialkinghimself2637
      @officialkinghimself2637 11 หลายเดือนก่อน

      Mnafiki huyo kuma alokuzaa unatetea usenge familia nzima nyie wote ni ma kufa fala wewe

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 11 หลายเดือนก่อน

      @@officialkinghimself2637 ANDIKA WARAKA WACHA MATUSI 🥵🥵🥵🥵🥵

    • @user-yb2xn8ov9h
      @user-yb2xn8ov9h 11 หลายเดือนก่อน

      Mhhhh acha kuzungumza usichokijua

    • @NgambilabalinziBaliguluk-os3ln
      @NgambilabalinziBaliguluk-os3ln 11 หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo Elimu haipo sio wewe
      Haya Yako juu Ya uwezo wako
      Ndomaana wenye kujua madhara washatoa waraka wao kuitahadharisha serikali

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 11 หลายเดือนก่อน

      @@NgambilabalinziBaliguluk-os3ln CHADEMA NA TEC NI WAHUNI TU 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @iliasshija4536
    @iliasshija4536 11 หลายเดือนก่อน

    hao akili zao matope wanauza ichi

  • @thobiasmasabile-cw9xo
    @thobiasmasabile-cw9xo 11 หลายเดือนก่อน

    Shida ya ccm imesha kufa Sasa wancho kitaka walitaka ife na Mali zataifa Sasa dili, imefichuka wanatapatapa sana ndo mana Wana tumia hata pesa kununuwa watu mashehe na kina mze waupako ilinwaseme ni mkataba halali, kumbe hawajui kama tumesha usoma na tumeuona vizuli Sasa watanzania hatunganyiki Tena na Wana ccm walasimu wezi wakubwa kabisa, mdawao wakuondoka umefika sasa

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 11 หลายเดือนก่อน

      Kiufupi tu ww ndyo umekufa

  • @user-lz2fd6hn3g
    @user-lz2fd6hn3g 11 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi niwadini tu hakuna lolote msiwazuge wananchi

    • @NgambilabalinziBaliguluk-os3ln
      @NgambilabalinziBaliguluk-os3ln 11 หลายเดือนก่อน +3

      Tatizo Elimu Kama huna shule utaona mkataba hauna shida Ila ukijua utagombana nawatu

  • @damymzuri9989
    @damymzuri9989 11 หลายเดือนก่อน

    Niko tyr kulipa gharama

  • @user-gt4dj7vr6d
    @user-gt4dj7vr6d 11 หลายเดือนก่อน

    Ninyi hamna chochote wala ajenda hamna kabisa mkataba nisafi sana wanainchi wanautaka ispokuwa wa dini wa kkiristo tu , hatuna mkataba na wakiristo wala tec hapana watanzania wanamkataba na serikali na civinginevyo

    • @aminimushi6945
      @aminimushi6945 11 หลายเดือนก่อน

      Umeamua kujitumbukiza kwenye ujinga?pole.

  • @user-lz2fd6hn3g
    @user-lz2fd6hn3g 11 หลายเดือนก่อน

    Mwalabu atachukua tu nyinyi bwekeni Kama mabweha hamta ziwia Jambo lenye manufaa nawatanzani tafuteni Sela zakuzungumza Kama hamna Basi kaleni miguluwe yenu

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 11 หลายเดือนก่อน

    Mwenyekiti mzima unakuwa mzushi na uwongo .mnafiki mkubwa Mbowe .Mkataba ndiyo Sera yakuuingusha CCM kweli.Mbona hu semi kuwa we we umerithi chama chako kutoka kwa mkwe wako mzee Mtei.Hakuna lolote wewe Mganga njaa,tu.umeripwa pesa zaruzuku zawabunge umekaa,kimya.Mbowe nitapeli Sana.

  • @maase2023
    @maase2023 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu mbowe ni wale wale wakatoliki tu!

  • @brunokimaro1053
    @brunokimaro1053 11 หลายเดือนก่อน

    Kazi iendelee
    th-cam.com/video/R78Av_uiBxg/w-d-xo.html

  • @magembekisabo9632
    @magembekisabo9632 11 หลายเดือนก่อน

    Mwamba

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 11 หลายเดือนก่อน

    Uwizi mtupu

  • @solomoneglesias9752
    @solomoneglesias9752 11 หลายเดือนก่อน

    Yaaaani bado kuuza CCM yenyewe wakimaliza watajiuza tuu🤣🤣🤣

  • @mzarendo.com9624
    @mzarendo.com9624 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamba huyooo !!! Tantalaaa !!! Tantalaaa !!!
    😂😂😅😅😅😂😂

  • @hssanrubota3891
    @hssanrubota3891 11 หลายเดือนก่อน

    Huo waraka Maaskofu wa kupinga mambo ya magu ulisomwa lini tar ngapi wakati huo wao ndio walikua wanamsifu mpaka kupitiliza wewe na wao mliku. Mabubu kama kweli shida ni huo mkataba tusomee vipengele vyote mwanzo mpaka mwisho tuone ni wapi pana mapungufu muugawe kila mtu asome siyo kupiga kelele zizokua maana. Mkataba mkataba mbona hatuoni

    • @Expedito2512
      @Expedito2512 11 หลายเดือนก่อน

      Kumbe mgeni sana ulikiwepo mpaka kuna maaskofu walinyang'anywa paspoti

    • @thobiasmasabile-cw9xo
      @thobiasmasabile-cw9xo 11 หลายเดือนก่อน

      Kasome ibaala ya 23,(1),(4) utaona shida simu yako unaangalia tu wa mondo picha za uchinfatili mambo ya navo enda, hata ccm hawatowinmkataba, ila kwabidizetu wenyewe nawenye uchungu na nchi tuliupata walificha sana lakini mungu so mwanadamu, tukaupata, Sasa wewe endelea tu kuangalia wakina alikiba, tu

  • @saidabdala4980
    @saidabdala4980 11 หลายเดือนก่อน

    Shetani mbowe. Kipofu MKUBWA. MSHENZI wewe la siasa. Mwarabu ashachuku BANDARI ZAMANI

    • @gosbertrwezahura3645
      @gosbertrwezahura3645 11 หลายเดือนก่อน

      Pumbavu sana. Mwislamu mshenzi wewe. Akili zako ni kama za panya.

    • @saidabdala4980
      @saidabdala4980 11 หลายเดือนก่อน

      ZANZIBAR intutegemeyaa. 😂😂

    • @saidabdala4980
      @saidabdala4980 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@gosbertrwezahura3645
      BANDARI tayari anayo MWARABU. Kwa hiyo kanisa halipitishi magendo yake tena. Mtakoma mara hii.

    • @saidabdala4980
      @saidabdala4980 11 หลายเดือนก่อน

      Halafu hiyo BANDARI ni mali ya MWARABU. Siyo yenu. 😂😂😂
      Kwani huoni hiloi jina

    • @saidabdala4980
      @saidabdala4980 11 หลายเดือนก่อน

      HILO JAMAAA NI JAMBAZI KUBWA .JIZI MBOWEEE

  • @user-ig4jy5mi4v
    @user-ig4jy5mi4v 11 หลายเดือนก่อน +1

    ACHANA NA MAGUFULI WEWE, ALIKATAA KUKUFUNGA SABABU YA URAFIKI WENU, ULISWEKWA NDANI BAADA YA KUFARIKI. SASA HUO UBINADAMU GANI?

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 11 หลายเดือนก่อน

      UTAWALA WA KIMAKUFULI
      @user-ig4jy5mi4v. Mara baada ya Pombe kuapishwa alisema hakutakuwa na vyama Upinzani Tanzania (Tanganyika na Zanzibar).
      Kwa hivyo, hakuwarukhusu kufanya mikutano miaka mitano isipokuwa Chama Cha Mapinduzi kilichouwa Waislam wa Zanzibar kumpinga Maalim Seif Shariff kwa Wazanzibari.