KIMEWAKA! MDUDE AWASHA MOTO SAKATA LA BANDARI, ATOA SIKU 30 MKATABA USITISHWE, ATANGAZA MAANDAMANO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ย. 2023
  • #TANZANIA: Kimewaka! #Mdude #Nyagali awasha moto #sakata la #bandari, atoa siku 30 #mkataba usitishwe, atangaza #maandamano mazito

ความคิดเห็น • 99

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 11 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤ Mungu awalinde sana, tupo nyuma yenu ss kama Wananchi na hatutakubaliana na ujinga wa Serikali na Wabunge unaoendelea. Kitaeleweka tu, tumechoka sana Watanganyika. Na hatuwataki hao waarabu na mkataba wao.

  • @AloyceMdollo
    @AloyceMdollo 11 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera sana Mungu asimame ajitetee sana kwa ajili ya kunusuru raslimali za nchi

  • @bakarimbiru8588
    @bakarimbiru8588 11 หลายเดือนก่อน +5

    Kaka shikamoo nanyanyua mikono saluti kwako mimi nipopamoja nawewe huyumama hatumtaki

  • @lubatikoseme9412
    @lubatikoseme9412 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mkatapa mbovu hafai hata kuifungia chapati.
    👏👏👏 kamanda Mdude 💪

  • @user-cz3gk2op9r
    @user-cz3gk2op9r 11 หลายเดือนก่อน +5

    Sijawahi kuona watu wapuuzi kama hawa CCM yani utafikiri wameolewa na waarabu

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akupe maisha marefu mdude

  • @geeva99
    @geeva99 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ila huyu mwamba ni noma 🙌🏾 mixer 🤣🤣🤣 dah!! kweli kuna watu wa spirit na mambo yao

  • @gaagwasaugustino2584
    @gaagwasaugustino2584 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde daima mtetezi wa rasilimali za Taifa letu.

  • @MwigaKatumpula-mi3zt
    @MwigaKatumpula-mi3zt 11 หลายเดือนก่อน +4

    Cha kushangaza huwezi kuona vyombo vya habar nchini wakirusha kwenye taarifa zao za habar 😃😃🙌😃

    • @jitukorofi9517
      @jitukorofi9517 11 หลายเดือนก่อน

      Vyombo vya habari havioneshi machizi

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 11 หลายเดือนก่อน +2

    MDUDE NYAGALI MWANAHARAKATI WA KWELI❤❤

  • @user-ji6re4ee8u
    @user-ji6re4ee8u 11 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks alot to help us

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 11 หลายเดือนก่อน +4

    Hawa mashetani wamekula pesa za waraabu wamejitoa ufahamu dawa ni nguvu za umma

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 11 หลายเดือนก่อน +1

    Big up Mdude, docta slaha,Mwabukusi💪💪💪

  • @novatidamian7236
    @novatidamian7236 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mimitu niwashauli watanzania wenzangu ikibidi maandamano yafanyike mpaka bungeni mlale pale ukumbini kuanzia mlangoni mpaka pale mkataba huu wa kuiuza nchi utapa futiliwa mbari.

    • @smarty1064
      @smarty1064 11 หลายเดือนก่อน

      Mimi nitakwenda kwenye maandamano , sitaki watoto wangu wawe WATUMWA sababu ya FISI wachache waliovaa miili ya kibinadamu! NA ITAKUWA HIVYO

  • @eliakanyika4921
    @eliakanyika4921 11 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana 🎉🎉🎉

  • @user-ig7tb1cf8z
    @user-ig7tb1cf8z 11 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana mdude unanivutia sana na kunipa hamasa ya kutetea nchi yangu

  • @livingmark3072
    @livingmark3072 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 11 หลายเดือนก่อน +1

    Angekuwapo mwl Nyerere Labda tungeelewa,pf shivji ,warioba, watu bwana ,tuleteeni mafuta tujiajiri sisi,

  • @henrymligo2440
    @henrymligo2440 11 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana

  • @moseswilliam8540
    @moseswilliam8540 10 หลายเดือนก่อน

    Kweli tuko pamoja

  • @ngwalitcha1655
    @ngwalitcha1655 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mdude Yuko vizur mashalla

  • @DoreenMichael-dg7le
    @DoreenMichael-dg7le 11 หลายเดือนก่อน +1

    Tuko pamojaaaaaaaaa

  • @VotanVotan-gb3hd
    @VotanVotan-gb3hd 11 หลายเดือนก่อน +1

    Uko sawa

  • @oyay2821
    @oyay2821 10 หลายเดือนก่อน

    Samia awache kuangalia kenya kukiwaka ataarishe kuzima moto kwake mwenyewe

  • @Successhabits77
    @Successhabits77 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hawapewi limit ya muda kukamilisha majukumu mpaka sasa bwawa la mwalimu Nyerere mpaka sasa kimya na saizi hatujawahi sikia fisadi katumbuliwa na ulinzi wa tanzanite hatuambiwi

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ludobudege1662
    @ludobudege1662 11 หลายเดือนก่อน +1

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mdude apewe maua yake mapema

  • @senjiyunvankunzimana4143
    @senjiyunvankunzimana4143 11 หลายเดือนก่อน

    Hee mwenyezi mungu tusaidie nchi yetu iwe sarama.viongozi wa dini simama na awa watu ili kunusulu nchi yetu

  • @evarestkway-md1qn
    @evarestkway-md1qn 11 หลายเดือนก่อน

    Mm nimo mungu atutangulie ktk hili

  • @hassanathuman9669
    @hassanathuman9669 11 หลายเดือนก่อน

    Tim will tell soon

  • @user-cz3gk2op9r
    @user-cz3gk2op9r 11 หลายเดือนก่อน

    Kaka nakukubali sana

  • @akimu-gl7zp
    @akimu-gl7zp 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan waambieeeee

  • @user-ig7tb1cf8z
    @user-ig7tb1cf8z 11 หลายเดือนก่อน +2

    Tupo pamoja

  • @g_forcemusician4242
    @g_forcemusician4242 11 หลายเดือนก่อน

    Sana sana kitenge

  • @johnkimaro3588
    @johnkimaro3588 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi nitaungana na wananchi wa Dodoma tunaelekea kwenye jengo la bunge

  • @user-xu3dx7vv8w
    @user-xu3dx7vv8w 11 หลายเดือนก่อน

    SEMA kina mdude wanapashwa kujaribu kuwa realistic hapa ukiangalia comment majina ya kiislam wanampinga maana yake hakubaliki upande huo kwahiyo wapatikane watu wanaokubalika na watu wote tofaut na hivyo hayupo serious

  • @user-il8wn9ko9y
    @user-il8wn9ko9y 11 หลายเดือนก่อน

    Awajui mtu unapo mkosea mungu na ukumu ya mungu ni ipi .sasa wasubili waone kama mungu yupo au ayupo

  • @HOSEAHALLAN-tt3gx
    @HOSEAHALLAN-tt3gx 11 หลายเดือนก่อน

    Sasa madamano lini jamani

  • @user-xx9jl9lv6r
    @user-xx9jl9lv6r 11 หลายเดือนก่อน +1

    Tupo pamoja mkuu

  • @FredMramba-hx3gl
    @FredMramba-hx3gl 11 หลายเดือนก่อน +1

    Vijana wamelala 4 for 4 wakija kuamka tumekwisha

  • @JohnMussa-sk2xg
    @JohnMussa-sk2xg 11 หลายเดือนก่อน

    Nina Imani kwamba Kama bunge likishindwaa rais na mahakama kuona umuhimu wa malalamiko yetu.
    bas Maandamano ni lazima.

  • @user-yq2iu4uh5z
    @user-yq2iu4uh5z 11 หลายเดือนก่อน

    Tunataka katiba mpya

  • @yohanamsongole6489
    @yohanamsongole6489 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nawasubili

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 11 หลายเดือนก่อน

    Ccm ni majizi yalio shindikana wanaongoza Nnchi kimazoea awajui kizazi kipya kimesoma wajiandae kwa mapinduzi walafi wote wa ccm

  • @wadysaidy8840
    @wadysaidy8840 10 หลายเดือนก่อน

    Mbwaa uyu yupo

  • @ismailkidongo9384
    @ismailkidongo9384 11 หลายเดือนก่อน

    Wewe nimzalendo lazima watanzania tukuunge mkono

  • @shaibhamdun5225
    @shaibhamdun5225 11 หลายเดือนก่อน

    Mnabahati nyinyi Huuyu mama amewahurumia. Kama ni Mimi mungeishia jela.

    • @user-cv6yq3he4p
      @user-cv6yq3he4p 11 หลายเดือนก่อน

      WWE huna akili pinga kwa hoja sio nguvu

    • @raymondnlelwa427
      @raymondnlelwa427 11 หลายเดือนก่อน

      Ungekuwa na gereza la kuwaweka watz wote? Fikiri kama mtu hai!!!

  • @lubatikoseme9412
    @lubatikoseme9412 11 หลายเดือนก่อน

    Tukose pamoja Mdude

  • @brother_majesty
    @brother_majesty 11 หลายเดือนก่อน

    Watz wamerara 4to4

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 11 หลายเดือนก่อน

    Makanisa tena?

  • @GodwinPastory-wg8vn
    @GodwinPastory-wg8vn 10 หลายเดือนก่อน

    Xanax mdude

  • @user-pz4nn1dz6j
    @user-pz4nn1dz6j 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😢😢😢

  • @henryndosi2002
    @henryndosi2002 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mdude kichaa kimepamba moto

    • @williamsenkoro2210
      @williamsenkoro2210 11 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni darasa la Saba au failure flani hujitambui wewe

    • @raymondnlelwa427
      @raymondnlelwa427 11 หลายเดือนก่อน

      Henry Ndosi najua wewe ni Kada ila jifunze kutetea ndugu zako na rasilimali zako kwa ajili kizazi chetu, acha kujitoa ufahamu kwa ajili ya ushabiki mandazi.

  • @husseinibrahim2929
    @husseinibrahim2929 11 หลายเดือนก่อน

    Unaipa serikali siku 30, hio sheria umeitoa kifungu gani, huna uhalali wa kuwalazimisha watu kuandamana, kama mmechoka kuishi tanzania ya amani, jeshi la polisi litakusurutisheni mahala sahihi mnapostahili

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 11 หลายเดือนก่อน +2

      Kama una uboya kama huu hata wazee kama nyerere enzi hizo wasingeweza kupata uhuru wa bara la Africa wakina mandela na mugabe kwa mtu kama wewe unafaa tu uolewe.Mwanaume hawi muoga yupo tayari kwa lolote hata kufa ili mradi alinde ama aokoe familia yake.Sasa mtu kama wewe mke wako aseme anaishi na mwanamke mwenzake ama na mume wake mwanaume ukitishwa kidogo unasema yote.

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 11 หลายเดือนก่อน

      @@corporatethugsent7380 Nina wasiwasi huyu keshaleft group letu la wanaume

    • @omaryyusuph7877
      @omaryyusuph7877 11 หลายเดือนก่อน

      Unaijua amani wewe matako watu kama nyie amtakiwi kuishi kwenye hii dunia nchi yako inauzwa unatoa macho tu .

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 11 หลายเดือนก่อน

      @@omaryyusuph7877 huyu jamaa chenga kweli huenda haijitambui

    • @nicholouskennedy9813
      @nicholouskennedy9813 11 หลายเดือนก่อน

      Ungekaa tu kimya maana unajidhalilisha . Maana hata Kama ni uchawa wewe unanuka kunguni . Yaani watu wanatetea nchi wewe unakejeli. Duh Kuna watu wanajiita watu wazima lakini ukipima akili zao zinafanana na mtoto wa miaka miwili

  • @abdulb.chwaya6251
    @abdulb.chwaya6251 11 หลายเดือนก่อน

    Mmmh, Ulevi wa uhuru wa kuzungumza.

  • @user-il8wn9ko9y
    @user-il8wn9ko9y 11 หลายเดือนก่อน

    Sawa baba sema . Waambie .ukweli .ila mungu anawaona

  • @issambassa5901
    @issambassa5901 10 หลายเดือนก่อน +1

    SISI Wengine ambako hatuna passport tutaweka bando tu siku hiyo tushuhudieh tu mtafanyaje maana hatuwezi fata ujinga kama huo Mimi mtoto wa kitanzannia Nina maisha dunia sana alafu nijipngezee matatizoh mengine ili wewe ushike uongozi si ujinga uooooh😂😂

  • @yohanamsongole6489
    @yohanamsongole6489 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yani wajinga ndowaliwao

  • @fikirially7875
    @fikirially7875 11 หลายเดือนก่อน +1

    Unacho kisema ni sawa na jina lako mdude umepanda unatoa tamko kama nani acha wehu.

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 11 หลายเดือนก่อน

      Pana kinyesi kwenye fuvu badala ya ubongo?

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 11 หลายเดือนก่อน +1

    We akili huna unatufata kiki tu pumbav weee... IGP hawa vunja miguu wote pumbav

  • @hilalisaidseif8483
    @hilalisaidseif8483 11 หลายเดือนก่อน

    Mwamba

  • @user-ez6ko4mm5d
    @user-ez6ko4mm5d 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mwambia mama ako name familiar yako wakandamane

    • @omaryyusuph7877
      @omaryyusuph7877 11 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni choko kufa wewe vizazi vijacho vije kuishi vizuri watu kama nyie kwetu mboga

    • @mbwanahasan2971
      @mbwanahasan2971 11 หลายเดือนก่อน +1

      Choko wewe hujitambui

  • @saidmakombeni5155
    @saidmakombeni5155 11 หลายเดือนก่อน +1

    FUTA KAULI YA KUTUMIA KANISA KWENYE MAANDAMANO YENU.
    KANISA LIKO NA WAKIASI CHAKE

    • @chesterbrand6723
      @chesterbrand6723 11 หลายเดือนก่อน

      Afute ya Nini Mimi nitaanzia church na wanakwaya wenzangu...

    • @smarty1064
      @smarty1064 11 หลายเดือนก่อน

      Wananchi waanzie misikitini na makanisani maana huko pekee ndo kuna matumani ya kweli, Tamko la Shura ya maimamu nimelisoma na Tamko la wakatoliki nimelisoma wote wametoa hoja zinazofanana, BINAFSI YANGU NITAANDAMANA KWA AMANI SITAKO WATOTO WANGU WAWE WATUMWA SABABU YA FISI WACHACHE WENYE TAMAA!

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 11 หลายเดือนก่อน +1

    Brain abscess

  • @KagyaRama-lr2rg
    @KagyaRama-lr2rg 11 หลายเดือนก่อน

    Mbwaaa andamana na mama yako

  • @saidmakombeni5155
    @saidmakombeni5155 11 หลายเดือนก่อน

    Eti watahamasisha makanisa!
    Unatupeleka kwenye ugomvi wa kidini mjinga wewe

  • @user-qi7px6nb8r
    @user-qi7px6nb8r 11 หลายเดือนก่อน

    Mm ninashauri hawa watu serikali sio wa kuwaacha wanapotosha watanzania.Hawa watu wakamatwe na wafungwe milele.Wanaitukana serikali bila sababu.Hawa kwenye nchi hii ni akina nani?Wanaipaje serikali maneno makali?Wakaandamene na baba zao na wake zao,na watoto wao.Anamtukana hadi mkuu wa Jeshi la polis?Anamtukana hadi rais? Serikali ipo wapi?

    • @SilvesterRaphael-xb6it
      @SilvesterRaphael-xb6it 11 หลายเดือนก่อน +1

      Hapo kwa kufungwa milele unakosea hebu fanya ufungwe wew milele kwa kutetea ujinga wa kuuzwa kwa bandari za Tanganyika milele boya mmoja wew

    • @kashindyebundala7894
      @kashindyebundala7894 11 หลายเดือนก่อน +1

      Yaan ww mpumbavu kabisa

    • @user-bd1zr4vn1b
      @user-bd1zr4vn1b 11 หลายเดือนก่อน

      Namimi uku rindi nasubiria tarehe ya maandamano ili niwapitie watu wangu takaandamane tulinde rindi yetu

  • @ndingolivin-qy6xk
    @ndingolivin-qy6xk 11 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @Successhabits77
    @Successhabits77 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa viongozi wajinga sana nafikiri ni sababu hawapewi masharti ya kufanya kazi
    Ebu katiba mpya ikitokea basi Kila kiongizi apewe mkakati na muda maalum akishindwa ajihudhuru

  • @EzekielBahati-mr2fm
    @EzekielBahati-mr2fm 11 หลายเดือนก่อน

    Safi sana