ASITUAMBIE HAKUJUA KILICHOANDIKWA AMEAGIZA YEYE MWENYEWE /TUNDU LISU AFUNGUA VIFUNGU KWA VIFUNGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ส.ค. 2023
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    TH-cam : www.youtube.com/@kusagatv6320...
    Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

ความคิดเห็น • 70

  • @robertmhikwa8174
    @robertmhikwa8174 11 หลายเดือนก่อน +9

    aiseee huyu mama kwa akili zake hakustahili kuwa hata mwenyekiti wa kijiji.....namchukia sana

    • @happymrema7487
      @happymrema7487 11 หลายเดือนก่อน

      Wewe anahis unampenda

  • @BigJo08
    @BigJo08 11 หลายเดือนก่อน +8

    Samia nakuchukia sana sio kwa uyatendayotu hata jinsiayako siikubali kwenye hicho kiti

  • @user-un5dm8gj7p
    @user-un5dm8gj7p 11 หลายเดือนก่อน +10

    uyu Mama ni chizi zaidi ya chizi hakuna mtu anaweza kufanya upumbavu kama huu

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awalani na vizazi vyenu vyote mnatuumiza sana ccm

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 11 หลายเดือนก่อน +4

    Duuuh sasa huyu mama katubakizia nini sasa na kwanini yupo serikalini mpaka mda huu uraisi wa kuokota huu hakika tutajuta ifike hatua tuwe serious na katiba yetu ya nchi mwisho wa siku ataanza kuuza ata watu 😢😢😢😢

    • @user-xr8nx9sd9y
      @user-xr8nx9sd9y 11 หลายเดือนก่อน +1

      Watanzania wapole mmno. Upole wao umageuka kuwa upumbavu>!! Mtu anaingia jikoni kwa watanzania na kuchukuwa chakula cha kulisha wanao bado waswahili wanashangilia.!! upumbavu usio na kifani>!!!

  • @YusuphJilala-it9bo
    @YusuphJilala-it9bo 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mamakafeliiiii😢😢😢😢

  • @marialesulie6798
    @marialesulie6798 11 หลายเดือนก่อน +4

    Kweli chama ya ya wala wamepoteza imani na uaminifu lakini bandari zetu zisitumike kama ngazi ya kupandia kwenda ikulu.
    Watu tunahitaji zaidi ya hapo. Tunataka kusikia sera nzuri na mikakati ya kuleta maendeleo na usawa kwa wote na kuondoa utumwa unaofanywa na mafisadi wachache. Kama mtu hawezi kutamka mafisadi basi anatutia mashaka dhamira yake…..huenda tunabadilisha tu vichaka lakini nyani ni yule yule.

    • @RugeiyamuKahwa
      @RugeiyamuKahwa 11 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndio una akili finyu. Likisemwa neno fisadi ndio ibada ya uongofu? Hayo ya bandari ni ufisadi uliopitiliza. Kuupinga ni swala la maendeleo.

  • @RamadhaniRamadhani-yd4hq
    @RamadhaniRamadhani-yd4hq 11 หลายเดือนก่อน +2

    Bora Sana ya magufurii

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mama Samia si mrudishe bilioni 2.5 mlizopewa km bakshishi?

  • @user-vg4ph5zx8h
    @user-vg4ph5zx8h 11 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa watu weupe walitutesa sana many years ago eti leo tunawaonyesha meno kwa kuwapa tena rasilimali za nchi yetu eti watusadie kuendesha......kweli unampa simba akulindie swala jamani ....hayo majaribu kweli

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 11 หลายเดือนก่อน +6

    Watanzania matajuta wakati hamtakuwa na hata muda wakuuliza nani alikuwa Samia Kikwete Makamba nape au Kinana. Mtabakia kulia na kusaga meno nchini kwenu na kuomba omba kwa wliochukua nchi yenu. Mafisadi majizi na wasaliti wote watakuwa wameishakufa. Amkeni!!!!!!

    • @malamlaaj9852
      @malamlaaj9852 11 หลายเดือนก่อน

      Wewe ukiwa wapi?

    • @pungopungo411
      @pungopungo411 11 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa hiyo Dpw anagaragaza mbuga zetu na sasa anapewa bandari zote na misitu?jamani hebu kapimeni akili zao hao viongozi isije ikawa tunaongozwa na machizi freshi. Kwahio tukitaka kukata mbao tukaombe vibari Dubai.jamani

    • @user-xr8nx9sd9y
      @user-xr8nx9sd9y 11 หลายเดือนก่อน

      @@malamlaaj9852Nitakuwepo nawaangalia kwa makosa ya kipumbavu viongozi wenu waliyofanya> Yangu macho. !!!

    • @user-xr8nx9sd9y
      @user-xr8nx9sd9y 11 หลายเดือนก่อน

      @@pungopungo411Shauri ya viongozi majizi na mafisadi na mabinafsi. Shenzi type!!! meat loafs>

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio hivo wa mama wanaweza acha mvua inyeshe tuone panapo vuja

  • @rehemashabhay8946
    @rehemashabhay8946 11 หลายเดือนก่อน

    Kweli kweli...mmhMungu wangu, wanataka bandari wapitishe vitu vyao....

  • @marialesulie6798
    @marialesulie6798 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa sasa hivi tunahitaji kupambania bandari zetu na rasilimali zetu zote ziwe salama kwanza.
    Mambo ya uchaguzi badaye.
    Huenda tunahitaji chama kingine kipya kabisa chenye viongozi wazalendo wa ukweli wenye uchungu wa kweli na watu wa faifa hili na siyo chumia tumbo tumewachoka.

  • @egnomsigwa8418
    @egnomsigwa8418 11 หลายเดือนก่อน

    Yani samia kwaupuuzi huuu nakuchukia sana

  • @AW-vt9pw
    @AW-vt9pw 11 หลายเดือนก่อน

    Hizo ekari million 6 za Ardhi utazitolea maelezo. Point zako zote lazima uzithibitishe na uzitolee maelezo siku tutakayokushika.

  • @ernesttomas85
    @ernesttomas85 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ila watz ni wajinga,mtu anauza mali za Tanganyika na wanamuangalia tu

  • @user-oy5dz5xl8s
    @user-oy5dz5xl8s 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wanalia rada mlima kilimanjaro

    • @ernesttomas85
      @ernesttomas85 11 หลายเดือนก่อน

      Ndio uliobaki

  • @stevendominic1844
    @stevendominic1844 11 หลายเดือนก่อน +3

    Rest in Peace JPM Tanganyika tumekumiss

    • @maulidipingika4452
      @maulidipingika4452 11 หลายเดือนก่อน

      Huyu anayeongea ndio alikimbizwa na huyo rest in peace,

  • @user-fc9ro5fh9m
    @user-fc9ro5fh9m 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kama hakujua kilichofanyika alisainije,kama sio ujinga?AMEJUASASA AUFUTEEEEEEE

  • @jaanjaan111
    @jaanjaan111 11 หลายเดือนก่อน

    Huyo kapewa na kikwete mulizeni nyinyi mbuzi

  • @judicalosika7642
    @judicalosika7642 11 หลายเดือนก่อน

    MIMI NATAMANI KUFAHAMU, KWANINI HATUWEZI!!!!
    HIVI VYUO VIKUU VYA NCHI HII VINAZALISHA MABOGA!!

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 11 หลายเดือนก่อน

    Watuuz na sisi

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 11 หลายเดือนก่อน

    Ccm tumewachoka 2025 hatukubali kuibiwa kura lazima damu imwagike

  • @NellyMadeni-yv6fd
    @NellyMadeni-yv6fd 11 หลายเดือนก่อน

    Ombi langu kwa rais, nakuomba mama sitisha huo mkataba mbele kuna mabaya mama tutajuta, hatakama ulitaka kutusaidia acha tupate iyo shida, subiri katiba mpya ndo mengine yaendelee

  • @marialesulie6798
    @marialesulie6798 11 หลายเดือนก่อน

    Magufuli hakututesa sisi wengine mbona? Tena wengi wetu yulifanikiwa kupata haki zetu zilizokuwa zinachukukiwa na wenye nguvu na mafisadi. Walioteseka ni mafisadi na wapinga uzalendo au wapinga Ufisadi au waliokuwa wanafaidiaka na ufisadi huo. Hili tunalielewa sana na hatudanganyiki kwa hapo.
    Achaneni na mambo ubinafsi mnatuchanganya tu jamani.
    Tunawapenda lakini kuweni makini tusichanganye madawa

  • @onesmokihanza8473
    @onesmokihanza8473 11 หลายเดือนก่อน

    Time will tell

  • @marialesulie6798
    @marialesulie6798 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kama munamponda Magufuli na kazi zake je nyie mtafanya nini kizuri zaidi yake kwa taifa hili?
    Ntaweza au mtathibutu kupinga mafisadi? Au mnatafuta tu madaraka ili kula kwa zamu?
    Tupeni sera zenu ili tuwaaminj

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 11 หลายเดือนก่อน +1

    ILA HUYU MAMA KWENYE HILI LA BANDARI AMETUVUA NGUO WATANZANIA WOTE UWE MTANZANIA WA KIKE & KIUME & MZEE &DADA &BIBI KIZEE& BABU KIZEE AMETUVUA NGUO HADHARANI MCHANA KWEUPE AU KUNA LAAANA KUNA LAAANA SIO BURE RAIS AJITAFAKAR SIO BURE ARUDI MIGUUNI KWA MUNGU WAKE AMUULIZE KUNA LAAANA INATAFUNA

  • @user-rk5el9kj6b
    @user-rk5el9kj6b 11 หลายเดือนก่อน

    Thomas Daniel freekin

  • @marialesulie6798
    @marialesulie6798 11 หลายเดือนก่อน +1

    BANDARI ZETU KWANZA UCHAGUZI BADAYE.

  • @ahmedkagambo4964
    @ahmedkagambo4964 11 หลายเดือนก่อน

    Nyie mna uchu wa Madaraka msisingizie Bandari au mambo mengine ushugurikie watu walio kupiga risasi Achana na mama yetu Tunamtambua

    • @YusuphJilala-it9bo
      @YusuphJilala-it9bo 11 หลายเดือนก่อน +2

      Wapomabwege wenginchihiihatamkiwaelimishavipiiwamekulauduviiiii😢😢😢

  • @gabrielymatembo8770
    @gabrielymatembo8770 11 หลายเดือนก่อน

    Mh.....

  • @masoudsalum
    @masoudsalum 11 หลายเดือนก่อน

    Mkataba mpaka kifo kitutenganishe

  • @user-rk5el9kj6b
    @user-rk5el9kj6b 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo mmarekani anatakiwa apelekwe mahakamani

    • @user-xr8nx9sd9y
      @user-xr8nx9sd9y 11 หลายเดือนก่อน

      Mahakama gani? Ya Tanzania inayoongozwa na Samia!!!! He he he.Kama wanavyosema: serikali, mahakama, Bunge vyote ni matope> Tanzania tunaongozwa kwa huruma ya Mungu.

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 11 หลายเดือนก่อน

    KUSAGA TV mbona hauonyeshi mikono iliyonyoshwa na wananchi kukubaliana / kukataa kutokana na swali la cmde Lissu: "je nani wanadhani mkataba huu wa bandari ni haramu, wanyoshe mkono, si haramu wanyoshe mikono?" KUSAGA TV kwa clip hii ulikuwa na marks 100% . Sasa kwa kutokutuonyesha hiyo kura ya mkono ya wananchi, marks zimeporomoka umebaki/umepata 65%. Thnx improve your work.

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 11 หลายเดือนก่อน

    BANDARI HAIJAUZWA, ILA NI WAWEKEZAJI WANAPEWA KUWEKEZA ILI KUBORESHA NA KUONGEZA UFANISI , AJIRA KWA WATANZANIA ,KUTUONGEZEA KIPATATO VILE VILE KURAISISHA UPAKUAJI WA MIZIGO NA KUIFANYA BANDARI KUWA YA KISASA ZAID, KWAKUMALIZIA RAIS HAWEZI KUUZA KIPANDE CHOCHOTE CHA NCHI NI KITU AMBACHO HAKIWEZEKANI

  • @AW-vt9pw
    @AW-vt9pw 11 หลายเดือนก่อน

    Na huyu siku yake ya kutiwa mkononi ipo karibu. Lazima kwa kila analosema akiambiwa alitolee ushahidi asibadili maneno.

    • @faustinluambano2958
      @faustinluambano2958 11 หลายเดือนก่อน

      Hilo liko wazi mtawaita wote wahainj.Lakini je mnafuatilia utajiri wao kwa muda mfupi?

    • @IsayaSosolo-nx8zk
      @IsayaSosolo-nx8zk 11 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu siyo kilaza Kama w3we!

    • @othmarluwawilo8308
      @othmarluwawilo8308 11 หลายเดือนก่อน

      Kuna kesi gani alishindwa, kenge hawo

    • @zamorad5654
      @zamorad5654 11 หลายเดือนก่อน

      Huyu hana matope kichwani
      Na hatashangazwa akikamatwa

  • @margarethhovokela2412
    @margarethhovokela2412 11 หลายเดือนก่อน

    Ninyi mkipata nafasi ya kutawala Je hamtakuwa weziiii kama mnavyowatuhumu viongozi wa CCM.Mbona wote tunapenda helaaa

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 11 หลายเดือนก่อน

    Nionavyo mimi, kama yasemwayo yana ukweli kwakweli yafanyiwe kazi kwani kesho kutwa tutalia wote. Wataalamu wa nchi hii na washauri mbalimbali saidieni kutatua changamoto hizi chã msingi mjiridhishe kwanza.

  • @ntibaali3865
    @ntibaali3865 11 หลายเดือนก่อน

    Wewe Tundu Risu
    Neenda zako
    Wewe ni musenge

  • @khamiskhamis2871
    @khamiskhamis2871 11 หลายเดือนก่อน

    Watanzania huyu lissu ipo siku ataleta machafuko watu kuu wana tusipo kuwa makini halafu anakwenda inje wakati wa magufuli alileta mtafaruk na akakimbia nje tuwe makini

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 11 หลายเดือนก่อน +1

    Bandari ilijengwa na waarabu tuache ujinga kwenye hilo. Waarabu na wajeruman wawapi walianza kuja Tanzania!?. Kwenye mengine sawa ila mwanzilishi wa bandari ni mwarabu Tanzania

    • @maulidipingika4452
      @maulidipingika4452 11 หลายเดือนก่อน

      Wanajua wanachofaidi ndio maana hawataki ibinafisishwe

    • @f.a6043
      @f.a6043 11 หลายเดือนก่อน +1

      👹😈👹😈👹👹😈👹😈👹😈☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽
      Hatutaki Muarabu wala Mzungu sisi ni Waafrica tunajivunia uafrika wetu usituletee mawazo mgando
      Hata akili ya chura 🐸 inaafadhali kuliko hicho unachokisema cha muarabu
      Ni aibu ni ujinga ni uvivu ni fedheha

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 11 หลายเดือนก่อน

      @@f.a6043 umeelewa nilichosema au ndio upambe umekukolea!?. Huyo anayeongea kasoma sana kuliko wewe na mimi nashangaa inakuwaje hajui bandari ilianzishwa na mwarabu. Sijazungumzia mkataba haponimeungumzia muanzilishi wa bandari embu acha ushabiki wa kijinga

    • @lusungumkolla6672
      @lusungumkolla6672 11 หลายเดือนก่อน +1

      Utwana in blood

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 11 หลายเดือนก่อน

      @@lusungumkolla6672 acha uchawa. Inamaana haujui mwanzilishi wa bandari ni nani!?. Huyo Lisu kasoma sana zaidi yangu. Namshangaa anaropoka babdari imeanishwa na wajerumani. Hiyo ni akili au ni matope.

  • @mariamchuwa7916
    @mariamchuwa7916 11 หลายเดือนก่อน

    Muongo mkubwA Acha uchochezi

  • @judicalosika7642
    @judicalosika7642 11 หลายเดือนก่อน

    Jamani ni kweli unaloongea LISU!!!!
    Ekari 6,000,0000!!!!!!!!!!
    Hector 8,000,000!! = Ekar,
    8,000,000 x2.5 = 20,000,000 itunzwe/imeuzwa!!!
    Mambomengine acheni JAMANI.
    Haiwezekani

  • @robertwarkoi7353
    @robertwarkoi7353 11 หลายเดือนก่อน

    Tundu acha kutufanya tugawanyike, wakat ww una nyumba ubelgiji, hv tukiingia kwenye machafuko, nyie viongozi mtafurahi sio? Watanzania wenzangu tumelewa na aman, shangilieni tu, hawa wanasiasa wa Africa wote ni vibaraka, hakuna mzalendo hata mmoja, kuwen Makin na maneno ya wanasiasa, woooootee Wana hifadh nje ya nch