#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @JacksonZomola
    @JacksonZomola 2 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sanaaa

  • @alexjovin2981
    @alexjovin2981 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akusimamie

  • @hbdina
    @hbdina 2 หลายเดือนก่อน

    🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Watu weusi wengi akili zimedumaa hatujui kujibu hoja.Nchi za Ulaya na Magharibi wangemuelewa sana Mpina.Tunaitaji viongozi kama Traore wa Burkinafaso 🇧🇫

  • @BossiLaizer
    @BossiLaizer 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tunakuelewa jembe

  • @BossiLaizer
    @BossiLaizer 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna gharama kubwa ya kusema ukweli

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso 2 หลายเดือนก่อน

    Ndugu yangu uko sahihi na unaongea ukweli lakini ujue unapambana na watu wenye nguvu kimamlaka wameshika makali siku zote ukitetea maslahi ya nchi ujue unapalia mkaa be careful

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 2 หลายเดือนก่อน +1

    LIVE gani hii hapa? Acheni uchawa! Hii Habari ni ya siku kitambo! Kwani hamna Habari za kutueleza!!

  • @brownmasai774
    @brownmasai774 2 หลายเดือนก่อน

    TLS mko wapi? 41:51 This Ministry should be sued for endangering our life by feeding us with, possibly, poisonous food. Tangu lini Dubai ikazalisha sukari!? Cuba, YES

    • @brownmasai774
      @brownmasai774 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu alionewa sana

  • @benedictgamuya8855
    @benedictgamuya8855 2 หลายเดือนก่อน

    Hon. Mpina.... you must speak the language that your ccm - mps and got will understand. Mmeshaongea sana kila siku mko mlemle. Tired of dis nonsense

  • @domisianlaurian2687
    @domisianlaurian2687 2 หลายเดือนก่อน

    Mpina na we acha kutufanya sisi Ni mazuzwa. Mnaleta Kiki zetu baada ya kuona li CCM lenu linayumba. Huku makonda. Huku mpina. Huku kinana. Acheni hizo bana. Ss siyo wajinga aisee

    • @Fesary
      @Fesary 2 หลายเดือนก่อน

      Acha wapeane spanner 🔧