TENGENEZA URAFIKI NA WATU WENYE AKILI WATAKUJA KUKUSAIDIA BAADAE "PASTOR MGOGO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ค. 2024
- Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
TH-cam : Pastor Daniel Mgogo th-cam.com/channels/eNr.html...
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo
Sometimes unaongea tunawaza unaishi nasisi nyumbani kwetu. God continue to bless you and protect you pastor
Mimi dereva kisomo Niko najo mbaka degree lakini kipato ja kwangu udereva , kwa kweli barabara watu husumbua kama wanyama .
Balikiwa mtishi
Naomba namba,Nataka kutoa sadaka, maana ni itikio la Imani, nisikiapo Neno la Mungu naimarika sana
yaan unajua kunifrahisha ww nisipokusikia naumwa nakupenda bureee ,mafundisho yako ni hatar wengi tumepona aminaaaaa❤❤❤❤❤❤
Mimi ni mwislam ila pastor napenda sana mafundisho yako ❤❤❤
Ubalikiwe sana tupo pamoja nawe uku Moçambique 🇲🇿🙏🙏🙏
Amen kweli,Mungu aliye kuita amekupea na message Pastor wataifa.
Thank you dad in the Christ it’s true 🙏🏽🙏🏽❤️❤️❤️😇
I appreciate to your service in just Amen
Tunashkuru sana mungu, kwasababu tunawewe mtandaoni
Outstanding teaching man of God
You are the prophet of God
Thanks Prophet🙏
Asante pastor mimi mwenyewe nafurahia hii mafundisho sana maana mimi huwa najeka mbaka mpavu sikafunjika asantw pastor habari tunaipata mungu akupe ujasiri zaidi
Kweli tuko wengi pastor asante Kwa mahu iri mazuri nakupenda Sana umenisaidia na kuniondoa Kwa hatari ya stress.mungu akubariki
Wewe ni mwalimu pia love u
Kwa kweli ubarikiwe Muchungaji na Mungu aku zidishie Mengi . Tuna ku Fuatilia direct in Canada.
Ameen hakika kazi yako n njema kwa wengi
Mtumishi mungu azidi kukupa mahalifa hili tuzidi kujifuza
MWANADAMU kweli, TAABU kuishi na kiumbe hiki.
Mwenyezi Mungu aondowe stress kwa WOTE wanaolemewa.
Amina
Nina barikiwa sana kwa somo Hizo, from Congo DRC 🇨🇩
Ubarikiwe Sana pastor ❤❤❤naipenda mahubiri Yako Leo nimejigunza ukiongea na wabovu utaku nawe ....🙏
Ongela sana mtumishi
Kweli kabisa mutumishi barikiwa sana keep going ❤❤❤❤❤❤
Thanks am touched
Ubarikiwe sana❤❤❤❤❤❤
Man of God you are speaking all the truth may God bless you so much.
Nakupenda pastr
Thank u profet
Ubarikwe Pastor, safi sana
Mchungaji mgogo nakukubali sana unanifundisha sana
ubalikiwe na mungu kwaktufungua vichwa❤❤❤
Mwalimu wa kweli mungu akuzidishie
Asante saana baba mgogo uweunasema yote
Ubarikiwe sana mchungaji
Asante saana baba yangu Mungu awabariki kweli uwe unasema wakome kwanza
njoo arusha uda river watu waache dhambi jaman ni wagumu ,tunaomba ututembelee arusha usa river siku moja ni ombi tuuu❤❤❤❤❤
Amina kubwa sana pasta,yaani wewe ni mtu wa ajabu sana.Mungu akupe maisha marefu
Paster wewe uko na mwito wa kufundisha ata kama unaubiri pia uko nakipawa cha mafunzo mzuri sana ubarikiwe sana umenifunza mambo mengi🤝
Baba wangu wa kiroho, mungu azidi kukulinda sana. Niko msumbiji❤
Amen
Asante baba kwa mafundisho venue busara ukweli mtupu...mungu akupanue zaidi
Asante sana tena sana.muchungaji kwa mafundisho. tuna kufuta tokeya bunia injini congo
Ujumbe halali kabisa
Amina mtmish wa mungu kuhusu sadaka mungu atajitwalia utkufu wake
Amen nabarikiwa sana na mafundisho yako ya neno la mungu❤
Kwakweli mchungaji upo juu kwa kutuelimisha. Ubarikiwe sana.
Asante baba mimi nikokongo
Mtumishi ubarikiwe sana kwa utume mahubiri yako yanabariki sana
Ubarikiwe mchungaji Amen .....kenyan
Be blessed pastor👏👏your words helps me alot
Mungu akubariki nabarikiwa sana na ujumbe zako.
Umenena paster
God bless you pastor
Thanks dady for message
Nimerizika mchungaji🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇫
Amen ubarikiwe mtumishi ❤❤❤
Tunashukuru kweli nakpenda sanaaaaa !!!!
Pastor hata kama nimekasirika najikuta nacheka😂tu juu ya mafundisho yako. Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
Amen be blessed
God bless 🙏 past
Ameeeen 🙏💯
God b😢 you pasta
❤
God bless you
Mungu akubariki sana
Pasta Sisi wenye tuko mbali tunatowa Sana,jiga 2 Ni 4000fc, Congo
AMEN Ubarikiwe
Amen Amen
Aimen
Amen amen
Ndio kbs
Amen balikiwa sana
Barikiwa pasta
Mtu ambaye Ako Kenya anaeza kutuma sadaka aje?
Napenda sana kukuskiza ila sijawai toa sadaka Kwa kweli🥲
Mch.umesema kweli kabisa!
Ameen postor
Hakika pastor
Nakukubali baba wanaokuchukia niwa chawi wandoa hawataki zipone
Barikiwa sana
Ndio mgogo
Myaka ishilini uzoefu safi😢
Nimetasama Hadi mwisho,am from kenya
Ata mimi nimesaidika Haki ila sijatoa sadaka 😂😂 Amen
Piya mimi nashukuru
Tunashukuru san pasta
iyo kweli wanao barikiwa ni wengi kuliko hao waliyo katika séminaire
Pastor sadaka tunaweza kutoa ila tunawasiwasi wa kukufikia kwasababu ya matapeli mitandaoni
Kabisaa
Mungo ngo😂😂😂kweli
Towa number tutowe sadaka 😂😂😂😂😂😂
Tuna penda tutowe Sadaka Ila Ila ha tujuwe Tuta tuma namna gani, compte hatujuwe
Ni kweli mwanaume hapendi kelele 😅😅😅
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
mtumishi ubarikiwe tu japo sms hizi hazina pa kwenda
Eti unageuziwa kesi 😂😂😂
😂😂😂😂😂
Ww n mchungaj wakwel
Mchungaji unaongea maisha tunayo yapitia kwenye ndoa zetu mungu akuinue zaidi
Hatawengine hawakufate. Sisi tutakufatilia mpaka
Ubwa mwizi 😂😂😂😂😂😂😂
Paster mugogo na wewe nikali u nafugua kabisa