First: Niwapongezi Crown Media kwa kazi mnayoifanya ila mahojiano mengi mnayoyafanya ni kama MARKETING STRATEGIES za pande mbili Interviewer na interviewee and we are the product.
CRDB Bank haimilikiwi moja kwa moja na shirika la umma moja. Hata hivyo, moja ya wamiliki wakubwa wa benki hiyo ni Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (Public Service Social Security Fund - PSSSF), ambao ni shirika la umma linaloshughulika na masuala ya pensheni kwa watumishi wa umma. PSSSF inashikilia sehemu kubwa ya hisa za CRDB, na hivyo kuwa miongoni mwa wamiliki wakuu wa benki hiyo. Pia, kuna wawekezaji binafsi, taasisi za kifedha, na wateja binafsi walio na hisa katika benki hiyo.
CRBD, NBC,EXIM BANK N.K. Sio bank ni madalali imagine wewe ni mteja unaweka pesa zako bank eti Kila mwezi unakatwa pesa. Ukitoa pesa kukwenye bank Yao unakatwa. Wakajifunze 🇺🇸 and 🇬🇧, ndio maama watanzania Wana weka pesa zao 🇺🇸 and 🇬🇧. Niliongea na mkuuwao wakazi bado wanamawazo mdogo hata kuwashawishi serekali lakini nimachawatu..ndio maana Daizpora wote tunawaona wasenge tu..
@@leokamil6284 ambacho hujui ni nini wote hao wanajifunza kwa NMB bank wana product nzuri sana sasa hivi wameleta kitu sisi ni huduma, waneona wanaweza kuwa na bidhaa nzuri ila huduma ikiwa Mbaya ni kazi Bure so kwa sasa wamejikita vilivyo kwenye kutoa huduma Bora, nmb huwezi kushituka kukatwa ni kidogo sana
Wizi mtupu lazima mupate faida kubwa maana makato munayowakata wananchi kila mwezi ni aibu kwa nyinyi kuitwa bank.nyinyi hamuwasaidii wananchi bali munawamaliza wananchi
@@machinefannatic99 uthibitisho tafadhali, ili sisi tuliomo humo na wanaojiandaa kuwekeza amana zao wafanye tafakuri ya kina ama kuwekeza au kwenda mahala pengine. Kama huna ushahidi kaa kimya
@@festokemibala5832 asie sikia la mkuu huvunjika guu, hii benki imewahi kuniibia pesa mara kadhaaa, kama unataka uthibitisho kamili basi endelea kuitumia. Simple
Kikeke naumbe umuulize huyo mkurugenzi mwambiye sisi tuliopo zanzibarr mbona tukiomba mikopo CRDB mbona masharti ynakuwa makubwa lkn mkopo huohuo ukiomba upande wa pili unapewa bila masharti makubwa
Lazima mpate faida kubwa sababu mnakopesha fedha yenye riba na bado mnakata makato ya uendeshaji mkopo wakati mmeshapigia riba huu ni wizi kama wizi mwingine
CRDB Bank ni benki inayoongozwa na Serikali ya Tanzania, ikishikiliwa na Shirika la Umma. Imeanzishwa mwaka 1996 na imekuwa ikitoa huduma mbalimbali za kifedha kwa wateja wake, ikiwa ni pamoja na akaunti za akiba, mikopo, na huduma za benki mtandao.
@@rukundorwiza5223 DANIDA is just one of the bigger shareholders. There are few other bigger ones and thousands of others. The fact that foreigners have invested in a local Bank's shares means that value is being created. A vote of confidence for our country
Kwann Crdb hawatoi mikopo kwa mtu private ambae ana weza ingiza Zaid ya 100m kwenye acount yake kwa mwaka,na wakat yeye ni mfanyabiashara binafsi na hajahajiliwa
Hii kwa TZ nzima bado changamoto sisi bado system za kifedha ishu ndio maana mkopo kwa private ishu kupata..wanakimbilia kukopesha wafanyakaz ndio maana riba zinakua kubwa sana. Sijajua nchi zingine africa wamefanyaje unakuta riba ipo chini. na somehow private anachukua mkopo
CRDB ni mali ya washirika kama jina lake kwa kirefu ni COPERATIVE RURAL DEVELOPMENT BANK ilipoanzishwa cooperative za Tanzania waliweka hisa zao na kujenga jumba la Rumumba pale. Naibu Waziri Mkuu siku ya Ushirika Duniani aliagiza Cooperative waazishe Bank, Nauliza hii Bank kwa nini wasirudishwe kwa Washirika wenyewe??? Tanzania mbona wataalam na wanasiasa wanatubabaisha kuchezea mali za wananchi big WHY??
@@infosolution1323iliorodheshwa kwenye soko la hisa. Ndio maana sio kurudishwa, tukitaka unanunua hisa. Soko la hisa ni somo la mitaji, ndio maana mtaji wake umekuwa mkubwa sana
Tatizo la benki hii hisa zake huwa hazikui!! Walianza kuuza hisa miaka ya '90 na mwaka 2009 nikanunua hisa karibu 1280 hivi kwa bei ya wastani wa sh.150/- wakati huo nao NMB wako sokoni. Leo hii ulizia bei ya hisa zao pia za NMB na wakwambie tatizo la hisa zao kutokukua linatokana na nini?
Issue pia uangalie thamani yake na issue nyingine. Thamani yake ya hisa kwa miaka 5 iliyopita imekuwa kwa zaidi ya asilimia 500. NMB ni bank ambayo inaongoza kwa faida ila nayo hisa yao imestuck. Mimi May nilinunua kwa 500 leo inasoma 640.
@@lucasmaagi nimeuliza ya crdb kwa kipindi chote hicho tangu sh.150/- leo inasomekaje? Kipi kinasababisha yote haya na inakuwaje hisa za TBL na TCC wao zinaendelea kukua?
@@festokemibala5832 hata TCC ukiangalia imefika point ni kama zimeganda si unafuatilia soko la hisa la Dar es Salaam. Kuna mambo mengi ya kitaalamu yanachangia kama uongozi na mapato. Ila kwa taarifa za kifedha CRDB inafanya vizuri sana kwa sasa. Na pia thamani yake ni kama 745 huku NMB thamani yake kama 4450 hivi. Sokoni CRDB ni 640 kwa sasa NMB ni 5300. Na hisa ya CRDB inaonekana kama imesimama. Ila CRDB najua report ya Q3 ikitoka inaweza maliza mwaka na 700 hivi. Huku NMB huenda ikabaki hapo hapo.
@@festokemibala5832 kuna mambo mengi ya kitaalamu yanachangia hali ya hisa kukua mojawapo ni kampuni yenyewe inaendeleaje katika maswala ya mapato au uendeshaji wake. Ila kwenye hisa hatuangalii tu bei kupanda na kushuka je, unapata thamani halisi ya hisa unayonunua au unanua kwa bei ya juu zaidi kama vile TBL na TCC kwa sasa zipo juu ya elfu kumi huku thamani zake hazifiki hata elfu 5. Maana yake ununua kitu kwa bei ya juu zaidi kuliko thamani yake halisi vile vile kwa NMB thamani yake ni 4450 huku bei sokoni ni 5300. Kwa sasa CRDB ina thamani ya 745 huku bei ni 640 na inaweza kuwa zaidi kwa miaka 5 ijayo na kwa kati ya hisa bora za kununua ukilinganisha kampuni nyingine.
Crdb mnahuduma za kijinga Sanaa, sijui mnatuonaje, yaaani mtu mishi wa serikalini ukiwa unadaiwa na songesha et hupewi mkopo kweli? Hadi ulipe deni la simu jamani hatuji Tena tutawaha
CRDB ni Bank Nzuri Sana! Hongera saana MD kwa kazi nzuri mahiri na inaonekana.
Uzur wake ni nini?
Mr. Kikeke ni mkakati mzuri na mbinu kali wanayoitumia Crown Media kupanda levels🎉 Big up sana
Nje ya tunacho jifunza King Kikeke Unatupatia zaidi ya SHULE yaani harakati na upambanaji wako 🙌🙌🙌Jah bless you🙏🙏
First: Niwapongezi Crown Media kwa kazi mnayoifanya ila mahojiano mengi mnayoyafanya ni kama MARKETING STRATEGIES za pande mbili Interviewer na interviewee and we are the product.
Media yoyote private ni marketing agency
@@siriusa186 yes ila wanatuzingua tuu.
Kwa hiyo there are strategically doing big interviews na wakubwa zaidi na hakuna balance ya story zingine za wasio nacho
@@mwaaang Yes. Hazina balance kwa mtanzania wa kawaida.
Media zipo kutransfer information kwetu. Ambapo Sisi ni product kwao.
Hongera sana MD kwa kazi nzuri, CRDB ni bank yetu Watanzania 💪💪
CRDB Bank haimilikiwi moja kwa moja na shirika la umma moja. Hata hivyo, moja ya wamiliki wakubwa wa benki hiyo ni Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (Public Service Social Security Fund - PSSSF), ambao ni shirika la umma linaloshughulika na masuala ya pensheni kwa watumishi wa umma. PSSSF inashikilia sehemu kubwa ya hisa za CRDB, na hivyo kuwa miongoni mwa wamiliki wakuu wa benki hiyo. Pia, kuna wawekezaji binafsi, taasisi za kifedha, na wateja binafsi walio na hisa katika benki hiyo.
Crown 👑 media professional media
Crown wakiendelea hivi wakakaza msuli itawapiga chini media nyingi sana TZ
the man, is so smart.
Hongera Sana MD , good presentation, i salute you 🙏🙏🙏
Tunatamani kuiyona taarifa ya habr kutoka crown ten msomaji pia awe Imani luvunga.
Kwa kweli Iman anajua anajua tena
Noma
Nje ya Africa Crdb wanakwenda 🇨🇳
Nakubali
The bank that listens 🎉
CRDB na benki nyingine za Tanzania mnatoza makato Mengi sana.
Mnapata faida kubwa Sana kwa hasara zetu wateja wenu
Samahani Benk gani ni bora?
@@leokamil6284hakuna may be Islamic bank
Mtu anakuwa na dollar account, ukienda kuchukua dollar, wanakuambia hatuna.
Niilibiwa pesa zangu CRDB naichukia sana benki hio
Really, haujafungua kesi
@@ilovejesus9303 kama unao ushahidi wa hili kwa nini usitafute haki yako katika vyombo vinavyotoa haki? Kulalama tu sisi tunachukulia ni hujuma!
Sas kama watu wanaweka fixed deposit kwa mwaka mnawapa 6%. Huu ni wizi nao
Kwani wamelezimishwa? Elimu ya fedha na uwekezaji ndo hamna kwa watu wengi iyo hela aliyoweka kwenye fixed siangeweza kununua hisa za benki iyo iyo
CRBD, NBC,EXIM BANK N.K. Sio bank ni madalali imagine wewe ni mteja unaweka pesa zako bank eti Kila mwezi unakatwa pesa. Ukitoa pesa kukwenye bank Yao unakatwa. Wakajifunze 🇺🇸 and 🇬🇧, ndio maama watanzania Wana weka pesa zao 🇺🇸 and 🇬🇧. Niliongea na mkuuwao wakazi bado wanamawazo mdogo hata kuwashawishi serekali lakini nimachawatu..ndio maana Daizpora wote tunawaona wasenge tu..
Hakuna bank dunian unayoweka na kutoa pesa bure
Wajifunze tu nmb kwa Tanzania aisee hizi bank nyingine watajifunza sana kwao
Hongera sana mkuu
Sasa MD, ile Range yako mbona haijjajja Arusha kwenye Landrover Festival?
Ila hii benk ya CRDB nina ihama kwasababu akili zao wanazijua wenyewe
Kawaida Tu em Nendeni Absa Mkaone makato😅
Crdb toka iuzwe imekuwa ya hovyo mno. Wana makato mengi mno hadi kero.
Sitkaki hata kuwasikia mbwa hawa
Samahani benk gani ni bora?
Naungana wewe makato ya CRDB kila mwezi , kama uliacha laki moja utakuta hamna kitu inabidi account ifungwe! Just maintance fee ya account
@@NtuliMwakyusa-o4w Samahani benki gani ni bora?
@@leokamil6284 ambacho hujui ni nini wote hao wanajifunza kwa NMB bank wana product nzuri sana sasa hivi wameleta kitu sisi ni huduma, waneona wanaweza kuwa na bidhaa nzuri ila huduma ikiwa Mbaya ni kazi Bure so kwa sasa wamejikita vilivyo kwenye kutoa huduma Bora, nmb huwezi kushituka kukatwa ni kidogo sana
@@leokamil6284 Na hata huyo mkurugenzi anayeongea wamemtoa Nmb
Faida inatokana na makato makubwa ,kwa maana nyingine hapo unajisifu kunyonya watu
Wizi mtupu lazima mupate faida kubwa maana makato munayowakata wananchi kila mwezi ni aibu kwa nyinyi kuitwa bank.nyinyi hamuwasaidii wananchi bali munawamaliza wananchi
Pokea maua yako mkurugenzi wa bank kubwa Tz🎉
Hadi Leo huijui bank kubwa ni ipi 😅😅
MMILIKI WA CRDB
20:35
Mimi kwakweli crdb nawapongeza ni bank inayosikiliza wateja wao .
Benki nzuri ila haijawekeza vizuri kwa wafanyabiashara wadogo hao micro na wakati
Hiyo faida kubwa inatokana na tozo kubwa kwa sisi wana benki.Mnatukata sana fedha nyingi kila mwezi na kila tutoapo pesa.
hii benki inaiba sana.. haifai
@@machinefannatic99 uthibitisho tafadhali, ili sisi tuliomo humo na wanaojiandaa kuwekeza amana zao wafanye tafakuri ya kina ama kuwekeza au kwenda mahala pengine. Kama huna ushahidi kaa kimya
Pili wanamakato makubwa sana ,
@@yonathanandrecus7465benki nyingi zina makato mimi nipo NBC nikukutajia makato yangu unaweza sema afadhali CRDB
@@festokemibala5832 asie sikia la mkuu huvunjika guu, hii benki imewahi kuniibia pesa mara kadhaaa, kama unataka uthibitisho kamili basi endelea kuitumia. Simple
@@yonathanandrecus7465 uizi ndio unaanzia hapo.. juzi tu mdogo wangu kaniambia wamelamba 300,000tsh…
CRDB wanafanya kazi nsuri
CRDB BANK IN UNITED STATES OF AMERICA COMING SOON
Nawapongezs kwa huduma ya kuweka cash kwenye 🏧 hoongezini hii huduma kwa kwa krkoo nzima ipo lumumba tu honrenu kwa hii huduma
Mbona mahojiano yote ni markerting ? Jaribuni kugusa nyanja mbalimbali
Mwambie huyo jamaa akopeshe vijana wanao jielewa
Kikeke naumbe umuulize huyo mkurugenzi mwambiye sisi tuliopo zanzibarr mbona tukiomba mikopo CRDB mbona masharti ynakuwa makubwa lkn mkopo huohuo ukiomba upande wa pili unapewa bila masharti makubwa
In general kupata mkopo CRDB ni changamoto Zanz na Tanganyka.
Swali la kizushi sawa na vipi mbona mbara kupata ardhi zenj inakuwa ni ngumu?
@@festokemibala5832 Kila Nchi inataratibu zake kk.
Mnatabia za p didy
@@universaldesign4295na CRDB inataratibu zake
Hawa jamaa ni wezi sana! Wanamakato mengi sana ya ovyo
Izo fedha niza ........ Ivyo yani
Asante
mnajisifia Bure tu mnamakato ya kiwizi sana
Mfano?
Makato makubwa kila mwezi wanakata pesa
Ongeza juhudi ya kutafuta pesa ndugu
Tofautisha na bank nyingine Crdb wanamakato makubwa sana,tofauti na ela ukitumia kwa simu
@@yonathanandrecus7465ni kweli
Mie ni mtanzamia najitafuta hapa nchin DRC natamani niwe wakala CRDB inawezekana? Napatikana Lubumbashi na kolowezi
Your number please
Kua makini unatapeliwa mda simrefure badea uanze kulia na CRDB BANK kumbe sio wao
Tafuta account yao ya instagram yenye tiki ya blue uwasiliane nao kwa msaada zaidi
@@Muba-rf1ebacha uhuni muba
@@jamesmassawe4888 mim ndo mkurugenzi wa crdb
Lazima mpate faida kubwa sababu mnakopesha fedha yenye riba na bado mnakata makato ya uendeshaji mkopo wakati mmeshapigia riba huu ni wizi kama wizi mwingine
👍👊✌️.
CRDB Bank ni benki inayoongozwa na Serikali ya Tanzania, ikishikiliwa na Shirika la Umma. Imeanzishwa mwaka 1996 na imekuwa ikitoa huduma mbalimbali za kifedha kwa wateja wake, ikiwa ni pamoja na akaunti za akiba, mikopo, na huduma za benki mtandao.
Sio sahihi. Ni Bank inayomilikiwa na maelfu ya Wanahisa, Serikali ikiwa mmoja wao
@@1961nungwi soma ujumbe wa chini
@@saidsalim6729 upi? Naifaham CRDB na jinsi soko la hisa lonavyofanya kazi
Crdb is Danish (DENMARK)
@@rukundorwiza5223 DANIDA is just one of the bigger shareholders. There are few other bigger ones and thousands of others. The fact that foreigners have invested in a local Bank's shares means that value is being created. A vote of confidence for our country
Bank namba 1 Tanzania unaweza kutoa milion 25,000,000 kutumia kadi na kutoa kwa Wakala
Fee ni nyingi sana, ni unyonyaji ifike mahali BOT iingilie kati. Sio faida ni makato ya kinyonyaji
Hiyo faida mnawasaidiaje wateja kwa riba kubwa mnazotoza? Mnapata faida kubwa na riba bado kubwa.
Kwann Crdb hawatoi mikopo kwa mtu private ambae ana weza ingiza Zaid ya 100m kwenye acount yake kwa mwaka,na wakat yeye ni mfanyabiashara binafsi na hajahajiliwa
Hii kwa TZ nzima bado changamoto sisi bado system za kifedha ishu ndio maana mkopo kwa private ishu kupata..wanakimbilia kukopesha wafanyakaz ndio maana riba zinakua kubwa sana. Sijajua nchi zingine africa wamefanyaje unakuta riba ipo chini. na somehow private anachukua mkopo
Inamsikiliza na kumjali mteja. Wafanyakazi wako kazini si kwenye maonesho.
EFFICIENCY
Huku congo bank yao inaitwaje
Mundende bank
Mundende bank 😂😂😂😂😂😂
Ni CRDB ipo Lubumbashi
Kaka ukipata jibu la kwenye ni juze broo
M23
Kuna meneja wa crdb alikuwa njia panda segrea huduma yake ilikuwa bora sana tutafute mameneja km hy mtafika mbal pongez kwake
Meneja Mubofu
nchi ya Africa nategemea kuona China, Dubai sababu wafanyabiashara wetu wengi huendi huko
wapi kasema crdb ni ya nani?
Ili iweje
CRDB ni mali ya washirika kama jina lake kwa kirefu ni COPERATIVE RURAL DEVELOPMENT BANK ilipoanzishwa cooperative za Tanzania waliweka hisa zao na kujenga jumba la Rumumba pale. Naibu Waziri Mkuu siku ya Ushirika Duniani aliagiza Cooperative waazishe Bank, Nauliza hii Bank kwa nini wasirudishwe kwa Washirika wenyewe??? Tanzania mbona wataalam na wanasiasa wanatubabaisha kuchezea mali za wananchi big WHY??
@@infosolution1323iliorodheshwa kwenye soko la hisa. Ndio maana sio kurudishwa, tukitaka unanunua hisa. Soko la hisa ni somo la mitaji, ndio maana mtaji wake umekuwa mkubwa sana
@@barakamanga5502 soma kichwa cha habari
Jibu ni ya nani
Haaaaahaaah kwaiyo mnawekeza kidogo ila mnapata faida KUBWAAAAAAA
Wamepoteza hati yangu ya Nyumba
Pole sana hiyo mbaya mno
Halafu?
Kabisa ni hatari sana @@leokamil6284
Kikeke nikopee ml 2 basi nizungushe
😂😂😂😂😂😂
TUNASAIDIA NCHI ZAIDI YA TANO NANE SITA 🙄🙄🙄 mmhhhh changa la macho 😏😏
Mlishamkopesha nzni siasa tu
Tatizo la benki hii hisa zake huwa hazikui!! Walianza kuuza hisa miaka ya '90 na mwaka 2009 nikanunua hisa karibu 1280 hivi kwa bei ya wastani wa sh.150/- wakati huo nao NMB wako sokoni.
Leo hii ulizia bei ya hisa zao pia za NMB na wakwambie tatizo la hisa zao kutokukua linatokana na nini?
Issue pia uangalie thamani yake na issue nyingine. Thamani yake ya hisa kwa miaka 5 iliyopita imekuwa kwa zaidi ya asilimia 500. NMB ni bank ambayo inaongoza kwa faida ila nayo hisa yao imestuck. Mimi May nilinunua kwa 500 leo inasoma 640.
@@lucasmaagi nimeuliza ya crdb kwa kipindi chote hicho tangu sh.150/- leo inasomekaje? Kipi kinasababisha yote haya na inakuwaje hisa za TBL na TCC wao zinaendelea kukua?
@@festokemibala5832 hata TCC ukiangalia imefika point ni kama zimeganda si unafuatilia soko la hisa la Dar es Salaam. Kuna mambo mengi ya kitaalamu yanachangia kama uongozi na mapato. Ila kwa taarifa za kifedha CRDB inafanya vizuri sana kwa sasa. Na pia thamani yake ni kama 745 huku NMB thamani yake kama 4450 hivi. Sokoni CRDB ni 640 kwa sasa NMB ni 5300. Na hisa ya CRDB inaonekana kama imesimama. Ila CRDB najua report ya Q3 ikitoka inaweza maliza mwaka na 700 hivi. Huku NMB huenda ikabaki hapo hapo.
@@festokemibala5832 kuna mambo mengi ya kitaalamu yanachangia hali ya hisa kukua mojawapo ni kampuni yenyewe inaendeleaje katika maswala ya mapato au uendeshaji wake. Ila kwenye hisa hatuangalii tu bei kupanda na kushuka je, unapata thamani halisi ya hisa unayonunua au unanua kwa bei ya juu zaidi kama vile TBL na TCC kwa sasa zipo juu ya elfu kumi huku thamani zake hazifiki hata elfu 5. Maana yake ununua kitu kwa bei ya juu zaidi kuliko thamani yake halisi vile vile kwa NMB thamani yake ni 4450 huku bei sokoni ni 5300. Kwa sasa CRDB ina thamani ya 745 huku bei ni 640 na inaweza kuwa zaidi kwa miaka 5 ijayo na kwa kati ya hisa bora za kununua ukilinganisha kampuni nyingine.
Crdb mnahuduma za kijinga Sanaa, sijui mnatuonaje, yaaani mtu mishi wa serikalini ukiwa unadaiwa na songesha et hupewi mkopo kweli? Hadi ulipe deni la simu jamani hatuji Tena tutawaha
Wote wanahisa songesha na crdb lao moja
Dawa ya deni kulipa acha lawama
Ukope songesha uwakimbie ndo uende CRDB? Huko hawataki janjajanja,Lipa madeni Mzee!
Mumiliki wa crdb ni Nani
Maelfu ya wanahisa kupitia soko la hisa
Asilimia 21 DANIDA Denmark, kuna pssf 13, nssf ya Uganda 6, kuna wawekezaji wengine wengi wa nje na wa ndani pia
Wamiliki wa Bank hiyo ni RothsChild
Toa mfano wapi mumefanikiws kuwaibia wananchi
angalia bank statement yako
Hio faida ni ndogo kwa bank yenye ukubwa wa pata CRDB , mfano huku kwetu Congo TMB bank IME faidika dola millioni mia tano kwenye myezi tisa tu
James ebu njo inbox
@@willykaovela5485 hum
@@willykaovela5485 ni text
Ndiomaana wamekuja