Mch. Hananja awavunja watu mbavu ibadani, UDSM CCT CHAPLAINCY.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Video na Audio hizi zinahusu Matukio, Mafundisho na Mahubiri Yaliyotolewa Katika Ibada zinazofanyika UDSM CCT Chaplaincy (CCKD)

ความคิดเห็น • 818

  • @davidmisiwa4622
    @davidmisiwa4622 ปีที่แล้ว +75

    Kama unampenda na kumkubali huyu mchungaji Kwa huduma yake gonga like kisha SEMA neno kwake

    • @odanmmbaga9806
      @odanmmbaga9806 10 หลายเดือนก่อน +4

      Safi SANA 😊

    • @Wigasquare
      @Wigasquare 10 หลายเดือนก่อน +4

      Hata mimi na muelewa sana huyu kiongozi,

    • @helenadoramtera1813
      @helenadoramtera1813 10 หลายเดือนก่อน +3

      Mungu akupe Maisha marefu

    • @timothybarasa8569
      @timothybarasa8569 5 หลายเดือนก่อน

      ​@oda😂😂😂y😂😂😂nmmbaga9806

    • @MwanaShesha
      @MwanaShesha หลายเดือนก่อน

      Yuko poa sana

  • @BashelElly
    @BashelElly 4 หลายเดือนก่อน +15

    Waubiri kama huyu hawapo Kenya 😂😂

    • @EsperanceMauwa
      @EsperanceMauwa 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huyu na pasta nganga, hakuna différente

  • @agnerambena8457
    @agnerambena8457 ปีที่แล้ว +37

    Mchungaji uko vzr, unatuondolea stress baba Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na amani

  • @TrishaNey
    @TrishaNey 10 หลายเดือนก่อน +11

    mtumishi wa mungu..umefariji sana moyo wangu.ubarikiwe

  • @davidwainaina3899
    @davidwainaina3899 2 ปีที่แล้ว +20

    Asante mchungaji 💯 God bless you mtumishi I'M from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✝️✝️🇰🇪 ✝️✝️✝️✝️ amen amen amen amen

    • @samwelcharo8151
      @samwelcharo8151 6 หลายเดือนก่อน

      God bless u pastor, I'm samwel from kenya

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 2 ปีที่แล้ว +17

    Noma sana,,Mzee Biblia kaiweka kichwani yote..

  • @lioncub7099
    @lioncub7099 21 วันที่ผ่านมา +2

    Nipo Kenya, you a ablessing to me and my family, God bless pst Richii

  • @mariachisunga1095
    @mariachisunga1095 ปีที่แล้ว +24

    Mahubiri sahihi kwa wakati sahihi ... Hii ndio vijana wanataka kuskia na watu woote wa dunia hiii... Barikiwa Baba hananja nakupenda

  • @JuliusHatari
    @JuliusHatari 3 หลายเดือนก่อน +7

    Nimeona kipaji kwake huyu mchungaji amekariri mafungu mengi sana nilikuwa namfatisha kwenye bible yuko vizuri sana aiseee ,,, Mungu akubaliki pastor Ananja

  • @melckizedecktemba5373
    @melckizedecktemba5373 ปีที่แล้ว +10

    Huyu ni mtumishi halisi, Mungu amemuweka kusababisha Furaha ...furahini ktk Bwana siku zote tena NASEMA furahini..amewekwa kuondoka stress kwa watu

    • @Auntybetty_tz
      @Auntybetty_tz ปีที่แล้ว +2

      Ukweli huyu amesoma Maisha halisi ya watu, mtaani tumemchoka, ukija kanisani muhubiri anakusimanga umetoa sadaka ndogo, moyo unachaka zaidi.lakini huyu mchungaji ni FARAJA ya watu waliopondeka moyo

  • @vennyblack3766
    @vennyblack3766 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza mtu anaweza enda Ata na mtoto kwenye hili kanisa maana kwingine ni kelele mpaka mtoto anachanganyikiwa ni makelele tu

  • @mossyfimbo3577
    @mossyfimbo3577 10 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu Baba akujalie maisha marefu uzeeke kwa Neema na Rehema na kuhubiri Neno la Bwana mpaka siku yako ya mwisho ya maisha yako haya yoote nayaomba kwa Jina la Bwana wetu Yesu Kristo

  • @isaackmzalendo3194
    @isaackmzalendo3194 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mchungaji nahanja kama comedian kunsiku tutakuta mahubiri yake kwenye sinema zetu

  • @AcousticMukelo
    @AcousticMukelo 3 หลายเดือนก่อน +4

    My Favorite Pastor 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾🔥🔥🔥👍🏾👍🏾

  • @lilaccalmlife
    @lilaccalmlife ปีที่แล้ว +20

    Whoever is reading this, I pray for you that God visits your home today with Healings, blessings, and Miracles. Amen💞

  • @constantinennonjela3922
    @constantinennonjela3922 2 ปีที่แล้ว +14

    Baba Mungu aendelee kukubariki mafundisho yako yanauchoma Moyo wangu na yanaubadili sana

  • @germanakisogole5591
    @germanakisogole5591 2 ปีที่แล้ว +12

    Nakuelewa sana
    I love you from Iringa kwa Dr Rooooose😄😄😄🥰

  • @tausihasheem5169
    @tausihasheem5169 ปีที่แล้ว +4

    🤣🤣🤣Mungu nisaidie nimecheka jmn
    Sema nimefarijika sana

  • @mayungamanyanda5280
    @mayungamanyanda5280 2 ปีที่แล้ว +11

    atleast tumepata mchungaji wa mtaa... Bravo kaka

  • @severinaseverinanyoni707
    @severinaseverinanyoni707 ปีที่แล้ว +5

    Mungu alikuleta kwaajili yetu Ww ndio mtumishi wa Mungu ata vifungo vipo kichwani ww ni mtumishi wa Mungu ila hawa wengi bila kusoma awaendi ila ww kila kitu kipo kichwani jmn mtumishi ww nakupenda sana mm nipo dubai nakufatilia sanaa

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 2 ปีที่แล้ว +3

    Yaani mchg Biblia nzima IPO kichwani ukiwa ibadani uwezi kupata usinginzi Amestafu mapema pia atukumjua mapema yaani Ibada ina uhai

  • @samsonimunisi374
    @samsonimunisi374 2 ปีที่แล้ว +9

    Tukisema kuna majembe ktk shamba la Mungu ndiyo hili,ndiyo faida ya kumsikiliza ROHO MT.watumishi jiongezeni ktk ROHO MT.

  • @japhetmweke52
    @japhetmweke52 2 ปีที่แล้ว +6

    Hii siku ilikuwa ya neema sana nili enjoy sana yaani huyu mchungaji alinifurahisha sanaaaa🤣🤣🤣🤣

  • @irutingaboisaac7673
    @irutingaboisaac7673 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mimi ni munyarwanda,lakini nakupenda sanaaaaaaaaaaaaaa mungu azidi kukubariki

  • @mbarakali5567
    @mbarakali5567 ปีที่แล้ว +1

    Mimi muislam huyu jamaa ni mchungaji wa aina yake

  • @joycekimaro4340
    @joycekimaro4340 2 ปีที่แล้ว +7

    Mungu akubariki kwa mafundisho mazuri na pia unatufurahisha sana chakula na mboga bwana hakika ww sio mchungaji wa bahati mbaya ni Mungu alikuchagua penda sana ww Mungu akutunze na kimo chako

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 2 ปีที่แล้ว +70

    Mimi muisilamu wallah lakini huyu ndio anahubiri vya maana vya kupoza moyo

    • @udsmcctmedia7708
      @udsmcctmedia7708  2 ปีที่แล้ว +5

      Ubarikiwe. Karibu tumwabudu Mungu pamoja.

    • @edinaalbath6165
      @edinaalbath6165 2 ปีที่แล้ว +5

      Nimebarikiwa kupitia neno lako, barikiwa sana na mungu akutie nguvu uendelee kusimama imara amina.

    • @liliansmatemba67
      @liliansmatemba67 ปีที่แล้ว +2

      Subirayamkulimacharlessaasita

    • @liliansmatemba67
      @liliansmatemba67 ปีที่แล้ว +1

      S

    • @djgthehotstepper
      @djgthehotstepper ปีที่แล้ว +2

      Mi muislam lakini napenda elimi yake na inspiration 🤣🤣🤣

  • @exaudlyimo3459
    @exaudlyimo3459 2 ปีที่แล้ว +21

    Mungu akubariki sana Mchungaji, nimebarkiwa sana na mahubiri yako. Karibu sana Usharika wa Mwika Moshi.

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 2 ปีที่แล้ว +10

    Ameni asante Baba Mchungaji❤❤

  • @neemaelieza708
    @neemaelieza708 ปีที่แล้ว +16

    Mungu akupe maisha marefu mchungaji wetu tunskupenda sana

  • @MndoaSadat-ke6bx
    @MndoaSadat-ke6bx ปีที่แล้ว +2

    Mimi nampenda sana huyu mchungaji
    Pamoja nakua mm ni muislam
    Hongera mchungaji

  • @evodiusandrew9713
    @evodiusandrew9713 2 ปีที่แล้ว +9

    Mungu akubaliki sana mchungaji Hananja unafundisha,unachekesha na unahubiri respect kwako

  • @sarahjoshua7559
    @sarahjoshua7559 2 ปีที่แล้ว +6

    Nimecheka kwenye daldala km chizi jmniii Baba Barikiwa sana

  • @kibetndiwa9550
    @kibetndiwa9550 3 หลายเดือนก่อน +2

    Be blessed pastor, unahubiri ukweli kabisa

  • @IsayaLaizer-o8j
    @IsayaLaizer-o8j หลายเดือนก่อน

    Mtumishi karibu monduli juu 2nakupenda sana

  • @floridaemmanuel1922
    @floridaemmanuel1922 2 ปีที่แล้ว +5

    Hakika uinuliwe mtumishi Mungu akubarika sana japo sijatimiza ndoto zangu za elimu lakini natiwa moyo namafundisho yako yskua nisikate tamaa IPO Siku ntapata kuendelea namasomo yangu niombee nifanikiwe kupata ada ya chuo miaka mitatu Ili nikasome namim mchungaj

    • @udsmcctmedia7708
      @udsmcctmedia7708  2 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akusaidie, Ajibu Haja ya Moyo wako. Ameni.

  • @annakarijo8478
    @annakarijo8478 ปีที่แล้ว +6

    Anafaa huyu amafariji sana Mungu azidi kumbariki. Amina.

  • @dennomtotowasarah1519
    @dennomtotowasarah1519 ปีที่แล้ว +12

    Karibu Nairobi city Kenya mchungaji...glory be to God 🙏

  • @evaristbamfu7149
    @evaristbamfu7149 2 ปีที่แล้ว +8

    Mungu aendelee kukubariki na kukutumia kwa kazi yake takatifu. Unalijua neno. Ubarikiwe sana Baba

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyu na king majuto mapacha

  • @christinekiware-uj4hz
    @christinekiware-uj4hz 14 วันที่ผ่านมา +1

    Uko vizuri Mchungaji,Mungu akubariki

  • @HamisMgogolo
    @HamisMgogolo 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe na akuongoze safari yako ya kutangaza injili daima ni kipaji umekilimiwa

  • @emilylusinde2547
    @emilylusinde2547 2 ปีที่แล้ว +6

    Ibada nzuri hata shetani hawezi leta uzingizi wakati wa ibada.

  • @joshuanjoroge2274
    @joshuanjoroge2274 ปีที่แล้ว +30

    Namekusikiza for the first time but you have made me feel blessed and I have just loved you. Church is place of Joy

    • @anthonyassenga2365
      @anthonyassenga2365 2 หลายเดือนก่อน

      thank you glory to god piga subsribe uweze kunifutilia mtu wa Mungu

  • @revocatusemily9677
    @revocatusemily9677 2 ปีที่แล้ว +14

    Hakika wewe ndo mchungaji unae hubili ukweli.hata kama ulikuwa na mawazo ukija kanisani kwako lazima mawazo yote yaishe

  • @reginaldtarimo-kf1ye
    @reginaldtarimo-kf1ye ปีที่แล้ว +15

    Hananja baba uko vizuri mahubiri yako yako sawa na yanatia moyo sana.hii ndiyo faraja ya moyo...

    • @ChristineNzyoka
      @ChristineNzyoka ปีที่แล้ว

      Haya Sasa ndiyo mahubiri,hogera sana Mchungaji Hanaja na Mungu akubariki pamoja na familia yako

    • @julianaparesso3937
      @julianaparesso3937 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akupe miaka mingij🙏

    • @julianaparesso3937
      @julianaparesso3937 ปีที่แล้ว

      Unahubiri km utani lkn
      Usemayo ni kweliiii

  • @miriamkarata7495
    @miriamkarata7495 2 ปีที่แล้ว +9

    Mungu azidi kukutunza daima Baba🙌🙌😂😂😂😂😂

    • @ednajawa1473
      @ednajawa1473 2 ปีที่แล้ว

      Mungu wetu aendelee kukutia nguvu Mtumishi wa Mungu, Amen.

  • @philipmwambingu8355
    @philipmwambingu8355 ปีที่แล้ว +2

    🤣😂😂🤣🤣🤣🤣 hayo maombi ndiyo yamenibamba

  • @happyrange6259
    @happyrange6259 5 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiwa sana Mchungaji. Mungu atukuzwe kwa karama aliyokupa ya kuielewa biblia na kuhubiri.

  • @IsaacNyato-dt9we
    @IsaacNyato-dt9we 11 หลายเดือนก่อน +2

    Halafu wachungaji na maaskofu wengine wanatuchanganyia siasa na dini. Kwao tunataka mahubiri kama Haya siyo huo usnaharakati wanaotufantia. Abarikiwe sana mchungaji Hananja tunamwekewa sana.

  • @katekabugua856
    @katekabugua856 ปีที่แล้ว +51

    for the first time in a while I have watched a full sermon nimependa sana mafunzo sitachoka mpaka Yesu afanye jambo. 🇰🇪

    • @angeluskapinga2255
      @angeluskapinga2255 ปีที่แล้ว

      Mchungaji anaujumbe. Hayo do mahubiri na anaonyesha kuinua Biblia vilivyo sio kwa kukariri ila kuitumia katika maisha halisi ya mtu. Abarikiwe sana.

    • @denisngainemunene5947
      @denisngainemunene5947 ปีที่แล้ว

      Mungu akubaliki muchungaji

    • @luicehizza7349
      @luicehizza7349 ปีที่แล้ว

      Huyu mchungaji natamani nikutane nae siku nimempenda sana

    • @ednapeter7068
      @ednapeter7068 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @sheijj4608
      @sheijj4608 ปีที่แล้ว

      ​@@angeluskapinga2255😊

  • @sacg9783
    @sacg9783 2 ปีที่แล้ว +2

    Ambiwa nakwenda mbinguni kutalii baba🤣🤣🤣🙌 MUNGU akubariki na kukuweka miaka mingi

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 ปีที่แล้ว +3

    Maneno yako mazuri sana na ya hekima,sio dini gani ila ni malezi ya haki kwa kila mtu

  • @ChristerGreison-kr6wj
    @ChristerGreison-kr6wj ปีที่แล้ว +1

    😅😅😅😅 mungu akupe maisha marefu

  • @apostlemathew5801
    @apostlemathew5801 2 ปีที่แล้ว +12

    Mungu Ana watu

  • @favour2007
    @favour2007 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂yaani mchungaji yuaomba,katika jina la yesu...huku mimi kicheko chaniuwa😅😅😅lakini Amen kwa somo "hapachoki mtu hapa"😂

  • @mbaliwambua6444
    @mbaliwambua6444 6 หลายเดือนก่อน +2

    Najisikia kusikiza mawaidha yako

  • @imanuelmrema3298
    @imanuelmrema3298 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndie mchungaji haswa!! MUNGU AMBARIKI

  • @gladyskanemba1079
    @gladyskanemba1079 2 ปีที่แล้ว +2

    BWANA YESU ASIFIWE.
    Naitwa Gladness Kanemba, umri miaka 28, nimeokoka, napenda sana Yesu, ninahuduma ya kuhubiri injili katikati ya watu wenye changamoto za madawa ushoga na ukahaba. Samahani naweza kupata mawasiliano na hivyo vituo?.
    Natamani ningepata nasafi ya kuhubiri.

  • @Jacklinekimario-s5q
    @Jacklinekimario-s5q 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤ baba unatufurahisha sana

  • @DorisTarimo-wn5nf
    @DorisTarimo-wn5nf ปีที่แล้ว +2

    Homgera baba mungu akupe moyo huohuo wa kubeba matatizo ya watu

  • @sophiajosephlusingsophiajo8166
    @sophiajosephlusingsophiajo8166 ปีที่แล้ว +1

    🎉Safi sana.jeshi😅

  • @joyceian3040
    @joyceian3040 ปีที่แล้ว +2

    Hii ya lini Mtu wa Mungu? Na huo mkutano ni lini?

  • @VanisKwamboka-hj6xo
    @VanisKwamboka-hj6xo ปีที่แล้ว +5

    I feel blessed with the preaching May The good lord bless you pastor

  • @marybaranga7218
    @marybaranga7218 ปีที่แล้ว +5

    God bless you baba mchungaji

  • @karaoglan9444
    @karaoglan9444 2 ปีที่แล้ว +5

    Nimeshtuka na hili la Bagamoyo!! Ulimwengu una mambo mengi! Kwa kweli Mtumishi anakutana na mengi mno!!

  • @zebakimuzic
    @zebakimuzic 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyu ndo mchungaji sasa

  • @fortunataurassa9051
    @fortunataurassa9051 ปีที่แล้ว +2

    Kwakweli nimebarikiwa na huyu mchungaji

  • @user-z7z4l
    @user-z7z4l 5 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji billionaire huyu. Anapendeza kwa mahubiri yake

  • @AnithaWense
    @AnithaWense 16 วันที่ผ่านมา +1

    ubarikiwe kwa mafundisho mazuri,usikate tamaa songa mbele

  • @mikelumbasio7151
    @mikelumbasio7151 ปีที่แล้ว +1

    Karibu Metrochurchwelove nakuru kenya

  • @stephanoselaphin8474
    @stephanoselaphin8474 2 ปีที่แล้ว +12

    Nakupenda sana baba, Mungu akupe miaka elf ufundishe vizazi na vizazi

  • @ezraelsewejo9755
    @ezraelsewejo9755 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji kama huyu wapatkane nawengine waige mahubiri kanisani sio kukashifu watu sehemu ya amani
    Fundisha neno .lakini kanisani kwa ndio kwa kuhubir mda mrefu msibani ibada fupi.

  • @winniepetrol6467
    @winniepetrol6467 2 ปีที่แล้ว +2

    Ati tunakemea pepo la usingizi🤣🤣🤣akalale wapi😅😅🙏

  • @CatherineMwakibinga-gi1kp
    @CatherineMwakibinga-gi1kp ปีที่แล้ว +16

    Nampenda anavyojua mistari ya biblia tu,Mungu ampe uzee mwema

    • @yistonlutumo
      @yistonlutumo ปีที่แล้ว +1

      Yiston lutumo I,think you pastar my self I,m very much the GOG bless you

    • @Misswinnie-j8x
      @Misswinnie-j8x 2 หลายเดือนก่อน +1

      Alilelewa katika maadili mema ndo maana 😅😅😅 Mithali 22:6

  • @IsaacNyato-dt9we
    @IsaacNyato-dt9we 11 หลายเดือนก่อน

    Asiyemwelewa mchungaji huyu, ana matatizo binafsi.

  • @saidramadhan71
    @saidramadhan71 ปีที่แล้ว +2

    Asante sante mchungaji ipovizuri mwenyezi mungu akupe maisha marefu zaidi hapa Duniani Emeen

  • @jeniferchamla1853
    @jeniferchamla1853 ปีที่แล้ว +9

    Mungu akubariki sana mtumishi..nabarikiwaga sana namahubiri yako

  • @NkikiKileo
    @NkikiKileo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ampe miaka ya kutosha azidi kutuelimisha kumjuwa Munguuu

  • @OmoloKwaye-ym6fr
    @OmoloKwaye-ym6fr ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwa ukweli na sema kweli ili tupone una mahubiri mazuri sana mchungaji Richard hananja

  • @magrethmicheal4663
    @magrethmicheal4663 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kuchoka hapa, Nimependa sana MAOMBI Haya😂😂😂😂😂

  • @alphoncekimario5359
    @alphoncekimario5359 2 ปีที่แล้ว +1

    NIMEKUKUBALI MCHUNGAJI NIMANENO YA HEKIMA NA BUSARA UMENENA :DAH" UBARIKIWWE SANA~TH-cam ldumu✓✓✓✓

  • @mbekureparmet6253
    @mbekureparmet6253 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji unawafaa vijana sana

  • @wanjalaelia3315
    @wanjalaelia3315 ปีที่แล้ว +1

    Jamani, I have really been blessed... Enjoyed it..... Stress kwisha!

  • @starlonzakayo7074
    @starlonzakayo7074 ปีที่แล้ว +3

    The kind of preaching, waaa so knowledgeable, inspiring. Bible school did something here.

  • @gabrielnyambu2744
    @gabrielnyambu2744 2 ปีที่แล้ว +6

    Mchungaji mubarikiwe sana wewe Hanaya pamoja na Mgogo.

    • @taucyjoseph8274
      @taucyjoseph8274 2 ปีที่แล้ว

      Yani na mgogo wanaongea kweli tu

  • @jumajohnmwilelo7453
    @jumajohnmwilelo7453 หลายเดือนก่อน

    Nilivyokuwa makuona kwa mara ya kwanza imekuwa tofauti na siku ya leo. Hakika umenibariki sana. Katika Waebrania 12:1-3

  • @gavinmaketa6198
    @gavinmaketa6198 2 หลายเดือนก่อน +1

    😅😅😅 ubarikiwe

  • @estomihijohn6013
    @estomihijohn6013 2 ปีที่แล้ว +16

    Haleluyaaaaaaaa! "(Luke 2:14)"
    Glory to THE BLESSED HOLY MOST HIGHER ALMIGHTY MIGHTY in the highest, and on earth peace, good will toward men.
    Atukuzwe MUNGU WA MIUNGU MUWEZA ZAIDI YA KULIKO YOTE juu mbinguni, Na duniani iwe amani kwa watu ALIOWARIDHIA. haleluyaaaaaaaa! AMEN RAAH! AMEN RAAH! Haleluyaaaaaaaa!! To the BLESSED MOST HIGHER HOLY ALMIGHTY MIGHTY. "(YESAYA 54:17)" No weapon that is formed against thee shall prosper; and every tongue that shall rise against thee in judgment thou shalt condemn. This is the heritage of the servants of THE MOST HIGHER ALMIGHTY MIGHTY, and their righteousness is of me, saith the Haleluyaaaaaaaa GLORY TO THE BLESSED HOLY MOST HIGHER ALMIGHTY MIGHTY. "(YESAYA. 54:17)" Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa. Huu ndio urithi wa watumishi wa MUNGU WA MIUNGU, na haki yao inayotoka kwangu mimi, asema MUNGU WA MIUNGU MUWEZA ZAIDI YA KULIKO YOTE. Haleluyaaaaaaaa! AMEN RAAH! AMEN RAAH! Haleluyaaaaaaaa!

  • @emanuelyohana3049
    @emanuelyohana3049 ปีที่แล้ว +2

    Da! Mchungaji we Ni mwisho Asante nimebarikiwa Sana.

  • @godsonkilua7738
    @godsonkilua7738 11 หลายเดือนก่อน

    Kweli mchungaji Ana mahubiri mazuri yasiyochosha

  • @mtasingwantuba1748
    @mtasingwantuba1748 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji wewe Mungu akubariki sana wala sichoki kukuckiliza.Napenda ungekuwa mchungaji wa huku nilipo

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂mimi muislam ila namkubali sana 😂

  • @davidjohn4413
    @davidjohn4413 11 หลายเดือนก่อน

    David John Mwingerezi ubarikiwe Mch Hananja

  • @reganclarence4657
    @reganclarence4657 2 ปีที่แล้ว +19

    Mi nampenda huyu mchungaji ni mcheshi sana....hinatufanya wachungaji washirika kupenda kanisa.....🙌🙌

  • @beatricemembi7686
    @beatricemembi7686 2 ปีที่แล้ว +4

    Nabarikiwa sana na mafundisho yako mchungaji

  • @marykayombo9076
    @marykayombo9076 2 ปีที่แล้ว +2

    HAHAHAHA!! AMINA. BARIKIWA,NGUVU! MOJA!

  • @ezradastan4167
    @ezradastan4167 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi Dah😂😂😂😂😂

  • @ssemwaimujoho1183
    @ssemwaimujoho1183 2 ปีที่แล้ว +17

    NIMEFARIJIKA SANA MCHUNGAJI MUNGU ALIBARIKI NENO LAKO LISAMBAE DUNIANI KOTE , AMEN

  • @filmonvenance5859
    @filmonvenance5859 2 ปีที่แล้ว +11

    Be blessed🙏🙏