BALAA ZITO! WAKILI MADELEKA AFUNGUKA MAZITO KESI YA WAKULIMA WA SUKARI, MPINA DHIDI YA BASHE NA AG

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE TH-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

ความคิดเห็น • 9

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 วันที่ผ่านมา

    Asanteni sana mawakili kwa kutetea haki. Mungu awalinde na awazidishie afya njema na ujasiri.

  • @mustafakimalio9129
    @mustafakimalio9129 วันที่ผ่านมา +1

    Ukiritimba

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 วันที่ผ่านมา

    Mawakili safari hii wameamka sana jamani hadi raha. Wameuvaa uzalendo hasa.
    Mungu asimame Kati ya kila jambo linaloganyika kwa now njema na awaumbue wote wanaoenda kinyume na ukweli na haki. Mungu asiwaache waongo waendelee kudanganya watu wa Mungu.

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 วันที่ผ่านมา

      Amen

    • @lukomanomaliki5442
      @lukomanomaliki5442 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huyu Mpina, namsikitikia sana.Sidhani kama atarudi kwenye ubunge 2025.

  • @josephmwinyi
    @josephmwinyi วันที่ผ่านมา

    Huyu wakili jaman kila kesi ni yeye tu hivi hakuna mawakili wasomi zaidi ya huyu

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 วันที่ผ่านมา

      Mbona wako wengine wanaendelea na kesi mbalimbali? Utakuwa hufuatilii umepitwa na wakati. Naona ungejaribu ku update taarifa zako kabla ya kutoa comment.

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 วันที่ผ่านมา

      Si kweli. Wakp wengi Labda hujafuatilia.

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 44 นาทีที่ผ่านมา

      ​@@marieconnect6389Hata wakuu wa Mikoa wengi..Tunasikia habari za makonda, hata huko kwenye mpira kuna mtu anaitwa mayele. Hata kwenye siasa, Tunasikia Tundulisu, Rais Samia.