KIVUMBI MAHAKAMANI! UHALALI WA TAMISEMI KUSIMAMIA UCHAGUZI, MAWAKILI WATIFUANA, WANAENDA KUKIWASHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 21

  • @akilimali8726
    @akilimali8726 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera sana timu ya Dr Nkya na wenzio wawili, ongezeni bidii, ikiwa mahakama ina mahakimu wenye nia njema na nchi, hapo wamepata pa kuanzia. Nyinyi mmefanya sehemu yenu, hamtalaumiwa, tuone na mahakamani kama tupo na watu wa kusaidia kuikomboa nchi. Kaiza neno sahihi si sandwich bali sideline, yaani wananchi wamekuwa 'sidelined' katika mfumo wetu wa uchaguzi, hawana sehemu inayowahakikishia haki, wao wanatumika katika kuhalalisha uhalifu wa watawala.

  • @ezekielmadindula2679
    @ezekielmadindula2679 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tume huru ya uchaguzi iko wapi mpaka tamisemi wawe na kiherehere😂😂😂😂

  • @ezekielmadindula2679
    @ezekielmadindula2679 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hata Mimi sikujiandikisha kwa kuwa chombo kinachotaka kusimamia uchaguzi sio mamlaka yake😂😂😂

  • @JohnMabustar
    @JohnMabustar วันที่ผ่านมา +1

    Ma-wakili waliosimama katika taifa letu kwa haki asanteni saaana

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 49 นาทีที่ผ่านมา

    MAMLAKA YA WANANCHI 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

  • @sammykateregga6238
    @sammykateregga6238 วันที่ผ่านมา

    Wawakilishie wetu tuko nyuma yenu na Mungu awabariki.

  • @NorbertKagali
    @NorbertKagali วันที่ผ่านมา

    Inasikitisha sana kwa nchi yangu Tanzania watu tuliowaamini kusimamia sheria zitakazolinda haki za raia wake wamegeuka kuwa mawakala wa shetani.

  • @DeusMbalamwezi
    @DeusMbalamwezi 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤🎉

  • @serafinkimaro1308
    @serafinkimaro1308 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nchi tunachezewa sana kwa sababu wananchi wamenyimwa Elimu kiasi cha kutojua kuwa siasa na kura ni wajibu wa msingi wa wote

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 53 นาทีที่ผ่านมา

    HONGERENI MAWAKILI WATETEZI WA TAIFA HILI

  • @rwezimulastephen3713
    @rwezimulastephen3713 วันที่ผ่านมา

    Mwisho wa siku tutaambiwa kuwa kwa sababu ya gharama hakuna namna. Mark my words

  • @VeryMnyakiwele-j1p
    @VeryMnyakiwele-j1p 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwanini msibadiri ukomo wa mwenyekiti wa chama kwanza maana naona kama katiba ya chama chenu Cha vidole viwili kinaboa mwenyekiti hataki kuachia kiti wenzake wagombeee😂😂😂

  • @janeshija6638
    @janeshija6638 วันที่ผ่านมา

    Sisi tuko nyuma yenu na hatutakubali TAMISEMI isimamie hizi chaguzi. Lengo Lao hawa ni kuwaibia tu wananchi HAKI yao ya kumchagua mtu wanayemtaka. Hii Serikali haina hata aibu wizi wao hata mtoto mdogo anajua. Serikali isiyojali wananchi wake wao wako kwenye wizi tu wa kukaa madarakani na kuwanyonya wananchi. Tunasema HATUTAKI HATUTAKI kabisa TAMISEMI isimamie afadhali uchaguzi usifanyike.

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 วันที่ผ่านมา +1

    Kambole mbona mnajichanganya sana ? Polis na mahakama zote hizo ni taasisi za CCM hamtawine hiyo kesi hatamfanye nini hayo mambo mnataka kuiiga kenya hamuwezi ,kenya mahakama na polisi na serekali ni tasisi zinazo jitegemea. 😂😂😂

    • @rwezimulastephen3713
      @rwezimulastephen3713 วันที่ผ่านมา +1

      Wape ushauri siyo kuwakatisha tamaa

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 วันที่ผ่านมา

      Mungu ibariki Tanzania. There is so much going on, but justice will prevail one day

    • @BungeyiSaiboku
      @BungeyiSaiboku วันที่ผ่านมา

      Kwanini wasishinde

    • @gowekogoweko5803
      @gowekogoweko5803 46 นาทีที่ผ่านมา

      ETI NINIII😮😮😮😮😮

  • @yassinnabwera4273
    @yassinnabwera4273 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakuna uhalali wowote TAMISEMI kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,Uchaguzi unashirikisha Vyama vingi;TAMISEMI wanakuwaje na uhalali wa kusimamia huo Uchaguzi?Waziri atakayesimamia mchakato wote wa Uchaguzi ni mwanasiasa na ni Mwanachama wa CCM,wkurugenzi wa Halmashauri,Manispaa na Majiji yote yanaongozwa na Makada wa CCM na Watendaji wote wa Mitaa,Vitongoji na Vijiji ni Makada wa CCM,mpaka hapo Haki na Uhuru kwa Vyama vingine itapatikanaje?Wakati mwingine Rais na Mwenyekiti wa CCM aone Aibu mambo haya yanapofanyika mbele yake na kwa Baraka zake.Huu hautakuwa Uchaguzi huru na haki kwa Vyama vingine yanaenda kutokea yaleyale ya mwaka 2019 na 2020

  • @JohnMabustar
    @JohnMabustar วันที่ผ่านมา +1

    Ma-wakili waliosimama katika taifa letu kwa haki asanteni saaana

  • @JohnMabustar
    @JohnMabustar วันที่ผ่านมา

    Ma-wakili waliosimama katika taifa letu kwa haki asanteni saaana