BALAA! MPINA AMVAA VIKALI SPIKA TULIA SAKATA LA KUWAJIBU VIBAYA WABUNGE WA IPU, ATOA TAHADHARI NZITO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 142

  • @noelolairivan6450
    @noelolairivan6450 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Ukombozi WA kwanza au Uhuru WA kwanza ni fikra . Big up tulia Kwa hili, .mambo ya kimataifa mpina umechemsha ,.

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Mpina ana tatizo fulani la kisaikolojia ambalo bado hajaligundua.
    Akiwa mnyenyekevu na na kuenda clinic ya saikolojia atasaidiwa

    • @JaphetJairos
      @JaphetJairos 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mpina ana akili sana apa anaongelea masilai mapana ya tz

    • @JaphetJairos
      @JaphetJairos 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Apo spika kazingua anaweza sababisha taifa kuingia kweny migogolo kama mataifa mengine mfano niger .burknafaso mengine

  • @VeryMnyakiwele-j1p
    @VeryMnyakiwele-j1p 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Mwanzo nilikuwa nakuona nimtu makini sana kumbe boga's Sasa Spika kafanyaje ulitaka awalambe miguu hao wazungu kumbe yawezekana umetunwa kuharibu nchi

    • @temuemanuel4671
      @temuemanuel4671 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Huyu Mpina namtilia mashaka, huenda nyuma yake wapo mabeberu.
      Huyu atakuja kuishia pabaya sana

    • @humphreymkony8915
      @humphreymkony8915 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@VeryMnyakiwele-j1p akili tope

    • @humphreymkony8915
      @humphreymkony8915 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@temuemanuel4671 akili tope

    • @VeryMnyakiwele-j1p
      @VeryMnyakiwele-j1p 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@humphreymkony8915 oooh

    • @MwanakomboNassor-bw3by
      @MwanakomboNassor-bw3by 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kabisa tuna mashaka naye

  • @robert79160
    @robert79160 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Kwa hiyo mh Mpina angekuwa ndiyo Tulia yeye pamoja na kukosewa heshima angeomba radhi Duuh watanzania wakihisi dharauliwa wakiwa njee vile ndivyo walivyo unabaguliwaje Kwa nchi na rangi yako halafu unakuwa mpole no Tulia alipaswa afanye alichokifanya Kwa maslahi mapana ya nchi yake na Kwa utu wake pia

    • @thomasmallya2972
      @thomasmallya2972 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Mpina ni mjinga kweli ndio maana alingia otelini kupima samaki na rula

  • @emmanuelbernard9552
    @emmanuelbernard9552 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Nilikuwa nakuelewa na kukufuatilia sana,nimegundua kuwa ww unachuki na vivu tu. Bora ungekaa kimya kwa hili

    • @mindicarrashid3131
      @mindicarrashid3131 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mpina hajielewi

    • @johannesishengoma1232
      @johannesishengoma1232 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Amekuwa wa kukosoa kila jambo hata visivyokosolewa

    • @SarahKyando-qb3sl
      @SarahKyando-qb3sl 49 นาทีที่ผ่านมา

      Ni kweli ni chuki hasa kwa spika Dr Tulia

    • @SarahKyando-qb3sl
      @SarahKyando-qb3sl 48 นาทีที่ผ่านมา

      Mpina uache chuki , Tulia amejibu vizuri sana

  • @AdamuKobelo-z9g
    @AdamuKobelo-z9g 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    We mjinga kweli huna hoja unarukia kila kitu, nenda kagombee ubunge kenya

    • @Hemedmikole-r9e
      @Hemedmikole-r9e 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We nini ujitambui kaa kimya hayo mambo yamsing

  • @pyraxme
    @pyraxme 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Afya ya akili hufai kuwa kiongozi nani kakupa uwaziri na ubunge
    Msimchanguwe tena mkorofi

  • @KarimHusseinGau
    @KarimHusseinGau ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Usikie kwa jicho lakoooo???? Duh,!! Mpina umetisha.

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Sasa mnamlaumu tulia kwa lipi kama wao wanaleta umagharibi wao wakati kile kikao cha mabunge yote duniani sasa walitaka asiende urusi ili iweje wakati pia wamo ktk mabunge duniani Sawa Sawa alivyo wapa usidharau mtu kwa rangi wala nchi nadhani hawato rudia tena

  • @MatandiMatandi
    @MatandiMatandi 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Huyu jamaa ni chizi hivi uwaziri alipataje? Maana wala sielewi anaongea nini.

  • @SadaHasimu
    @SadaHasimu 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mama yetu Tulia uko vzr sana siku zote katika usu WA Duniaukifanya mema utaraumiwa ukifanya mabaya utaraumiwa kiufupi umewakomesha wanazidi sana kutudharau watu weusi chukulia move zote wanazoigiza watu weupe kipindi Cha kuweka shetani au mwizi lazima aekti.mtu.mweusi wametuzarau ACHA uoga baba yetu muache tulia awambie ukweli wao

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mpina unaonekana una agenda ya utengano kumsema Tulia na kumbeza tunakushangaa
    Wewe ndiye utakayosababisha machafuko kwa kauli zako

  • @noelolairivan6450
    @noelolairivan6450 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Yaani , mpina ujajitambua bado, unafkiri wazungu ndio Maisha ndo mfano . Hamna watu maskini kama hao wazungu . Tulia ana shida zake lakini Kwa kusimama kinyume na hao mabeberu ni ushujaa tunaoutaka katika kizazi hiki. Wewe ni adui wa ukombozi katika level ya kimataifa. Baki uko uko bungeni usipotoshe ukombozi WA kimataifa . Uwelewi na kama unaelewa wewe Unachuki binafsi

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Unaharibu mambo mengine hayakuhusu ipu inakuhusu nini?tutafute maridhiano tafadhali, ukweli usisemwe?haki huinua Taifa.

  • @ambanconsultants6892
    @ambanconsultants6892 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mpina unapoteza dira Sasa kuwa objective focus on issues siyo personalities.

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kumbe huyu hana akili,,,

  • @JaphetJairos
    @JaphetJairos 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Up bigger up

  • @MaulidNdunda-cl3gz
    @MaulidNdunda-cl3gz 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Jamaa anataka nafasi na wivu wew mtanzania baada ya kumtetea mwananchi wako kutoka inchi yako unatetea utumwa na kujiona wew ndio unaweza kuliko wote wew c ulikuwa wazir wa mali ya asili na ulikuwa mzee.. acha awanyooshe ngozi nyeupe huwa wanatuzarau sana wa ndani hivi wew mbunge au cjui uko wapi kenya wenyew hawataki aondoke vice president wew unawapongeza akina nan

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Hatuwezi kuogopa kusumbuliwa kwa sababu hatujaamua kuachana na hao wazungu kwa tamaa na uvivu wetu. Tumewabembeleza kwa miaka mingi na bafo wanataka tuendelee kuwa lambalamba kwa tabia zao za kutunyanyasa. Hakuna kosa alilofanya Tulia zaidi ya kiwaeleza ukweli juu ya dhana mbovu walizonazo baadhi ya nchi za magharibi na wadau wao.kwa waafrika. Kama wajumbe wa mkutano ule walimpigia makofu ya kutosha Dr Tulia ina maana hawana akili au pengine una kisasi naye kwa mambo yenu ya Bungeni ? Kwa maswali ya kizembe kama yale wewe ungewajibu nini ? Anaulizwa kwa nini aanzie ziara Urusi badala ya Ukraine na eti mamlaka hiyo alipewa na nani. Basi tufundishe angejibu vipi. .

  • @josepherjosephpaul1138
    @josepherjosephpaul1138 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mpendwa Dada Tulia Akson! Pokea shada la Maua. Safi

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na safar hihi unabaki home mnafikivmkubwa weee

  • @JekobuNgwara
    @JekobuNgwara 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu atusaidie mpina

  • @SihaSanyajuu
    @SihaSanyajuu 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimecheka sana yani unataka kusema tulia alikosea kusema ukweli kaka naomba ukalime bhna mahna una unacho sema

  • @josephatkajange8714
    @josephatkajange8714 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hana busara hata kidogo! Yeye ni mtawala wala sio kiongozi!

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Alitaka wajibiweje? Huo ni upumbavu wa mpina tu😊

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Eti wanaume na akili sao wamesimama wanamsikiluza chiz😢😢😢😢😢😢

  • @chuimnyama9074
    @chuimnyama9074 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kweli ni bwege ndiooo maana wazungu wanatuita nyani

  • @JohnMakasabi
    @JohnMakasabi 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Shameless

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 23 นาทีที่ผ่านมา

    KUMBE HUYU JAMAA NA YEYE SOMETIME N OVYO SANA KIAS HIKI 😢😢😢

  • @jonathansirkintungi3440
    @jonathansirkintungi3440 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nchi hii machawa wanataka kuiharibu nchi watu wanatoa maoni ya maana yenyewe yana kejeli. Hawa watu wataturudisha nyuma serikali tumieni big brains. Jiepusheni na failures.

  • @eddiekajuna9160
    @eddiekajuna9160 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kujusu swala la Tulia umechemsha... toka kwenye fikra za mzungu aabudiwe

  • @husseindinongo4798
    @husseindinongo4798 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jamaa kaishiwa huyu

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mh.Mpina Acha Kujichanganya Ongelea Kesi Yako Tu.Kuhusu Dr Tulia Kama Raisi Wa Bunge La Dunia,Alizungumza Vizuri Sana Na Kwa Akili Sana.Anastahili Kupongezwa Na Ameshapongezwa Na Nchi Nyingi Tu.Ndugu Mpina Kwa Hayo Unayoyasimamia Ni Sawa Kwa Nchi Ila Nawe Ujifunze Siasa Za Dunia.

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kauli ya Dr. Tulia kwa IPU ni kauli ilivyo jaa hekma na hofu ya Mungu kwa wabaguzi.... Anastahili pongezi SI kubezwa....ameiinua Afrika na Waafrika.
    Mpina adui akifanya vizuri mpongeze ndo anaanza kumfukuza shetani ili awe mtu Mwema na kwako

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nongwa mbaya sana

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 22 นาทีที่ผ่านมา

    CCM WAMFUKUZE HUYU JAMAA N MNAFIKI SANA

  • @Omarimakuka
    @Omarimakuka 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hana akili kabisa anaona wazungu wanamaana sana zaidi ya kutuua tu

  • @mindicarrashid3131
    @mindicarrashid3131 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wadanganye wasukuma wenzio,watu wenye akili duniani wamemwelewa spika,ww tu ndio hujamwelewa

  • @yonassngonye3759
    @yonassngonye3759 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mpina unataka nini

  • @josephmabula9658
    @josephmabula9658 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu mwehu

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hata mimi nilishangaa sana kwa kauli kama “baadhi yenu Bado mna mawazo ya kikoloni akilini mwenu “ hii sio kauli ya kiungwana.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Yaani spika tulia alichemka sana.Anaulizwa maswali ya msingi badala ya kujibu kwa busara yeye anagomba na kuwafokea wengine.yaani pale kaonyesha kuwa ni spika wa hovyo sana.yaani yy bado ana fikra za kitumwa.ana kinyongo.kichwani mwake kabeba chuki.

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Jikumbushe swali alilo ulizwa tumeulizwa warz kwanini tunaongea na mrusi na sio ukrein. Tunataka kupangiwa tena.

    • @vitusjackson1354
      @vitusjackson1354 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kwakweri duniani Kuna mbuzi nawewe unae SEMA alikosea wewe ni mbuzi kweli acha uoga mpina Acha uoga ukiwa muoga utachukuliwa hata mkeo wewe nilijua unaelimu kumbe kiazi

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@jumamustapha8254 ww acha uwongo wako.Usipotoshe.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@vitusjackson1354 Alikosea punguza ujinga japo kidogo tu

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ivi hiyo ipu inakuhusu we sijui ni kabila gan

  • @BenitoTweve
    @BenitoTweve 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We umechanganyikiwa karibu utaanza kuokota makopo

  • @moddysunshine6618
    @moddysunshine6618 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mpina punguza kiherehere sio kila kitu lazima ukisemee. Kuchamba kwingi mwisho wake utashika kinyesi

    • @saidkhalef2093
      @saidkhalef2093 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Credibility yake kainyea tayari...alikua pazuri sana.

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Uyu kapachikwa kazi kwasababu Tanzania 🇹🇿 wanaekana wasomi wa darasa la 7

  • @stephenmsanzu9850
    @stephenmsanzu9850 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wachana na wakenya pls

  • @adrianmnzava8165
    @adrianmnzava8165 4 นาทีที่ผ่านมา

    Kumbe mpina naye n njaa tu Hana uzalendo wowote ndan yake

  • @Sawaka-v9b
    @Sawaka-v9b 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Duh mh mambo mengine achana nayo

  • @ndebilengelela6417
    @ndebilengelela6417 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapo naona kama umetoka nje ya key,kimataifa mie Tulia nampa maua yake kaonyesha msimamo as a leader.wewe baki kwenye jambo lako

  • @ajiaally3269
    @ajiaally3269 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    uyu jamaa kweli ndio leo naona fala ss ya tulia kule yanamhusu nn

  • @MohammedAwadh-gq9si
    @MohammedAwadh-gq9si 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu naye eti alikuwa waziri ! Kweli tuliishiwa ! Kwa hiyo lengo lako la kutufananisha na Kenya ,ulitaka na wewe ulipotimuliwa uwaziri wabunge wakae walijadili wapige kura za ndio au hapana ! Wee kaa kushoto muda wako umeisha

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii kesi ni mutihani mkubwa kwa serikali. Tanzania ni tajiri, kama serikali Ingęchunga kikamilifu mali za watanzania, na Kuwaadhibu wapigaji wa fedha za wananchi, kila mtanzania angekuwa na hali ya kuridhisha. Kuna watanzania wanaishi maisha mabaya sana kushinda Sudani Kałamoja wakati wa vita. Na kuna watanzania wanaishi maisha ya kufuru kwa pesa walizo waibia wengi. Pesa hizo zimęwafanya wawe juu ya sheria. Tanzania ya Mwalimu Nyerere ya watu wote Sawa si Tanzania ya leo. Tanzania ya leo ni ya mapepari wachache waliojitajirisha bila ya kuwa na viwanda. Mungu tusaidie hatujuwi nchi inaelekea wapi. Bunge limeshindwa kutusaidia. Wabunge wetu duni kwa woga. Tunategemea MAHAKAMA. EH MUNGU TUSAIDIE.

  • @noelolairivan6450
    @noelolairivan6450 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We mpina Una local mind na mwoga , unachuki binafsi

  • @noelolairivan6450
    @noelolairivan6450 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Local mind , . Uko vizuri Kwa mambo ya haki lakini na ubinafsi ndo unanukia katika misemo yako

  • @benmussa6336
    @benmussa6336 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe Huna mpya umezoea mabishano tu

  • @maulidimpili698
    @maulidimpili698 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu kiongoz akili hana kabisa ebu elezea hizo kauli zenye kuleta migogoro wakt ameeleza vizur na yupo sahihi ila mpina unaonekana una tatz la kisaikolojia pasipo ww mwenyew kujijua

    • @temuemanuel4671
      @temuemanuel4671 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hata mimi niliwaza hivyo. Nimekuwa nikimfuatilia.. lkn baadaye nikagundua huenda ana tatizo kubwa la kisaikolojia

    • @maulidimpili698
      @maulidimpili698 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@temuemanuel4671 ni kwel maana anataka labda kaul wazungumze wazungu tu ndio akili yake anahic mtu mweupe yupo sahihi ata akikosea

    • @humphreymkony8915
      @humphreymkony8915 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@maulidimpili698 hujui kimombo

  • @andrewkuboja3479
    @andrewkuboja3479 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mpina kweli ana shida kichwani na chuki binafsi

  • @MtarikaHassan-e5l
    @MtarikaHassan-e5l 27 นาทีที่ผ่านมา

    Mpina mpipwe akili

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yeye kama anafoka afokeye machawa siyo watu wenye akilizao

  • @SalumuHamisi-k9r
    @SalumuHamisi-k9r ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Chukua na ulafi wa madaraka na kuwakosea waafrika na watanzania

  • @EmmaTembo-l7o
    @EmmaTembo-l7o 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimekosa chakumufananisha naco ila siku tunzo zawapumbavu zikitolewa huyu akapewe Tano mufululizo

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Duuh mpina mpaka umeamua kumfuata tulia uswisi kumekucha kweli

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yaaani mahakamani unaleta siasa

  • @cassimoa9217
    @cassimoa9217 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Suala la Tulia, liwacheni kuzungumza kishabiki, kichuki na kisiasa. Mwenye uelewa mzuri, Tulia hajafoka foka, karibu vzr maswali yote na kaonyesha kuwa yeye ni kiongozi aheshimiwe na aogopwe bila kujali wapi anakotoka. Kaonyesha msimamo vipi kiongozi uwe na kujali matatizo yote yanayotokea duniani kuyapa umuhimu sawa, tofauti na Wazungu wanajijali wao tu. Yaani yanayotokea Somalia, Sudan, Rdc, nk, si lolote matatizo ni ya Ukrain tu.
    Jithamini, uthaminiwe.
    Mpina mpumbavu fulani, anatafuta kiki ya kisiasa, huyu ni kufukuza tu.
    Anatafuta huruma ya wananchi ktk uovu alioufanya kutia wavuvi umasikini, nk.
    Mpina Hafai

    • @hopegwanko9348
      @hopegwanko9348 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Aise we K kweli, hivo anavyoviongea havina maana kwa nchi? Kwani hao wengine wanawakilisha nn sasa?

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ovyo kabisa Hawa tukiwasikiliza tuta kua hatuna akili hivi alitaka majibu yapi zaidi ya Yale migogoro duniani Nani anae ileta

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Spika Tulia alichemka sana.Badala ya kujibu hoja kwa utulivu na busara ,yeye anafoka foka tu kama mwehu.yaani nilishangaa sana kwa spika kukosa weledi wa kiuongozi.yaani kichwani mwake kumejaa fikra mbaya kwa kudhani kila anayemuuliza swali anaendekeza ukoloni.

  • @philemonnongu3222
    @philemonnongu3222 34 นาทีที่ผ่านมา

    Hili sio sukuma la kwetu hili ni li jogoli kabisa

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu mpina ni bonge la mjinga unataka awa bembeleze wazungu.

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hongela sana mpina SEMA usikike 💯✔️

  • @MACHAGGECHACHA
    @MACHAGGECHACHA 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe mpina mbona unakuwa msenge wa hali ya juu. Tulia ametuwakilisha na kutusimamia ipaswavyo. Acha kumlaumu. Kwa jambo hili wewe ni kilaza.

  • @MussaBakil
    @MussaBakil 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ww kibalaka mnyenye kevu Wawa zungu una swaga nenda uko uko kosalake nn kuwajibu kuwa ambia ukweli una maana

  • @mwitamwikwabe6611
    @mwitamwikwabe6611 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Uko vizuri kukosowa mpina

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Spika Tulia kawaida sawasawa

  • @leganimwagala7684
    @leganimwagala7684 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hana hoja kenge huyu 😂

  • @ellysilasreweta1387
    @ellysilasreweta1387 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbe unavyooona wewe,dudu hamna mtu hapo.Unarukia mambo mengi.

  • @TANZANIAYCEO
    @TANZANIAYCEO 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tanzania sijui kwa Nini watu wakitoa mawazo Yao wanakosolewa, wewe Shauri ya kwako Kama unaona hayuko sawa na sio mtu unasema tu ili uonekane. Kwani amefanya kosa gani kutoa maoni yake?.

  • @SurprisedCamel-ow6md9
    @SurprisedCamel-ow6md9 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mpina napenda sana kukusikiliza ila kumfata tulia ulaya umechemka ww ni mtumwa au wazili wa mashoga mwache tulia afanye majukumu yake

    • @humphreymkony8915
      @humphreymkony8915 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@SurprisedCamel-ow6md9 jiongeze la sivyo akili tope

  • @jahhloveyou4462
    @jahhloveyou4462 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuna vitu Unaweza mtete mwenzako kisa chama tu ,ukweli unauma lakini pale panapojulikana Kuna tatizo

  • @musakutenga9848
    @musakutenga9848 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wewe nashangaa hata uwaziri wake uliupataje hafai kuwa kiongozi unatutia aibu Watanzania kuwa na mbunge wa ovyo

    • @maulidimpili698
      @maulidimpili698 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@musakutenga9848 amekuwa dhaifu wa nafsi lkn pia ata wana sheria wake wanajua anakosea ila sabab ya pesa wanatetea tu kaz ya sheria inataka dini sana bila hivyo utakuwa kama mbwa mroho akimuona mtu mwenye mnofu ndio bwana ake

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapa umebugi

  • @ibrahimally8073
    @ibrahimally8073 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mpina unapipidiwa wewe.. huna akili wewe msukuma.... magufuli alikuwa anawapinga wazungu mbona hukuthubutu kufungua huo mkundu wako .

  • @ibrahimjmasoudfundikila6361
    @ibrahimjmasoudfundikila6361 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwanzo nilikua nahisi umeonewa ila kwa sasa nimejua kumbe auna akili

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yaani hata Mimi nilikuwa nawaza hivyo,,

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    raisi mjinga wa wasukuma!!kila kitu anajuwa!!

    • @humphreymkony8915
      @humphreymkony8915 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@hamzakimaro3764 akili tope

  • @WilsonSanare-m6k
    @WilsonSanare-m6k 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe..ni.kumbavu.sana.pamoja.huyo.tundu.wako.hamna.akili.hata.kidoqo.hata.ufai.kuwa.kionqozi.ww.ni.mshuzi.unonqea.mambo.ya.kenya.unasifu.ujinqa.unabweza.inchi.yetu.na.vionqozi.mashuri.si.ukwende.kenya.uchaquliwe.nqombe.kabisaa

  • @thomasmallya2972
    @thomasmallya2972 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Zungumzia TANZANIA achana na mataifa ya watu hamia uko bas

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani wewe ni msemaji wa Tanzania?

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbe hata wewe kuondolewa kwako ni demokrasia

  • @isaackemanuel3712
    @isaackemanuel3712 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mpumbavu tu

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mpina kumbwe wewe ni bwabwa kweli ni matatizo gani Tulia Ackson alete Tanzania au Africa

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nenda wewe ukafanye kazi uwe kibaraka yeye kakataa kudharauliwa

  • @LameckMbele
    @LameckMbele 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    msi mtukane mpina nimaoni yake na nyinyi tonight ya kwenu Tulia amevutana na wawakilishi wa nchi za magharibi kwa msio jua NATO kutakuwa na shida baadae kwa nchi yetu ill nivigumu sn kufahamu hili ukifikilia haraka haraka fikirieni kwa undani mtajua anayoyaongea mpina (Elimu yetu nayo hii ndy maana wabongo ukiambiwa uchague Demokrasia na miundobinu mtachagua nn wasomi wetu?)

  • @dicksonulotu7427
    @dicksonulotu7427 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mnao mtukana mpina nendeni mkapimwe akili.tusubiri yajao

  • @LoiteyoAmakoMako
    @LoiteyoAmakoMako 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Samia atakuchukia sana sababu unaongelea haki na demokrasia

    • @hopegwanko9348
      @hopegwanko9348 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwahiyo hata mama yako au baba yako akikaa vibaya unyamaza tu ili uendelee kuchungulia siyo? Acha ubwenge wewe. Sema ukweli kama kipo kipo tu

  • @tugemwakilewa1298
    @tugemwakilewa1298 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sidhani kama ni vyema kuzungumzia kila kitu, alichokifanya Dr. Tulia kule IPU ni sawa tu sababu kuna wakati kiongozi unapaswa kuonesha nguvu zako.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sio sawa hata kidogo

    • @reginaldmapunda6702
      @reginaldmapunda6702 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ni sahihi kabisa na hawarudii tena ujinga ule.

    • @MwantumNdauga-ip3de
      @MwantumNdauga-ip3de 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@reginaldmapunda6702 wanasiasa hivi huwa mnatabia ya kutunza kumbukumbu? Mungu anawaona kwa jicho pevu hasa ushirikina na dhulma kinda. Kabla ya kumnyooshea mwenzio kidole tathmini matendo yako.

  • @YUSTERfidelisyMayemba
    @YUSTERfidelisyMayemba 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uyu fikra fake aende zake anadhani bado tuna tawaliwa kifikra

  • @khamishemedsaid2134
    @khamishemedsaid2134 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe lakini umefahamu yani wewe unateteya wazunguu wanaleta zarau kaka amka ile kazi yake na chao chake

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mpiana nilitarajia unakili kumbe wewe mnafiki unamlaumu spika kwa lipi acha uchuki wa kijinga nilikuwa na kuona miwanasiasa mziri kumbe akili zako kama chadema watu wamatukio

    • @JaphetJairos
      @JaphetJairos 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mpina anaongea kwa masilai mapana ya taifa huwez elewa kwa haraka

  • @thomasmallya2972
    @thomasmallya2972 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Peleka ujinga uko boya wewe

  • @ProperMwashiwawa
    @ProperMwashiwawa 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Achakutuchanganywa ww umefata kesimahakamani au umefata kukosoa hoja yasipika aliyotoa akiwa ulaya tukusikilize lipi mbona umekua natamaa ww

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Anawafumbua macho watanzania wajinga wanaomsifu Tulia kwa kudhani kuwa kafanya jambo jema kumbe kakosea sana.

    • @humphreymkony8915
      @humphreymkony8915 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@ProperMwashiwawa nenda shule ukasome kiswahili

    • @Mima-cl2im
      @Mima-cl2im 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@humphreymkony8915kimusaidie nini

  • @stephenmsanzu9850
    @stephenmsanzu9850 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe ni mjinga sana