UNABII WA MWAKA 2024 | Mambo yatakayo ipata TANZANIA SIKU ZIJAZO |Prophetedmoundmystic

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2024
  • FOLLOW US BY CLICKING THESE LINKS BELOW:
    INSTAGRAM:
    / edmound_mys .
    .
    TH-cam:
    / edmoundmuye. .
    AUDIO PODCASTS:
    player.fm/series/edmounds-pod..
    .
    FACEBOOK ACCOUNT
    web. Edymystic?_r..
    .
    church.heavenlyimagemanifest.org
    ‪@ITVTanzaniaTz‬
    ‪@CLOUDSMEDIA‬
    ‪@JamiiForumsJF‬
    ‪@himtv3‬

ความคิดเห็น • 780

  • @HAAM670
    @HAAM670 6 หลายเดือนก่อน +96

    Mungu amejibu Maombi yangu ya Janary 2022. Nilipata mzigo wa Kuombea Kanisa la Tanzania na huduma 5 na kipekee sana huduma ya Kinabii. Nikamwambia Bwana fichua Manabii walioko underground waonekane na Tanzania iipokee hii huduma ya Kinabii. Napita pita zangu TH-cam kucheki kuna nini cha Kinabii for the yr 2024, mara paap Prophet Edmound. Wengi wengi mwaka huu 2024 watajulikana. Since then, I have seen the prophetic ministry in Tz, growing in an unusual way. Thank you Lord Jesus

    • @hajiyusuf3837
      @hajiyusuf3837 6 หลายเดือนก่อน

      Chadema pure😂

    • @Juma-qd5eq
      @Juma-qd5eq 6 หลายเดือนก่อน +2

      Nyie ndo manabii wa uongo ,,sasa hiv kila ,,kila nchi munatoa manabii sasa hiv hamtaki ,,tena manabii kutok ulaya 😅😅😅

    • @user-ob2ik5gy1b
      @user-ob2ik5gy1b 6 หลายเดือนก่อน

      Hao ni manabii wa uongo ambao Mwenyenzi Mungu alishasema katika siku za mwisho watajitokeza sana!.pia tambueni kuwa mungu awezi kuwafanya washirikina na wazinifu na wanaotembea uchi kama wauza bar kuwa nabii. Hawa ni wasaka tonge na wezi wanaotumia biblia kujipatia kipato kwa watu maskini kwa slogans ya upako na miunjiza.hakuna nabii yeyote aliyeabudu miungu mingi yaani 1+1+1=1 where did you getting this devil worshipping? ITS really devil philosophy,while all the prophets waliabudu mungu mmoja.From the first prophet Adam and the last prophet Muhammad...

    • @user-ku7uh2be1t
      @user-ku7uh2be1t 5 หลายเดือนก่อน +1

      @@Juma-qd5eq Juma jnabii waachie manabii wa Mungu. Wewe kama huamini kaa kimya. Maana haya aliyosema Nabii Edmund lazima yatatokea. Waliotoa unabii wa Raisi ajaye wa Kenya mlionaje. Acheni kuandika kwa vile mna midomo. Maana awazacho mtu ndicho kimtokacho.

    • @edmoundmystic
      @edmoundmystic  5 หลายเดือนก่อน +1

      Joel 2:28!

  • @MinnahMtoo-cm8dr
    @MinnahMtoo-cm8dr 5 หลายเดือนก่อน +9

    For the first time i meet a real and genuine prophet in Tanzania, sina maana wengine hawapo ila sijawahi kukutana na hata mmoja kwa maana walio wengi tunaowajua na wenye majina sio watumishi wa kweli wa Mungu.. Im so grateful kukujua na kuanzia leo nitaendelea kukufuatilia na kujifunza zaidi kutoka kwako.

    • @agathadaudi3300
      @agathadaudi3300 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi pia.. hakika Mungu amejisalia manabii wake wa kweli...Damu ya Yesu imlinde

    • @jeremiahmasuke8375
      @jeremiahmasuke8375 4 หลายเดือนก่อน +1

      Karibuni sana

  • @jesusiscomingback4896
    @jesusiscomingback4896 5 หลายเดือนก่อน +8

    Mara ya kwanza nakuona lkn ndani yangu Roho inasisimka na unabii huu, ee bwana Yesu utusaidie

  • @celyne5773
    @celyne5773 5 หลายเดือนก่อน +7

    huu unabii ni mkali Kuhusu Tanzania , mungu ayirehemu Tanzania

  • @NancySimon-dm8zp
    @NancySimon-dm8zp 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen pastor nimebarikiwa sana baba god bless you dad

  • @evanccast6228
    @evanccast6228 6 หลายเดือนก่อน +7

    Mchungaji nimekuelewa Mungu akutunze uzidi kukua jina bio🙏🙏🙏

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 หลายเดือนก่อน +11

    Nakataaaaa kwa jina la Yesu (roho ya mpinga kristo)

    • @ericamwkyokile4681
      @ericamwkyokile4681 4 หลายเดือนก่อน +2

      Bora kuomba kuliko kupinga unabii.

    • @ruthmuja7792
      @ruthmuja7792 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mpinga kristo lazima aje maandiko yanasema, hivyo hatuwezi kumzuia kwa kumkemea 😢

  • @stevensosipita
    @stevensosipita 6 หลายเดือนก่อน +28

    MIKATABA YA BANDARI ZETU ZITAVUNJWA NAKUELEWA SANA TUMEDHULUMIWA SANA ILA MUNGU ATATUPIGANIA INNSHAALAH AMINA

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 5 หลายเดือนก่อน +1

      Unaesema.bandari unajichosha tu dhambi inaharibu uchumi wa nchi.Elia.alimuambia.ahabu mvua.haitanyesha isipokuwa.kwa.neno langu.jamani.kama.tunaona.dhambi inazidi tusiwafariji watu njaa kubwa.magonjwa makubwa vita uchumi wa dunia.kwa.heri

  • @MinnahMtoo-cm8dr
    @MinnahMtoo-cm8dr 5 หลายเดือนก่อน +10

    Mungu bado anao watumishi wake wa kweli aliojisalia.. Wewe ni mmoja wapo.

  • @evanccast6228
    @evanccast6228 6 หลายเดือนก่อน +4

    Nabii wa Mungu Mungu akutunze sana na mabaya 🙏🙏🤝🤝🙏🙏

  • @KedrickMalila-lk6xh
    @KedrickMalila-lk6xh 6 หลายเดือนก่อน +19

    Nimekuelewa sanaa na kila nikiingia kitambaa cheupe huwa napata mikwaluzano na wife na uharibifu wa pesa mtumishi Mungu aendelee kukutumia

  • @neylamaina
    @neylamaina 4 หลายเดือนก่อน +5

    Nyakati za mwisho , Mungu uirehemu Tanzania

  • @christopherjoyce1903
    @christopherjoyce1903 5 หลายเดือนก่อน +13

    Ee Mungu wetu turehemu Tanzania! katikati ya ghadhabu kumbuka rehema

  • @madidolla
    @madidolla 3 หลายเดือนก่อน +4

    Sema gwajima namuona sana kwenye hii nchi kupewa kwa mshangao mkubwa sana,kwa utabir huu namuona makonda kurud chini tena na gwajima kupanda mara dufu mmmh!

  • @CresenciaCastor-rk2ty
    @CresenciaCastor-rk2ty 5 หลายเดือนก่อน +3

    You are true man God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @AnneyAmablique-tw5mi
    @AnneyAmablique-tw5mi 5 หลายเดือนก่อน +1

    God bless you man of GOD

  • @victorkwemboi3725
    @victorkwemboi3725 6 หลายเดือนก่อน +19

    Nabii wa kweli ni yule anaye zishika amri za mungu

    • @VenanceMgema-xu6bq
      @VenanceMgema-xu6bq 21 วันที่ผ่านมา

      Nisaidie rafiki na mi nijue kwani huyu hazishiki amri za MUNGU ??

  • @mossesezekiel7862
    @mossesezekiel7862 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera kwa huduma ya kinabii ya MUNGU iliyo ndani yako sifa na utukufu ni kwa MUNGU katika KRISTO YESU BWANA WETU

  • @fabianbaharia465
    @fabianbaharia465 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie sana! Tunahitaji kufuatilia unabii wako Mtumishi! Ubarikiwe sana!Nahitaji kusikia zaidi

  • @user-yz8ny1uf7r
    @user-yz8ny1uf7r 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu Irehemu Tanzania Mungu Turehemu Barikiwa mtumishi wa Mungu.Mungu tuongoze Tujue jinsi ya kuomba kuhusu unabii huu.

  • @user-sn2pl9kh9j
    @user-sn2pl9kh9j 6 หลายเดือนก่อน +15

    Ombeni Mungu musikuwe na hofu tena muache dhambi Mungu atabadili mambo

  • @user-tj3de4nb5f
    @user-tj3de4nb5f 5 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi wa mungu unachosema ni kweli mungu akubariki

  • @DrMgwena_C_Revival
    @DrMgwena_C_Revival 6 หลายเดือนก่อน

    I give you big up MoG, I will pray for you

  • @user-ju5yw3kd2b
    @user-ju5yw3kd2b 5 หลายเดือนก่อน +4

    Nibarikiwa na unyenyekevu wako Mungu akubariki natamani kuonana nawe unapatikana wp

  • @hortenciamushi2604
    @hortenciamushi2604 6 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you prophet

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yeeeeeeeeeeees prophet of God

  • @VOROGWEVOROGWE
    @VOROGWEVOROGWE 6 หลายเดือนก่อน +1

    Very clear

  • @kunjukomedia
    @kunjukomedia 4 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa Mahubiri yenye nguvu za Mungu. Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana.

  • @user-nc6hq2tj8u
    @user-nc6hq2tj8u 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atusaidie tuu kama nabii kama sio tanzania tunamuhitaji MUNGU JEHOVA tuu

  • @user-rf9xt1rn3w
    @user-rf9xt1rn3w 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mtumishi Kwa kutujuza

  • @resgoldphilays1800
    @resgoldphilays1800 5 หลายเดือนก่อน +19

    When God speaks, the wise listen

  • @petrombughi2101
    @petrombughi2101 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ashukuliwe Mungu awezae fanya mambo makubwaaa....barikiwa mtumish

  • @lusajooden5185
    @lusajooden5185 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mtumishi, ukisikia kuupiga mwingi ndo uku,,,naliona Taifa likiomboleza kwakumpoteza kiongozi mashuuli aliewai kuwa waziri mku!!!!naliona moto mkubwa ukitanda hewani,na ukiunguza sehumu za starehe!juzi kitambaa ya tabata imeungua yote,uko vizuri mtumishi, mungu anakutumia kweli

    • @user-zs9mf1gs5x
      @user-zs9mf1gs5x 4 หลายเดือนก่อน

      Yaan acha tu hata sijui niseme nn acha tu e mungu nistil mimi jamani na kizazi changu amina

  • @user-sz6ht5wm2g
    @user-sz6ht5wm2g 5 หลายเดือนก่อน

    Yes- yes Ahsante Kwa mafunuo haya

  • @godfreykasimba6187
    @godfreykasimba6187 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa unabii

  • @5Multpurpose
    @5Multpurpose 5 หลายเดือนก่อน +1

    Be blessed man of God

  • @redsonsimkoko600
    @redsonsimkoko600 6 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiwa sana mtumishi

  • @EmsonBethson
    @EmsonBethson 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nabarikiwa sana hongera sana mtumishi.

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 หลายเดือนก่อน

    Amen kwa jina la Yesu mtumishi wa Mungu

  • @user-yg9fh9sj1w
    @user-yg9fh9sj1w หลายเดือนก่อน +4

    Kweli huyu ni nabii wa Mungu mengine yameanza kutokea na tumeyaona

    • @zenasalum2231
      @zenasalum2231 26 วันที่ผ่านมา

      Unapata dhambi kumfananisha Mungu na kitu kingine

  • @fabianmbwambo1462
    @fabianmbwambo1462 5 หลายเดือนก่อน +13

    Yer 29:11-14 SUV
    Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho. Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza. Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote. Nami nitaonekana kwenu, asema BWANA, nami nitawarudisha watu wenu waliofungwa, nami nitawakusanya ninyi, nikiwatoa katika mataifa yote, na katika mahali pote, nilikowafukuza, asema BWANA; nami nitawaleta tena, hata mahali ambapo kutoka hapo naliwafanya mchukuliwe mateka. (neno la bwana ni Taa na mwanga wa njia zangu hunimulikia..kila nnapokwenda🙏)

    • @LeahDavid-vb4br
      @LeahDavid-vb4br 5 หลายเดือนก่อน

      Eee....Mungu tunaomba uturehemu Watanzaniaj

    • @SarahKapella-rm2of
      @SarahKapella-rm2of 4 หลายเดือนก่อน

      Tuzidi kumlilia mungu Kwa Toba. Tuombe Sana Kwa ajili ya Tanzania na vizazi yetu. Tuombe Sana.

  • @user-qz3uy1kc8r
    @user-qz3uy1kc8r 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubaliki sana man of god

  • @yussufkhamis3234
    @yussufkhamis3234 5 หลายเดือนก่อน +2

    Umetisha sana

  • @user-jl1ck1zo6b
    @user-jl1ck1zo6b 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu ikomboe tanzania kwel hilo janga lolote baya kwa nnchi

  • @BeullahBujah-lk3sx
    @BeullahBujah-lk3sx 5 หลายเดือนก่อน +1

    Glory be to God hallelujah

  • @YunikiNdambo-uh7kl
    @YunikiNdambo-uh7kl 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutangulie sana mtumishi kweli mungu yupo

  • @jubbymsangi
    @jubbymsangi 5 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda tuuu hapa"kusudi la Bwana litasimama" Haleluyaaah

  • @mkalwayne
    @mkalwayne 5 หลายเดือนก่อน

    Tumebalikiwa na ujumbe wako mtumishi 🙏🏽 mungu awe na sii amn

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 หลายเดือนก่อน

    Good question 👍prophet of God

  • @franciswillfred9763
    @franciswillfred9763 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Prophet, Mungu atusaidie

  • @ErastisamsoniShirima
    @ErastisamsoniShirima 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakuna unabii hapa.Yesu alimaliza yote.

  • @ANNAMASHINGIA-xs1sm
    @ANNAMASHINGIA-xs1sm 5 หลายเดือนก่อน

    Asante baba Kwa malezi ya kwaya.mungu akupe nguvu

  • @Juma-qd5eq
    @Juma-qd5eq 6 หลายเดือนก่อน +12

    Bongo ukisoma saikojia ,,na ukasoma hali ya hew na bible kidogo ,,ushatoboa ,, 😊😊😊

    • @JumaMlei-ff3rp
      @JumaMlei-ff3rp 6 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kweli kab🎉

    • @mamyomar1241
      @mamyomar1241 5 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂😂😂 wanashindana na wanasiasa hao. Kwani hasa hivi nabii wanaijua maana yake au kukurupuka na kujiita nabii. Tumuogopesa sana Allah. Halali wa hasinzii. Hakuzaa wala hakuzaliwa. Walahakuna anayefanya naye.

    • @Dianamwansasu
      @Dianamwansasu 5 หลายเดือนก่อน +6

      Kasome nawe hali ya hewa,saikolijia na Qur'an

    • @glorynguma3593
      @glorynguma3593 5 หลายเดือนก่อน +1

      Nenda kasome na ww utoboe

    • @Juma-qd5eq
      @Juma-qd5eq 5 หลายเดือนก่อน

      @@glorynguma3593 ,,sasa Quran ushaongea hayo yote,, ila sasa mim cwez kuongea namuogop Mungu kujitangaz mim ni Nabiii daaaah hiyo siwez ,,sabb naona kabisa napingan nae !!!

  • @ShelteredKatekela
    @ShelteredKatekela 5 หลายเดือนก่อน +8

    May the almighty God have mercy upon us

  • @jamesmakala9548
    @jamesmakala9548 6 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa vizuri sana 🙏

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 6 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa mtumishi wa MUNGU

  • @user-mu7fl1gs8v
    @user-mu7fl1gs8v 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu na ayatimize kusiwe na kizuizi chochote Amen

  • @user-xl5ju6vs6y
    @user-xl5ju6vs6y 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeeeeeeeee Mungu ibariki Tanzania

  • @gifedmantv5747
    @gifedmantv5747 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amina wacha MUNGU azidi kutumia Mtumishi wa MUNGU

  • @nuswemwakasala6851
    @nuswemwakasala6851 5 หลายเดือนก่อน +2

    Safiiiii tz kusudi la Mungu lisimame

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 หลายเดือนก่อน

    Exactly right mog

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu fanya mapenzi yako, yatimizwe,

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 6 หลายเดือนก่อน +29

    Hakika Mungu ni mkuu mno

    • @edmoundmystic
      @edmoundmystic  6 หลายเดือนก่อน +3

      Tanzania tunakupenda Malkia wa Injili! Tuwasiliane

    • @victorkwemboi3725
      @victorkwemboi3725 6 หลายเดือนก่อน

      Let's wait for its fulfillment if not prophet of doom

    • @lucystephano226
      @lucystephano226 6 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@edmoundmysticuse

    • @EverlynKenneth
      @EverlynKenneth 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli MUMMY ❤❤❤ WE LOVE YOU SO MUCH ❤️

    • @user-tt7cu2et1x
      @user-tt7cu2et1x 2 หลายเดือนก่อน

      Kabsaaaa.jamn😢.mm MUNGU akinionya uwa napenda sana kulko kupewa cfaaa😢.natendea kaz

  • @farajapetit7153
    @farajapetit7153 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu anakuona........

  • @magrethfulgence7888
    @magrethfulgence7888 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atusaidie sana

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 หลายเดือนก่อน

    Yeeeeeeeeees papa

  • @zeldakahitwa7509
    @zeldakahitwa7509 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ila Watumishi wa Mungu mtambue dunia imebadilika acheni kuwatembelea hata kukutana nao mbali na eneo la huduma watu hawa hasa wasio na wanaume. Jamani kesi nyingi zimewakuta watumishi wa Mungu Mungu atusaidie. Halafu mnapogombana mkamalizaneni huko au ukipewa mafunuo kwa mtumishi mwenzako muite muonye maana maubomoa mwili wa Kristo ndio maana watu wanasema duniani hakuna manabii wala wachungaji hasa madhehebu ya Kipentekoste. Watu wameacha kuwaamini ila ni kwa sababu mnajibomoa wenyewe. Tizama Katoriki ikitokea Mpakwa mafuta akakengeuka anaitwa kwenye vikao vya siri na hata ikiwezekana vaticani hiyo yote ni kulinda mwili wa Kristo usichafuliwe. Mungu atusaidie.

  • @VeredianaKalembi-gs4vs
    @VeredianaKalembi-gs4vs 5 หลายเดือนก่อน +2

    Bwana Yesu atusaidie

  • @agnessndabhalu
    @agnessndabhalu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa mtumishi Mungu azidi kukulinda na kukuinua

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 หลายเดือนก่อน

    Yeeeeeeeeeeeeeees prophet

  • @flavianaephraim1521
    @flavianaephraim1521 4 หลายเดือนก่อน +3

    When God speaks, the wise listen. Mafuta ya roho mtakatifu yazidi sana juu yako.

  • @agathakimatile4999
    @agathakimatile4999 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu irehem Tanzania 🇹🇿

  • @user-gn6ko8tr2o
    @user-gn6ko8tr2o 6 หลายเดือนก่อน +3

    Unabii huu hauna mashaka mungu atusaidie watanzania

  • @happywema2698
    @happywema2698 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen man of God na huyo mwanamke nikawe mm kwa jina la yesu

    • @patrickrupia6634
      @patrickrupia6634 4 หลายเดือนก่อน

      Umeelewa kweli kuhusu mwanamke?

  • @davidobenjamin3447
    @davidobenjamin3447 5 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atusaidie na atusamehe

  • @monicandengo4680
    @monicandengo4680 วันที่ผ่านมา

    Natamani dunia yote wayaone ha maneno unayo Nena baba najua Mungu ametupa wewe Kama taaa ya tanzania

  • @ChijajaElisha
    @ChijajaElisha 3 หลายเดือนก่อน

    Aminaa nabii weka wazi MUNGU akoe nch yetu baba

  • @barakamalisa7778
    @barakamalisa7778 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huu ndio unabii sasa sio kuanza kuongea maisha ya watu but hapa inareflect nchi nzima ili tuchukue tahadhari

  • @user-np3fc5zh3f
    @user-np3fc5zh3f 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana nabii wa mungu

  • @glorymuro7551
    @glorymuro7551 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu airehemu Tanzania ktk jina la Yesu Kristo aliye hai

  • @estonmosha769
    @estonmosha769 วันที่ผ่านมา

    This man is a man of God

  • @evancechangae
    @evancechangae 6 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen 🙏

  • @JuliusMunyure
    @JuliusMunyure 4 หลายเดือนก่อน

    Amina baba ❤

  • @GoodsonJohn-qz4ic
    @GoodsonJohn-qz4ic 4 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu

  • @user-rw3dn7hs1g
    @user-rw3dn7hs1g 4 หลายเดือนก่อน +2

    mungu atulinde

  • @user-jb3sg3nl2h
    @user-jb3sg3nl2h 4 หลายเดือนก่อน +2

    Tuombe pasipo kukoma jamani,eeeh mungu tusaidie

  • @taisonkalinga5711
    @taisonkalinga5711 4 หลายเดือนก่อน

    hakika Bwana amekufanya kuwa kuhani wa mataifa. Barikiwa zaidi mtumishi wa Mungu

  • @Chukwueze14
    @Chukwueze14 6 หลายเดือนก่อน

    Let's watch and pray

  • @user-vp3vl1xt7j
    @user-vp3vl1xt7j 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuelewa sana Mtumishi wa Mungu

  • @thevoiceofdeliverance6061
    @thevoiceofdeliverance6061 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu hanong'onezi Bali Huwa anasema na watu wake hajawahi nong'oneza Mtu.

  • @AproniaViane
    @AproniaViane 5 หลายเดือนก่อน +7

    Barikiwa mtume wa mungu nalitambua Kuwa Mungu Anatupenda Tanzania Sana TENA Sana Ee mungu tubariki Tanzania daima❤

  • @LettyKafyisi
    @LettyKafyisi 5 หลายเดือนก่อน

    Always God is winner💪

  • @vickysteven1172
    @vickysteven1172 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kuhusu kitambaa cheupe niliwahi sikia aliweka sadaka ya damu ya mnyama so inaweza ikawa kweli Mungu azidi kukutumia
    Na kuhusu Riverside inawezekana maana wanawake wanajiuza hazarani tena hadi aibu aiseee Mungu atusaidie.....

    • @edmoundmystic
      @edmoundmystic  5 หลายเดือนก่อน +1

      Shalom! Nakili namba yetu ya huduma! Baba anahitaji kuongea na wewe🙏🏾

    • @user-ry8no9fq6e
      @user-ry8no9fq6e 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu atuvushe

  • @user-lm3md9zh1h
    @user-lm3md9zh1h 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi Mungu akitumia mpasavyo

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 หลายเดือนก่อน

    My God in heaven help us

  • @user-hk9tg9gy2o
    @user-hk9tg9gy2o 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu isadie Tanzania

  • @jawahiriaelmy
    @jawahiriaelmy 6 หลายเดือนก่อน

    Takbir

  • @SikujuaEmmanuel-fj4mg
    @SikujuaEmmanuel-fj4mg 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ikawe kama ilivyo tabiliwa kwa jina la yesu kristo,

  • @user-es9ye1tj7u
    @user-es9ye1tj7u 20 วันที่ผ่านมา

    Jamanii viongozii wabadirikee, piaa watanzaniaa viongozii tamaa,,wamekuaa makatirii hawana hurumaa na watanzania wenzaoo,,kila anachaguliwa anataka ajinufaishee yeyee,, munguu,,awadhibuu wao tu viongozii ,,tena wangekufaa wotee ,,tumechokaa ,,,