..."MPINA AJIUZULU UBUNGE/ NITAHAMA CCM/ MAFISADI HAWACHUKULIWI HATUA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 668

  • @michaelpatrick9317
    @michaelpatrick9317 หลายเดือนก่อน +108

    Ifike hatua CCM wakubali wananchi sio wajingaa hii nchi hata Susi maskini tunapenda kuishi Kama malaika Kama wao

  • @janetymatola6639
    @janetymatola6639 หลายเดือนก่อน +72

    Tunakupenda upo vizuri tunakutaka uwe Rais wa Nchi upo vixuri mno Mungu akulindr chukuwa kijiti 2030 Mungu awe nawe daima

    • @user-ie2sr4fi4k
      @user-ie2sr4fi4k หลายเดือนก่อน +7

      Sema unampenda unamuunganisha na nan kwenye mapenz yako na mpina?

    • @tumpaleabelmwamakula9814
      @tumpaleabelmwamakula9814 หลายเดือนก่อน +1

      Et awe rais duuuh

    • @user-ie2sr4fi4k
      @user-ie2sr4fi4k หลายเดือนก่อน

      @@janetymatola6639 Mimi siwez kua sehem ya mazwazwa uyu mpina wakat wa magufuli akiwa wazili wa uvuvi alipima samaki kwa lura watu walikufa kwa presha alichoma mitego ya watu mitumbwi leo kakosa uwazili analopoka tu kama kanywaa changaa

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 หลายเดือนก่อน +2

      @@janetymatola6639 Angefaa pia kuwa w/ mkuu kwanì atakuwa mtendaji mkuu

    • @Mima-cl2im
      @Mima-cl2im หลายเดือนก่อน +2

      @@user-ie2sr4fi4kni wengi tunampenda musema haki. Wewe una ukakasi wa wizi. Ni mmoja unayefaidika na unyakuwaji ndiyo maana Una chuki.

  • @user-so3gy2io8l
    @user-so3gy2io8l หลายเดือนก่อน +8

    I will stand with Mpina

  • @SeveriniPeterMkini
    @SeveriniPeterMkini หลายเดือนก่อน +31

    Hongera sana Mpina, kwa hakika TANGANYIKA tunahitaji watu walio na ujasiri kama wewe. Big-up Mpina

    • @user-lt1bi5nr1x
      @user-lt1bi5nr1x หลายเดือนก่อน

      Tunapatikana kanda ya ziwa na zanzibar tu.

  • @DevotaIjumba
    @DevotaIjumba หลายเดือนก่อน +70

    Hongera Mpina 😂😂😂😂😂😂nimekukubali.vyuma hivi vya kanda ya Ziwa.Tetea wanyonge Baba.

    • @alexandermalima610
      @alexandermalima610 หลายเดือนก่อน +2

      Hacha fikra za kinyonge wewe,kum support mpina ni Sawa kabisa lakini kujiita mnyonge ni kosa,maana ukombozi sahi uanzia ndani ya fikra zako

    • @brownsebastianmwibi5647
      @brownsebastianmwibi5647 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@alexandermalima610 sikupingi bro

    • @brysonkaale3003
      @brysonkaale3003 หลายเดือนก่อน +3

      10:35 10:35 Nchi yetu imekosa maadili kabisa,Wapigaji wamerudi kwa kasi kubwa,.Viwanda vyetu vya sukari vinavyolipa Kodi,kutoa ajira vinashambuliwa na matapeli wanaoagiza sukari nnje,na mbaya zaidi sukari inapata msamaha wa Kodi!!,Sukari inapewa vipi msamaha wa Kodi wakati Ni biashara?!,Nchi inarudi kule tulikotokam😅

    • @RaphaelJickson-t7u
      @RaphaelJickson-t7u หลายเดือนก่อน

      Sikupingi bro

  • @aaronswai3092
    @aaronswai3092 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu akulinde sana Mhe. Mpina. Tunatamani wabunge wengine wawe hivi; lakini ujasiri na uhodari huu ni kwa wachache wasiojali matumbo yao.. Mungu akubariki sana!

  • @user-cz7bd9tc5k
    @user-cz7bd9tc5k หลายเดือนก่อน +16

    Hongera sana wavejaa sana Tuta kuchangiaa kupambana na Ufisadi Twende mbelee kamanda wetu Tutashinda Bila kuhamaa CCM labudaa Tufukuzwa napo Hatu hamii CCm ni Chana chetu Humuhumu Tuta pambana kwa Nguvu zote Dhidi ya Ufisadi

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน +41

    Hongera sana mpina.Watanzania tuko nyuma yako

  • @user-hb8er6dq2q
    @user-hb8er6dq2q หลายเดือนก่อน +16

    Safiiiii Sasa tunakuomba mwabukus usimame na mpina mahakaman Aya majizi yakafungwe asa mwiguru katufany watanzania kuishi maisha ya taabu na manyanyaso

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 หลายเดือนก่อน +13

    The future of Tanzania, but no one knws😥, it's greatfu to hv some people Iike him,,

    • @leahmgunda4154
      @leahmgunda4154 หลายเดือนก่อน +2

      True. Some of them suggest bishop, this one is ahead him 100 times.

    • @charlesshitobelo6870
      @charlesshitobelo6870 หลายเดือนก่อน

      ​Which Bishop? Lwakalinda!?​@@leahmgunda4154

  • @adriannebatakanwa6904
    @adriannebatakanwa6904 หลายเดือนก่อน +20

    Damu ya Yesu ikufunike. Vita hii Apigane Mungu Baba.

    • @user-lt1bi5nr1x
      @user-lt1bi5nr1x หลายเดือนก่อน

      Damu ni najisi

    • @SwaleheRajab
      @SwaleheRajab หลายเดือนก่อน

      Ikimfunika ataweza kuhema kwel

    • @joykapaya1970
      @joykapaya1970 หลายเดือนก่อน +2

      Damu ya Yesu ikufunike.

    • @ramakazina170
      @ramakazina170 หลายเดือนก่อน

      Mbona mnapemda sana kumzingizia sana Mzee Yesu na Damu yake hata haina mahusiano na chochote?....

    • @SuperMukama
      @SuperMukama หลายเดือนก่อน

      AMEN

  • @clauschaula2050
    @clauschaula2050 หลายเดือนก่อน +24

    Hongera. Mpina.

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 หลายเดือนก่อน +8

    Inasikitisha sana, kumtokomeza k. Mpina kwa kutetea ufisadi wao, hivi hii nchi inakwenda wapi? Mungu tusaidie

  • @wiliamkatala6688
    @wiliamkatala6688 หลายเดือนก่อน +10

    Tatizo sio CCM bali ni baadhi ya viongoz waliopo ndani ya CCM kutokuwa wazalendo.hongera sana bro Mpina.

    • @JoblessMillionaireMakolo-jb7xo
      @JoblessMillionaireMakolo-jb7xo หลายเดือนก่อน

      Kweli wewe mjinga,,mjinga haoni,haambiwi wala hasikii,ccm wote ni wezi kwani toka uhuru hadi leo anaongoza nsni? CCM wote ni wezi wachumis tumbo kuanzia mwenyekiti wao mpaka mjumbe wa nyumba kumikumi.

    • @CharlesLeoMgaya
      @CharlesLeoMgaya หลายเดือนก่อน

      Uzalendo unanguvu ikiwa sheria zinamfunga

    • @JoblessMillionaireMakolo-jb7xo
      @JoblessMillionaireMakolo-jb7xo หลายเดือนก่อน

      @@CharlesLeoMgaya we fala uzalendo gani wakati wenzio waloshika madaraka wanatuibia kila siku sasa huo uzalendo uko wapi? Au mzalendo ni wewe kila siku wenzio wanakula matunda ya nchi wewe unabaki kusifia eti ccm hoyeeh na kupiga makofi? Kweli wewe boya.

  • @danielmboya4692
    @danielmboya4692 หลายเดือนก่อน +16

    Safi sana MPINA TUNAKUELEWA VIZURI NA TUKO PAMOJA NAWE

  • @augustinejohnnyakatoma8591
    @augustinejohnnyakatoma8591 หลายเดือนก่อน +4

    Nakupongeza Sana Mhe Mpina kwa ujasiri na uzalendo wako wa kweli na wa kiwango Cha juu. Nafurahi sana kuona kuwa nchi hii bado Ina wazalendo kila kona

  • @FestoLalata
    @FestoLalata หลายเดือนก่อน +40

    Mungu hawezi kukuacha kwa kulitetea Taifa letu

  • @seiphyahya5353
    @seiphyahya5353 28 วันที่ผ่านมา

    Allah akulinde na akubariki SANA. Endalea kumsaidia Raisi kwa kuwafichua mafisadi. Lakini wakibainika WAFILISIWE MALI ZAO SIYO LELEMAMA.

  • @user-op7ck6rb4d
    @user-op7ck6rb4d หลายเดือนก่อน +18

    Huyu jamaa akiwa rais nchi itakuwa viziri sana na rushwa inaweza kutoweka

    • @user-hb8er6dq2q
      @user-hb8er6dq2q หลายเดือนก่อน +1

      Uko sahiii mkuuuuuuuuuu uyu na MWABUKUSI hatareeeee

    • @user-gv8yn9lg1i
      @user-gv8yn9lg1i หลายเดือนก่อน +2

      Ukweli usiopingika

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 หลายเดือนก่อน

      Haiwezekani ng'oooo😢,unadhani akipata huo urais atakuwa kama huyo unamuona hapoooo ndugu yangu,hayo YOTE anayoyalalamikia HAPO,yeye ndo atafanya zaidi,kwani si alishawahi kuwa waziri wa mifugo,huyo unakumbuka alivyochoma vifaranga vya kuku namanga na alichoma nyavu za wavuvi wadogowadogo huko mwanza,kupima samaki Kwa rula.Nchi hii omba sisi maskini tubaki na Amani tu ya kutuwesesha sisi kuuza nyanya na KUPATA mlo wa siku Basi,hayo mengine tuwaachie wao huko juu,acha waendelee kula,Mwisho wa siku wote kaburi linatungoja mpendwa😢.MUNGU akubariki.

    • @edrisalusonge4141
      @edrisalusonge4141 หลายเดือนก่อน +2

      Kaka hujajua hii nch haitaki

    • @yousuphnzira3209
      @yousuphnzira3209 หลายเดือนก่อน

      Umesema kweli lakini sijawahi kuwaamini wanasiasa maneno mazuri machache unaweza ukamuamini ukampa nchi badae ukajuta hua wanajisahau.

  • @ANNAKISIGA-pc5qs
    @ANNAKISIGA-pc5qs หลายเดือนก่อน +10

    Hakika.imejulikama waz kuwa wasukuma ni wazalendo leo makonda haoneikan alipo kwa sababu ya mema anayoyatenda mama amewakumbatia sana hao mafisadi ambao ndo walimuua jpm na wanataka kumuua pia makonda ifike mahali wananchi tuamke

    • @davidmalogo7100
      @davidmalogo7100 หลายเดือนก่อน

      Yani tuamke kweli mana Hawa viongozi hawatufai hata vyama vaupizani nihovyokabisa hakuna mtetez watanganyika ila Kuna wauzaji nch

    • @KhalidAbubakri
      @KhalidAbubakri หลายเดือนก่อน

      Makonda Mkuu wa Mkoa Arusha umesahau. Kakumbatiwa na mama au nae ni fisadi Nini?

    • @FrancisThomas-jc8wq
      @FrancisThomas-jc8wq หลายเดือนก่อน

      Wewe muhongo vyama vya upinzani vinahusikaje na hili.​@@davidmalogo7100

  • @manimbakikuli6271
    @manimbakikuli6271 หลายเดือนก่อน +4

    Tunakuunga mkono,
    Mungu akulinde kaka.

  • @lifeonearth94
    @lifeonearth94 หลายเดือนก่อน +9

    Kaongea vzr sana, mianya izibwe

  • @vicentgodda3357
    @vicentgodda3357 หลายเดือนก่อน +6

    Mpina Wewe ni Mzalendo wa kweli Mungu atakupa ulinzi songa mbele

  • @zuhurahamisi1639
    @zuhurahamisi1639 หลายเดือนก่อน +13

    Hongera Mpina kwa uzalendo wako. Mwezi Mungu akusimamie

  • @abdukhalnyerere8993
    @abdukhalnyerere8993 หลายเดือนก่อน +7

    Magufuri kajionyesha kwako kaka nakupenda sana tusaidie nasi tupo nyuma yako

  • @Skomi-0nedayyes
    @Skomi-0nedayyes หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akusimamie kila atua inshallah usirudi nyuma tuko pamoja nawe Mpina🙏🏿

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Mpina ni kichwa sana🙌,jamaa anajielewa kupita kiasi,hongera kwake

  • @IssaKasili
    @IssaKasili 4 วันที่ผ่านมา

    Chapa kaz napenda sana kusikiliza hotuba zako

  • @user-hf1zf5ge1n
    @user-hf1zf5ge1n หลายเดือนก่อน +3

    mpina mungu akuupe umri mrefu tuzidi kukufaidi kwa faida ya taifa let u,🤝🏿💪🏿👍🏿🧠

  • @islambinomar8716
    @islambinomar8716 หลายเดือนก่อน +4

    Mpina mtu kama wewe hawakujitaji ccm wao wanapenda kusifiwa tu sio kukosolewa ila mungu atakusimamia endelea kupigania taifa na kuwatetea wanyonge umekua sauti ya wanachi na sio sauti ya kisesa good job

  • @franciscojohn5751
    @franciscojohn5751 หลายเดือนก่อน +8

    Safi sana mpina

  • @MawazoKitumbo
    @MawazoKitumbo หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana kamanda wangu luhaga mpina, nakukabiz jopo la wanasheria waine 1,mwamkus,2piter kibatara, 3piter madereka,4john Malia kwajopo hili mpaka waseme

  • @user-oy2gp3nq4j
    @user-oy2gp3nq4j หลายเดือนก่อน +2

    Tunakupenda ni mkweli
    Mungu akulinde

  • @samwelqallo8082
    @samwelqallo8082 หลายเดือนก่อน +1

    Nature has NO medicine unless Mungu aingilie kati kupitia watu kama hawa,, kusimamia HAKI mtu moja katikati ya maelfu ambao msingi mzima wa maisha yao umetekwa na tamaa, ubinafsi na ufisadi si jambo jepesi ila tunaamini kila chenye mwanzo kina mwisho..
    Mungu ashughulike na mioyo yao na macho yafunguliwe ili waone mateso wanayosababishia Watanzania kukosa HAKI yao ya msingi waliyoahidiwa na Mungu..

  • @zeddysimfukwe6023
    @zeddysimfukwe6023 หลายเดือนก่อน +10

    Naomba niwahakikishie kwamba kikombe hiki nitakinywea ,,, mpina mpina , nakubari

  • @asiamussa3143
    @asiamussa3143 27 วันที่ผ่านมา

    Mzalendo wa kweli. Mungu akulinde dhidi ya husda ya wachumia matumbo yao.

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b หลายเดือนก่อน +2

    Mungu amekuona tumumbeye mwabukusi ashinde muungane kupambana na mafisadi wa nao muhujumu mama mama awashugulikie

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 หลายเดือนก่อน +16

    Mpina for President...

  • @emanuelleopod3949
    @emanuelleopod3949 หลายเดือนก่อน +7

    Hakunaga Msukuma Fala aisee nawaelewaga sana Wasukuma na Wakulya ni wathubutu na hawaogopi kitu

    • @user-dh1eg4bu9o
      @user-dh1eg4bu9o หลายเดือนก่อน

      Mafala wapo mbuge msukuma mwenyewe wa geita aliesema mpina apimwe akili aliongea ufala

    • @user-gv8yn9lg1i
      @user-gv8yn9lg1i หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏💯

    • @ngadupalaamour
      @ngadupalaamour หลายเดือนก่อน

      Huwajui wanyakyusa wewe?

    • @Mosmwampa
      @Mosmwampa หลายเดือนก่อน

      Acha ukabila, mpina yupo hivyo sio kwasababu ya usukuma wake, wasukuma kama mbunge msukuma unamsemeaje. Tushukuru tu nchi Ina mbunge mmoja(mpina) nae ndo huyo anapigwa vita kwasababu ya ukweli wake

    • @user-gv8yn9lg1i
      @user-gv8yn9lg1i หลายเดือนก่อน

      @@Mosmwampa ni kweli kabisa.

  • @EzekiaKabuje
    @EzekiaKabuje หลายเดือนก่อน +3

    Watanzania wazalendo nawachache sana luhanga pina I lovo pigakaz

  • @zakariapaulowiliamuwiliamu1840
    @zakariapaulowiliamuwiliamu1840 26 วันที่ผ่านมา

    ❤mpina MUNGU yupo nawewe endelea kupigania haki ya watanzania

  • @enockgogy5458
    @enockgogy5458 หลายเดือนก่อน +1

    Tnapenda sana ndugu ila uwe makin sana maana awa jamaa watakua wanakwinda sanaa maana awapendi uwe mkweli katika ufisadi uhuu

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np หลายเดือนก่อน +10

    Mpina we kiboko nimekuelewa sana

  • @StellaSangayau
    @StellaSangayau หลายเดือนก่อน +1

    Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa wewe. Tutakuombea katika sala zetu.

  • @thomaswilbert6431
    @thomaswilbert6431 หลายเดือนก่อน +3

    Mulikuwa hamjui raisi kipenzi cha watanzania alivyo kaamua kujisimamia mwenyewe bila kuomba mdahada nje mulikuwa munamchukiliaje😂

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 หลายเดือนก่อน +3

    JPM Alifagia Njia Kosa Kuwaludisha Kama Aliwaludisha Waliofukuzwa Na JPM Apo Kazi Ipo Au Achukue Atua Kali Zaidi

  • @user-mn3yd7jg3q
    @user-mn3yd7jg3q หลายเดือนก่อน +7

    Narudia tna tukpata kumi kama wew mle Tanzania yangu naiona ntaiona mbali. Mungu akulinde MPINA

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha หลายเดือนก่อน +6

    Tatizo ni rahis mwenyewe. Mwigulu anasema tunakopa kwa vile sisi ni matajiri. Rahis analalamika kuwa wanadhalilishwa. Kwanini hajamuwajibisha Mwigulu wala Bashe? Je wanakusanya fedha kwa ajili ya uchaguzi?

  • @lameckrange-ol6uz
    @lameckrange-ol6uz หลายเดือนก่อน +1

    Ubalikiwe sana mwenyez Mungu akusimamie

  • @mwadinijuma928
    @mwadinijuma928 หลายเดือนก่อน +1

    Wanajenga mabitite lakini maisha magumu tu jengeni maisha ya watu.kula shida ulimi shida afya shinda waliyo wengi tukufa na MARAZI Tanzania shida tu maraisi wote ni moja tu alitusaidua sana kipindi chake cha uraisi

  • @ZaniaAdamu-f5j
    @ZaniaAdamu-f5j หลายเดือนก่อน +5

    Guys midi meninges I'll kaka mungu akusimamie Sana maana unagusa maslah ya watu

  • @OmaryAlly-z7q
    @OmaryAlly-z7q หลายเดือนก่อน +15

    Mm ni ccm kuzaliw upo sawa mpina haki itakuweka huru Wacha wachumia yumbo wakurushie mawe ucjali tunakuelew

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa siuachane na ccm unakaaje kwenye chama chawezi?

    • @AliphonceMartina
      @AliphonceMartina หลายเดือนก่อน

      Ndugu yangu usikubali kujisahau na kusema wewe ni CCM kumbuka hivi ni vyama vya siasa tuchagueni viongozi bora siyo kuchagua chama naombeni tusikalili CHAMA

    • @zuhurajabiri3900
      @zuhurajabiri3900 หลายเดือนก่อน

      ​@@robertphilip385
      Kwani mwanao akiwa mwizi ana kuwa sio mwanao . Na atakwenda wapi wakati ufisadi na rushwa kila chama upoo

  • @bonifacemuya2406
    @bonifacemuya2406 หลายเดือนก่อน +18

    Kaka unaakili sana wachache sana watu kama wewe tunakuombea pambama tupo nyuma yako

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 หลายเดือนก่อน +1

    MPINAAAAAAAA, MPINAAAAAAAAAA MPINAAAAAAAAAAA
    TUNAMUONA MAGUFULI NDANI YAKO, MUNGU AKUTANGULIE MKUU, MUNGU AWE NAWE

  • @GeofreySenka
    @GeofreySenka หลายเดือนก่อน +1

    Safi Sana inahitaji watu jasiri kama Mpina wawe hata erfu mmoja nchini

  • @hbdina
    @hbdina หลายเดือนก่อน

    🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Baba Mungu Jehovah mbariki mlinde Mpina kwa jina la Yesu Kristu Amina

  • @user-hj4sy9fy4g
    @user-hj4sy9fy4g หลายเดือนก่อน +4

    Uongozi safi hapa nchini, upo na watani wazuri,"Wasukuma tu" !

  • @PaschalGerad-xq4lw
    @PaschalGerad-xq4lw หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akupiganie mpina watanzania wote tunaelewa hao mafisadi

  • @HelmanLawa-w6q
    @HelmanLawa-w6q หลายเดือนก่อน

    Safi sana hayomajinzi yashitakiwe

  • @MkudeSimba-fg1sf
    @MkudeSimba-fg1sf หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤mpina twende twende twende tuko pamoja

  • @MariamKiangi-y4d
    @MariamKiangi-y4d หลายเดือนก่อน +4

    Hongera sana mpina

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry หลายเดือนก่อน +2

    Ndugu yangu ni kumtegemea Mungu tu lakini uwe makini katika nyendo zako ama sivyo una nafasi katika safari isoyojulikana.

  • @user-eb3hf1lm9e
    @user-eb3hf1lm9e หลายเดือนก่อน +1

    Amen Mungu akutetee kaka

  • @ayubunato-lg7yy
    @ayubunato-lg7yy หลายเดือนก่อน +5

    Hawa ndio viongozi big up

  • @SalumuJJ
    @SalumuJJ หลายเดือนก่อน

    Asante sana anco mpina mung awe pia nawe

  • @abubakarimchani8362
    @abubakarimchani8362 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe ndugu yetu

  • @jemmabeneth7469
    @jemmabeneth7469 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mh Mpima Mungu akutuze sana,watu kama wewe huwa hawaishiiiii kabisa

  • @panadomadola3064
    @panadomadola3064 หลายเดือนก่อน +5

    Hii Tanzania Mungu atusaidie sana sababu Rais anaenda kukopa fedha kwa ajili ya maendeleo lakini fedha zenyewe zinaishia kuliwa na mafisadi. Uwiiiiihii naomba duwa muharishe mpaka msinyae, Ongera sana Mpina kwa kuyakemea haya madudu Mungu hakulinde 🎉🎉🎉🎉

  • @MagomaPato
    @MagomaPato หลายเดือนก่อน +1

    CCM imejaa uchawi...nyayo za Mzee Popo Harmonize kuroga kazi za Diamond Platnumz TH-cam....Aibu Tanzania😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @Selemlaki132
    @Selemlaki132 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu mheshimiwa asipuuzwe asikilizwe na mambo anayozungumza yafanyiwe Kazi ukweli ujulikane

  • @ThobiasMsechu
    @ThobiasMsechu หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana Mpina Mungu akutie nguvu

  • @LiberatusJosephat
    @LiberatusJosephat หลายเดือนก่อน

    Mungu akutangulie ndugu yangu maana ww ni kama jpm

  • @fadhilidanieli1478
    @fadhilidanieli1478 หลายเดือนก่อน

    Harakati zako Mungu anaziona,,kiukweli una hofu ya Mungu. ..

  • @antonioigneous6653
    @antonioigneous6653 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atakuwa nawe siku zote,
    hatokuacha kwa kulipigania Taifa lako

  • @user-zy6vq6lz7z
    @user-zy6vq6lz7z หลายเดือนก่อน +4

    Hii vita mheshimiwa ni mbaya utaiweza kweli maana ni wengi wanapotea wakipambana na rushwa

    • @kanoa645
      @kanoa645 หลายเดือนก่อน

      Mi nashauri hata asipoenda mahakamani, inatosha

    • @peterbalyagati7834
      @peterbalyagati7834 หลายเดือนก่อน

      Acha uonga, na kumvunja moyo

  • @HassanKibwana-h3w
    @HassanKibwana-h3w หลายเดือนก่อน

    Mungu Akusimamie upo vizuri sana Hongera sana

  • @user-cw2nj4io3v
    @user-cw2nj4io3v หลายเดือนก่อน +1

    Mpina big up!, ni Bora kuwa mzalendo wa Taifa kuliko kuwa mzalendo wa chama!

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 หลายเดือนก่อน

    Honera kaka, wew ndo wabunge mnao hitajika,

  • @karimjuma4019
    @karimjuma4019 หลายเดือนก่อน +3

    Bashe mwizi sana aiseee

    • @charlesshitobelo6870
      @charlesshitobelo6870 หลายเดือนก่อน

      Bashe ni pandikizi la Rostam. Ni jizi kubwa. Bashe alipashwa kufanya kazi chini ya Rais mkali kama Magufuli hapo angedhibitiwa lakini kwa huyu mama, vichochoro vingi viko wazi.
      Rais alifanya makosa kukumbatia ushauri wa JK

    • @karimjuma4019
      @karimjuma4019 หลายเดือนก่อน +2

      @@charlesshitobelo6870 hafai hata kidogo yule mtoto balaa sana

  • @noelkipera6581
    @noelkipera6581 หลายเดือนก่อน

    Mungu Akusimamie ,mh unakubarika kwa ukomavu wako wakutetea wanyonge❤❤❤❤

  • @michaelpatrick9317
    @michaelpatrick9317 หลายเดือนก่อน +9

    Mm nilisema katiba ya CCm iko wazi Sera zake zinajieleza lkn wa2 waliopo ni madudu 2 wezi wamejazanaa hawana maana wao ni kula 2

    • @yudachelango6824
      @yudachelango6824 หลายเดือนก่อน

      Endeleeni kuwa SISIEM

    • @MirajiMbolile
      @MirajiMbolile หลายเดือนก่อน

      ​@@yudachelango6824 tatizo sheria mbovu sheria nyingi zipo kwa ajili ya kumlinda kiongozi , hata mahakama zetu hazina meno make zinafanya kazi kwa maelekezo nasio haki .

  • @jayson.chanel.9870
    @jayson.chanel.9870 หลายเดือนก่อน +2

    HONGERA SANA MPINA

  • @ramadhanimtozeni8030
    @ramadhanimtozeni8030 หลายเดือนก่อน +2

    Mpina, Mungu akupe ulinzi wake na endelea kupigania Taifa letu bila kuchoka mpaka hao wabadhilifu wa Mali za umma wadhibitiwe

  • @VictorRobert-n5u
    @VictorRobert-n5u หลายเดือนก่อน

    Mh Mpina tupambanie , pia wasukuma tunajikubali na hatuna tabia ya UONGO . MUNGU PAMOJA NA WEWE

  • @richardnott4403
    @richardnott4403 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutangulie

  • @saiditasher8362
    @saiditasher8362 หลายเดือนก่อน

    Ndungu yangu mpina ujitahazali naao mafisadi kwani mtandao wao mkubwa usijuachie kwani iyovita kubwa ndungu mng afanyie weoesi kulinde🙏

  • @FestoLalata
    @FestoLalata หลายเดือนก่อน +6

    Upo sawa kiongozi wetu

    • @alimuse6980
      @alimuse6980 หลายเดือนก่อน

      Huyo ni njaa alipo kuwa waziri wavuvi wengi ali wa filisi na wengine kufa kwa thuma aliyo fanya huyu yeye ndio afunguliwe kesi

  • @OmarOthman-w9k
    @OmarOthman-w9k หลายเดือนก่อน

    Safi sana mh. Mpina tunakuunga mkono hiyomijizi inakerasana

  • @MkudeSimba-fg1sf
    @MkudeSimba-fg1sf หลายเดือนก่อน +2

    Mkuu huyu yuko vizuri Mama fumbua macho tunakupenda.

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 หลายเดือนก่อน +2

    Rais wetu ni mzuri sana ila watendaji wake ni shida tupu 🥰🥰🥰🇹🇿🇹🇿🇹🇿SAMIA 💪💪💪💪

    • @panadomadola3064
      @panadomadola3064 หลายเดือนก่อน +1

      Anatakiwa awe kama Magufuli, mbona hawchukulii hatua hao mafisadi na yeye ni mkuu wa nchi

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255 หลายเดือนก่อน

      @@panadomadola3064 umakini mkubwa akienda kichwa kichwa watamzulu unaona

  • @MoyoGoodwelly
    @MoyoGoodwelly หลายเดือนก่อน +2

    Fanya kaka make hawo watu wamezidi wizi na kujichukuwa sana

  • @Christophergaspar-qe7wk
    @Christophergaspar-qe7wk หลายเดือนก่อน +1

    Heko mh. Mpina, usikate tamaa. Sisi wana-ccm tuko nyuma yako.Mafisadi wote waondoke ccm, wakatafute chama kinachokumbatia ufisadi,siyo ccm.

  • @bahatitumaini347
    @bahatitumaini347 หลายเดือนก่อน

    Tunakupenda mpina

  • @SamweliMwamulima
    @SamweliMwamulima หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe

  • @user-nc9kh6yz1h
    @user-nc9kh6yz1h หลายเดือนก่อน

    Mama samia hajui kuiongoza nchi yy ndo anasabibisha majanga bora liondoke tu

  • @felixmluge3211
    @felixmluge3211 หลายเดือนก่อน +4

    Ni kama Mchungaji mtikila kazaliwa ama kafufuka rasmi Tz....
    Mungu akusimamie na kukupa wepesi mpina brother!

    • @augustinejohnnyakatoma8591
      @augustinejohnnyakatoma8591 หลายเดือนก่อน

      Kwa kawaida mzalendo hafi Wala hazikwi. Na ikitokea akafa na akazikwa, basi badala yake watafufuka maelfu ya wazalendo kila Kona

  • @BundalaCharles
    @BundalaCharles หลายเดือนก่อน +3

    Tupambanie mh Rais ajaye 2040

  • @SabastianRaymond
    @SabastianRaymond หลายเดือนก่อน +3

    HONGERA SANA.
    PAMBANA SANA KAKA TUPO WATU AMBAO TUNAONA HIVYO.

  • @goodluckurio508
    @goodluckurio508 หลายเดือนก่อน

    M nahis walimchukulia poaw ,honger sana mpina,.
    😅😅😅😅😅🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @atugonzalugemalila5142
    @atugonzalugemalila5142 27 วันที่ผ่านมา

    Mahakama hizi za Tz tunazozijua hazina msaada labda Ingekuwa nchi ya Kenya lkn wananchi tumekuelewa Sana na bunge letu tumelielewa linasimamia nn